- 108
- 693 889
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 26 ก.ย. 2019
Suala La Mwanamke Kusafiri Bila Ya Mahrim - Dr Islam Muhammad Salim
Suala La Mwanamke Kusafiri Bila Ya Mahrim - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง: 1 761
วีดีโอ
Kosa La Wanaoenda Hajj/Umrah Bila Pesa Za Matumizi - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 446ปีที่แล้ว
Kosa La Wanaoenda Hajj/Umrah Bila Pesa Za Matumizi - Dr Islam Muhammad Salim
Kosa La Baadhi Ya Waislamu Wanaofanya Hajj/Umrah Kwa Ajili Ya Kuonekaniwa - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 616ปีที่แล้ว
Kosa La Baadhi Ya Waislamu Wanaofanya Hajj/Umrah Kwa Ajili Ya Kuonekaniwa - Dr Islam Muhammad Salim
Fitnah Ya Baadhi Ya Wanawake Kwa Waume Zao - Dr. Islam Muhammad
มุมมอง 2.3Kปีที่แล้ว
Fitnah Ya Baadhi Ya Wanawake Kwa Waume Zao - Dr. Islam Muhammad
Jambo La Kuzingatia Kwa Waislamu Kuhusiana Na Yanayoendelea Palestine - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
Jambo La Kuzingatia Kwa Waislamu Kuhusiana Na Yanayoendelea Palestine - Dr Islam Muhammad Salim
Uwajibu Kwa Mke Kumtii` Mume Wake Kwa Analomuamrisha - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 4Kปีที่แล้ว
Uwajibu Kwa Mke Kumtii` Mume Wake Kwa Analomuamrisha - Dr Islam Muhammad Salim
Uzito Wa Haqqi Ya Mume Katika Sheria - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
Uzito Wa Haqqi Ya Mume Katika Sheria - Dr Islam Muhammad Salim
Ujinga Na Upotofu Wa Wanaodai Wao Ni Watu Wa Qur`ani Pekee { Quraniyoon } - Dr. Islam Muhammad Salim
มุมมอง 825ปีที่แล้ว
Ujinga Na Upotofu Wa Wanaodai Wao Ni Watu Wa Qur`ani Pekee { Quraniyoon } - Dr. Islam Muhammad Salim
Sifa Za Mke Mwema - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
Video Hii Imetolewa Kutoka Kwa Darsa Ya 183 Ya Riyaadh-us-Saalihin. Pata Darsa Kamili Kwenye Link Ifuatayo : th-cam.com/video/F6Aksz_-UUw/w-d-xo.html&pp=ygUXZHIgaXNsYW0gbXVoYW1tYWQgc2FsaW0=
Mapendekezo Kwa Vijana Wanaoelekea Katika Ndoa - Dr. Islam Muhammad Salim
มุมมอง 2Kปีที่แล้ว
Video Hii Imetolewa Kutoka Kwa Darsa Ya 183 Ya Riyaadh-us-Saalihin. Pata Darsa Kamili Kwenye Link Ifuatayo : th-cam.com/video/F6Aksz_-UUw/w-d-xo.html&pp=ygUXZHIgaXNsYW0gbXVoYW1tYWQgc2FsaW0=
Uchafu Ulioanza Kusomeshwa Kwenye Mashule Yetu { Tahadhari Kwa Wazazi } - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
Uchafu Ulioanza Kusomeshwa Kwenye Mashule Yetu { Tahadhari Kwa Wazazi } - Dr Islam Muhammad Salim
Namna Uislamu Ulivomtukuza Mwanamke - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 1.4Kปีที่แล้ว
Namna Uislamu Ulivomtukuza Mwanamke - Dr Islam Muhammad Salim
Nasaha Kwa Wazazi Juu Ya Kuwalea Watoto Wao Na Imaan Ya Akhirah - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
Video Hii Imetolewa Kutoka Kwa Darsa Ya 179 Ya Riyaadh-us-Saalihin. Pata Darsa Kamili Kwenye Link Ifuatayo : th-cam.com/video/acbwY7uNfMc/w-d-xo.html
Ni Lipi La Kufanya Kwa Mwenye Kutamani Watoto - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 7K2 ปีที่แล้ว
Ni Lipi La Kufanya Kwa Mwenye Kutamani Watoto - Dr Islam Muhammad Salim
Aina Ya Tiba Ya Ajabu iliokosa Kufahamika Na Madaktari Wengi - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 10K2 ปีที่แล้ว
Aina Ya Tiba Ya Ajabu iliokosa Kufahamika Na Madaktari Wengi - Dr Islam Muhammad Salim
