Routine ya trader | kufaidika kwenye lossing trades | extra time Vs extra focus

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 35

  • @riccrizy1017
    @riccrizy1017 6 หลายเดือนก่อน +2

    The extra time vs extra focus point of view is thoughtful

  • @charlesbwasese8102
    @charlesbwasese8102 6 หลายเดือนก่อน +2

    Interesting🙏🙏🙏 I really appreciate y'all🎉🎉🎉

  • @RayollaKenneth
    @RayollaKenneth 6 หลายเดือนก่อน +3

    👏👏👏 Good job as always

  • @lusebrown556
    @lusebrown556 6 หลายเดือนก่อน +4

    Brother Michael kwenye section ya routine umeelezea kwa mifano mizuri sana.
    Huo mfano wa duka umefaa sana hapo.
    Lakini pia brother Amri umeelezea vizuri sana kwenye ku-capitalize kwenye zile trades ambazo zinaenda upande wako for a few pips alafu zinageuka against you na kwenda mpaka sl. Inabidi usiruhusu kutoka mikono mitupu kweny hizi trades. Au angalau utoke na BE lakini usiruhusu loss.
    MAKINI SANA BROTHERS🔥

  • @RasulSaphiel
    @RasulSaphiel 6 หลายเดือนก่อน +2

    Moja ya video nzuri, upande wa physchology

  • @ZUKRASELEMANI
    @ZUKRASELEMANI 6 หลายเดือนก่อน +3

    For me ili kuepuka matatzo ya saikoloji huwa narisk 0.5 mpaka 1% ila huwa natrade pair chache sana ni only EU na GU...kwangu namin trading ni ngumu hvy ni jukumu langu kuifanya isizid kuwa ngumu..kw siku nikipoteza 1% naacha kutrade..na na aim only 1:3RRr..kwa mwez mzima I need only 1:12RRR total with risk 0.5..now nipo funded na FP..always I believe less is more...there is more in less

  • @MichaelMbeche
    @MichaelMbeche 4 หลายเดือนก่อน

    First match to watch, i have learned alot broo this is much interesting

  • @hndrxxcash
    @hndrxxcash 6 หลายเดือนก่อน +1

    11:08 The real experience in trading is in execution

  • @abdallahmgude5331
    @abdallahmgude5331 4 หลายเดือนก่อน

    Much interesting stuff 🔥🔥 psychology issue ni muhim na n tatzo kwa Traders weng through this and other videos binafsi my psychology is getting better and better everyday Be blessed brother

  • @NME..-bl6zs
    @NME..-bl6zs 6 หลายเดือนก่อน +1

    Knowledge 🔥🔥

  • @DramourkatoMustafa
    @DramourkatoMustafa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana mkwizu❤

  • @CapitalTrading-u1k
    @CapitalTrading-u1k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Siopoa kaka daah

  • @mathiasmsami-v6k
    @mathiasmsami-v6k 4 หลายเดือนก่อน

    @intelligence fx this community mnafundisha great risk management program ever

  • @CheleoIFX
    @CheleoIFX 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unyamaaa🔥🔥

  • @poohwashington2752
    @poohwashington2752 4 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kumaintain Emotion ,na kutake risk ambayo hata nikiipoteza ambayo itaendana na akaunti yangu na ambayo hata nikipoteza bas haitaniumiza na kuendelea kusubiri next settup itakayoweza kwenda upande wangu

  • @christalized
    @christalized 4 หลายเดือนก่อน

    Risk management, psychological and account management key cycled thing spoken of here
    Pia mfano ya kaka Micheal wa routine wa Daily routine to observe to come to have the over edge. Overtrading vs missing trades and finding the balance
    Also Bro Amri alivyoongelea kuhusu risk management, pyschology workshop and how prop firms are different from personal accounts due to goals being set, setting break evens and partials varieties
    Thanks a lot Brothers!

  • @kafuurismail5577
    @kafuurismail5577 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii elimu ni dhahabu 🔑

  • @BlessedInnocent03
    @BlessedInnocent03 4 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kuw na target katika trading hii itanisaidia kujua na gain kiasi gan na nna loose kiasi gan it's not about winning every trade but kuw na ratio nzuri ya ku win na k- loose yaan kuw na good trend of performance in trading (consistency).

