Dakika 10 Za Maangamizi - Konkodi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 196

  • @ywconline2817
    @ywconline2817 4 ปีที่แล้ว +33

    naona kama MB zimepata pa kwendaaaaaaaaaaaaa OG wapi wana TIA like zenu

  • @yahyasalum5634
    @yahyasalum5634 3 ปีที่แล้ว +2

    Aminia man

  • @DjSczoOfficial
    @DjSczoOfficial 3 ปีที่แล้ว +1

    aiiiiii huyo dogo ana mistari aiseeee

  • @habaryrashid7774
    @habaryrashid7774 3 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee yuko vizuri kijana

  • @castonyigo7330
    @castonyigo7330 4 ปีที่แล้ว +14

    Aliona huyu jamaa anaflow tofaut agonge like

  • @adamdemarch5565
    @adamdemarch5565 4 ปีที่แล้ว +20

    Ebwana kabla yakusikiliza mauaji Mimi nadondosha comment kuwa jamaa ameua tunaofanya Ivo dondosha comment apa say YES

  • @official_saidkijeshi4201
    @official_saidkijeshi4201 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaaaaa dogo ni fundi sana yaani daaaa kipaji binafsi ukipiga msuli unaweza kufika mbali mzee baba big up kwako

  • @harunamrangi3150
    @harunamrangi3150 4 ปีที่แล้ว +22

    Katishaaa💪🏾 hawa ndo marapa tuliokuwa tunawasubiri sasa

  • @kenedysinko4572
    @kenedysinko4572 3 ปีที่แล้ว +2

    Makiiiin kaka unajuuua

  • @juliusngowi952
    @juliusngowi952 4 ปีที่แล้ว +22

    Kuanzia dakika ya 8 na sekunde 44 Umetambaa utam sana kijana..big Up sana 🔥🔥👏👏👏

  • @mullerrbn4852
    @mullerrbn4852 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa nomaaa sema upepo ndio kidogo unapungua ila jamaaa anajua mnoooooooooooooo

  • @jamesv.ndyambi5193
    @jamesv.ndyambi5193 4 ปีที่แล้ว +17

    Fresh sana, ila mbona ya Gran Geezy hamjaipandisha maana alitisha sanaaaaaaaaa.... Fanyeni michakato dakika 10 za Gran Geezy nazo zipande

  • @abditech14
    @abditech14 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa anajua sana

  • @charlesjoseph1735
    @charlesjoseph1735 4 ปีที่แล้ว +21

    Mwanang KonKod umetisha🔥

  • @AminRamadan-xm4iz
    @AminRamadan-xm4iz 9 หลายเดือนก่อน

    Oyae Dogo noma aisee naomba arudishwe tena

  • @yahyaog1175
    @yahyaog1175 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa htri sana

  • @sharogangstar1174
    @sharogangstar1174 3 ปีที่แล้ว +1

    Ebana Konkodi sikudai mzee

  • @am_achichy
    @am_achichy 3 ปีที่แล้ว +1

    Kauwa kuliko woteeee waliopga daika 10

  • @kelvinthomas4579
    @kelvinthomas4579 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah jamaa anajuaaa🙌🙌🙌🙏🙏

  • @fredykitaly8010
    @fredykitaly8010 3 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana kijana

  • @brokenigga2842
    @brokenigga2842 3 ปีที่แล้ว +1

    Yule presenter mwingine alikua anawapa mizuka sana wachanaji

  • @stonerstoner8689
    @stonerstoner8689 3 ปีที่แล้ว +3

    Real talent .... big up from the 254

  • @hassanomar1041
    @hassanomar1041 4 ปีที่แล้ว +30

    Mwana anajua sana tu alafu punch line zake ziko tafauti na wengine✌

  • @popotetv5937
    @popotetv5937 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubar jamaa hanaegonga midundo mpaka MCs hamefanya poa sana hongeleni kwakutokuwa na roho mbaya kwakunyanyua vipaji vyao mungu hawajaze imani awapunguze mihoyo ya mataa napesa ndogo ndogo za wasanii wachanga msiwe kama mariango mgeta ahsanten nyoote

  • @ismaelayoub5196
    @ismaelayoub5196 3 ปีที่แล้ว

    Konkodi Tisha Sana mwamba

  • @winnerbackreason2578
    @winnerbackreason2578 2 ปีที่แล้ว

    😎🤘anajua sana tena san

  • @rsyooh
    @rsyooh 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipeni Nafasii Jamani Please

