MUNGU akulinde mana sio wote wanaokumbuka kuwa kila hatua wanayofika Kuna baraka zawazazi namkono wao pamoja namaombi yao barikiwa sana na maadui wandoa yako wakawe adui wa MUNGU amina
Hogera sana Dadangu kwa Wimbo mzuri Sana. Sema tatizo uliimba Wimbo kwenye sherehe iliyojaa Mafalisayo yaani Wana wa Wachungaji vipofu. Maana kama ungeimba Katika Kanisa la kiroho lenye mafunuo ya Kinabii aise ungeona utukufu wa Mungu. Ila nimependa wimbo wako.
Kwahiyo nyie ndiyo mmejiandikia utukufu?kitakachowaingiza motoni ni hivyo kujiona Bora kuliko wengine,nyie hamna tofauti na yule falisayo aliyejiona anatoa vema sadaka
Hii ndoa ninjema na mungu ameibarik kwa bibi harus sina shaka ila kama bwana harus nichaguo la huyu dada labda watenganishwe mungu awalinde na awape furaha ya ndoa yenu amen
Great voice and message, it's good to appreciate your parents and remember where you came from......yes utamwacha Baba na mama uambatane na mumeo hayo ni maandiko......zidisha hiyo sauti Kwa maabudu God bless you.
Mungu nisaidie nifike huu kuu kwa ndoa wa amani......naomba njiyia yakufike kwako .....baba❤❤❤ nice song ....with continuous blessings in your marriage
Hakika MUNGU AKUBARIKI Dada nimelia Mimi huu sababu sikuwa na wazazi wa kuwaaga hongera kwa Sana kwa kukumbuka wimbo mzuri kwa wazazi ubarikiwe Sana ndoa yako ilindwe na Mungu
Dada huu wimbo ulivunja recoding wimbo unahisia sana. Nigeria utahisi ni mimi. Dah! Hongera sana .Marshall mema
Nice song naomba jina la wimbo niupate
Ameen ubarikiwesanaaa
Hongera binti kwa wimbo mzuri sana nkutakia maisha yenye furaha ktkt ndoa yako
Aseeee nimejikuta nalia.
Ck yangu nitaomba huu wimbo.
Barikiwe sanaaaa
Dah! Nimeupenda Sana mwimbo huu corgraturation🎉🎉 San dad
Hongera xanaaa mama niwengi wanataka kuwa kamawewe rakini wanaxhindwa
Hongera saana kipenzi umenigusa saaana !!!! zamu ijayo ni mm Mungu nifanikisheee
Dadaangu mungu ailinde ndoa yako naiwe paradiso ndogo
Nimejikuta machozi yananitoka, barikiwa sana kipenzi Mungu awe nawe ktk ndoa Yako
Hongera sana dada Mungu akulinde katika ndoa yako ,wimbo mzuri sana
Hongera daa umeimba poa aki hata naeza tokwa namachoz
MUNGU akulinde mana sio wote wanaokumbuka kuwa kila hatua wanayofika Kuna baraka zawazazi namkono wao pamoja namaombi yao barikiwa sana na maadui wandoa yako wakawe adui wa MUNGU amina
Amen mungu akubariki kwa nyimbo nzuri ambayo imegusa mioyo ya watu wengi.Mungu abariki ndoa yako .God bless you so much
Hongera saana kwa wimbo mzuri pia nakuomba baraka na Neema za Mungu zitawale katika ndoa yako.
