Dr. Islam Muhammad || MAJIBU YA KIELIM JUU YA MANHAJ SALAFI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 166

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว +5

    MAASHAALLAH ALLAH akulinde DOCTOR YA SHEIKH

  • @NMJAHsaid
    @NMJAHsaid 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuhifadhi duktuur. Napenda sana umakini wako wa kuelewesha mambo na Allah azidi kukupa utulivu wa kueneza daawa.

  • @zuhuralukanga8614
    @zuhuralukanga8614 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhufadhi Shekhe uendelee kutuelisha

  • @zaburionlinetv6245
    @zaburionlinetv6245 2 ปีที่แล้ว +7

    ALLAH AMHIFADH SHEIKH, KAONGEA VYEMA

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว +3

    Ma sha allah
    Sheikh wetu
    Allah akubariki na akuhifadhi

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Ustaz Dr

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah.. Sheikh umefafanua vizuri kuwa mas'ala ya aqidah ndio ya kuyachunga zaidi lkn mas'ala amaliya ni mambo yanayo ruhusu ikhtilafu

  • @fatmaally7241
    @fatmaally7241 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi dr

  • @thulaniduku3218
    @thulaniduku3218 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukan sana Sheikh wetu
    Wambie masalafiya jadidah wajeelewe

  • @bilalimsafiri6166
    @bilalimsafiri6166 ปีที่แล้ว

    Allah akuhifadhi Doctor.

  • @kudrawanguvu5923
    @kudrawanguvu5923 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Shekh umeeleweka

  • @MohammedAlnabakhany
    @MohammedAlnabakhany ปีที่แล้ว

    MaashaAllah shekhe

  • @dktabdurahim3896
    @dktabdurahim3896 2 ปีที่แล้ว +1

    Alla akuhifadhi naitwa abu ahmad abdurahim bin suleiman for Zanzibar

  • @sudikisebengo8414
    @sudikisebengo8414 2 ปีที่แล้ว +4

    allah akuhifadhi mwenye akili ameelew bila ya uxhabiki

  • @bahashachembea6922
    @bahashachembea6922 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Raddi apigwe Ibn Uthaymin sio Mabrouk Dr. Islam

  • @yunus-or3ny
    @yunus-or3ny ปีที่แล้ว +2

    Wenye eelmu naakili hujibu kamahivi Maashallah

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 6 หลายเดือนก่อน

    Waleykum salam warahmatullah

  • @kudrawanguvu5923
    @kudrawanguvu5923 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah Subhana Wataalla atuongoze ktk kher nyingi

  • @suleiman5257
    @suleiman5257 2 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah jabal Hilo
    Simchezo wape ilmu
    Watu wa tz

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY 2 ปีที่แล้ว +3

    Maasha Allah Baarakallah
    Well explained.
    Ufafanuzi mzuuri saana. Na huu ndio UISLAMU

  • @husseinkumbiro8908
    @husseinkumbiro8908 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah.

  • @husseinkumbiro8908
    @husseinkumbiro8908 2 ปีที่แล้ว

    Allah akihifadhi ili uendelee kutufidisha.

  • @RidhwanHassan-u1x
    @RidhwanHassan-u1x ปีที่แล้ว

    Mtume Swalallahu alayhi wasalam kaomba dua waislamu wasije kuwa na khitilafu baina yao ila dua iyo ilikataliwa Allah ajua hikma kwaiyo mpaka kiama waislamu watakhitilafiana kiilmu

  • @BilalMkasi
    @BilalMkasi ปีที่แล้ว

    Allah akupenguvu kueneza haki

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 2 ปีที่แล้ว +4

    HII NDIO HAKI SASA SIO YULE BAROBARO WA PONGWE MVURUGAJI ALLAH AKUHIFADH DOCTOOR

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwa kweli shkh Qasim aliuliza maswali mpaka sasa hata moja halijajibiwa.