  • @rashidbakari2238
    @rashidbakari2238 3 ปีที่แล้ว +3

    Og konkod upotei kwa biti 🔝

  • @chilupamapesa5455
    @chilupamapesa5455 3 ปีที่แล้ว +1

    Zaiiiid

  • @comradehamimu2763
    @comradehamimu2763 4 ปีที่แล้ว +6

    konkodi sumuu mamaaee

  • @tzmoko1510
    @tzmoko1510 3 ปีที่แล้ว +1

    Afu Tia kuna wasanii wengi sana asee...umetisha konkodi

  • @tafaogtz1745
    @tafaogtz1745 2 ปีที่แล้ว

    Konkodi nakubali sana p1

  • @benezethedward9096
    @benezethedward9096 3 ปีที่แล้ว +1

    Pumziiii teee ila anaweza

  • @essauchibago8520
    @essauchibago8520 4 ปีที่แล้ว +3

    Unatisha brooo konkod

  • @hamxochagaboy8816
    @hamxochagaboy8816 2 ปีที่แล้ว

    Waaaaaaaa Ni Konkkodi Kweli 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ochuuothmani9555
    @ochuuothmani9555 3 ปีที่แล้ว +1

    Saf sana mwanangu mdudu a.k.a konkod

  • @twizzycannello2482
    @twizzycannello2482 3 ปีที่แล้ว +2

    Walio rudia rudia gonga like

  • @Eastafricaastrologer-b9u
    @Eastafricaastrologer-b9u 2 หลายเดือนก่อน

    Mizuri mistari kakomaa

  • @barakhamapigo6381
    @barakhamapigo6381 4 ปีที่แล้ว +2

    Aloooooo uyuu muhuni real ni konkodi kachafuaaaaaaaaaa mby

  • @revocatusmahenge7254
    @revocatusmahenge7254 3 ปีที่แล้ว +2

    Tishaaa classmatee.....

  • @santosmwakomo755
    @santosmwakomo755 3 ปีที่แล้ว +2

    Anajua

  • @charleschanjarika9309
    @charleschanjarika9309 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anaweza sana

  • @edwardmdee5669
    @edwardmdee5669 3 ปีที่แล้ว +2

    Shkamo kaka 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ZIP255-j6r
    @ZIP255-j6r 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubaliiiiii konkod mwanang umeharibu

  • @titosaid5521
    @titosaid5521 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubal Sana mwenu2 unaweza kaza Ninja wang

  • @novathpanga8216
    @novathpanga8216 4 ปีที่แล้ว +4

    Mb zangu nimetumia vizuri,jamaa yuko fresh san 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @habibuhaji6011
    @habibuhaji6011 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubaliiii Shujaiiii Big up Brodah

  • @Mtuhuru_ogg
    @Mtuhuru_ogg 3 ปีที่แล้ว +1

    Hatar sana broo mwamba anajua sana

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 4 ปีที่แล้ว +6

    Brother una weza sanaa ❤️❤️❤️❤️💕💕 Kali sanaaaaa mmmmmm nomaaa sanaaaaaaaa

  • @husenichuseboyy6623
    @husenichuseboyy6623 3 ปีที่แล้ว

    Mwan sana mzee konkod Umevunja kinoma

  • @meshack2559
    @meshack2559 4 ปีที่แล้ว +1

    Jina linasadifu yaliomo, umetisha broo konkod

  • @aishashekha7240
    @aishashekha7240 3 ปีที่แล้ว +1

    Katisha sana dogo

  • @Yegon254
    @Yegon254 4 ปีที่แล้ว +1

    Konkodi anajua sana

  • @emmanuelnicklass9579
    @emmanuelnicklass9579 3 ปีที่แล้ว +1

    Konkod kazikaaaa wazee,, anajua sana,, mwana n mnyama

  • @fredrickugomba3554
    @fredrickugomba3554 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal

  • @jamesmbise3461
    @jamesmbise3461 3 ปีที่แล้ว +3

    the best rapper, huchoki kumsikiliza!!

  • @emanuelkukuluka9969
    @emanuelkukuluka9969 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwamb upo vzr

  • @tembomlawa2065
    @tembomlawa2065 4 ปีที่แล้ว +1

    Rap kama nyimbo za dini yaaani wanahip hop wanaongea ukweli saluti konkodi

  • @martinmsigwa9066
    @martinmsigwa9066 3 ปีที่แล้ว +2

    Team Concord 🙏🙏✊✊✊

  • @novathpanga8216
    @novathpanga8216 4 ปีที่แล้ว +1

    Konkodi🔥🔥🔥🔥🔥🔥pachi zake zikotofauti sana ndo vitu tunavohitaji hvo

  • @rajukazuba9982
    @rajukazuba9982 4 ปีที่แล้ว +3

    Unaweza

  • @charleschanjarika9309
    @charleschanjarika9309 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Anastail flani tamu kama akina bandago

  • @jonathanicrisatijonathanic6708
    @jonathanicrisatijonathanic6708 4 ปีที่แล้ว +2