Ni wimbo Wa send off, siyo Arusi!!! Mdada yuko vizuri, mungu alinde ndoa yenuuu
Hogera sana mungu akupe furaha kwenye ndioayko wimbo unagusa sana sana samani ya mzazi nikubwa kuliko
Hongeren Dana mungu akujalie maisha mema to ndoa yako
Congratulations good song god bless you
mungu akupe aman ya ndoa yako kipenzi.umenikumbusha mbali sana hadi nasikia machozi
Mungu akubariki bint uwe na maisha mema uendelee hivyohivyo na kwenye ndoa Yako
ubarikiwe dada mungu akupambanie kwenye ndoa yako
Edward manyama nkuba mkaaji wa kiloleli kishapu shinyanga anawatakia maisha marefu yenye mafanikio mema ya ndoa❤
❤❤❤ ubarikiwe kumtanguliza Mungu nina imani ndoa yenu itadumu
Hongera sana mungu akuongoze vema kwenye ndoa yako mama
Nyimbo imenibarki sana mungu akujalie yaliyo mema yote
Naamini ipo siku moja tu
Daah mzur sanaa. Mungu atawale ndoa yenu👩❤️👨
Mungu ailinde ndoa ako dada ang iwi ya kher na bark
Hongera San kipenzii daah ctakii kuamni ujasilii huu umeuptaj mum angel honera
Barikiwa sana na Mungu awahifadhi zaidi
Mungu awabaliki sana katika familia yenu pia hogela sab kwa kazi nzuli san kwa wimbo muzuli mungu akubaliki pia akuinue zaidi na zaidi
Mungu akulinde uwe na ndoa nje
Hongera Dada unaonekana mtiifi mno ubarikiwe
Kazi nzuri saaana,sauti nzuri saaaana ,Mbarikiwe saana
Hongera sana dada angu Kwa nyimbo nzur
All the best dear.... BWANA YESU naomba nisaidie nifikie huku🙏🙏🙏
Naitwa,Musa kutoka ngala nyamagoma nakupongeza sana dadaangu ila uwe mwamifu kwenye ndoa yako asante
Umenibariki sana mungu awape maisha marefu Wana ndoa wote mkawe na maisha mema yenye furaha na amani
Aeraaaa. 2 jkkkk
Hbhhhhbbbbbbb
Nimependa sana jina la mwimbaji na wimbo unaitwaj jaman
Ndohuyohuyo
Mungu akupe Manisha Bora.
Thanks for nice song,imefanya nikatamani kufanya harusi
Aiseeeee nimebarikiwa kabisa kusikiliza hii ngoma mbarikiwe nanyi pia,nimefurahi sana mmefanyia kijijini huko nawao wamepata fraha kupata hii kitu
Amen Mungu akulinde katika ndowa yako
Hapo ni kigoma Moja sjui kasuru or kibondo. Wimbo mzuri
Hongera Dd mungu akawape amani kwenye ndoa yenu watt mkapakate
Hogera sana Dadangu kwa Wimbo mzuri Sana. Sema tatizo uliimba Wimbo kwenye sherehe iliyojaa Mafalisayo yaani Wana wa Wachungaji vipofu. Maana kama ungeimba Katika Kanisa la kiroho lenye mafunuo ya Kinabii aise ungeona utukufu wa Mungu.
Ila nimependa wimbo wako.
Kwahiyo nyie ndiyo mmejiandikia utukufu?kitakachowaingiza motoni ni hivyo kujiona Bora kuliko wengine,nyie hamna tofauti na yule falisayo aliyejiona anatoa vema sadaka
Hongera mamy baraka nyingi na Neema za Mungu ziwe juu ya maisha Yako ya ndoa daima❤
What a great Song. Barikiwa katika ndoa Yako. Hakika umeinjilisha umma
Honger san dada kwa wimbo mzuri sana Mungu akafanyike baraka kwenye maisha yako ya ndoa 🙏🙏🙏🙏🙏
Wimbo upo vizuli Mungu akulinde
Wow Io nyimbo nmpendaa tu xna daa ndoa njema ❤❤❤❤❤
Amina xanax mung awe nanyii daimaa
Wedada kwakweli ulifikilia mmbali mungu akubaliki uwe amaisha mema
Aminaaa iwe Ivo hata kwngu nmeipend iwe zawd kwa rafk Ang kpenzz xuzy
Karina nyimbo za ndoa basi mwimbo huu nimeupenda sana asant dada kwa wimbo wako
Hongera sana dada umenifanya na mm nitaman hiyo siku yangu ifike bwana yesu akubariki sana
Hii ndoa ninjema na mungu ameibarik kwa bibi harus sina shaka ila kama bwana harus nichaguo la huyu dada labda watenganishwe mungu awalinde na awape furaha ya ndoa yenu amen
Nataman na mm siku moja niwaimbie hiv wazaz wangu. Nimejikuta nalia wimbo mzr.. Mungu awatunze ktk ndoa yenu.
