Yaani hizi tofauti ni Moja ya mambo yanayotugharimu sana duniani.Hivi mnataka tufanane Kila kitu ndio tushirikiane?Hakuna kitu kama Hicho.Hata mnaosema hao ni watu wa bidaa Bado nyie wenyewe mnatofautiana.Mtabaki na malumbano(raddi)nyingi mnaacha mambo mengine ya maana yanayowezatufanya tuwe na nguvu kijamii,kiuchumi,kisiasa(makhalifa) n.k.Mtakalia hayo TU ndugu zangu huku tukipigika na kudhalilishwa kwa Kila namna.Yaani Waislam huwa tunatanguliza sana tofauti na hitilafu zetu Kila tunapotaka kushirikiana mwishowe huwa ni kuparaganyika TU.
@أبوفيصل-د3ش ndio nyinyi ni masalafy jadidah kwan huo uislam wa kubaguana wewe umeutoa wapi au ndio mnajiona ni bora kuliko wengine jambo ambalo limekatazwa kwenye Quran tukufu
@@bakarifaki3596 kwani nyiny mnatuonaje!?Bas ni hivyo hivyo acheni unafiki ktk Dini mkikaa kwa Mimbari mnawasema kina fulan mishipa imewasimama halafu Mkikutana Mnachekeana.Huo ni ukhawaariji Allah ameukataa Wazi na mtume pia. Ktk dini kuna Al walaa wal baraa.na ndio msing wa uislam. nyiny ni mahizbi. hyo si njia ya mtume.
Jamani siwezi na ubaguzi wa kusema Oooh muarabu au Oooh muafrica... Waislaam wote ni kitu kimoja hauchagui muarabu wala Muafrica sote ni ndugu kutoka kwa baba etu Adam na mama etu Hawa...
Kweli maneno yake anavyosema tumechoka kusikia kuwa wanazungumzia Palestine kila siku ni mazungumzo hayo hayo yanajirudia na Wale Waislaam kila siku wanauliwa kikatili na kidhuluma😢😮😮😮nyoyo zetu zimechoka Wallahi nyoyo zinavuja damu,,, 😮😮😮😮
Tungependelea baada ya hayo mazungumzo pia wachukuwe vitendo kwa mazungumzo baada ya kuongea,,, sio maongezi bila ya hatua ya vitendo... Inaumiza saana saaaana😮😮😮😮😮
@@nassor8819 ukweli Una umma mnapigwa na wazungu kilasiku kwa sababu ya Elimu mna nyangwa ardhi zenu mnadhulumiwa haki zenu kwa sababu hakuna kitu munaweza tengeneza hamna satellite zenu 🛰️📡
Hujui historia ya Elimu kwa Uislam Hebu kasome historia ya Elimu ni kinani Walikuwa wakwanza kujenga Universities Hasa katika mji wa Cordoba Spain Uturuki Iraq nk
Nyie mashekhe hii Elimu munayo isema ni ipi mbona Mambo kwa wasilamu hayaendi sawa ebu fanyani utafiti kuwa munakosea wapi maana kweli waislamu wanasali lakini bado
Hao waarabu acheni wafe kwasababu hawatujali sisi waafrika tukifa Kwa vita. Kwann tuwajali wao? Udugu upo wakifa wao tu lkn sisi waafrika tukifa hakuna udugu. Wapigwe adi wamalizike it's none of our business.
Ww jamaa ni jahil l hata km ni waarabu ndio wafe bila hatia Allah ajaalie amuondoshe mtoto wako au mama yako au yyoye katika unaowapenda are biidhinillah ndio utajua uchungu wa kuondokewa au Allah akuujalie ufe ww huna faida katika umma huu huna hata huruma mbwa ww
Ina lilah waina ilah rajiun Ukimuombea mwenzio duaa nzuri kwanza utaipata wewe na ukimuombea duaa mbaya itakufika wewe wa kwanza… Subiri allah hafundishi wala haongozwi ipo siku utakumbuka ukiyosema Twakuombea kwa Allah akuhidi amin
Wallah nawapenda sana hawa masheikh pamoja na sheikh kishk❤❤❤ Allah awalipe mema duniani mpk akher
Hao ni masheikh ni nyota katika Uislamu.
