Ibn ‘Abbaas (رضي الله عنهما) amehadithia kwamba: Jibriyl (عليه السلام) alipokuwa na Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) alisikia sauti kutoka juu. Jibriyl (عليه السلام) akatazama juu akasema: “Huu mlango wa mbinguni umefunguliwa na haujapatapo kufunguliwa isipokuwa leo.” Malaika akateremka humo akasema: “Huyu Malaika ameteremka ardhini, hajapatapo kuteremka kamwe isipokuwa leo.” Akasalimia kisha akasema: “Pokea bishara ya nuru mbili ulizopewa ambazo hakuna Nabiy aliyepewa kabla yako; Ufunguo wa Kitabu (Al-Faatihah), na Aayah (mbili) za mwisho wa Suwratul-Baqarah. Hutosoma herufi humo ila utapewa barakah zake zilizomo.” [Muslim]
Ma sha allah sheikh wetu Allah akubariki na akuhifadhi Allah akujaalie umri mrefu wenye taqwa na baraka ndani ili waja wa Allah wanufaike na ilmu yako Allah akuruzuku pepo pamoja wazazi wako na familia yk na ss wengine amiin yaa rabb
Dunguwa musahafu sura baqara ina anzia upande wa kulia kwenda kusho Tizama aya za mwishoni ktk hiyo sura.kuanzia amana rasuri bima unzila...mpaka pale Anta maula fansulina ala lqaumi lqafirina
ALLAHUMMA SWALLI A'LAL MUSTWAFWA HABIBINA MUHAMMAD ALAYHI SSALAAM
Mashaallah , Tumswalieni mtume waislamu
QUR'AN TUKUFU ni zawadi Kubwa mno kwetu WANAADAMU ila wachache mno ndio waliowafikishwa KULITAMBUA hili.
😭😭Yaa ALLAH tujaalie kuwa miongoni mwao
Ameeen bro
Aamiyn
Allah Subhaanahu Wataala
Akulipe kheir nyingi hapa dunian na akhera
Masha Allah shekhe Muhammad nasor umenifunua kwa ndani kabisa kiimani"" Allah akuongoze ktk kheer duniani na kheraa
maashaallah kheri
Maa Shaa Allah, Allah akuzdshie na akueka uzidi kutupa faida ktk dini yetu,na Allah akulipe mizani ktk hasanat zako...amin Amin amin
Allah akuzidishie umri utupe elmu cc na watoto wetu.
aamin
Allahumma Swali Alaa Habibi Muhammad Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
May Allah give your parents jannah and bless all your family members
Ibn ‘Abbaas (رضي الله عنهما) amehadithia kwamba: Jibriyl (عليه السلام) alipokuwa na Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) alisikia sauti kutoka juu. Jibriyl (عليه السلام) akatazama juu akasema: “Huu mlango wa mbinguni umefunguliwa na haujapatapo kufunguliwa isipokuwa leo.” Malaika akateremka humo akasema: “Huyu Malaika ameteremka ardhini, hajapatapo kuteremka kamwe isipokuwa leo.” Akasalimia kisha akasema: “Pokea bishara ya nuru mbili ulizopewa ambazo hakuna Nabiy aliyepewa kabla yako; Ufunguo wa Kitabu (Al-Faatihah), na Aayah (mbili) za mwisho wa Suwratul-Baqarah. Hutosoma herufi humo ila utapewa barakah zake zilizomo.” [Muslim]
Jazaka llahu L kheir
Shukran akhy
Allah atupe baraka zake
Mash allah Shukran sana ahmed hujambo akhui
Masha Allah
Shukrani Aheme Albaity mungu akupe shifaa
Allah akujaalie afya yenye kheri tuzidi kunufaika katika mafundisho akupe umri wenye kheri tuzidi kunufaika.
Aamina inshaallah
SubhanaAllah.Allah atusamehe madhambi yetu
Mashaallah nakpenda san kwaajil ya llah na inshaallah akuongoze k atka kuyatend Yale yanayomridhia
Ma sha allah sheikh wetu
Allah akubariki na akuhifadhi
Allah akujaalie umri mrefu wenye taqwa na baraka ndani ili waja wa Allah wanufaike na ilmu yako
Allah akuruzuku pepo pamoja wazazi wako na familia yk na ss wengine amiin yaa rabb
Masha Allah inaeleweka vyema ata ww pia una nuru.
Huyu ndio aalim tunaojivunia kuwa nae Allah amhifaadhi
LA ILAHA ILLALAH MUHAMMADUN RASULAALLAH
Maa shaa Allah nampenda sheikh wetu Dr. ISLAM MUHAMMAD namkubali sana
Allah akulipe kwa kazi kubwa unayo ifanya
Subhana Allah ❤
Mashaallah allah akulipe kil la kheir na mwisho mwema .Ameen
Shukran wajazaka llahu heri inshallah
Alhamdulillah wakati wengine wakifedheheshana bado kuna wengine wanafaidisha watu
Maashaallah Allah akulipe Kheyr nyingi
Saana, maana mashekhe wa uongo na wa kweli wanajulikana na wanaonekana ndugu yangu
'Khamis Mkanga'
Mbona hayo majina no ya asili ktk familia yangu ww wa wapi?
