Huwezi kuchoma account kwenye forex trading baada ya kuangalia hii video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 48

  • @Mr.shaban_I5
    @Mr.shaban_I5 6 หลายเดือนก่อน +10

    Actually this is mental and psychological game ,husiache kazi kwa kutegemea FX my, dears kinacho waumiza traders wengi ni ku-open more trades, use big lot size ,na mwisho ni kuhold loss Kwa muda mlefu ukiacha haya mambo " hayo mengine yanayosemwa ni noise tu. Fuata nilocho kuambia utaja nishukuru ✍️📚

    • @dogoshine3741
      @dogoshine3741 6 หลายเดือนก่อน

      Daaah kwei naeza nikapata namba jako kaka

    • @dahero160
      @dahero160 6 หลายเดือนก่อน

      Sema ndugu yngu ku hold loss kma umtumia lots size ndgo na huwenda ulkuwa sahihi but uliwahi kuingia tu kwnye market ikaenda kwnye loss ukiwa n mtaji mkubwa inaweza kusaida sababu market inatbia yakufta oderblock na kurudi kufta oderblock isiyo guswa kwhyo inaweza ili usilale n loss ila sio kitu kzri sabbu inaweza kuta oderblock ipo mbali kwhyo Utalia n muhmu kuwa makni

    • @TheDreamChaserz.
      @TheDreamChaserz. 5 หลายเดือนก่อน

      Hii kitu me ndo tabia yangu

    • @doyenboi
      @doyenboi 4 หลายเดือนก่อน

      Acha kazi komaa... Hao wote wanaofundisha hawana kazi ila ww mwenye kaz umekuja kuangalia 😂

    • @JamesKules
      @JamesKules 4 หลายเดือนก่อน

      Kabsaa​@@dahero160

  • @simutengene4730
    @simutengene4730 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ipo siku nitakuwa ndani ya hii community Mungu aniongoze

  • @roysaxon4870
    @roysaxon4870 6 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you guys I get something, ❤❤❤

  • @trading-bizn
    @trading-bizn 6 หลายเดือนก่อน +3

    Awesome video, In trading it is not so easy especially when you're starting. this is why
    -it is best to get a mentor if you don't know where to start from, this would help shape your perpestive
    -if you think you can do it alone, then go ahead. but be sure to have someone you can meet to help when you run into a problem you can't understand
    Trading is a journey and over time it pays for a lifetime

  • @BlessedInnocent03
    @BlessedInnocent03 4 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza kuw sio vzuri sana kujipa category for example swing or a day trader but as a trader natakiwa kuangalia opportunity ambayo ipo sokoni na kuichukua nikizingatia all timeframes from highest timeframes to lowest ili kuona several opportunities in market hii n nzuri pia hta kuw trader mzuri kila siku coz nakuw na deal na portion kubwa ya market kuliko kuliko kuji categorize kweny kitu kimoja.. 🔥🔥

  • @AlexBahati-r7s
    @AlexBahati-r7s 6 หลายเดือนก่อน +1

    thanks broo i got something.......

  • @christalized
    @christalized 4 หลายเดือนก่อน

    The mentors are committed and their insight is valuable
    Thank you Brother for the realistic view ya kweli ya trading and the keys for your successful journey so far
    Much respect

  • @ellymtz9687
    @ellymtz9687 3 หลายเดือนก่อน

    Truth revealed 💪💪

  • @JamilaIsmail-jf8zi
    @JamilaIsmail-jf8zi 4 หลายเดือนก่อน

    Useful informations as alwayz.. bando langu huwa haliendi bure nikiangalia videoz zenu

  • @mathiasmsami-v6k
    @mathiasmsami-v6k 4 หลายเดือนก่อน

    Really in life if you find someone smarter than you don't compete with them just come closer to them and share ideas pia suala la journalling ni suala la msingi sana katika evaluation ya maendeleo ya market

  • @lucasbm065
    @lucasbm065 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hizii video ty znakubadilii mindset kabisaaa how mtu ukiwa inside😋😋

  • @mikelyoba4504
    @mikelyoba4504 6 หลายเดือนก่อน

    nice meeting with fantastic presentation IFX 🔥🔥🔥

  • @BenedictMugina-m5b
    @BenedictMugina-m5b 9 วันที่ผ่านมา

    ⚡️⚡️⚡️

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwamba kujieleza ni changamoto kdg