  • @Respecthumanworld
    @Respecthumanworld 4 หลายเดือนก่อน

    NIMEJIFUNZA MENGI KUPITIA TEAM HII , SMART MINDSETS , KUFANYA VITU KWA USAHIHI KATIKA TRADING NA HATA KWENYE MAISHA YA KAWAIDA ,iM❌POSIBLE✅ , EWE MWENYEZI MUNGU WEWE NDIE MPANGAJI WA YOTE KWETU SISI WAJA WAKO KAMA NI RIZKI YANGU BASI NITAKUA MMOJA WAPO NDANI YA TEAM HII INSHALLAH 🙏🏼🙏🏼

  • @geofreyandrew8633
    @geofreyandrew8633 6 หลายเดือนก่อน +1

    Fire

  • @DeuteriumMusa
    @DeuteriumMusa 6 หลายเดือนก่อน +1

    💯

  • @florakambo5748
    @florakambo5748 4 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🙏

  • @yusuphkibomola8492
    @yusuphkibomola8492 6 หลายเดือนก่อน +1

    Any recommendation of a good propfirm

    • @Bwixe
      @Bwixe 5 หลายเดือนก่อน

      Ftmo

    • @sagespeak371
      @sagespeak371 4 หลายเดือนก่อน

      FundingPips

  • @johnmkondola
    @johnmkondola 6 หลายเดือนก่อน +1

    First man to watch

  • @ummu-kulthumsuleiman9346
    @ummu-kulthumsuleiman9346 4 หลายเดือนก่อน

    Psychology workshop hii imenifundisha sana kuhusu nguvu ya akili katika Forex trading. Nimegundua kwamba mafanikio hayawezi kupatikana kwa kuwa na mikakati mizuri pekee, bali pia kwa kudhibiti hisia zangu na kufanya maamuzi ya utulivu. Jambo muhimu nililojifunza ni jinsi ya kujua wakati sahihi wa kuingia na kutoka kwenye trade bila kuruhusu hofu au tamaa kuniongoza. Uelewa huu umenisaidia sana kuona jinsi ya kuwa na nidhamu ya kifikra, ambayo itaniwezesha kuwa trader anayefanya maamuzi ya faida kwa muda mrefu. Asante kwa kunipa mwanga huu wa jinsi ya kufanikisha malengo yangu ya kuwa profitable trader kupitia mbinu bora za kisaikolojia. 😊

    • @alakhy9448
      @alakhy9448 4 หลายเดือนก่อน

      Ummul kulthum nimependa sana kwaba nawe unajihusisha na trading,hongera sana

  • @Kingclv1
    @Kingclv1 4 หลายเดือนก่อน

    If only we could have the said discipline, most of life aspects including TRADING ( there is a reason great minds back in history saw the importanceof #laws and rules, #constitutions etc )..... we would be successful....#focus, #determination, #resilience

  • @japhetalphonce8286
    @japhetalphonce8286 4 หลายเดือนก่อน

    Extra Focus dhid ya extra time, hii psychology ni kubwa sana bro, nawish niwe kwenye hii team, nahtaji extra Focus kabisa bro, hata ukiachana na forex trading hii psychology ni kubwa sana

  • @shamaub
    @shamaub 5 หลายเดือนก่อน +1

    Trading Haina Siri yeyote Bali tamaa zetu ndo tunsifanya kuwa ngumu hata kwa Hali halisi sehemu unayoishi unakuta matajiri ni wachache kuliko masikini .

    • @alakhy9448
      @alakhy9448 4 หลายเดือนก่อน

      Nimegundua ukitrade kidogo ndio una uwezo mzuri sana.
      The less trade you take,the more profitable you become

  • @johnmkondola
    @johnmkondola 6 หลายเดือนก่อน +1

    First one to comment here

  • @DeuteriumMusa
    @DeuteriumMusa 6 หลายเดือนก่อน +1

    ,💯

  • @DeuteriumMusa
    @DeuteriumMusa 6 หลายเดือนก่อน +1

    💯