    • @hashimsaid5546
      @hashimsaid5546 2 ปีที่แล้ว

      @@مبغضالبدع-ع9ص mjibiwe wewe kisantili wake

    • @mustafajuma8016
      @mustafajuma8016 6 หลายเดือนก่อน

      Dah mtihani sana

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kweli n duktuue maana anavyo jibu swali mpka unaelewa kabla ya kumalizaaa

  • @mohamedramadhan5067
    @mohamedramadhan5067 12 วันที่ผ่านมา

    Mwenye pdf ya Dr islamu dhidi ya majawabu kwa raddi zidi yake

  • @husseinkumbiro8908
    @husseinkumbiro8908 2 ปีที่แล้ว +1

    Akupe umri mrefu.

    • @mubaarakamussa9567
      @mubaarakamussa9567 2 ปีที่แล้ว

      Maasha Allah,,, Aamin aaamin,,,,nimefaidika na sheikh,,, Allah amlinde na ampe wenye manufaa

  • @nairobiyouthleaks4549
    @nairobiyouthleaks4549 ปีที่แล้ว +1

    Katika comments naona hapa jahl imekithiri tusome ilm tusije tukazungumza bila ya udhibitisho

  • @kichachu6391
    @kichachu6391 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli mchungu ndio maana hizbu ssalafi wameumia Allah mrehumu Sheikh Ibnu Uthaimin kwa kutubainishia uhakika wa hawa watu

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hiyo yeye kuwatoa wengine halali!? Akitolewa yeye kwa haki amedhulumiwa!? Hhhhhhhhhhhhh muna mizani nzuri sanaa.... Allah akupe umri mrefu shkh mafuta umeweka wazi mpaka wanalia jamaa...

    • @kichachu6391
      @kichachu6391 2 ปีที่แล้ว

      @@مبغضالبدع-ع9ص قبل أن تحكم على أحد أنه سلفي أو ليس بسلفي لا بدا أولا أن تعرف حقيقة السلفية فكل من تنطبق عليه هذه الحقيقة فهو سلفي لأن الحكم على الشيء فرع عن تصوره
      فعرف لي السلفية ثم قل لي هل كل من تتهمونه بأنه ليس سلفيا مخالف لهذه الحقيقة أم لا

    • @saidali9379
      @saidali9379 2 ปีที่แล้ว

      @@مبغضالبدع-ع9ص wapi amemtowa mtu na ametafsiri maneno ya mwanachuoni? Tuacheni kufuata ushabiki hayo maneno yako wazi kabisa

    • @husseinabdul7948
      @husseinabdul7948 2 ปีที่แล้ว

      @@مبغضالبدع-ع9ص acheni din kuifanya mjuu mkawa mnachezea mnavyo taka wakati din ni amana tumekabidhiwa na kwa Allah azzawajala tutaenda ulizwa din sio ushabeki flan akisema kwa mujibu w kitabullah wasunatRasuri wye utaki mpaka aseme flan kwakua wampenda din haiko hvyo..

    • @abuubakarhuseni-hy8ii
      @abuubakarhuseni-hy8ii ปีที่แล้ว

      Hata afike miaka mia huyo jadidah kasimu mafuta azidi kupoteza watu

  • @fatmaaibrahim7687
    @fatmaaibrahim7687 2 ปีที่แล้ว +2

    Dr Islam Salim unangojewa na qassim mafuta kwasababu wewe ulisema Kuna storia kamali ya kuazia usalafi toa darsa uzungumzie tunakungojea

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 2 ปีที่แล้ว +1

    #Uthaimin anakubalika n wafalme na wafausi wa wafalme tu

    • @moussamohammad5073
      @moussamohammad5073 2 ปีที่แล้ว

      Sio kweli, Mche Allah. Uthaymin anakubika na kila aliyenusa rehe ya ilmu.

  • @athmanshire4768
    @athmanshire4768 2 ปีที่แล้ว

    Ndio kina mafuta na pote lake ndio wanakashif waliowakhalif lakini silingine Bali ni Hasad maana paka sahi bayaan iko wazi kuwa majadida ni ujahil ndio umewatawala katika nyoyo zao ,Allah awaongoze na atuongoze sote kwenye njia ya Hakki.

