ZIWA TANGANYIKA KUFUNGWA NAIBU WAZIRI MNYETI AFUNGUKA USICHOKIJUA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2024
- #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi
Na Swaum Katambo, Katavi
Wavuvi Wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi wamekubali mpango wa Serikali wa kuhuisha uvuvi ndani ya miezi mitatu katika Ziwa Tanganyika ili kupisha samaki kuzaliana katika ziwa hilo.
Wakizungumza mbele ya Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti katika mkutano wa hadhara na wadau wa sekta ya uvuvi Kata ya Ikola, wamekiri kuwa samaki kwa sasa wameadimika hivyo kama mpango huo utaongeza mazao ya samaki ziwani, wako tayari kupisha mpango huo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09 - บันเทิง
Ugumu wa maisha utaongezeka
Waharifu huongezeka
Walipewa Maiki wamepangwa 😂
Hivi nyie mnafunga ziwa tanganyika je wananchi waliopo maeneo hayo wanaotegemea uvuvi mumetoa shiringi ngapi kwakila kaya??