آمين
Hii ndiyo elimu ilenge kuelimisha sio kukufurishaa
Allah akukutanishe nao katika pepo yake in sha Allah
Leteni dalili ya maulid
Wallah Maha Mana Kuona Mashekh Wetu Wako Hivi, Mashaa Allah Allah Awatunze
Masheikh hao ni nyota katika dini ya Allah
Allah akbar uhibuka fi allahi ya masheikh from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
Hamna mashekh hapo wasaka tonge tu😢
Maa shaa Allah ,,, hili nimelipenda sana Allah awajaze kheri...
Hata Mimi nawapenda sana ma shekh zetu hawa
Jmn Leo wamekutana niwapandao maashallah kakosekana sheikh kishik❤❤❤ ALLAH awajalie mwisho mwemaa akupeni Pepo ya jannafiridaus❤❤❤
Wanapendana kwa ajili ya bidaa
@@nassoraliy3871 sawa we wache na we wapendee unawao wapendaa wanabiidah gani ebu tuelese
@@nassoraliy3871 utakufa na chuki zako
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe
Nakupendeni kwa ajili ya allah
Mashaallah tabarakallah ❤❤
Mashaallah mwenyezi mungu awahifadhi masheikh wangu nawapenda kwa ajili ya Allah
Allahumma Amiin yaarab jami'an insha Allah kwa Waislaam wote pamoja
Wallah ni mefurahii kweli kuona watu wa maulidi na na wapi zanu kuwaa pamojaa alhamdulilah
Ma Sha Allah vipenzi vyangu❤❤❤❤
Mashaallah ❤
Tumuombe Manani Allah Atufanyie wepesi Amiina.
Masha Allah Umoja huo nimeupenda
Maashallaah,Ammina jazakallahu kher
Walahi waisilamtunaumiasana inshaalh nusiraminalah😢😢
Waislamu mnakosea kujiekaa karbu na asiekuwa muislamu hakuna upendo kutoka asiekuwa muislamu kwa kumpenda muislamu
Mashallah amiin
Allah akuhifazi shehee
Asanteni masheikh wetu tunafanya Subrah ndefu lakini ndugu zetu Waislaam wanamalizika jamani😮😮😮😮😢
Masheikh kuweni kitu kimoja makafiri wanataka kumaliza uislam lakini awawezi
Umoja wa watu wa bid'a tu wala hakuna faida yoyote
@@AhmednurHussein-m2s Allah anaweza waongoza wakawachana na bida wakafata haki
@@bakariweko3958 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗠𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗘 𝗪𝗔𝗖𝗛𝗔𝗡𝗘 𝗡𝗔 𝗕𝗜𝗗'𝗔 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗭𝗢𝗡𝗔𝗭𝗢
Lakini anatoa shabada @@AhmednurHussein-m2s
Yaani hizi tofauti ni Moja ya mambo yanayotugharimu sana duniani.Hivi mnataka tufanane Kila kitu ndio tushirikiane?Hakuna kitu kama Hicho.Hata mnaosema hao ni watu wa bidaa Bado nyie wenyewe mnatofautiana.Mtabaki na malumbano(raddi)nyingi mnaacha mambo mengine ya maana yanayowezatufanya tuwe na nguvu kijamii,kiuchumi,kisiasa(makhalifa) n.k.Mtakalia hayo TU ndugu zangu huku tukipigika na kudhalilishwa kwa Kila namna.Yaani Waislam huwa tunatanguliza sana tofauti na hitilafu zetu Kila tunapotaka kushirikiana mwishowe huwa ni kuparaganyika TU.
Anacho kifanya sheikh Abdul qadri kuwaonganisha masheikh kina tija sana
Nendeni mkawasaidie kupigana jibu ndio hilo,lkn yote k to ktk yote mwamini Yesu ndie mfalme wa amani
Kwan we umekuja kucoment uku hii dini inakuhusu Kaa na ngurue wako uko na ukome
Wewe Kaka yesu nibinaadamu kama wewe bwege wewe
Kwani Yesu na Yohana hawakupata mateso?