Hongera Sana dada mungu akutie nguvu kweny ndoa yako
Dada ongera kwa wimbo mzuri pia nikumbuke nikiwa Kenya naitwa karembo
Hongera sana dada Kwa nyimbo nzuri 🇰🇪
Wimbo nimeupenda hongera sana mungu akutangulie kwenye ndoa yako
Hongera dada❤❤❤❤
Hongera classmates wangu Hallelujah,Mungu akubariki mamy Engel.
Powerful song sweet wow nice, congratulations ♥️👍
Mungu akulinde dada sana akupe nguvu naupendo katika ndoa yako
Wimbo upo vizuri sana....
th-cam.com/video/wVW9e3MI_gM/w-d-xo.html
Ubarikiwe sana Dada kwa ujumbe mzuri sana kwa wazazi wako ni mfano mzuri kwa mabinti wengine Amina
Great voice and message, it's good to appreciate your parents and remember where you came from......yes utamwacha Baba na mama uambatane na mumeo hayo ni maandiko......zidisha hiyo sauti Kwa maabudu God bless you.
th-cam.com/video/wVW9e3MI_gM/w-d-xo.html
Hongera dada wimbo mzuri unasisimua mioyo
Hongera sana dada Mwenyezi mungu aibariki huduma yako na awatunze kwenye ndoa yenu Amen
Mungu Akuongezeye Karama. We are waiting for to your mother city in Bukavu Drcongo. Please you are welcome
Hongera dada karibu kwenye chama Cha wamama
Duuuh aise umenigusa sana dada ang mung akulinde na macho mabaya ya wat
Wow ubarikiwe Sana mamaa Kwa wimbo wako mtamu muishi Maisha MEMA Na bwanako
Good song my sister mungu akulinde kwenye ndoa yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
So beautiful song❤️cant wait sing this in my marriage ceremony
Mungu nisaidie nifike huu kuu kwa ndoa wa amani......naomba njiyia yakufike kwako .....baba❤❤❤ nice song ....with continuous blessings in your marriage
❤❤❤❤
Hongera kwa wimbo mzuri
Hongra San dad Angu.❤
Why am I cutting onions 🥲🥲may God guard your marriage sister ❤nice song
Oooh jamani.Nimekosa la kusema mimi.Ni hekima kubwa itokayo juu kwa Bwana Wetu Yesu Kristo.Na ikawe heri kwenye Ndoa yako Amina.
Mungu amlinde nmeguswa san
Mungu akubariki dada Kwa wimbo mzur
Dada hongera kwa wimbo Safi . mungu yupo nasi
Upate maisha mema ya ndoa yako ubarikiwe na mungu
Nimebarikiwa sana na huu wimbo mzuri sana ❤❤
Asante dada nyimbo hii imenitoa machozi mungu akubariki
mungu akupe wepes uzidi kuinuliwa
Huu wimbo nibora nisinge usikiliza, nimè bubujika kutosha,
MUNGU akutangulie dada na bwana alusi,
Amen amen 🙏 🙌 👏 barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen 🙏 🙌 👏
Ucjali watakaribiaaa sana kwa jinsi walivyoobatikiwaaaa jmn
Glory be to God 🙏Hii imeweza sana❤
Hakika MUNGU AKUBARIKI Dada nimelia Mimi huu sababu sikuwa na wazazi wa kuwaaga hongera kwa Sana kwa kukumbuka wimbo mzuri kwa wazazi ubarikiwe Sana ndoa yako ilindwe na Mungu
Hongereni Kwa majisifu Yako Kwa bwana jitaidi kuyavumilia
Mungu aitangulie ndoa yenu dada ndow yenu ikawe yakuingwa na watu wote nimeupenda Sana wimbo huu
Hongera kwa wimbo nzuri sana ,na ukafanyike baraka kwny ndoa yko❤❤❤❤🎉
Hongera xana dada na mm na wish Nije niimbe
Ahsant kwa ujumbe wako mzur ashukuliwe mama alie kuzaa na kukutunza sku zote za maisha yak
MUNGU akubarikie sana❤❤
Nimeipenda San namm Niko njiani kufunga ndowa man mungi akubaliki can Dada yangu
Wimbo mzuri tunapmba jina jaman❤❤❤❤❤
Amen amen 🙏🏾 Ubarikiwe sana wimbo ni mzuri sana.
Amen Amen,huu wimbo unaguza mno
Wimbo mzuri mno ,Mungu ailinde ndoa yako
kweli huyo dada ameimba kweli mungu amlinde jaman