Mimi ni mkongo 🇨🇩 wa Tanzania 🇹🇿 na wapenda sana, na team ya yanga naipenda kupitia wimbo wa Harmonize, mimi ni shabiki kubwa wa harmonize toka Congo 🇨🇩.
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Hongereni sana,kuanzia Sasa mjitahidi kutuendekeza sana mashabiki wasiwe wanategemea vya bure ndio waje uwanjani Kuna wakati offa inatolewa kwetu haswa mechi za kitaifa ila kuwe kunamipaka yake kwa kuangalia maslahi ya timu naimani wananchi wenzangu tuatajitahidi tuwe tunaujaza uwanja wa mkapa au viwanja vingine haijalishi ni mechi gani
Mtu supu ya bure anatoka kibaha au morogoro kuifata jangwani kulipia kiingilio anaona kazi wabongo wengi wanapenda sana dezo ndio maana tz hakuna washabiki Kuna washangaaji tunajifanya tunapenda mpira kuingia uwanjani mpaka watu wahamasishwe we uliona wapi, watu wamevamia vamia tu huu mpira ila shabiki haswa asubiri kuhamasishwa kuingia uwanjani.
Jaman nyuma mwiko chokeni basi kutuiga 😅 mmeiga mpaka redio ya king kiba alafu mnajifanya mnamoto kumbe sis huko tulishapita ushamba tu huo Tafuteni chakwenu kipia mfanye tuoneee
Mimi ni mkongo 🇨🇩 wa Tanzania 🇹🇿 na wapenda sana, na team ya yanga naipenda kupitia wimbo wa Harmonize, mimi ni shabiki kubwa wa harmonize toka Congo 🇨🇩.
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Amina
Amina
Amina
Wataka kwenda binguni na uko uku TH-cam 😂😅
Amina
ngoma bora niya harmonize
Harmonize umetisha good song
Daaa kondeee
Sijawah kukubalii ila hapa umetishaaaa
Hit gn mbon Millard unapea sifaa ambazo hazistaili
KWA GOMA LA HARMONIZE MIMI TAYAR NAENDA YANGA SIMBA DAY SIENDI NA TIKETI YANGU NAMPA DULLA MAKABILA 👋👋👋 TUKUTANE YANGA DAY 4/08/✓
Nakubali kaka akuna kama wew ❤❤ jeshiii
Yaniii iyooo yangaa dey angekuwepoo mondiiii laaaa yanga dey ingetisha kinoma noma
Huu wimbo utawika msim mmoja tu
Penda San yangu mungu aipeushindi Kila lakher
Yaa ngoma kali ya Mwaka huu
Hongereni sana,kuanzia Sasa mjitahidi kutuendekeza sana mashabiki wasiwe wanategemea vya bure ndio waje uwanjani Kuna wakati offa inatolewa kwetu haswa mechi za kitaifa ila kuwe kunamipaka yake kwa kuangalia maslahi ya timu naimani wananchi wenzangu tuatajitahidi tuwe tunaujaza uwanja wa mkapa au viwanja vingine haijalishi ni mechi gani
Mbona mnateseka sana na visivyowahusu? Pole kolo
Aaaaaaaah wapi ofa na udanganyifu ua hakunq mabadiliko endelea kuweweseka tuu😂😂😂😂😂
Mtu supu ya bure anatoka kibaha au morogoro kuifata jangwani kulipia kiingilio anaona kazi wabongo wengi wanapenda sana dezo ndio maana tz hakuna washabiki Kuna washangaaji tunajifanya tunapenda mpira kuingia uwanjani mpaka watu wahamasishwe we uliona wapi, watu wamevamia vamia tu huu mpira ila shabiki haswa asubiri kuhamasishwa kuingia uwanjani.
Labra mtangaze kingilio Bure ndo mnaweza kujaza uwanja
Harmonize the boss boy wew unawalipia shillings ngapi au wangapi? Wew mkubwa mwamba na tuna kukubali sana mtoto wa Tandaimba
Amna nguvu ya kutangaza hata kimchongo hiyo sold out never never
AISEE UMETISHAAA KONDE BOY💥
Yanga tumechukua wasanii wakubwa wote
Harmonize anajua sana
Nitaanza kumkubali harmonize kwa kuwa yupo jangwani
Hatar sana yanga bingwa
Nomaaaaa sana
Kali harmonize
Mnalazimisha utopolo wanunue tiketi😮😮😮😮
Christian bella... Ana shouts tu.