    Mucheki jiva ana ngoma kali sana

  • @harrismalone2316
    @harrismalone2316 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee ongeza bdii unajua kwsbb unajua kpangilia vnaa

  • @deusjames6912
    @deusjames6912 3 ปีที่แล้ว

    Kabla sijamaliza ngoja ni comment, kijana upo good

  • @kiokomutua3209
    @kiokomutua3209 3 ปีที่แล้ว +1

    I just love how planet bongo provides a good platform for the upcoming artists,,,mob respek +254love

  • @davisthabiti857
    @davisthabiti857 4 ปีที่แล้ว +11

    Umeweza kaka ni 🔥🔥🔥

  • @hidoxtz3559
    @hidoxtz3559 4 ปีที่แล้ว +6

    Uwezo mzee🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @denisidamiani2033
    @denisidamiani2033 4 ปีที่แล้ว +1

    Konkod upo vizuri pambana

  • @jonstonsepiton3613
    @jonstonsepiton3613 4 ปีที่แล้ว +1

    Yuko vizur

  • @crintonkamba1230
    @crintonkamba1230 3 ปีที่แล้ว +3

    Show za diamond

  • @doctorwisetz9149
    @doctorwisetz9149 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanangu mdudu umeua

  • @djfigarofelix9001
    @djfigarofelix9001 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyo konkodi niatari

  • @rizirapperboy6976
    @rizirapperboy6976 3 ปีที่แล้ว +1

    Makini sana lakini Kama mm rappper nikitaji kuja dakika kumi zamangamizi nafanyaje jamani NAOMBA msada

  • @immaruzige1845
    @immaruzige1845 4 ปีที่แล้ว +1

    Dogo yuko vzr mnoooo

  • @charleschanjarika9309
    @charleschanjarika9309 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona u live kama hatuupati na mnachelewa kurusha kipindi, maangamizi ya leo tunaweza tukayaona wiki mbili zijazo !!!?

  • @abelshinyanga2683
    @abelshinyanga2683 3 ปีที่แล้ว

    nakuona mbali sana sana g nako wa pili huyu dogo

  • @kiduaalute603
    @kiduaalute603 4 ปีที่แล้ว +1

    Atucheki na wakuda SALUTE KONKODI

  • @jacksonvevo6088
    @jacksonvevo6088 3 ปีที่แล้ว +1

    Umetishaaaa

  • @juhudinyamike2189
    @juhudinyamike2189 4 ปีที่แล้ว +1

    Makini

  • @rosecharless3189
    @rosecharless3189 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakubr home boy

  • @azizvarane1227
    @azizvarane1227 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana jamaa

  • @man-kereborbocrew8528
    @man-kereborbocrew8528 4 ปีที่แล้ว +2

    Fresh sana asee Dulla nahitaji mawasiliano yako nije niharibie dakika kumi za maangamizi

  • @yahyaog1175
    @yahyaog1175 3 ปีที่แล้ว +1

    Okkkk nice one

  • @hassanikilulu9198
    @hassanikilulu9198 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa katishaa saaana

  • @claudiomarchisio1756
    @claudiomarchisio1756 4 ปีที่แล้ว +4

    Rapa gharama Sana huyu 💪

  • @popotetv5937
    @popotetv5937 4 ปีที่แล้ว +2

    The__virage__boy___from___kinna

  • @delymoebright9326
    @delymoebright9326 4 ปีที่แล้ว +2

    kipaji hiki jamaa anajuwa sana

  • @djfigarofelix9001
    @djfigarofelix9001 4 ปีที่แล้ว +1

    Anaimba kama profeur jay

  • @finiaskalist747
    @finiaskalist747 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri mzee

  • @kb_mediatv
    @kb_mediatv 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu msenge kauwa na kuzima mshikaji unajua dadeki

  • @philipo7929
    @philipo7929 4 ปีที่แล้ว +2

    Nani kaona anaimba profesa Jay😎

  • @emmanuelmagigejacob6800
    @emmanuelmagigejacob6800 4 ปีที่แล้ว +2

    Kak dullah this time umemlet chum ametish sana uyo mwanetu sarut kwake

  • @darviswantana7669
    @darviswantana7669 3 ปีที่แล้ว +2

    Flow kali,na jamaaaa yupoo tofautii Sana... Great

  • @abdullahmbonde1179
    @abdullahmbonde1179 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaaa ni konkod kweli kwenye michano

  • @nackplankton1669
    @nackplankton1669 4 ปีที่แล้ว +2

    Ametisha sana

  • @msobiabel3611
    @msobiabel3611 4 ปีที่แล้ว +2

    Makini mjuba

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 4 ปีที่แล้ว +1

    Concordia noma

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 3 ปีที่แล้ว +1

    safi dogo

  • @igabamc6894
    @igabamc6894 4 ปีที่แล้ว +2

    Noma sanaaaa 👊