  • @مبغضالبدع-ع9ص
    @مبغضالبدع-ع9ص 2 ปีที่แล้ว

    Pengine duktuur angetupa mifano ya hawa majadida wanavyo pinga wenzao katika masuala ambayo sio ya itikadi, yani kama masuala ya kifiqhi, ikhwa ikiwa lipo itakua faida kubwa sana, sababu shkh hapa hakutaja hata moja, na sisi tunahitaji ili kuwajibu majadida hawa.

    • @hay3_8kal
      @hay3_8kal ปีที่แล้ว

      Ningependa ujiulize swali hili kama wataka kuona alichoongelea duktur ni kweli... Ni sheikh gani kati ya Hawa wanajiita masalafi ambaye amemkubali sheikh ama wanafanya daawah na sheikh ambaye anarekodi video??
      Nazungumzia huku kenya ama TZ
      Utaona wao wako na masheikh ambao wameelewana kifikra na wanakubaliana kimawazo... Wengine wote ambao hawakubaliani... Wamejitenga nao na shida kubwa ni kuwa wanawapiga vita wakiwaita hizbi ama mubtadi'
      Tafakari hayo

  • @ahmedrageahmedrage9134
    @ahmedrageahmedrage9134 2 ปีที่แล้ว +5

    Hizbyyy

  • @alahdaly1
    @alahdaly1 2 ปีที่แล้ว

    Dr Islam, anazungumzia ikhtilaaf ya wao kwa wao, baina ya wahabiyya. walotoka katika ahlu sunnah wal jamaa ni uwahabi, ndio walozua katika aqida, thulathiyya tauhiid, tajsiim, na takfir. sasa wamechoka na aqida yao wenyewe.

  • @alahdaly1
    @alahdaly1 2 ปีที่แล้ว +1

    hakuna wahabi aweza kuhadithia historia ya uwahabi, hakuna mtu akijua historia ya uwahabi atakubali uwahabi, bado hujasema ongea uwahabi uleanzaje na muanzilishi tarikhi yake ni ipi

  • @ounaogot
    @ounaogot 2 ปีที่แล้ว

    assalam aleikum, maneno ya busara lakini watasikiza

  • @selemanijafari9225
    @selemanijafari9225 10 หลายเดือนก่อน

    Basi salafi wapo sawa

  • @maryamalli9090
    @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh lslam umesema kweli kupitia ibn uthaymy alieelewa kaelewa alnaepunga ni hao waliofamya salafi ni chama

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 6 หลายเดือนก่อน

    Doctor Islam tatzo amekaa kisiasa sana hakuna majibu yaliyo Nyooka juu ya wale wanao watusi kina sheikh rabii al madkhali akiuliza anazuga na kukwepa kujibu,
    Manhaj salaf gani Iko hvyo, wanachuoni wanatukanwa na kuvunjiwa heshima yeye anawatetea wanao watukana na haweki wazi kuhusu msimamo wake juu ya wawanachuoni Hawa.
    Sijawah elewa Manhaj salaf anayo izungumzia siasa nyingiii.

  • @abdulkarimurassa3548
    @abdulkarimurassa3548 2 ปีที่แล้ว +2

    هههههه،
    Kaanzisha hiwari ya kielimu, tunasubiri muendelezo wa hiwari, tuko makini kufatilia, SIMBA KASHANGURUMA TANGA PONGWE, TUNASUBIRI MAJIBU KUTOKA KWA DUKTUUR.
    ila alhamdulillahi Dr Islam kadhihirisha aliyokuwa ameyaficha muda mrefu sana,

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe mjinga kisharopokwa Tena huko 😂

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 2 ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 ndugu hivi ni sawa kumwita shkh Mafuta mjinga? Haya kheri bwana mkubwa, ila na nyie msifanye hasira maana kajibiwa kielimu hata ni aibu huyu kuitwa duktuur.

    • @saidali9379
      @saidali9379 2 ปีที่แล้ว +1

      Mafuta akieshimu mashekhe wenziwe basi ataeshimika akidhalilisha wenziwe pia atadhalilika! Anajivuwa nguo mwenyewe!