Mashallah alhmdulliah tumepata faida kubwa. الله يحفظك
Mwenyeenzi mungu akujaalie kauli njema kila siku za maisha yako shukran kwa naswiha njema na nzuri
Mm nataka niulize suali naweza kuuliza hapa au
Barakkallahu fika🙏🙏🙏
mashalwah allhwa akupe umri mrefu wenye kher na wewe ishwalwah
Maashaallaah mungu akuzidishie elimu na baraka nyngi ktk kaz zako akuepushie nahadad na vijicho inshaallaah
❤
Mashallah Skh unaleta vizuri kabisa hadithi hizi. Allah akubarik. Aameen
MA SHA ALLAH ❤
Mashallah jazaka llahu khayra
Swadacta kweli malim allaah akupe umeimrefu Isha allaah
Shukran sheikh wetu
Allah akulipe duniani na akhera
Allah akuhifadhi Shekh watu
BAARAKA LLAHU FIYKA YAA SHEKH
Masha Allah Tabaraka Allah Yaa Sheikh alf shukran kwa kutupa ilmu Wa Jazaka Allah Kheir
SubhanaAllaah
Allah akupe kila ulotaka
Aslm alkm ww.... Masha Allah!!!! Allah akulinde, akupe furaha na afya njema. Jazakallah kheir 🙏
Man shaa Allah . Shukran sheikh
@@mosesthuram4853maa, sio man
Masha Allah Mwenye Mungu akupe kila la kheri.ktk elm jazaka Allahu Khayr.
Ma sha Allah! Sheikh jazakAllah kher barakaAllah fiqh..
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.shukran sana SHEKH wangu ALLAH akulipe kheri kutuweka karibu sana na mola wetu mlezi .
Jazakallahu Khair
Ma Sha Allah
Shkrn jazakaAllaah khayrn
Mashallllah mashalllah
Masha Allah sheikh Islam Mohammed proud of Munawarah and Tahdhib Muslim school Mwembe Tanganyika
Shukran kwa elmu yako umetufaidisha pakubwa sana.
Mashaalah jazakllah khair sheikh
Masha Allah allahibarik
Subhanallah Allah atupe wepesi ktk kheir
مشاء الله بارك الله فيك وجزاك الله خيرا
Maashaallah
Manshaallah shekhe ALLAH akupe kila ra kher🙏
Allah akuhifadhi akhiyl kareem
Sub han Allah. Jazaak Allahul kheir
Shekh ALLAH akulipe na akuzidishie kheri zake.
MaashaAllah jazaka Allah khair
Jazakallah khayran ustadha kwa mafundisho Haya yenye manufaa mengi
AmekoseA ni ustadh
Lakini umeelewa kama amekusudia ustadh
Shukran allahakuzidishiye ilmu
Jazzakallah khaira
Jazaakallahu khayr
Allhamdulillah kwa faida hii nitilie dua pia ww Allah aniondeshee dhiki
Jazak Allah khair mashaa Allah tabarakallah
Mashalla shukran sheikh
Mashaa Allah jaazakallah kheri
Mashaa Allah.
MashaALLAH Sheikh ni Khalid kutoka Kenya
Jazzaka Allah kheir
jazakallah kher
Mashaallah
shukran sheikh kwaelimu hii
Masha allah
جزك اللہ خير يا اخي الكريم محمد
Allahumma salli alaa rasul Muhammad waalihi wasallam
MASHAALLAH.
Jazakaallahu khairan inshaallah
MashaAllah ndio wazee wetu wapenda kutia fatha watu wote wakasoma suratul fatiha kisha ndio wakasoma Dua
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. Allah Atupe Taufiq Ya Rabb. Amiin Amiin Ya Rabbal Al Amiin
th-cam.com/video/0TtuuMjFvNo/w-d-xo.html
Aamina,insha Allah
Mashallah tabaraka allah
Jazak allah khyra
Shekh 2nakuelw Vzr
allah akupe umri mrefu shekh ww na familia yako
Aamina inshaallah
Shukran
Masha Allah Shukran Sheikh.
Mashallah Allha
Allha amjaalie
Maa Shaa Allah!
Manshaalah
JazakAllah kheir
MashaAllah
mashalwah
Mashllh
Assalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh ukisoma mwanzo pak mwisho kwazote nikosa Ya Sheikh ?
خيرا
MashaAllah tabarakallah.. shukran . naweza kupata namba yako sheikh.
Aslm Aleykum 🤲
ماشاءالله
جزاكم الله
Naomba kujua na kiswahili hiyo sura ya bakara juu Mimi Niko na Quran ya kiswahili sijui kiarabu vizuri sheikh
Mtafute huyu hanaga shida
Dunguwa musahafu sura baqara ina anzia upande wa kulia kwenda kusho
Tizama aya za mwishoni ktk hiyo sura.kuanzia amana rasuri bima unzila...mpaka pale Anta maula fansulina ala lqaumi lqafirina
Naam akh
Minimgeni katita uislam na musahafu wangu niwakiswahili
Dr Allah akulipe kheri ila tunaomba namba yako ya whtsp kwa ajili ya kukuuliza mas-ala yetu ya dini