ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Je endapo mwajiri wangu hajaniunganisha na NSSF mwajiriwa atakua na haki ya kudai mafao yangu.
Maoni yangu Nssf ingejaribu kupitia makampuni ambayo yanawafanyakazi ambao hawachangii michango ya wafanyakazi wao ili hali wameajiriwa
Nilini mwanachama wa n s s f atamiliki nyumba?
Je naweza kuchuja mkopo kupitia nssf yangu Kwa ajili ya kupata nyumba au kiwanja?kufuatana na uwasilishaji wangu wa nssf?
Tunaomba akiba ya n s s f itumike kama dhamana ya mikopo benki
Kwanini mafao ya mwanachama wa n s s f yaditumike kama dhamana ya mikopo?
Hii nssf kama ingekuwa sio sheria nisingekuja kuchangia huu mfuko hadi nazeeka .Mnatesa watu mnoo .
Kwanini mwana chama wa n s s f kumiliki nyumba?
Maelezo mnatoa lakini mwanangu ameacha kazi kutokana na matatizo ya afya yake sasa anafatilia pesa yake ni million 1 mbona mnasema azikupewa pesa zake eti zifike million 3 naomba ufafanuzi