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 ปีที่แล้ว

      @@saidali9379 mafuta hana elimu ya kukaa jukwaani kabisaaa. Angepangiwa watoto asomeshe Qur-an ni afazali kwake. Ati anasema Mtume saw kafariki mwez muandamo 12. Wakati mwaka huo kwa hesabu za falaki yaani miandamo ya mwezi tarehe hio inajitokeza siku ya ijumaa nne na ijumaa tano. Sasa Mtume saw kafariki ijumaa tatu haiendani na hio tarehe. Basi hata ingeendana basi pia huwezi kuhukumu nia za watu. Analazimisha iwe watu wanafurahia kifo wakati nia zao wameenda kwaajili ya mazazi. Mie nafkiri JUHA anayo chembe ya akili kuliko mafuta. Yaani kama elimu huna basi ata akili inaweza kukusaidia mara nyengine.

    • @husseinabdul7948
      @husseinabdul7948 2 ปีที่แล้ว

      Muogopeni Allah s.w.t nyinyi mwaifanya dini kama mchezo Allah s.w.t atufahamishe ktk ili akiamua nasi kutufanya vituko ashindwi

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 2 ปีที่แล้ว +1

    JEE NA WAPI MTUME SAW AMESEMA KUWA TUTENGENEZE DHEHEBU LINALOITWA SALAFY?????

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 ปีที่แล้ว

      YAANI WATU WANAGOMBANIANA USALAFY WALA HAIPO KATIKA SHERIA KUFUATA HILO KUNDI. NI KUNDI LIMETUNGWA JUZI NA SASA LIMEJAA MIFARAKANO. KAMA DINI NDIO INGEKUWA SALAFY BASI ISINGETUFIKA LEO, KUNDI HATA MIAKA 20 HAIJAFIKA KUJA ZANZIBAR NA AFRIKA NA SASA TAYARI IMEKUWA WAISLAMU HAMKANI, JEE INGEKUWA INAMIAKA ALAU MIA SI TUNGEKUWA WAISLAMU TUSHACHINJANA????.

    • @HakikaTvOnline
      @HakikaTvOnline 2 ปีที่แล้ว +1

      Nani kakwambia salafiy ni madhehebu

    • @HakikaTvOnline
      @HakikaTvOnline 2 ปีที่แล้ว

      Na ikiwa ni madhehebu bhas ni madhehebu ya haki

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 ปีที่แล้ว

      @@HakikaTvOnline SEMA NENO MOJA UELEWEKE. maana sms yako ya pili inapingana na ya mwanzo yake. Kwaio watu kama nyie ni kujipotezea mda tu kukujibu. Kwanza tafuta elimu, inaonyesha ujinga mwingi umekufanya ujipinge mwenyeo. Tuseme hivyo unavyotaka ya kuwa salafy ni dhehebu la haki. BADO SUALI LANGU HUKU JIBU.
      WAPI MTUME SAW AMESEMA TUFUATE DHEHEBU LA SALAFY?

    • @tariqsinga8440
      @tariqsinga8440 2 ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 wap Mtume alisema tujiite mashafiy,hambaly,hanafiy,sufiy, Tabligh,ibadhi,ikhwaniy,hizbu Tahrir,Ansar Sunna,Ashaaira,Sunni,Shia n.k?

  • @مبغضالبدع-ع9ص
    @مبغضالبدع-ع9ص 2 ปีที่แล้ว +9

    Naona kama bado doctor hujafungua vizuri, kama mimi sijaelewa haya mambo yameanza wapi na vipi? Pia wewe ni nani bado hapako wazi, na unawakusudia nani hao huku kwetu? Kama unatuchenga kiujanja ujanja habiib... tuwekee wazi, ingawa kaa tayari jamaa watakujibu tu.

