FAHAMU KUHUSU KIKOKOTOO KIPYA SEHEMU YA KWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @user-le2ep5nq8c
    @user-le2ep5nq8c 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nasema mtuibia tu wizi mtupu mungu atawalani

  • @esgardmmanyi-cx7bb
    @esgardmmanyi-cx7bb 8 หลายเดือนก่อน +1

    WIZI MTUPU,MBONA MMEWAOGOPA WANAJESHI(JWTZ),HAKUNA FAIDA YOYOTE)

  • @abuujihad8411
    @abuujihad8411 7 หลายเดือนก่อน +1

    kwan ukipewa zote huwez kufanya maisha yako ya baadae

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢 aiseee Bora tuhame

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pumbavu

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kutudanganya kuwa kuna faida, wakati fedha za mifuko ya Pensheni mmeingiza ktk miradi isiyo na tija. Kama inalipa basi waguseni na wanadiasa wabunge na Rais.

  • @franksabuni8063
    @franksabuni8063 หลายเดือนก่อน

    Kuna wastaafu wanadai kutoka saruji tanga,wansumbiliwa malipo

  • @Mwl_Sanga
    @Mwl_Sanga 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pumbafu kabisa

  • @edwardobreymarunda496
    @edwardobreymarunda496 7 หลายเดือนก่อน +1

    12:03 kwa urahisi kabisa bila kumumunya maneno 12.5 ni umri ambao mifuko inadhani wengi wataishi na baada ya hapo ni kifo. Ukiendelea kupokea monthly pension baada ya hapo ni hasara saana kwao.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wizi huu hatuutaki tupeni fedha nyingi kwa mkupuo tupeni 50% then then 50% nyingine mtulipe kila mwisho wa mwezi

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 ปีที่แล้ว +1

    Rudisheni kikokotoo cha zamani Mnawaibia watu hela zao, mtu kashatumikia kaz miaka kibao kama alikuwa apate milion 70 anapata 15 milioni au 20 mtu hajajenga, hajanunua shamba au kiwanja, kama muislam hajenda Makka, hakuna faida hata moja mpen pesa zote mstafu

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula ปีที่แล้ว

      😂😂😂 eti.muislam.haenda.maka

  • @user-bx3em9jc6m
    @user-bx3em9jc6m 11 หลายเดือนก่อน

    Hakuna haha mmoja anaekitaka bora nyamaza Mungu atawalani

  • @user-jo8ir5ib7m
    @user-jo8ir5ib7m 11 หลายเดือนก่อน

    Asallamu allaykumu shekhe vp Hali yako

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna aliye pokea kwa mikono mwili sio kweli someni comment za watu wanao umia

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 4 หลายเดือนก่อน

    Wizi huo

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 ปีที่แล้ว

    Mimi sikubaliani kabisa 67% ibaki na serikali mtatuua mapema na fedha zetu kubakia Kwa serikali hili si sawa kabisa: Rudisheni kikokotoo cha zamani

  • @user-wz3tt4hw2h
    @user-wz3tt4hw2h 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe unaongea pumba ,msenge nini.

  • @japhetkonga6293
    @japhetkonga6293 11 หลายเดือนก่อน

    SI kweli unachoongea

  • @joshualazaro9168
    @joshualazaro9168 ปีที่แล้ว

    Ahsanten kwa elimu Bora . naomba kuuliza kwa mwajiriwa asiye na taalumu mmesema anaweza kushukua fedha zake zote je atachukua kwa kufuata ile asilimia 33.3 mpaka ziishe au atachukua kwa Mara moja?

  • @StanleyMnobwa-oz9nz
    @StanleyMnobwa-oz9nz 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie tupeni pesa zetu zote mtuonee huruma

  • @ishe_ngo8926
    @ishe_ngo8926 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye maamuzi katili kwa wastaafu ndiyo haya. Yaani ongeeni blabla zenu ila mwisho ni dhuluma tu

  • @obadiamwakalebela6076
    @obadiamwakalebela6076 7 หลายเดือนก่อน

    Haki za wastaafu 2022 ......ndiyo watunisha mfuko wa Mifuko? Bado sijaridhika kabisa, nashauri tupewe, hiyo hapo nyuma iliishije?

  • @lidyateddy6950
    @lidyateddy6950 8 หลายเดือนก่อน

    Mikono miwili gani labda mitatu

  • @StanleyMnobwa-oz9nz
    @StanleyMnobwa-oz9nz 7 หลายเดือนก่อน

    Tunataka asilimia 50

  • @lidyateddy6950
    @lidyateddy6950 8 หลายเดือนก่อน

    Huu ni uonevu mtupu wapeni watu hela zao

  • @tobiaskigodi3780
    @tobiaskigodi3780 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe hujielewi wala hujui unachongea!

    • @omariramso7323
      @omariramso7323 5 หลายเดือนก่อน

      Kaka nieleweshe yani unalipwaje lipwaje mana sielewi

  • @ginweniima912
    @ginweniima912 11 หลายเดือนก่อน

    Mm ninaswali je mfano mtumishi baada ya kupokea 33percent then akafariki hiyo asilimia 67 ilibaki inaenda wapi?

  • @obadiamwakalebela6076
    @obadiamwakalebela6076 7 หลายเดือนก่อน

    Mstaafu anapofariki, mafao yake atapewa nani?

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 11 หลายเดือนก่อน

    Watumishi mstuke na nyie ujinga umewazidi kazi ufafiki2 na kujipendekeza mnadhulumiwa mmekaa kimya

  • @BernardMwakipesile-nq5ze
    @BernardMwakipesile-nq5ze ปีที่แล้ว

    Ujinga unafiki uongo unyonyaji dhuluma tupu