Kumbuka yesu alisema kheri wenye huzuni maana watarithi uzima wa milele.
Mbon huyo sheikh Othman,anatikisa kichwa tu
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚
MashaaAllah❤❤❤
Masha Allah mungu atujalie twende kupamba nia
Njo nkupe naur ya kuzim hyo ndo Israel taifa teule
Ukizungumzia mungu wa musa ndo mungu wa muisrael na musa alikuw muyahud ko km mnamkubal mus lzm umsapot israel
Nawapenda kwaajili ya ALLAh
Inaumiza san
Asalam alaghykum viongozi wetu wa dini shukrani kwa majibu mazuri jazakum Allahu khaira
Nendem mkapambane
Waambie waache ugaidi. Watakwisha
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
mashaAllah
Makurafi... Duuh
Huyu ni hizbi.
na hizi ndio Njia zao.
Allah Awaongoze.Kukaa na Watu wanaowatukana Wanachuoni hili halifai.
Nyinyi masalafiya jadidah hacheni chuki
@@MariamUmande jina hili umelitowa wapi??? au ww ni Muqallidu???
Hakuna Salafiyah jadida.
kwan uislam unasemaje Kuhusu kukaa na Watu wa Bidaa??
@أبوفيصل-د3ش ndio nyinyi ni masalafy jadidah kwan huo uislam wa kubaguana wewe umeutoa wapi au ndio mnajiona ni bora kuliko wengine jambo ambalo limekatazwa kwenye Quran tukufu
@@bakarifaki3596 kwani nyiny mnatuonaje!?Bas ni hivyo hivyo acheni unafiki ktk Dini mkikaa kwa Mimbari mnawasema kina fulan mishipa imewasimama halafu Mkikutana Mnachekeana.Huo ni ukhawaariji
Allah ameukataa Wazi na mtume pia.
Ktk dini kuna Al walaa wal baraa.na ndio msing wa uislam.
nyiny ni mahizbi.
hyo si njia ya mtume.
@@bakarifaki3596 Wewe huijui qur aan
❤❤❤❤
Kullu haq walaukhana murra..ungemuonya Maalim hapo hapo kwa kuitangaza bidaa ya maulid mbele yako..walakin maslahi yakakuzidi na sifa
HAWAWEZI KUONYANA NA WOTE NI KITU KIMOJA
Elimu zote nimuhimu kuanzia kwa waarabu hadi Africa 🌍🌍 Tanzania uwezo wa kujilinda dhidi ya maadui ni mdogo sana
Jamani siwezi na ubaguzi wa kusema Oooh muarabu au Oooh muafrica...
Waislaam wote ni kitu kimoja hauchagui muarabu wala Muafrica sote ni ndugu kutoka kwa baba etu Adam na mama etu Hawa...
Hatuna hâta haja yakuwa tunasikiya mawaidha yahawo masheikh waliyo someya saoudi Arabia .vibaraka vya mazayuni
Akili finyo sana uliyo nayo
Ahsante sana maneno yako sawa kabisa
Kweli maneno yake anavyosema tumechoka kusikia kuwa wanazungumzia Palestine kila siku ni mazungumzo hayo hayo yanajirudia na Wale Waislaam kila siku wanauliwa kikatili na kidhuluma😢😮😮😮nyoyo zetu zimechoka Wallahi nyoyo zinavuja damu,,, 😮😮😮😮
Tungependelea baada ya hayo mazungumzo pia wachukuwe vitendo kwa mazungumzo baada ya kuongea,,, sio maongezi bila ya hatua ya vitendo... Inaumiza saana saaaana😮😮😮😮😮
Romon gichero wewe unazani maca akuna madocta ,mbona wawo wa nasoma madrasa tu
wewe ujuwi kama Qurhani ni kisomo chaukweli ukisoma Qurhani wewe unafania opereshen wwe unazani ma rubani wa maca wa mesoma tzn
😭😭😭😭😭
Camera man elekeza camera yako kwa mzungumzaji
Hao wasaka tonge tu hamna masheikh hapo
Bas baba yko ndo shekh
Chunga Domo lako linukalo kwa matusi
Shekh ni wew unaejiona unajua firauni wew
Wasaka tonge ni nyinyi majadiida wenye husda na chuki. Nendeni kwa jahil wenu Kassim Mafuta.