    • @gweh3144
      @gweh3144 2 ปีที่แล้ว +5

      السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
      Sheikh amejibu hili swala kwa kuitumia jawabu ya mwanachuoni mkuu Sheikh Muhammad bin Uthaimeen. Ameeleweka wala hajatuchenga. Shida hapa ni kwamba munataka utajaji wa majina ya watu. Sheikh bin Uthaimeen hajataja majina mbona wamtaka sheikh Yislaam ataje majina maalumu? Hebu tuacheni fitnah za kuvunja swafu za ahlu-ssunah wal jamaa3ah.
      اللهم أرنا الحق حقا وارزقنا اتباعه وأرنا باطلا باطل وارزقنا اجتنابه

    • @SHECK177
      @SHECK177 2 ปีที่แล้ว

      @@gweh3144 shukran

    • @ado6505
      @ado6505 2 ปีที่แล้ว

      I have never seen a stupid comment like this. Illiterate people like you are the ones who will come here to comment baseless comments. Ikiwa mambo haya hujaelewa hadi sasa from this video(which I doubt if you watched this video to the end) then I’m sorry to say youa re still illiterate and ignorant. The relatives you are talking about , now you tell us who they are cause Dr. Islam has no specific group like those who claim to be “SALAFI” and the rest are like kuffaar. And let them Jibu I’m sure they have nothing in their brains. Let them google well.

    • @Team-t6k
      @Team-t6k 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha fujo na acha ushabiki katika uwislam alisema mwenyewe yoyote anayetaka swala la dini ao kuhusu kutuhumu watu na kuwatowa kwenye salafy kama dini zawa baba zenu basi alisema leta jambo linamfanya yeye ao kutuhumu ma sheikh wa sunna mumuite kisha muika chini mleta mda ya kielimu tena iyi sio page yake iko na page yake usiwi kasuku na kuropokwa pasina mpango .

    • @yotesawatu
      @yotesawatu 2 ปีที่แล้ว +1

      Kaka kama ujaelewA itabidi ukasomeshwe madrasa ama tukueleze kwakizungu ??

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 ปีที่แล้ว

    WEE MUONGO
    NI LINI MAWAHABI WAKAWA NA UMOJA ?LINI
    NA NYIE MKO MAPOTE KIBAO NA
    LIPI KATIKA MAPOTE YENU
    AMBALO NDIO SAHIHI?

  • @kichachu6391
    @kichachu6391 2 ปีที่แล้ว +1

    نشكر الدكتور بهذا التوضيح وأتمنى أن تكون الرسالة قد وصلت إلى الحزب السلفي المدخلي وإن كانوا يكرهون هذا الاسم لكن هذه هي حقيقتهم فهم لا يعادون من لم يتمسك بمنهج السلف بل من كان خارج حزبهم وجماعتهم فهم الحزبيون حقيقة لأن البراء والولاء عندهم مبنيان على الحزب لا على الكتاب والسنة
    أخيرا ينبغي تنظيف صفوف أهل السنة من سرطان المداخلة

    • @aliabdallah710
      @aliabdallah710 2 ปีที่แล้ว

      كفاك ما قاله أبو الفاضل قاسم مفوت عن هذا الحربي قح

    • @aliabdallah710
      @aliabdallah710 2 ปีที่แล้ว

      ما قلت شيء إلا تمتمة

    • @kichachu6391
      @kichachu6391 2 ปีที่แล้ว +1

      صحيح كفاني تجريح مافوتا أن الدكتور إسلام على الحق لأن مافوتا يجرح من خالف حزبه وجماعته فهو أكثر الناس تمسكا بالحزبية فالسلفي عنده من كان معه في حزبه

    • @aishathabit3732
      @aishathabit3732 2 ปีที่แล้ว

      @@kichachu6391 كلكم فى الوادى والدعوة الصحيحة فى الوادى
      فمافوتا و إسلام وكلكم عباد القصور
      دعوتم الله من عبادة الأصنام إلى عبادة الحكام ومن عبادة القبور إلى عبادة القصور

    • @kichachu6391
      @kichachu6391 2 ปีที่แล้ว

      @@aishathabit3732 أظن ما تدرين ما تقول فراجع أفكارك جيدا قبل أن تكتبي

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว

    😄😄😄😄mawahabi hii ndo dini yao miaka yao yote ya umri wao kazi yao ni kukosoana tu na kubishana hovyo kama wehu....

