MKASI WA DR.MWINYI WAFIKA MPAKA MALINDI KWENYE MAEGSHO YA MAGARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 15

  • @MuniraAlly-d2i
    @MuniraAlly-d2i 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mm munira ali siyo siyemu ila kwa sasa mimi napenda sana minyi nimesema nipe kura zote zake tngane kusema ukweli rais wangu kimpenzi unajitahidi nakuombeya mungu akuzidichiye ❤❤❤❤

  • @KhalidMohd-n4q
    @KhalidMohd-n4q 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wanawake wengine wakipata kijikazi tu hta Mungu hawamjui tena kwa vivazi vyao

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np 21 วันที่ผ่านมา

    hhhhh nyieee naombea laisi wetu mmeskia lakin 😂😂😂

    • @alisuleiman2917
      @alisuleiman2917 20 วันที่ผ่านมา

      Sio Laisi ni Raisi plz

  • @RaiyanFaki
    @RaiyanFaki 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona ilo jengo hatulioni vizuri zaidi ya interview tu

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kavae nguo kwanza sio uonyeshe t shart mkasi tu ,

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 15 วันที่ผ่านมา

    Sio Mbaya ila Muendeleze Kulitunza Na Kulieka Kuwa Nadhifu Kuwe Nawatu Wakusafisha

  • @AbuuShuraimAl-Shirazy
    @AbuuShuraimAl-Shirazy 21 วันที่ผ่านมา +1

    Sas ndio ukae nywele waz?

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 21 วันที่ผ่านมา

      Labda wa bara huyo

  • @husseinally4932
    @husseinally4932 21 วันที่ผ่านมา

    Tunataka hizo flana za mikasi zinauzwa wapi tunataka na sisie

    • @voptvtz9226
      @voptvtz9226  21 วันที่ผ่านมา

      Zipo

    • @voptvtz9226
      @voptvtz9226  20 วันที่ผ่านมา

      0620535768 tupigie kupitia nambari hizo

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa 21 วันที่ผ่านมา

    Mtajengewq hadi misanamu ila kwa viwanda ili tupate ajira wallah hatoweza atatubabaisha tuu kiukweli tanganyika walimpangia hadi vya kujenga na lakini viwanda asijenge

  • @voptvtz9226
    @voptvtz9226  20 วันที่ผ่านมา

    ASALAM ALAYKUM HABAR ZA ASUBUHI
    KWA WANAOTAKA FLANA ZA MKASI ZIPO TUPIGIE KUPITIA NAMBARI HIZI
    0620535768