MWANZO MWISHO KUTOKA MKOANI HADI WETE KROSI ZOTE NA MILIMANI ILIYOPO PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 77

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaah imenikumbudha mbali kweli kweli natamani siku nikija tz nifike home in shaa Allah

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Mola aibarik Pemba yetu

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 ปีที่แล้ว +6

    Mbona hukutuandikia tukajua hapo niwapi yaani utuambie hapa mtambile hapo mtuhaliwa hapa mzingani nk lakini juu hivo shukran jazaka Allah kheri

    • @digitaltv3237
      @digitaltv3237 2 ปีที่แล้ว +3

      Pengine muandishi mgeni wa pemba

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 2 ปีที่แล้ว +3

      @@digitaltv3237 Ahaa inawezekana

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 ปีที่แล้ว +8

    Wale wa ngezi,kuyuni,kenya, ngwachani,mkungu,vuleni,kipapo,chonga chanjamjawiri.like hapa tujuane mabaharia.

  • @wete_tv
    @wete_tv 2 ปีที่แล้ว +3

    Wooh

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 ปีที่แล้ว +3

    Pemba ni lulu sihami n'gooo kisiwa cha marashi ya karafuu, Allah kakibari baraka tele Alhamdulillah🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤💜❤💜❤💜 🛳 ⛴ 🚤 🛥 ⛵ ✈ 🛬 🛩 ✈.

  • @DullahYussuf
    @DullahYussuf 3 หลายเดือนก่อน

    Pemba ni nyumbami licha yakua hali ya maisha ni ngumu sana lkn ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NassoroHaji-i8k
    @NassoroHaji-i8k ปีที่แล้ว

    Jamani hakuna sehem korofi kama meli 5 pemba ..wete kwetu maashaallah kuzuri sana

  • @uqbahzahor2340
    @uqbahzahor2340 2 ปีที่แล้ว +4

    Jaman me asa hunibishii asaa sema n hio barababra tu nayo sio y mkoan watutengenezeeee tna dah afu mashallah kumebadilika pemba kunavutia kw nuru n ugum w maisha 🤣🤣🤣

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb ปีที่แล้ว

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu....naitwa Muhammad Mwangi natokea Kenya, nilikuwa na rafiki yangu anaitwa Abeid Khamis kutoka Pemba, tukifanya kazi naye Al Muhaidib land transport company pale Dammam Saudi Arabia, nasikia alirudi zake Pemba anafanya kazi ya bakery, kama kuna mtu anamfahamu mwambieni namtafuta.... shukran jazeelan.

  • @uqbahzahor2340
    @uqbahzahor2340 2 ปีที่แล้ว +5

    Aloo pemba nkwetuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 2 ปีที่แล้ว +7

    Dhana na maana halisi ya NYUMBANI, utulivu, amani, mandhari ya kuvutia

    • @RVSONLINETV
      @RVSONLINETV  2 ปีที่แล้ว +1

      SADAKTA PEMBA PEREMBA

  • @mansourahmed7782
    @mansourahmed7782 2 ปีที่แล้ว +5

    Saf sanaaaa, ila speed kubwa

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 2 ปีที่แล้ว +5

    Woooo beautiful

  • @IssaKhamis-v9j
    @IssaKhamis-v9j ปีที่แล้ว

    from US wa chake chake sharaut home swt home🥰

  • @saidaomar6084
    @saidaomar6084 2 ปีที่แล้ว +4

    Wa Pemba tusiache mbachao turudi kwetu tukakujenge.

    • @digitaltv3237
      @digitaltv3237 2 ปีที่แล้ว +2

      Hahahahhaaha kwannn

    • @saidaomar6084
      @saidaomar6084 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli green inapendeza lkn ni migomba na mikarafuu barabara yote esp kutoka Mkoani hadi Chake Chake

  • @MohdKhamis-iq4um
    @MohdKhamis-iq4um ปีที่แล้ว

    Naipenda san pemb mm

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 2 ปีที่แล้ว +3

    Pemba yetu ni Pepo ya Duniani.

