Hii movie ina mafunzo mazuri sn kaka mbwela mungu azidi kukuongoza ulete mafunzo kw walimwengu. Hongereni sn nyote mulioshiriki kwenye movie hii na mungu awabariki nyote
Hongera sana kaka mbwela kwa hekma na busara ulo nayo.. kiukweli nimekua mfatiliaji wa movie zako nyingi tu na kwa kweli umejaa busara laiti wanaume wengine wangejifunza kutoka kwako.. umeonyesha utu na dhamani sana ya mwanamke katka ngoma hii ,,Hongera sana kaka Mbwela..!!
Movie nzri Sana ila natamani mwishoni ingekuwa kujulikana walio husika na kifo then wangechukuliwa Sheria ndio mwisho 😂😂😂😂 wanao sema kama mm gonga like
Hii movie ni uhalisia wa sasa yaan Bado wiki Moja au siku kadhaa Mmoja wao anakata kufunga Ndoa Ni fedhea coz apo unapata na michango watu washatoa ni Aibu sana kwa wazazi wetu🥹
Lkn pia zatiti alikuwa n mtu wa ibada pale mwishoni angeonesha ibada imezid nguvu za mganga then coz anamuombea mumewake wamefanikiwa wakawa na maisha mazuri zaidi
Mbwela ni nzuri sana hii But samahani nilikuwa nakushauri mazingira ambayo unachezea filamu zako ungekuwa unabadilisha Tanzania n kubwa mkuu nyumba tumezikalili hizi
Movie kariii Mzee wa noma penda sana bwela Mzee wa noma nampenda sana uchizi wako
Movie nzuri sana yenye mafunzo...mbwela mungu akulinde hapa na penginepo
❤❤❤
Jmn hii move ni Kali sana Hawa wahusika mungu awajalie yalio mwema zaidi ya haya
Leo kipara kaongea point mbwela congratulations sanaaa🎉🎉🎉
Mbwela yan umeua upo vzr sana hii umeelimisha jamii💪💪
Brother mbwela uko vzr san bgp ✊nakufatilia san bye wizzy Khan from South Africa duluban KwaZulu Natal 🇿🇦👊👊
mbwela ndio muigizaji bora bongo anekuja kwa kas kama unakubali gonga like apa
nakubali sana mbwela
Napenda kazi zako mbwela pick up bro following from Canada
Kaz nzur xn mbwela endlea kkuza kipaji ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mashaalllah mwasii unapendez san ukivaa hivo❤❤
Movie nzuri sana lakin imeisha vibaya jmn nilitaka wahusika wajulikane nawachuliwe hatua zakisheria lakn.oilikuw❤
❤❤❤sana movie 🎉🎉🎉 bwela nkukubali sana
Muvi nzuri sana ina mafunzo mengi mungu azidi kukubaliki kipaji chako kiendelea kukua zaidi na zaidi
Jalibuni patient 2 aki movie nzuri sana mbela💯
Mbweraaa nampendaa sana bse anajua na anabadilikaaaaa na yuko real kabisaaaaa secondly dada yake zatiti naye ni fireeee
Kazi nzuri sana kamstir nduguye🥹😍
Hongera👏 movie iko pow ina mafundisho kwa kweli
Big up 💪💪💪sana mbwela kwa kumstri dadako chuma kilikua kiozee kwa mchanga