  • @charlesbwasese8102
    @charlesbwasese8102 6 หลายเดือนก่อน

    I really appreciate you

  • @hassankasimu9255
    @hassankasimu9255 19 วันที่ผ่านมา

    I wish to be part of the community

  • @godlovekalongoti
    @godlovekalongoti 6 หลายเดือนก่อน +1

    thanks a lot🙏🙏

  • @naftalygodfrey8153
    @naftalygodfrey8153 6 หลายเดือนก่อน

    Its a very wonderfull mind shift conversation, trading is either mental growth or mental disaster to you depend on the first exposure and what trading bring to you, in either pain experience that does'nt mean people can not change or being profitable later, your events is the brain wash to a new knights in this endevor, which some of us we didnt have a person to tell us what is reality of the game.

  • @masoudmosses5340
    @masoudmosses5340 2 หลายเดือนก่อน

    Thanks amry

  • @RayollaKenneth
    @RayollaKenneth 4 หลายเดือนก่อน

    Our journey are very different but with the right self-belief and confidence we can always sail through whatever obstacles comes our way and having the right community puts you a step ahead towards success

  • @GeofreyVincent-q2u
    @GeofreyVincent-q2u 4 หลายเดือนก่อน

    big advice

  • @johnjackson-ke5my
    @johnjackson-ke5my 6 หลายเดือนก่อน

    Perfect materials 🎉

  • @samwelmmanga9180
    @samwelmmanga9180 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @jamalmsangi.m.d.7142
    @jamalmsangi.m.d.7142 6 หลายเดือนก่อน

    Well narrated💪🏾

  • @pato2535
    @pato2535 6 หลายเดือนก่อน

    thank you for the clarification braza

  • @johnmkondola
    @johnmkondola 6 หลายเดือนก่อน

    💥💥💥💥🙏 thanks you for information

  • @Yokiyoaki
    @Yokiyoaki 6 หลายเดือนก่อน

    Nice video

  • @janethruhomwa767
    @janethruhomwa767 6 หลายเดือนก่อน

    kaz nzr kaka

  • @ShalomPaul-b5y
    @ShalomPaul-b5y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kuuliza session ndo nini

  • @Mizzlekingfx
    @Mizzlekingfx 6 หลายเดือนก่อน

    💯💯

  • @S.A_thebeatmaker877
    @S.A_thebeatmaker877 6 หลายเดือนก่อน

    Ninaweza nikajiunga na nyinyi kaka
    Mimi ni forex trader pia

  • @aishahabib2837
    @aishahabib2837 6 หลายเดือนก่อน +2

    kama kuna watu tunatamani ila hatuna mpunga wa kujifunzia tujadili apa

    • @gibbs1320
      @gibbs1320 6 หลายเดือนก่อน

      Unataka kujifunza wewe aisha ?!

  • @NICKSONNELSON-ij3qv
    @NICKSONNELSON-ij3qv 6 หลายเดือนก่อน +1

    ombi langu , kaka amri uwa mna ongelea , backtracking, journaling , getting the winning rate of your strategy kuna watu atuwez kufanya specifically icho kitu , one day record video namna yq kufanya back testing professionally

    • @Bwixe
      @Bwixe 5 หลายเดือนก่อน

      Katafute mahali utaweza hifadhi trades zote umewah fanya. Usijiongopee, andika jinsi ulvyoingia, toka, hasara na faida. Zikifika 100. Umefika mbali sana. 🙏

  • @beastforever734
    @beastforever734 6 หลายเดือนก่อน

    Uje kwa laki ndani ya mwiezi nne unaweza kuingiza shilingi ngapi?

  • @wapwatopgun
    @wapwatopgun 6 หลายเดือนก่อน +1

    Oi hapo mwishoni kuhusu Mirror mshakaji kaua kinoma...one of the reasons I would never leave trading ni kuwa inanifanya kuwa mtu bora everyday na inanihitaji kuwa at my peak performance

  • @MussaSilla-v6w
    @MussaSilla-v6w 4 หลายเดือนก่อน

    UNLOCK🧨

  • @sirbussongo4490
    @sirbussongo4490 6 หลายเดือนก่อน

    Vingereza vingi