Huyu jamaaa nilianza kumkubali pale shule ya jongo,,, time ya jioni Huwa walikuwa wanakutana kufanya pindi ya sir side presenter wa pambazuko fm kipindi Kule. Respect kwako #rich_monster.. Sikup maua Mzee nakupa Kombat, Buti na bunduki ukapambanie nafasi yako maana naiona kwenye bongo hip hop
RAPA WANGU BORA WAKIzaz kijacho 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌mtanielewa baadae😂
Kwel brooo
Kaka Bando Mc Huyu Dogo muweke kwenye remix ya Naomba tuongee
Me nimeekewa kuanzia ss
Nimeelewa kuanzia ss
hatari sanaaaaa
Onhooooo; Bongo Hip Hop inahifadhiwa katika eneo sahihi mnooo na si lingine zaidi ya East Africa Radio ✊🏽
#dakika10zamaangamizi #hiphop 🔥🔥
Flows A
Punchlines A
Creativity A
Kunata na beat A
Vibes A
Inspired by Bando MC
Monster 💀💀 🔥🔥
th-cam.com/video/5i0BV2OkJI8/w-d-xo.html
Leo Ujamuekea GPA kaka
much respect Home BOY,endelea kupambana una kitu ndugu.
Rapper wa kwanza kwenye dakika 10 za maangamizi aliyevaa tai na kuchomekea hakika ametisha sana aisee
Tunataka wakali kama hawa.Big up Sana East Radio
Uyu dogo ni mkali Rich Monster umekua Mzee love from Kenya 254
Uyu ni mtu na nusu🙌🏿, Atimaye tumempata mbadala wa Mbeya Boy Chuma 🔥
th-cam.com/video/5i0BV2OkJI8/w-d-xo.html
Wewe chizi
@@jumajuma6612 Ningekua chizi nisingemtomba mama ako.
Mbeya boy chuma huyu huyu
Tema mate chini usijepata laana wewe..Mbeya boy ni chuma kingine
Kabla sijasikiliza hua nasoma comment kwanza
We ndo kma mem mwana akipuyanga bas ata siharibu mb zangu
@@kasabubu8587 😆
Rich Monster umetisha mnoo mzee afu utai umenyooka 😅😅
😂😂😂
Mwamba hatumii nguvu✍️✍️✍️mdogo mdogo mistar inashuka Hadi kichwaa unastuka kinacheza chenyewe🤣🤣🤣🤣
Brooo more blessings to you 🔥🔥🔥🔥🔥✍️✍️✍️✍️
Nakubali unyama sana
Unatenzi karii🔥🔥🔥
🤣🤣mkiona najua herii mkatafute kivulii.......jamaaa anajuaa🔥
Nilkuwa na ndoto za kjiar ubodaboda lakn hapan axee ety hali mpaka akaliwe nyuma😹😹😹
Oya utakuwa mtu mkubwa sana kwenye hiphop, big up east africa kwa sapport
😊
Katuwakilisha vizuri ifakala
Huyu ndo rappa wa kwanza kuja amevalia tai na kuchomekea 😁😁😅
#karromia
Daaaaah hii inawezkan ikawa ya mwaka aiseeee
Kali sana,
East Africa radio,
Jaribu pia huku kenya,
Bando n....🔥🔥🔥 Shauling monka n.....🔥🔥🔥 Nauyu jamaaa nae n......🔥🔥🔥 Nawakibali wazee wakaz🔥💪🏾✌️💚👍💚✨💚🌟💚💫🇹🇿
th-cam.com/video/5i0BV2OkJI8/w-d-xo.html
Rich Monster uko vizuri sana ase 🔥
Uyu dogo anaweza
Mwanangu sana bingwa ,,rapper ajae xjawah kukupnga mwanngu nakuona Mbali sana kaka keep it up broooooooo
Bonge la akili hapa,,,pokea support kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪
Huyu jamaaa nilianza kumkubali pale shule ya jongo,,, time ya jioni Huwa walikuwa wanakutana kufanya pindi ya sir side presenter wa pambazuko fm kipindi Kule.
Respect kwako #rich_monster..