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukasuku tu sasa elimu yako wewe nini? Copy and paste?
    Masalafy nyoote mnakuwa kama mandondocha

    • @saidmadizi9152
      @saidmadizi9152 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwani ndugiangu ilimu c inachukuliwa kwa wanachuoni au kua unataka atoe akilini mwake

    • @moussamohammad5073
      @moussamohammad5073 2 ปีที่แล้ว

      @@saidmadizi9152 Mwambie mjinga huyo.

    • @fatmaally7241
      @fatmaally7241 ปีที่แล้ว

      Hujui kitu ndomana unasema hivo

  • @jumanneissa7118
    @jumanneissa7118 2 ปีที่แล้ว +4

    Wadanganye mahzib wenzio

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว +1

      Kama wewe

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwani huoni Kama sheikh lslam anatoa fatwa ya mwanachuoni mkubwa ubni uthaymy au huisikii sauti yake

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว +1

      Tena anakudanganya nini

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 ปีที่แล้ว

      Umepanick

    • @seifsaid9905
      @seifsaid9905 2 ปีที่แล้ว

      Chukiiiiiii tuu HUNA LOLOL teeeee

  • @jumanneissa7118
    @jumanneissa7118 2 ปีที่แล้ว

    Kilicho ulizwa na majibu tofauti

    • @selemanimartin1081
      @selemanimartin1081 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna doctor hapo

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว +4

      @@selemanimartin1081 hamuwezi kuelewa kwa sababu mmeshafanya usalafi ni chama na sio kumfuata mtume na mswahaba zake

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 ปีที่แล้ว +1

      @@selemanimartin1081 wewe ndio Doctor tufanye.umeshinda.

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 2 ปีที่แล้ว +1

      Haya jibu wewe mwanazuoni

    • @amourbadal3331
      @amourbadal3331 2 ปีที่แล้ว +1

      @@selemanimartin1081 acha ushabiki sikiliza haki

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo hata jitu la bida'a ni salafy

    • @mohassan1978
      @mohassan1978 ปีที่แล้ว +1

      Shk ahlu sunnah wal jamaah wote ni salafi. Hanafi maliki shafi hanbali wote ni salafi na kutofautiana ktk maduala ya fiqhi hakumtoi mtu kuwa si salafi. Hata asome maulidi na hitma hao bado ni salafi
      Iwapo kutakuwa na tofauti ya aqida yaani tawhid hapo unaweza kusema huyu sio salafi. Km kalimtu tawhid ipo tofauti hapo unaweza kusema huyo sio salafi
      Dni sio chama cha siasa wala timu ya mpura. Hivyo wale wanaoita wenzao makafiri au wanafiki ilhali wanatumia qurani na sunna wanakosea. Kazi ya kuhkumu ni ya Allah labda km mtu atapinga aqida ya kiislamu huyo tutasema ni kafiri. Allahu aalam

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +2

    Mi najuuliza hivi hawa watu wanao shtumu watu we si salafi huo usalafi wana umiliki wao!? Wana uakika wao ni masalafi!? HAKIM WA KWELI NI ALLAH tum achi yy sio kutwa fulani ame kosea wapi nimpige radi

  • @leonardmbonea429
    @leonardmbonea429 2 ปีที่แล้ว

    Hizbi wewe

    • @abdulshamte
      @abdulshamte ปีที่แล้ว +1

      Akhiy majibu aliyoyatoa ni ya Sheikh Utheimin sio yake, kama raddi apigwe Sheikh Utheimin. Je hayo aliyasema Sheikh sio ya Haki? Usifate mkumbo tu akhy

    • @leonardmbonea429
      @leonardmbonea429 ปีที่แล้ว

      Huyu ni hizbi tu na hakuna hizbi anayeelewa maneno ya mwanawachuoni makusudio ya ibn uthymiin sio hayo

