Bravoooo, clam hili umeliweza kweli, nmeifatilia epsd 01 to 10 and I prove it done, hongera sana bro clam, its a great job keep it burning, hii bado cjachoka kuiangalia
Nilivyona Clam yupo ndani nikaona niangalie. Mara zote huwa na view na kuenjoy lakini siachi comment. Kiukweli Wewe pamoja na wenzako Mpo vizuri naamini hii Movie inahitaji boost kidogo tuu ili intrend ila nawaona kwenye picha kubwa kwenye tasnia ya filamu. Mungu awalinde na kusimamia afya pamoja na kazi zenu. Mnastaili Pongezi 👏👏👏🙌
Tunapenda movie nyengine kama hii ama mnasemaje mashabiki wa clam vevo....kusema kweli niko na asilimia mia moja watu wengi tumependa hii filamu...hongera kwa kaka na ndugu yetu clam na hakika filamu hii ameitendea haki na anahitaji pongezi kwa hiki alichokifanya maana haikuwa rahisi.
It was nice one Mr but ugepush iendelee Dio ufunze adabu hao wote waliofanya unyama kwa Ziduna ..na Dio tujifunze ubinadamu and kutafuta Mali polepole mbila kufikiria ushirikina
Kama unamkubali my brother from Tanzania nipeeni likes Kwa wingi guys ata Kumi bana Juu sijawahi pata likes apa aki am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🗺️
Kwani kuna soko la kuuza likes mzee mbona unazitaka sana hizo likes
😂
@@cosmascastory9193😂😂
Hii kitu ingeendelea ni tamu sana
Noma!! Kwa staili hii mtaifufua bongo movie. mm nlikuwa nsha acha kuangalia bongo movie. Mlio unda hii movie mna akiri sana mtatoboa.
Nimekuwa wa kwanza fanya ulike basi ❤️love form Germany 🇩🇪
From. German wapi bana ww daaaaag
@@cosmascastory9193 na mimi from china 🤣🤣🤣
Ilikuwa nzuri kaweli,,hongera sana kwa filmu mzri kaka
Fresh sana clam umefanya kazi kubwa sana 🔥🔥
Tunavyoiangalia ni km hatujawah kuiona...clam ndo ujue tunakupenda Kwa Hal na Mal...kutoka kucn Pemba Allaah akubaarik mahbuuubaah
Nc
Hiii movies haichoshi kuangalia hatare sana kazi nzuri sana clam
Dahhh uyo mwanamke aloigiza kama mzimu dahhh ni mzuri sana. Amenikosha kwel
Nampa kongole aloandika hafithi hii
Na wote waigizaji
Kuna mafunzo Mengi ndani yke shukran nyote #naenda nyumbani
Bravoooo, clam hili umeliweza kweli, nmeifatilia epsd 01 to 10 and I prove it done, hongera sana bro clam, its a great job keep it burning, hii bado cjachoka kuiangalia
Hii imeweza isay
Hii movie mliianza viizur,lakn ilipoishia haikustahili iishe hivoo..
Wakwanza Leo au , oya msilike
Nilivyona Clam yupo ndani nikaona niangalie. Mara zote huwa na view na kuenjoy lakini siachi comment. Kiukweli Wewe pamoja na wenzako Mpo vizuri naamini hii Movie inahitaji boost kidogo tuu ili intrend ila nawaona kwenye picha kubwa kwenye tasnia ya filamu. Mungu awalinde na kusimamia afya pamoja na kazi zenu. Mnastaili Pongezi 👏👏👏🙌
Kenya Nairobi twasema kazi nzuri💥💥
Congratulations clam VEVO a gd. And educated comedy, much educated " yaani tusije tu kakata tamaa, na hakuna kizuri kisicho garamika,,,
Wa kwanza leo
Tulio fatilia penz la mzimu kama Season Adi tumemaliza tupi like apa tujuane 🔥🔥
Likes za nn mjomba wewe Acha ushamba wa kuomba omba likes kwa watu wakati Kazi ya Clam Vevo wewe waomba likes zikusaidie nn wewe
@@cosmascastory9193 🤗🤗🤗🤗 Umeuaa
@@cosmascastory9193 mjomba achaushamba wew kama hutaki kupiga like pitatu achakuongea maneno mengi wanaonielewa watapiga like
em
Kuwa makin na madem wa dar
Nime fulaiya sana movies. Niko Congo, nord-kivu.
