Hii ndio maana halisi ya timu ya wananchi, shukrani nyingi kwako Sheria Ngowi kwa ubunifu mzuri unaolinda na kuenzi waasisi wa klabu yetu na wachezaji wetu, daima kila jema likawe upande wako, kwa neema na rehema zake Mungu ujaliwe kudumu katika ubora wako.
Kupambana kutufikia kwenye design wameshindwa wameamua kurudi kwenye kulalamikia rangi🤣😅😂🤣😅😂tutakuja kuwaua siku moja makolo hao Asante Sheria Ngowi💪💪💪🔰🔰🔰🔰
1970 Yanga vs Asante Kotoko ya Ghana Kipa Elias Michael 2. Athuman Kilambo 3.Boi Iddy 4.Hassan Gobos 5.Omari Kapera 6.Abdulrahman Juma(captain)7.Leonard Chitete 8.Awadhi German 9.Kitwana Manara.10.Maulid Dilunga 11.Maulid Kitenge Yanga walivaa jezi ya Rangi ya Gold Mikonko marefu bukta nyeusi soksi za gold tukavaa gold tena Yanga ya kina Hamisi Kinyerezi,Abeid Mziba Jemedari alikua kwao Nanjilinji anapalilia Korosho 💛💚💛💚
Kilichobakia tukapambane tushinde tusiishie kwenye jezi tu kwani kwenye chumba cha mtihani kitu muhimu kujibu vizuri maswali yote na sio muandiko nzuri. Daima mbele nyuma mwiko naitakia ushindi timu yangu❤
Chama kubwaa oyeee hayaa Twendeee kazi all wananchi Youngs Africans kitu vitamins vitamins yes tor sure. Yes please 🙏 bring it on human beings 🙏 Thank you so much wananchi
Kuhusu jersey makolo watulie tu,hawana designer kwan shida n kukubali ukweli jmn!!!, anayedesign jersey zao hatuliz kichwa anakurupuka sana anadhan kila kitu kinapachikwa tu sasa kama hy cola ya mbele haijaonyesha show yoyote kabisa
MUNGU ni mwema hongera Sana Sheria Ngowi kazi njema kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga shalom
Mashallah mola azidishe kheri ISHAALLAH kwenye yanga yetu
Jersey nzuri sana.. big up sana kwa designer wetu Sheria Ngowi 👏👏
Hii ndio maana halisi ya timu ya wananchi, shukrani nyingi kwako Sheria Ngowi kwa ubunifu mzuri unaolinda na kuenzi waasisi wa klabu yetu na wachezaji wetu, daima kila jema likawe upande wako, kwa neema na rehema zake Mungu ujaliwe kudumu katika ubora wako.
Kupambana kutufikia kwenye design wameshindwa wameamua kurudi kwenye kulalamikia rangi🤣😅😂🤣😅😂tutakuja kuwaua siku moja makolo hao Asante Sheria Ngowi💪💪💪🔰🔰🔰🔰
Umeonaee
😅😅😅 una jua sana uta fika mbali
Afu wanalalamika kama wanavaa wao😂😂
Yaan...😂😅🤣😂😅😳
1970 Yanga vs Asante Kotoko ya Ghana Kipa Elias Michael 2. Athuman Kilambo 3.Boi Iddy 4.Hassan Gobos 5.Omari Kapera 6.Abdulrahman Juma(captain)7.Leonard Chitete 8.Awadhi German 9.Kitwana Manara.10.Maulid Dilunga 11.Maulid Kitenge Yanga walivaa jezi ya Rangi ya Gold Mikonko marefu bukta nyeusi soksi za gold tukavaa gold tena Yanga ya kina Hamisi Kinyerezi,Abeid Mziba Jemedari alikua kwao Nanjilinji anapalilia Korosho 💛💚💛💚
Jezi letu ni nzuri mashaalh daima mbele 😂❤❤❤❤
Asante Sheria ngowi 👋👋👋 neema na baraka nyingi ziku fikiee
Asante sana club yangu hii inaleta raha na heshima kwa wazee wetu walioitumikia club yetu aisee sheria wewe ni kiboko yao ❤
Safi Sana! Daima Mbele....wapeni somo hilo wachezaji pia
Daima mbele nyuma mwiko button wananchiiiiiii 💛💛🔰🖤
Kila la kheri inshaallah daima mbele nyuma mwiko
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mashaallah mungu amekujaalia kipaji kikubwa endelea kuwaburuza
Kazi nzuri ya sheria ngowi gwiji la ubun🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔰🔰🔰
Kilichobakia tukapambane tushinde tusiishie kwenye jezi tu kwani kwenye chumba cha mtihani kitu muhimu kujibu vizuri maswali yote na sio muandiko nzuri. Daima mbele nyuma mwiko naitakia ushindi timu yangu❤
Daima mbele nyuma mwiko 🔥🔥🔥
Jez mzur nakupa maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉
Mitoko ya taifa sheria ngowi🙌🙌🙌
Hz Jessy kumbe zinaongea bhana! Sheria Ngowi uko vzuri sana.