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      @@leonardmbonea429 nyinyi mnataka kufanya usalafy kama kikundi chenu,atakacho sema shekhe wenu basi mnakichukja hicjo hicho, mjibuni sheikh uthaymee

    • @leonardmbonea429
      @leonardmbonea429 ปีที่แล้ว

      @@mkude shekh uthymiin hana kauli ya kutetea uhizbi alafu hamna salafi mjinga Kama usemavyo. Ukikosea dini salafi atakuambia, ukileta uhizbi salafi atakuambia na nyinyi hamtaki

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว

      @@leonardmbonea429 yaani wewe hata ueleweki hata kuandika hujui,nenda kasome dini wewe,acha kushabikia dini hii sio chama cha siasa au kikundi,hata alichoeleza Sheikh Uthymii ALLAH amlipe kila LA kheir naona hujaelewa kitu,basi wewe uelewa wako utakuwa na shida sanaaa. ALLAH akuongoze

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 2 ปีที่แล้ว +1

    Huna hoja hizib tu wewe umeshabainika mrengo wako na ndio mwisho wako

    • @arifali3942
      @arifali3942 2 ปีที่แล้ว +2

      Hapo uhizbi ni sheikh Uthaimin rahimahullah maan yy katowa fatwa ya sheikh Uthaimin rahimahullah acheni ushabiki katika dini Mahizbi ni hao waliona tabia alizozizungumza sheikh Uthaimin rahimahullah

    • @mashaurimvungi2232
      @mashaurimvungi2232 2 ปีที่แล้ว +1

      @@arifali3942 Wewe unionekana jambo umelijua juzi hiyo fatwa ya uthymin hamuielewi barhiyani alipokuja na kile kitabu chake cha udaku alijibiwa kuhusu hiyo fatwa ya uthymin na akaulizwa maswali 10 hajajibu na hatajibu mpaka anakufa huyu naye kaja kama hinyo yeye kajificha ficha sasa sikiliza majibu ya rudud yake kutoka kwa sheikh KASSIMU atajua nyie niakina nani sururiyu anataka HURUMA ya watu barahiyani atawauza muda si mrefu

    • @hemedahmed3094
      @hemedahmed3094 2 ปีที่แล้ว

      @@mashaurimvungi2232 fikra za mafuta ni mgando na wafuasi wake ni wajinga alaf hawajijui kuwa ni wajinga
      اذِل كَلب لَيُذِكَ اِلا نَبَحَهُ فَتُرُكُ اِلا يَوْمِ لقِيَت يَنبَهُ
      Mtabweka sana

    • @mansourhubby7398
      @mansourhubby7398 2 ปีที่แล้ว +2

      Chaka lenu limetiwa moto

    • @albassammusaalbassam7487
      @albassammusaalbassam7487 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mashaurimvungi2232 we chiz Baki na uchiz wako

  • @abuurauzwat1006
    @abuurauzwat1006 2 ปีที่แล้ว

    Mtu anaongea ujinga ety mijitu mengine inapongeza ety umeongea point acheni ujinga uwoo jishuhulisheni na kuisoma dini yenu mujuwe angalau nikina nani mahizbi.

    • @athumanmandwa764
      @athumanmandwa764 2 ปีที่แล้ว +4

      Ittaqillaaha akh Uislam si ushabiki

    • @أُمُّرواحة-ح4ق
      @أُمُّرواحة-ح4ق 2 ปีที่แล้ว +3

      هداك الله ikiwa maneno ya shekh uthaymiin ni ujinga je vip maneno yako wew ambayo yametawaliwa na ushabiki na ghuluu ndani yake

    • @seifsaid9905
      @seifsaid9905 2 ปีที่แล้ว +3

      Achan chkuiiiiiiiii

    • @saidhalfan3452
      @saidhalfan3452 2 ปีที่แล้ว +1

      Chuki iyo

    • @swalehmudhihir6612
      @swalehmudhihir6612 2 ปีที่แล้ว

      Sasa nani mjinga kati yako na hao???wewe bainisha wapi kwenye makosa katika hayo maneno yake tupate kuongoka