Sifa Ya Unyenyekevu Waliokua Nayo Mitume Wa Allah - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 4.1K2 ปีที่แล้ว
Sifa Ya Unyenyekevu Waliokua Nayo Mitume Wa Allah - Dr Islam Muhammad Salim
Sifa Mbaya Ya Kuropokwa Kwa Baadhi Ya Wanaume - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 5K2 ปีที่แล้ว
Sifa Mbaya Ya Kuropokwa Kwa Baadhi Ya Wanaume - Dr Islam Muhammad Salim
Mfumo Wa Wema Waliotangulia Katika Kuisoma, Kuizingatia Na Kuitafsiri Qur`an - Dr Islam Muhammad
มุมมอง 3.6K2 ปีที่แล้ว
Mfumo Wa Wema Waliotangulia Katika Kuisoma, Kuizingatia Na Kuitafsiri Qur`an - Dr Islam Muhammad
Kumtia Ila Na Dosari Muislamu Mwenzako Kwa Madai Ya Kumnasihi - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
Kumtia Ila Na Dosari Muislamu Mwenzako Kwa Madai Ya Kumnasihi - Dr Islam Muhammad Salim
Miongoni Mwa Fadhla Ya Kuhudhuria Vikao Vya Elimu - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 2K3 ปีที่แล้ว
Miongoni Mwa Fadhla Ya Kuhudhuria Vikao Vya Elimu - Dr Islam Muhammad Salim
Himizo La Kushirikiana Katika Kutefuta Ilimu Ya Kisheria - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 1.5K3 ปีที่แล้ว
Himizo La Kushirikiana Katika Kutefuta Ilimu Ya Kisheria - Dr Islam Muhammad Salim
Uharamu Wa Ulaji Marungi - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 4K3 ปีที่แล้ว
Uharamu Wa Ulaji Marungi - Dr Islam Muhammad Salim
Miongoni Mwa Athari Ya Mtu Kuiga Kipofu Ni Kutoweza Kuiona Haqqi - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 1.7K3 ปีที่แล้ว
Miongoni Mwa Athari Ya Mtu Kuiga Kipofu Ni Kutoweza Kuiona Haqqi - Dr Islam Muhammad Salim
Haqqi Hua Ni Uchungu Kwa Watu Wa Bid`aa - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 2.6K3 ปีที่แล้ว
Haqqi Hua Ni Uchungu Kwa Watu Wa Bid`aa - Dr Islam Muhammad Salim
Ujasiri Wa Baadhi Ya Watu Kuzuia Waislamu Kuenda Katika Sehemu Za Kheri - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 1.7K3 ปีที่แล้ว
Ujasiri Wa Baadhi Ya Watu Kuzuia Waislamu Kuenda Katika Sehemu Za Kheri - Dr Islam Muhammad Salim
Malipo Ya Mwenye Kufundisha Mtu Jambo La Kheri - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 1.3K3 ปีที่แล้ว
Malipo Ya Mwenye Kufundisha Mtu Jambo La Kheri - Dr Islam Muhammad Salim
Kupendwa Na Allah Na Mtume Wake - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 2.7K3 ปีที่แล้ว
Kupendwa Na Allah Na Mtume Wake - Dr Islam Muhammad Salim
Malipo Ya Wenye Kujulisha Watu Mambo Ya Kheri - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 1.1K3 ปีที่แล้ว
Malipo Ya Wenye Kujulisha Watu Mambo Ya Kheri - Dr Islam Muhammad Salim
Haya Ndio Yaliokua Yakiwaliza Maswahaba - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 2.7K3 ปีที่แล้ว
Haya Ndio Yaliokua Yakiwaliza Maswahaba - Dr Islam Muhammad Salim
Kusahihisha Kosa La Kumuita Kila Anaepinga Bid`aa Kuwa Ni Wahabi - Dr Islam Muhammad Salim
มุมมอง 4K3 ปีที่แล้ว
Kusahihisha Kosa La Kumuita Kila Anaepinga Bid`aa Kuwa Ni Wahabi - Dr Islam Muhammad Salim
Allah Akuhifadh sheikh wetu 🙏
Shukran sheikh namuomba Allah na ss atuajalie tuwe wenye kujitahidi kuamka usiku na kufanya ibada
Subhana Allah
Assalam aleykum sheikh naomba namba yako
maulidi si miongoni mwa sheria za dini wewe ulo comenty ebu elewa mada.