Hongera Sheria ngowi
MUNGU ni mwema Sheria Ngowi kazi kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga
MWAMBA ANAJUA SANA. CONGRATULATIONS. MY BROTHER. SHERIA NGOWI APEWE MAUA YAKE.. 🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎊🎊🎊🎊💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
Baba izilangi aziumizi maccho nimezipenda
MASHAALLAH NI NZURI SANA JEZI 💚💛💚💛💚
Chama kubwaa oyeee hayaa Twendeee kazi all wananchi Youngs Africans kitu vitamins vitamins yes tor sure. Yes please 🙏 bring it on human beings 🙏 Thank you so much wananchi
Allaah Akbar
Sheria ngowi jitahidi utupatie design ya vazi la taifa inshallah
Wacha tutambee tyu Wananchiiii💚💛🖤
Yanga bingwa inshaallah 💚💚💛💛🙌🙌
❤❤❤ good 👍👍
Motoooo
Ally kamwe wakumbushe pia 1938 tulishawafunga makolo 9-0
jezi ni kali kwa kweli
That's next level
Nimefurai sana
Idara ya habari ya yanga iko makini sana
Sana mwamba wa Tunduru
❤❤❤❤❤
Wewe sheria wewe utatuua kwa rahaaa
🔥🔥
Kuhusu jersey makolo watulie tu,hawana designer kwan shida n kukubali ukweli jmn!!!, anayedesign jersey zao hatuliz kichwa anakurupuka sana anadhan kila kitu kinapachikwa tu sasa kama hy cola ya mbele haijaonyesha show yoyote kabisa
Nasikia alikuwa mfanya kaz wa sheria
Nawakubari sana
❤❤❤😊😊😊 sisi hao
Awatuwez
Ngowi haleti Sanda analeta jezi
Jezi nimesubiri toka juzi cjapata 😢😢😢😢😢😢
Sheriya ngowi wewe huna mpizani hujawahi kushindwa
Huna mpinzani ngowi
Sisi wengine tunamkumbuka ktk wakati wetu bado wadogo na tulikuwa tunamwita kitwana manara popat
Kaka kwetu tawi mnakuja kuzindua lin
Waacheni wakalili walalamikie langi kwa 7bu kwao wenzetu siku zinaganda lkn kwetu siku hazigandi
Makolo yanasonya tu
Watu wameumia na jezi yetu hatari acha wana Yanga tutambe nayo 😂😂🎉🎉🎉
Ally munampa tabu Mr ngowi mwache apumzike hawo wanaoleta maneno inawahusu nini,inawauma Sana jezi zetu rangi yetu 1 =5 bwana hawana lakufanya
Wachambuz hauto wasikia wakiongelea hili
Screen gani? Mbona hatuoni?
Yanga kumamae zenu sikuizi
Mamaako kaziba pancha ya Kuma au misenge yote ipo simba
Utopolo mmemuona mnyama alivyomnyoa mtu
Umemnyoa mtu umesaidiwa na refa unafikili ingekuwaje mideko fc Leo ungebakwa
Ngowi haleti Sanda analeta jezi
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