Sikup maua Mzee nakupa Kombat, Buti na bunduki ukapambanie nafasi yako maana naiona kwenye bongo hip hop
th-cam.com/video/5i0BV2OkJI8/w-d-xo.html
Richmonster ifakara finest
Umetisha Sanaa broh
Kbsa anajua
mwamba anajua sana mkari mnoooo🎉🎉🎉
Pull up pull up pull nigaaaa 🔥🔥🔥🔥 it's so dope...I add to ma favorite rappers🔥🔥🎶🎶🎶gud music never disappoint me
th-cam.com/video/5i0BV2OkJI8/w-d-xo.html
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 From The City Without Ocean
th-cam.com/video/5i0BV2OkJI8/w-d-xo.html
Nacha ajae 👏🏽👏🏽
Umetisha mkudeee
Anajuaaaaaaaaaaa gonga like twend
Rich noma sanaaaa bata wapi kwenye banda lao kikikikikikik
+254 Niko ndani Nakuru
Rich Monsterrrrrrr
Leo nimewai hapa #karromia
Flow Kali sana,Akili nyingi
Oyaaa #richmonster umeuaa saaaana.
Pure talent
Unyama sana jamaa najuwa aisey
Anajuw kwel
Freestly tamu sana wana HIP HOP,big up RICH MONSTER
Hakikaaa hata malegend wa hip hop wakiamua kuretere bac hip hop itabaki katka mikono salamaaa🤗🤗🤗
Hahahahaha 😂😂😂😂 askal kanzu kavaliwa na masheikh
Unyama sana
Leo bata wapi 😂😂 🙌
Mpogolo mwenzangu kaua sana
Oyaaa monster unajua kinoma mkaliii 🔥🔥🔥🔥
Noma San kk🔥
Kaanza slowly but daah kauaa saana🙌🙌🙌
we nomaaaa
I see Bando in this guy. Good content, punchline 💯
Kwa kurelax san hongera
Safi damu yangu
Jamaa ana mkali sana
All the way from Kenya mm n msanii naomba interview iseee mwamba kapatia sana
Huyo ndo monster wanachuo wote wanamjua
🙌🙌🙌 wanangu tangu chuma sasa mwamba mwingne huyu hapa we jamaa ni hatari umetisha sana mzee big up nakuona mbali #monster
Panch line killer
Oiìiii Umetisha mwana
Noma na nusu
Hatareee 💥💥
🏌️♂️🎱🙌 mwanangu rich monster uwa una jambo dg
Kali
Uyuu dogo Anaweza,Nimemkubali MM No Mzaliwa Wa Hapapa Toka MOZAMBIQUE...
Rich Monster 👹
😹😹😹elimu ni bahari...sas sijui watu wa morogoro waliwachukuliaje
Never disappoint...🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🇰🇪🤙🤜🤛
Huyu jamaa anajua hatariii 🎶🔥🔥
th-cam.com/video/5i0BV2OkJI8/w-d-xo.html
Safi sana mzee for movement
Ameupiga mwingi rich monster
Hii kali dogo nakuvisha taji 🔥🔥🔥
U kill that🔥🔥🔥🎤🔥🔥🎤🎤🎤
Pure talent...
Real Monster...
Sks 🙌🔥🔥🔥
Unyama mwingi since tupo NIT, mwamba apewe support anajua sana!
Anaweza tumpe nafasi
mwana ni mnoma sanaaaaa
Mnyamaaaaaaa monster hunter uaduiiii
oya we umetisha saana mkal ..
Boda boda ndie mwanaume pekee ambaye hali mpaka akaliwe nyuma #Richmonster u kill it bro 🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂
Nkubali familia
Ahhh uyu ni mtu na nusu 🔥🔥🔥
Namuona Prof. J ndani yake aisee 🤝🤝🤝👏👏👏👏
"Mwanaume wa bodaboda ndiye Hali mpaka akaliwe nyuma"😂😂 huyu mchizi kavaa pamba mistari alipamba kitambo kweli 👏
Unyamaaaa
Good sana
Jini
Noma sana 🔥
Heshima sana
King of the rap from west moro
Umetisha sana
Huyu jamaaa hatari sana Yani
Anasound like Bando MC...!
Unyaaamaaa sanaaa
Am from Rwanda 🇷🇼 Kigali but richi is monster 😂
Oiii noma noma aja tumia nguvu kabisa
Jamaa apewe maua yake kabla hajafa brooo big up unajua sana" mwanaume bil nyumba ndogo ni kama nchi bila ipinzani""👐👐
#uyu msenge kiboko
Incredible how does it so effortlessly, just need to work on his delivery.
Nyota ya kiziwi ndo mahana hasikii kichefuchefuu 🙌🙌🙌
Kaua sana uyu jamaaa
We jamaa unajua sana... 🔥 📛