Masha Allah tabarallah
Shukran sana
Jazakallahu khairan ya dr. Salim Ahmad
Alhamdulillah ♥️
Allah atukutanishe peponi pamoja sheikh langu... amin
Mashaallah
ALLAH AKBAR ❤❤❤❤
Mashaallah na mm pia namkubali
Allah nijalie mwisho mwema
Mie nakupenda sana duktuur islam baaarakallah fiik
Mashaalah
Waumepia fitna ukinyanyuka kuswali usiku akwambia lalabana
Jazaakallahu Khair duktuur islam
MASHA ALLAH ALLAH BAREEK
Shekhe hiyo haiwi ya mwexi mmoja. Tumia logic tu itakwambia kuwa kauli ya mwezi ni mmoja haiwezekani kabisa. Shekhe kulikuwa hakuna mzozo wowote mpaka hivi juzi tu Wahabi kuleta mwezi ni mmoja tu. Ya mwezi mmoja duniani kote suo kauli sahihi kabisa
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR
MashaAllah
InshaAllah naanza swala ya usiku
Naam shehe wangu nakubali
Assalaam alaykumu warahmatu llahi wabarakaatuh ndugu,,,,,pole na majukumu mengi ndugu,,,, siku izi sipati darsa za sheikh Dr Islam Mohammad,,,,, kuna shida gani?? Au baada ya ramadhaan hajafanya darsa ??
Mashalla 💕❤️💕
😢
❤❤ tunakupenda ductur islamu Allah akuhifadhi kulingania watu katika kwa dawa ya ahlsuna manhaji ya salafi wa kweli so allah atakulipa na akuepushe na hasadi za watu wabaya na hasadi za genge la chama cha kijadida kinachodai usalafi na kazi yao kuwatoa wanazuoni na walinganizi wa kweli kama nyie, mnaotufundisha dawa nzuri ya mtume. Siku zote mkia autikisi ng'ombe ila ngombe hutikisa mkia, uendelee kuwastahimil majahil kama hawoo na ndo mitihani ya dawa ya kweli.
Hujui
Assalamualaikum warahmtullah wabaraqthu ustadhi Islam Muhammad Kwa kweli maudhui yako TabarakaAllah fii na visa na mifano Huwa ya hai yaani live kabisa nimetazama hichi kisa nanika google nikasoma kiurefu basi nichakutisha kusikitisha na Cha kweli kabisa huyu Muhammad Farhan alikuwa gwiji wa wachawi Kwa takriban nika 30+ utadhani ni tamthilia au sinema ila niukwe mtupu alipokuwa Saud Arabia ndio aliwika kweli nakutamba lakin kumtumikia sheitan lakin Huwa kuna mwisho... swadakta ustadhi Allah azidi kukujaaliya Elmu na akujaaliye kheir
Huyu shekh ana hekma
اللهم احفظك من الحاسدين ومن عدوك من الدين وامور الدنيا . اللهم تقبل منك في الدنيا والاخره واجعل اعمالك الصالحه في ميزان حسناتك بارك الله لكم جميعا وحفظكم الله
Maashallah shekh umenena jambo Allah akubarik umeonesha njia ya kuondosha mtafaruk
Naam
MashaAllah Allah atujaalie
Mashaallah shukuran sana shekh
masufi wanaumia saaaaaana shkh eliminate unafraid kuwa mufti
maashaallaah shekh unafraid kuwa mufti
Nmekuja usiku wa leo kupata jawabu , nimemaliza kula daku muda si mrefu na kutia nia, Alhamdulillah
Maa shaa Allah
Mdaa sahihi wakuswal swala ya istikhara ni upi?
Sheikh una kiswahili fasaha kabisa sheikh allah akubarik sheikh mungu akupeleke janatu firdaus
❤ Masha'a Allah
Allah aniwezesh siku moja niwe mwanafunzi wako sheikh
Wallah nakupenda kwaajl ya allah sheikh wetu naomba Allah aniwezesh siku moja niwe mwanafunzi wako wallah
Uwongoo hakuna swahaba wa mtume aliekuwa anaitakidi kama Allah s.w yupo mbinguni ? Vipi iweje Allah awe mbunguni na wakati mbingu kaziumba yeye mwenyewe? Allah hahitajii sehemu kwa sababu sehemu yeye ndie muumba wa sehemu kwahiyo wewe iyoo itiqadi yako ni itiqadi ya kiyahudi ulionayo wewe hata wakristo ukiwauliza mungu yupo wapi atakwambia yupoo juu mbinguni ,hizi ni itiqadi potovu hazina ukweli ni uwongoo mtupu
hukutaja kwamba wakati wa Mtume saw Qur-aan tayari imekamilika. na Mtume saw hakuitisha quran ikusanywe! na hata Abubakar siddique RA alikataa kuileta pamoja kwani Mtume hakufanya hivyo. ! Omar farook RA ilimbidi kuja mara nyingi kumshawishi abubakar siddique. sasa unaona katika mwanga wa kuileta pamoja ilikuwa ni uvumbuzi mpya. lakini ambayo husaidia katika dini. ufahamu mkubwa hapa ni kwamba uzushi wowote ulio ndani ya vigezo vya sharia unakubalika. vigezo ni shariah na sunna.
Ustadh nina shida na ww naomba no.yako ya watsap,tafadhali ustadh
Mashallah
Assalaam alaykum warahmatulahi wabarakatuh nakupenda sheikh kwajili ya ALLAH