😢😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 acheni kuongelea chumbani nendeni mkatatee na mkapigane kama mnauchungu kweli kama sio unafiki ni nini makafiri nyie
Du kweli ukafiri ni homa wewe yanakuhusu nini hayo.
Hao ni waalimu wenye hekma
@@hassanbilali1697 wangekua na hekima wangeemda kutetea na sio kupiga projo msikitini
Kafiri utamjua Wala hutaona muislam akijishughulisha na mambo ya kikafiri...lakini kafiri bila kufuatilia Uislam Hana raha
Kuwatukana mashekh zetu kama.hivi allah ndie anajua hukm yako tunamuachia yy 😢😢
Ukafiri niugojwa
Hakika khuraf mweziwe ni khuraf
Ondoa na ujadiida wako, nyinyi majadiida mna husda na chuki.
Waislamu Elimu ya Quran pekee haitoshi someni Leo mna lipuliwa na simu tu hamtaki shule mna kimbilia madrsa
Aliesoma hawezi kuandika upuzi kama huu
@@nassor8819 ukweli Una umma mnapigwa na wazungu kilasiku kwa sababu ya Elimu mna nyangwa ardhi zenu mnadhulumiwa haki zenu kwa sababu hakuna kitu munaweza tengeneza hamna satellite zenu 🛰️📡
Hujui historia ya Elimu kwa Uislam
Hebu kasome historia ya Elimu ni kinani Walikuwa wakwanza kujenga Universities Hasa katika mji wa Cordoba Spain
Uturuki
Iraq nk
Warabu shule hawataki
Nyie mashekhe hii Elimu munayo isema ni ipi mbona Mambo kwa wasilamu hayaendi sawa ebu fanyani utafiti kuwa munakosea wapi maana kweli waislamu wanasali lakini bado
Hakuna swali la mtego uulize swali linalohusu dini ujibu vile sheria inataka wachakukwepa kwasababu ya maslahi ya dunia
Jazba hizo😮
Dini yetu haiko hivo ndugu kama hauna cha kukomenti bora kukaa kimya tu, usikurupuke.
Maswali ya maulid, tarakin, 40, hitma, isbaal n.k yanaweza kuleta debate nyingine kwa waulizwaji. Indirectly yamezuiliwa yasiulizwe.
20:11 Acha jaziba dini ni pana si kama unvyozani.
@@mohamedronka8793Wewe huijui dini yako
Hao waarabu acheni wafe kwasababu hawatujali sisi waafrika tukifa Kwa vita.
Kwann tuwajali wao?
Udugu upo wakifa wao tu lkn sisi waafrika tukifa hakuna udugu.
Wapigwe adi wamalizike it's none of our business.
Ww jamaa ni jahil l hata km ni waarabu ndio wafe bila hatia Allah ajaalie amuondoshe mtoto wako au mama yako au yyoye katika unaowapenda are biidhinillah ndio utajua uchungu wa kuondokewa au Allah akuujalie ufe ww huna faida katika umma huu huna hata huruma mbwa ww
حسبنا الله ونعم الوكيل
Hii ni mitihani tumeletewa ktk Dunia tukufuru au tushukuru. Tushikamane Wala tusifarakane waislamu . Tuwe mwili mmoja. Akipigwa mmoja tumepigwa wote.
Ina lilah waina ilah rajiun
Ukimuombea mwenzio duaa nzuri kwanza utaipata wewe na ukimuombea duaa mbaya itakufika wewe wa kwanza…
Subiri allah hafundishi wala haongozwi ipo siku utakumbuka ukiyosema
Twakuombea kwa Allah akuhidi amin
Wewe mwendazim nyamaza
❤❤❤❤