Kipara nmependa kizungu chake😂😂 ila pia ana maono mazuri kwa wenzake💪💪
Kazi nzuri inamafunzo sana hasa kwa nyakati hizi tulizonazo za kidigital safi mbwera moves ina maadili😊❤
Jamani nakupenda mbwela uko vizur sana kazi nzuri Ina mafunzo sana asante kaka
kazi nzuri storry nzr watu wamevaa uhusika 99% na aloimba hiko kimziki hallo kamenogesha sn nawaamini vijana wangu mnapiga kz vzr
Hii movie ina mafunzo mazuri sn kaka mbwela mungu azidi kukuongoza ulete mafunzo kw walimwengu. Hongereni sn nyote mulioshiriki kwenye movie hii na mungu awabariki nyote
Bwela oeee umeoa ww au umependez iyo kanz n kofia ❤❤❤nasra pemb
Kaaaah sijapend Sasa mme kufanyej wote wawil au nd mkipendan Sana mnaenda wote
Nampenda huyu bwela anavyo ekti vizuri cn gd nakupa hongera yk
Me natamanii ata nipate number zake jamniii weuh😂
Mbwela aki ww ni mwamba sana aki mungu akubarika sana.😍😍😍
Yani sijawahi kuangalia movie kali kama hii yenye hisia za kweli ,kazi nzuri sana mungu awabariki na awaongoze kwenye kazi zenu😊
Team bora kabisa hii movie yny mafunzo zaidi hongereni Sana ila kipara unanibamba jamani😂😂😂😂
Ooo jamani nime ipenda sana hii stori pia nime ipenda nyimbo ina itwaje au haija tolewa
Nampenda zatiti🎉🎉🎉
Mbwela jmn nakpenda una busara kubwa mno hakika mama ako aheshimiwe amelea mwamba
Maupendo hayoo😅😅
Congratulation bro...one love mm movie nzuri sna bro huwa nafatilia sana sinema zako,hongera sna bro.
Mashallah move nzuri natamani ingeendelea
Jamani bwela mm napenda sana movie zako❤️❤️ nakupendaaaa mpka basii
Jamani Mbwela napendasana movie zako ,una maamuzi mazuri sana jameni ingekuwa ni kweli daaa,niko RDC Bukavu nipe laki zangu jameni
Mm namkubali sna bwale kwa movie zke
Kazi mzuri sana mbwela big up nakupenda ujuwe ❤❤
Kazi nzuli bwana mbwela❤❤Best movie
Jaman movie nzur sana iko na mafunzo mengi sana....nawafatilia kwa sana ❤❤
❤❤🎉 ❤🎉dah! Nakukubali sana mbwela kwa kazi zako
Kaz Smart Sana kwa nyakat tulizo nazo hongera mbwera na hii ndo Kaz
Hongera sana kaka mbwela kwa hekma na busara ulo nayo.. kiukweli nimekua mfatiliaji wa movie zako nyingi tu na kwa kweli umejaa busara laiti wanaume wengine wangejifunza kutoka kwako.. umeonyesha utu na dhamani sana ya mwanamke katka ngoma hii ,,Hongera sana kaka Mbwela..!!
Kuna funzo zuri hapa,don't judge the Book by its cover
Movie nzri Sana ila natamani mwishoni ingekuwa kujulikana walio husika na kifo then wangechukuliwa Sheria ndio mwisho 😂😂😂😂 wanao sema kama mm gonga like
Hapo umeongea kweli,hawakumalizia vizuri.
