Asante Kwa elimu nzuri ,nimeelewa Ila Nina swali moja, je hiyo 33.3% inaweweza kulipwa yote ndani ya mwezi mmoja au ni lazima ilipwe Kwa kila mwezi Kwa kipindi cha miezi 6? Naomba kujua namna ya kukukotoa pia.
Hayo mafao mbona hayana tarehe maalumu, mtu anashindwa timiza malengo kwa maana haitabirki tarehe mnaweka pesa, sijui hata hii nchi shida ni nini!! Pesa ni zetu, ila tunavyosumbuka! Si mtupe Tu zote tufanye biashara kama mifumo yenu ina uzembe!
Malalamiko yangu nsssf mnamo 2018 wafanyakazi wenu walifika kampuni kwetu tunapofanyia kazi wakatoa elimu kuhusu umuhimu wa kujiunga na mfuko huu wa kijamii lakini kilichoendelea hata zile kadi za uanachama hatukujua ziliishia wapi na baada ya elimu ile kilichofatia tulianza kukatwa pesa kila mwisho wa mwezi hadi leo 2024 lakini hakuna aliyefungiliwa account wala kuingiziwa pesa kama tulivo ahidiwa sasa wafanyakazi hatujui pesa tunayokatwa inaingizwa wapi?
Mlipo ya pension ni tshs ngapi?kwa MTU aliyemaliza miezi18, ambayo aliyekuwa anapata mshahara wa kima cha chini ,amezeeka miaka 60 mbona hamuweki wazi,.tunaambiwa Mafao manono,.mnatuacha kwenye ukiza/gizani., na kuna asilimia ngapi pamoja na faida?au analipwa mchango wake tuu ,aliyochagiwa,
Mnavyosema awe ameachishwa kazi.. yule mwanachama wenu anayeenda kuishi nje ya nchi kwavile amepata ajira huko mnamuhudumia vipi!?? Maana lazima aache kazi Tanzania!
Ahsanteni kwa maelezo ya Manager yameniridhisha sana nilikuwa sijuwi kiundani hiyo 33.3% now nimeelewa zaidi.
Hakuna haki mnayoifanya ni uonevu tu😢
Huu utaratibu wa hovio sana
Asante Kwa elimu nzuri ,nimeelewa Ila Nina swali moja, je hiyo 33.3% inaweweza kulipwa yote ndani ya mwezi mmoja au ni lazima ilipwe Kwa kila mwezi Kwa kipindi cha miezi 6? Naomba kujua namna ya kukukotoa pia.
Kiukweli nssf mnatunyanyasa yan
Sijawaelewa
Hbr nssf vipi haya mafao bado yote yapo au kuna mabadiliko samahani naomba kujuzwa tafadhali
Hasa hili la wasio na taaluma.
Nikilipwa 33 % kwa miezi 6, na bado sijapata ajira naweza kupata akiba iliyobaki yaani 67%??
Hayo mafao mbona hayana tarehe maalumu, mtu anashindwa timiza malengo kwa maana haitabirki tarehe mnaweka pesa, sijui hata hii nchi shida ni nini!!
Pesa ni zetu, ila tunavyosumbuka! Si mtupe Tu zote tufanye biashara kama mifumo yenu ina uzembe!
Malalamiko yangu nsssf mnamo 2018 wafanyakazi wenu walifika kampuni kwetu tunapofanyia kazi wakatoa elimu kuhusu umuhimu wa kujiunga na mfuko huu wa kijamii lakini kilichoendelea hata zile kadi za uanachama hatukujua ziliishia wapi na baada ya elimu ile kilichofatia tulianza kukatwa pesa kila mwisho wa mwezi hadi leo 2024 lakini hakuna aliyefungiliwa account wala kuingiziwa pesa kama tulivo ahidiwa sasa wafanyakazi hatujui pesa tunayokatwa inaingizwa wapi?
Kabla ya hiyo miezi sita mtu akipata ajira nje ya nchi mnafanyaje?
Asante kwa elimu, vip kama mwanachama atakuwa amechangia miezi 12 tu? Hawezi kupata mafao yake???
Atapata 50%ya michango yako
Ombi kwanini mafao ya mwanachama wa n s s f yaditumike kama dhamana?
Mlipo ya pension ni tshs ngapi?kwa MTU aliyemaliza miezi18, ambayo aliyekuwa anapata mshahara wa kima cha chini ,amezeeka miaka 60 mbona hamuweki wazi,.tunaambiwa Mafao manono,.mnatuacha kwenye ukiza/gizani., na kuna asilimia ngapi pamoja na faida?au analipwa mchango wake tuu ,aliyochagiwa,
Je mafao ya kustafu mwanachama anatakiwa kuchangia miezi mingapi?
Nilitamani kusikia kama huyo mwanachama amemaliza miezi 18 bila kupata ajira mpya, je ni kweli kwamba NSSF inampa michango yake yote?
Ndioo
Mnavyosema awe ameachishwa kazi.. yule mwanachama wenu anayeenda kuishi nje ya nchi kwavile amepata ajira huko mnamuhudumia vipi!??
Maana lazima aache kazi Tanzania!
M v. 2n