Alikamwe kaa kando mwenyemji kaludi
Aaah wap mnyama ngoma kali sana
King of the best melodies
Noma sanaaaa🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Konde boyyy umeuuuuuuua 🎉
Ngoja siku ifikee ya simba na ysngaaa
Unaifungaje Kwa mfano
Harmonize kauwa sana
Hii imeenda
Manara karud tena kuwa msemaji. Simba tutakoma wallah
Hamonaize haunt mpizani kwa nyimbo hii
Yaweyaaa konde 4 life
💚💚💛💛
YANGA LAAA
Duuh Mambo ni 🔥🔥
Sijawahi kumkubali shabiki wa yanga yeyote yule kishabiki ila namkubali harmonise
Jeshiiiiiiiiiii
Ila #Harmonize🔥🔥🙌💝📿🔞
Mungu akijaaali juma pili tukutane kwa mkapa from himo moshi tanzania
Utuletee ki2 cha mbegerism yenye msesewe mwingi
Moto sana Aisee
Ni fire 🔥 😍 na nusu
Jeshiiii umeuaaaaaa
Huyo Bella wa Nini Kila mwaka ,wekeni wengine
Jeshiiiiiiiiiiiii❤❤
Mzeee konde 🔥
Yanga yangu inanipa raha❤❤❤
Jeeeeeshiii
Wanatumia nguvu kubwa sana kujaza uwanja aaaah
Punguza wivu😅
Nipo simba ila huwa napenda vitu vizur ngoma kali kiukweli watani wetu kwenye ngoma mnajitahidi
Bigap sawa
Ticket Inapatikanaj
Haviporomotiki kunywa supu mapema kwendaa uwanjani akaaa
HATUIFATI YANGA ILA TUNAFATA WASANIII😂
Kaliii
Kupiga kelele 2 kununua tiket aaah
Wanatumia nguvu kubwa wasemaji wapo wanne wasanii 40 lakini Ngoma ngumu
Mtuache na yanga yetu kuma za mama zenu simba hamna jipya kwetu tutawakomesha mwaka huu tena kunguru wekundu
Nyimbo nzuri sana hiii 😂😂
Konde mini simba ila ki music mi siku ping atauitukane simba broo mi najikuta tu na kubali ngoma zako
Yemweyemwe jamani jeshiii weeee
Yanga kiboko yao
Ila huyu jamaaa anajua sana
Kuna watu daimondi alipo vaa jenzi ya yanga ilokua login ya tigo pesa harmoniz apo kavaa ina logi gani twambieni kina mwinjaku na dingano
Sasa ndg yangu mbna unaumiza kichwa kwa vitu,visivyoeleweka Diamond kila anachokifanya ni tropic usimfananishe na wengine Diamond ni next level
Ila harmoneze
Itupe kwa manara
Huu wimbo Jana umenitoa machozi
😂😂
Hatar nanusu
Hovyo tu kujaza uwanja hadi mtumie wasanii
nyimbo za kuwataja wachezaji hazidumu
Kwa kuwa hulipii mdomo bwabwaja
Uyamaaaaaaaaa
Mfugeni shanga had acheze
Unyama mwing
Kondeeee
Umeua mzeee konde
Da ngom nyingii nimzskiia ila iii naon itnkoshaa nkubaliii snaa
atariiii
Mbona Watakoma
Brother Manara ww ni kaka yangu naomba niseme kitu please kuna tofauti kubwa kati ya "toka na ondoka" please bro
Hiiiinyimbo balaaaaa
Nice
Jeshi kaua xna
Jaman nyuma mwiko chokeni basi kutuiga 😅 mmeiga mpaka redio ya king kiba alafu mnajifanya mnamoto kumbe sis huko tulishapita ushamba tu huo
Tafuteni chakwenu kipia mfanye tuoneee
Nyimbo ya Harmonize mbaya sanaa tena mno. Kajizalilisha kuachia nyimbo kama hiyoo
We shoga sio buleee
Ushanunua SANDA......
Jamani hamo
Hahahaha harmo tunataka tukuone ukishuka na kamba
hiyo Ngoma toa mapema
Ni hatareeeeeeee
Yani nyie kila kitu mko nyuma alafu mnajiita nyuma mwiko au ndio kinyume
Cc ndo wananchi subirini tuwaonyeshe
🤣🤣🤣mtuonyeshe nini
Naskia Rasta man au ukipenda mwite kibu madeni nae kiroho tiari n mwanachi ila kimwili yupo uko ukoloni🤣🤣
Ally kamwe out manala in 😂😂😂😂😂 ila uyu kiwetee duuu😂😂😂😂
😂😂😂 Dah una zambi wew kiwete tena
Mmmmmh
💪💪💪💪💪💪💪💪💪
❤❤❤
Nyie jazeni wasanii lkn sisi mbk leo sold out na itaendelea kuwauma😂😂😂😂😂kenge nyie
Simba day ni lini
Tembo kma tembo
Ww tunga wako sasa tukusikie