  • @MustaphAbbas
    @MustaphAbbas ปีที่แล้ว

    Green l land ❤❤❤

  • @wete_tv
    @wete_tv 2 ปีที่แล้ว +6

    kati ya mkoani na wete upi ni mji wenye sifa za kuitwa mji mkuu wa pemba

  • @zahorkhamis4803
    @zahorkhamis4803 2 ปีที่แล้ว +2

    Hyo taarab inaitwaje

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 2 ปีที่แล้ว +4

    Chake Chake nimepapenda

    • @wete_tv
      @wete_tv 2 ปีที่แล้ว

      chake ni mji mkuu wa pemba ila na wete wanapaswa wauute mji mkuu pia wa pemba

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 ปีที่แล้ว

    Alhamdullillah

  • @saidhassan-xg2uo
    @saidhassan-xg2uo ปีที่แล้ว

    Nipo KSA Kingdom of Saudi Arabia lkn nakupenda sn nyumbani PEMBA na siwezi kukuzarau jmn

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 10 หลายเดือนก่อน

    Kigope iyoo

  • @abuubakar7594
    @abuubakar7594 ปีที่แล้ว +1

    Nikioa nahamia pemba inshallah ntaishi uko maishayangu yote

  • @abukingkima092
    @abukingkima092 2 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo taarab inatwaje

  • @HassanKhamis-d1c
    @HassanKhamis-d1c 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nataka kuona piki njia kongwe kuanzia skuli mpaka sokon piki

  • @zahorkhamis4803
    @zahorkhamis4803 2 ปีที่แล้ว +3

    Kisiwa chenye maadil

    • @wete_tv
      @wete_tv 2 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah

  • @digitaltv3237
    @digitaltv3237 2 ปีที่แล้ว +4

    Pemba mzr kumbe

  • @hajjism
    @hajjism 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante lakini bila ya kufika Bopwe na Kipangani hujafika Wete🙂

    • @RVSONLINETV
      @RVSONLINETV  2 ปีที่แล้ว +1

      hahahahahah tutafika kote huko inshaaallah

    • @zainabsururu6888
      @zainabsururu6888 2 ปีที่แล้ว

      Na bila ya kufika selemu py hujafk wete

    • @NassoroHaji-i8k
      @NassoroHaji-i8k ปีที่แล้ว

      ​@@zainabsururu6888Na kizimbani pia

  • @salumaliy5808
    @salumaliy5808 ปีที่แล้ว

    Dah Pemba mkwetu ela Pemba twatupwa San ten San maan Pemba miaka yote iyo haijabadilika barabara ulimi wa paka Yan dah

  • @zainabsururu6888
    @zainabsururu6888 2 ปีที่แล้ว +1

    Chezea mkoani wee kwa krosi

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 ปีที่แล้ว +5

    Pemba peremba ukienda na gunia utarudi na kilemba

    • @digitaltv3237
      @digitaltv3237 2 ปีที่แล้ว +2

      Je ukienda hujaowa utarudi na mke??

    • @lilianmakwati5228
      @lilianmakwati5228 2 ปีที่แล้ว +2

      @@digitaltv3237 mpemba haolewi na mtu wa bara ukienda huna mke utarudi kama ulivyo

    • @digitaltv3237
      @digitaltv3237 2 ปีที่แล้ว +1

      @@lilianmakwati5228 hahahahahaa

    • @digitaltv3237
      @digitaltv3237 2 ปีที่แล้ว +1

      @@lilianmakwati5228 lkn saiv mchanganyiko ni mkubwa sana

    • @lilianmakwati5228
      @lilianmakwati5228 2 ปีที่แล้ว +1

      @@digitaltv3237 vipi tena?

  • @historizantv
    @historizantv ปีที่แล้ว

    Wimbo tafadhali naomba

  • @kassimomar8176
    @kassimomar8176 2 ปีที่แล้ว

    Barabara yenyewe hio lkn gari zinaendeshwa kama nn

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 11 หลายเดือนก่อน

    Kuna siku nusra apo dereva atupeleke mabondeni kuchuma karafuu,

  • @salimsaleh9354
    @salimsaleh9354 2 ปีที่แล้ว +4

    kijani kizuri ardhi yenye rutba

  • @salimsaleh9354
    @salimsaleh9354 2 ปีที่แล้ว +4

    pemba nkwetu

    • @digitaltv3237
      @digitaltv3237 2 ปีที่แล้ว +1

      Pemba kubwa

    • @salimsaleh9354
      @salimsaleh9354 2 ปีที่แล้ว +1

      mkoani

    • @aminaalmazrui9785
      @aminaalmazrui9785 2 ปีที่แล้ว +2

      @@salimsaleh9354 mkoani nimekaa sana na kusoma ila niliondoka 2015 nimesoma pale uweleni secondary school nimepamiss kwelii kwelii

    • @salimsaleh9354
      @salimsaleh9354 2 ปีที่แล้ว +1

      @@aminaalmazrui9785 hongera

    • @aminaalmazrui9785
      @aminaalmazrui9785 2 ปีที่แล้ว +1

      @@salimsaleh9354 shukran sana

  • @mbingwaali7791
    @mbingwaali7791 ปีที่แล้ว

    Kwetu kuzuri