Hiyo kazi ya serikar tuwaachie police😂😂😂😂
Alafu nilicho gundua hujaangalia mdi mwisho mah kifo cha zatiti inajulikana kama cha kurogwa😂😂😂😂
@@salhamlanz9806 kwani si walijitaja na Yule mwingine aliwasikia ? Acha ubishi
@@salhamlanz9806😂😂😂😂😂😂😂😂 nkwel maan serikar Ina mkono mrefu xn😂😂😂😂😂😂😂
Endelea mbwela unaweza kazi zako nzuri sana bro ❤❤
Kali. Sana hii movie ❤
2 nakukubali sana Bro Mbwela🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Picha Kali Sana mbwela umetisha ,
Mbwwha aku juu Sana kama break ya ndege bro uko poa umeiva❤❤❤
Mbwela hangera baba kwa ujasiri nmpenda sana
Mashallah kazi nimeipenda
🎉🎉🎉❤Hongera kkmbwela❤
MBWELA 🎉🎉🎉 NGOMA ZAKO ZIKO SAWA KINYAMA 🎉🎉🎉🎉🎉
Hii movie ni uhalisia wa sasa yaan Bado wiki Moja au siku kadhaa Mmoja wao anakata kufunga Ndoa
Ni fedhea coz apo unapata na michango watu washatoa ni Aibu sana kwa wazazi wetu🥹
Kazi mzuri mbwela🎉🎉
Hii movie ni moto sana hongera 🎉🎉🎉
Nakupenda sn bwela yaan nakukubal sn hn mbaya
Wow tunakukubali sana toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
We kiparaaaa 😅😅😅😅utaua .mzee wa mipasho
hongela kwa kazi zuri kaka ang❤
Mungu Azidi kukupa ufahamu na kutukumbusha yaliyo mema
Very good jipala ubawokowa kueri umesema kueri ❤
Mbwela it’s always my favorite in movie❤️😍🙏
Bwela iyo ni sawa kbs
🎉❤🎉❤hongera move nzuri sana🎉🎉🎉🎉❤
Ujawai kufeli mbwela the boy endelea kukaza bro
Jaman hicho kinge Cha huyo kaka anaharibu movie
Mungu akujaliye nakipa
ji cha ko
Mbona kma hii sauti ya nyimbo ni ya happy voice wa tiktok ❤ nani ameskia kama mimi
😢😢😢😢😢 hii muvie ni nzuri sana naomba Mungu wafufuke hao watu maana walisha badili maisha yao jamaniii isiwe hivyoooo lkn
Lkn pia zatiti alikuwa n mtu wa ibada pale mwishoni angeonesha ibada imezid nguvu za mganga then coz anamuombea mumewake wamefanikiwa wakawa na maisha mazuri zaidi
Nice movie❤ bwela endelea hivyo👊
Movie nzuri sana 🎉🎉🎉❤❤
Watching from Kenya salam kwa Suzie jaman 😊😊😊
😂😂😂😂😂majiraniiiiii umeshindwa kumaliza ungemaliza majiraniiii nimewezaaaa😂😂😂😂😂
tulishawazoe na move za kichawi chaw hatima kumbe tuna bwela na nusu ❤
Hii movie nzur san na ina mafundisho mazur sana
wanao mkubali mbwela gonga like apa
Tunaomba uendeleze part 2
Nice kazi
Jaman nimechelewa bt nimekua wa pili like zenu ❤❤🎉🎉🎉
Iendeleze iwe na part 2 bwela achunguze ❤❤
Yule mwenyewe Dem wake anaenda kupiga hahahaaaa 😂😂😂😂😂.
Iko tamu Sana hii movies
Akun ingne jamn
Hongera kaka mbwela much love from Kenya ❤❤ila tunaomba ingeendea hii movie bado haijaisha kwakwel😊😊
Dah kz saf kbs big up bro
I don't your socket 😂😂😍😂 kipara
Mmh kipala anatereza na ngeriii🎉🎉🎉🎉
Kipara jamaniiii😂😂 humu kwakwel umeniacha hoiii
big up mbwela🔥🔥
Kipara😂😂😂the kizungu is zunguking🤣
Mmh movie nzuri sana ila sikutegemea imenitoa machozi mwishoni 😪😭😥😭
Movie nzuri sana Ina mafunzo
jaman mi hako kanyimbo ka ndoa kananikoshaa 🥰
❤❤❤❤❤❤❤
Nafurahi kumuona bi migomba sio mchawi😅😅😅😅
M nimesema Alhamdhulillah😂😂
Ila kipara 😂😂😂😂😂hongera xn mda mwingin unawafunza wenzio etieeee😂😂😂😂😂😂
Mbwela hii move tuwekee part2
Mbwela ni nzuri sana hii
But samahani nilikuwa nakushauri mazingira ambayo unachezea filamu zako ungekuwa unabadilisha Tanzania n kubwa mkuu nyumba tumezikalili hizi
Kumbe ata kipara Yuko apa 😅😅😅😅kipara mbeyaa😅😅😅
Ila hii ngeli ya kipara sema ukweli Inanikela sana😂😂😂😂
Daah hii movie ni kali na nusu❤❤