@@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 I don't normally argue with idiots but for your sake I would explain. Nimesema bwawa liitwe kwa jina la JPM kwa sababu yeye ndio ametimiza maono. Kila mtu ana mipango kwenye makaratasi ila wachache ndio wana uwezo wa kufanya mipango iwe reality.
Hongera Tanzania kwa ndoto hii kuanza kutimia, tatizo langu moja je ndoto za mwenye maono, na aliyeamua kuitimiza kwa ajili ya watanzania wa kule Nyamuswa au ushetu, au kinamapula watapata umeme wa gharama nafuu kabisaa?, au ndio limepatikana chimbo la upigaji?, siku nne mara clutch imeungua, baada ya wiki brake shoe zimekwisha na bei iko juu sana inabidi tupandishe bei ya umeme? Hata tusipoingia mitaani laana yetu itawanyima furaha milele. Ukiwa trilionea peke yako hutapata wa kufurahi nao maana utajigeuza Mungu. Kumbe furaha ya kweli ni kuwafutahisha wanyonge kwa kuwafanya waweze kupata furaha maishani, wasihangaike saaana kujipatia mahitaji yao. Mie napita tuu niendako hata sikujui.
WAOOO YAN SAIV NIKIMUONA MTU ANAIONGELIEA TANESCO VIBAYA NAKULA NAE SAHAN MOJA LABDA AWE N CHADEMA TU MAKE HAO WENYEWE KILA KITU N KUPINGA HAWAJUI KUPONGEZA😂😂😂
Mliahidi kuwa umeme utapubgua bei kwa watanzania wote. Sasa fanyeni ukweli na mtimize ahadi zenu. Huo sio umeme wa kununua sasa tunatengeneza wenyewe na mto ni wa Tz umeumbwa na Mungu.
Kuna jambo moja tuu linanitesa kila nikifikiria,Ukame umekuwa janga kubwa linalotatiza uzalishaji wa umeme kwenye mabwawa yetu kila mwaka,Je!?,Bwawa hili litapata wapi maji wakati wa ukame ikiwa mito yote maji hupungua!?
Bei ya umeme ishushwe sasa. JPM alitaka bei ishushwe nyie mnageuza biashara yenu. Shusheni bei na muongeze spidi ya usambazaji. Bado vitongoji vingi havina umeme. Serikali inajikosesha mapato kwa kuchelewa kuwaunganishia wananchi
Safi sanaaaa ushauri wangu tekelezeni ahadi mlisema umeme utashuka bei pindi uzalishaji utaanza 👍👍👍👍👍
Ni jambo zuri sana lakini ndoto ya hayati ilikua kushusha bei ya umeme sasa macho yetu yote yako kwa raisi Samia je atashusha bei ya umeme?
Tupunguzieni bei.
Bei ipungue ili tuweze kupitia Umeme majumbani.
Hii itakusaidia kutunza mazingira
Kwa maoni yangu, lilitakiwa liitwe Bwawa la J.P Magufuli.
yeye ndie ameasisi hilo bwawa hujielewi
@@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 I don't normally argue with idiots but for your sake I would explain.
Nimesema bwawa liitwe kwa jina la JPM kwa sababu yeye ndio ametimiza maono. Kila mtu ana mipango kwenye makaratasi ila wachache ndio wana uwezo wa kufanya mipango iwe reality.
@@EdwardNdakidemiHata lingendikwa jina gani,tunachotaka kwanza Ni umeme upatikane kwa uhakika na kwa Bei nafuu,kwisha!
Punguzeni bei ya umeme sasa,,,
Hongera Tanzania kwa ndoto hii kuanza kutimia, tatizo langu moja je ndoto za mwenye maono, na aliyeamua kuitimiza kwa ajili ya watanzania wa kule Nyamuswa au ushetu, au kinamapula watapata umeme wa gharama nafuu kabisaa?, au ndio limepatikana chimbo la upigaji?, siku nne mara clutch imeungua, baada ya wiki brake shoe zimekwisha na bei iko juu sana inabidi tupandishe bei ya umeme?
Hata tusipoingia mitaani laana yetu itawanyima furaha milele.
Ukiwa trilionea peke yako hutapata wa kufurahi nao maana utajigeuza Mungu. Kumbe furaha ya kweli ni kuwafutahisha wanyonge kwa kuwafanya waweze kupata furaha maishani, wasihangaike saaana kujipatia mahitaji yao.
Mie napita tuu niendako hata sikujui.
Ancle Magu alisema wakianza kuzalisha umeme unashuka sasa sijui shangazi Sammy anasemaje
Jpm oyeeee
Maamuzi magumu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hakuna kucheka cheka, kama awamu za mafisadi
WAOOO YAN SAIV NIKIMUONA MTU ANAIONGELIEA TANESCO VIBAYA NAKULA NAE SAHAN MOJA LABDA AWE N CHADEMA TU MAKE HAO WENYEWE KILA KITU N KUPINGA HAWAJUI KUPONGEZA😂😂😂
Unit zishukesasa
Ingekua fisadi Makamba bado mitambo ingekua haijawashwa
Bei ya umeme ishuke basi maana ndio ilikuwa ndoto ya uncle
Doto punguza bei ya umeme hii ni ahadi ya hayati JPM tekelezeni.
Mliahidi kuwa umeme utapubgua bei kwa watanzania wote. Sasa fanyeni ukweli na mtimize ahadi zenu. Huo sio umeme wa kununua sasa tunatengeneza wenyewe na mto ni wa Tz umeumbwa na Mungu.
ulikuwa wapi siku Tanaesco waliposema hilo bwawa halitapunguza bei ya umeme?
Hakikisheni mnapunguza bei ya umeme ni amri siyo ombi, umeelewa Doto?
🎉🎉🎉
Very good my Leander
Kuna jambo moja tuu linanitesa kila nikifikiria,Ukame umekuwa janga kubwa linalotatiza uzalishaji wa umeme kwenye mabwawa yetu kila mwaka,Je!?,Bwawa hili litapata wapi maji wakati wa ukame ikiwa mito yote maji hupungua!?
ndiyo tuunganishwe sasa maanaa mmmh.
TUnatakakusikia na bei ya unit imeshuka watu wana umia
Bado umeme mikoni nichangamoto
Bei ya umeme ishushwe sasa. JPM alitaka bei ishushwe nyie mnageuza biashara yenu. Shusheni bei na muongeze spidi ya usambazaji. Bado vitongoji vingi havina umeme. Serikali inajikosesha mapato kwa kuchelewa kuwaunganishia wananchi
jpm
Bado tu hamkakamilisha mbona tutafika tumechoka