ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hua sipendi kuangalia makala za baba yangu raisi wangu Mungu akulehemu na akupe pumziko la milele na mwanga Wa milele ukuangazie
Leo siku kuzikwa kwake Rais wa awamu ya tano. 26/03/2021 Mungu atusaidie
Poleni sana ndungu zetu WaTanzania lakini Mungu amewapa Mama Samia Suluhu Hassan na mimi najua atawaongoza vizuri juu yeye ametosha.
Habadiliki since day 1
Aisee huyu baba mungu amlinde dah hajawahi kubadilika
Twende mbele tuludi nyuma huyu jamaa alikua ni wakipekee
Umesema vyema kiongozi huko uliko Mungu akubariki.
REST IN PEACE BABA
Jamani Magufuli hutasahaulika
Wembe uleule
VIZURI HAVIDUMU KWA KWELI. PUMZIKA KWA AMANI JPMHUKUWA MWANASIASA, ULIKUWA KIONGOZI
Hua sipendi kuangalia makala za baba yangu raisi wangu Mungu akulehemu na akupe pumziko la milele na mwanga Wa milele ukuangazie
Leo siku kuzikwa kwake Rais wa awamu ya tano. 26/03/2021 Mungu atusaidie
Poleni sana ndungu zetu WaTanzania lakini Mungu amewapa Mama Samia Suluhu Hassan na mimi najua atawaongoza vizuri juu yeye ametosha.
Habadiliki since day 1
Aisee huyu baba mungu amlinde dah hajawahi kubadilika
Twende mbele tuludi nyuma huyu jamaa alikua ni wakipekee
Umesema vyema kiongozi huko uliko Mungu akubariki.
REST IN PEACE BABA
Jamani Magufuli hutasahaulika
Wembe uleule
VIZURI HAVIDUMU KWA KWELI. PUMZIKA KWA AMANI JPM
HUKUWA MWANASIASA, ULIKUWA KIONGOZI