Tunapenda movie nyengine kama hii ama mnasemaje mashabiki wa clam vevo....kusema kweli niko na asilimia mia moja watu wengi tumependa hii filamu...hongera kwa kaka na ndugu yetu clam na hakika filamu hii ameitendea haki na anahitaji pongezi kwa hiki alichokifanya maana haikuwa rahisi.
😊😊😊😊
😊😊😊😊
😊😊😊😊
Dah hii muv zur sanaaa
Baba hongeza bidihusikatetama mambonisafi kabisa
1st viewer here...thank for all and we're okay with it and we've watched all of it....thank you,Kuja na nyngne twasubiria..More Love from 254 🇰🇪
Mmeweza bongo movie mtafika mbali Sana du!
Bro ume fanya Sawa kwaku onganisha yote ni Sawa sana bro wewe sana una busara sana
Penzi la mzimu nimekuwa nikifuatilia toka 1-10 final! Hatimaye imefika mwisho; kazi nzuri mno na nimejifunza mengi sana kwenye hii story.👏🙌🔥
Kutoka niijue snake boy nmependa movie zako lakini hii imeweza hongera Clamvevo 👌👌👌
U r amazing clam nakukubali sana unajua ile ile lkn hpo kwa zinduna kubadilisha nywel mmetupiga
Clam upo vizur best endelea kutupa burudani mashabik wako tunataka Raha tu
Leo nimekuwa wakwanza nipen like zangu🥰🥰🥰
Good one!! I was interested about this movie!! From Burundi 🇧🇮 but now In Zambia🇿🇲
😅
Mko vzr sana!
Asantee sana kwa muunganiko huu wa episods
Nimelipenda Sana ningependa watoe lingine Kama hilii 🔥🔥🔥🔥🔥
Leo nimewah🥰🥰🥰
Nimeipenda hiyo ✌️🔥 I'm from Kenya 🇰🇪 Malindi
Sema zinduna mwenyewee mzuriiii hatariii😂😂😂
Congratulations 🎉🎉👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Clam umefanya kazi nzuri sana 👍
Like zangu
Napenda movie clam, wah naenjoy huku tube to be 🤡
Asante Sana cram VEVO
Kwakweli vipindi zenyu huni frahisha kwakweli ata nikiwa nimekasirika nafrahiya bd zinduna imenifunza kakitu kweli big up watu wanguvu mwendele ivyo ivyo
Konki sana
Wakwanza noeni likes za zinduna
Kwani kuna soko la kuuza likes mbona unazitaka likes kama mali unaenda kuuza wapi
Wow nzuri sana hongera
Mbn n Giza jamani 😞😞😞😞😞🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nime ipenda hiii kazi ..😍😍😍
Imekaaa poaa sanaaa.kaz nzur
Mzimu umejitahidi kubadilisha nywele
Mko vizur sana kazen msuri namuona mrithi wa kanumba sasa
One Love from Uganda
Dah hii imeenda
Wow nice movie ❤nimeipenda
Yaan hii move safi sana❤
Mimi ndo wamwicho like zenu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
New sub here
Kazi njema Clama, Hilo ni fundisho katika maishani mwetu 😢
🔥🔥🔥 clam umetisha sana 💯 keep up the good work
clam vevo na cluu yako mnajuwa mpaka mnakera mana kila kigongo kinamshinda mwenzie hongereni sana
Full move ya nini ?? Si tulisha ona hiyo ??
tupo sisi ambao hatupendi kusur tanataka movie nzima
Upo sawa kaka hongera sana endelea MUNGU atakusaidia
It was nice one Mr but ugepush iendelee Dio ufunze adabu hao wote waliofanya unyama kwa Ziduna ..na Dio tujifunze ubinadamu and kutafuta Mali polepole mbila kufikiria ushirikina
Nimefuatilia kutoka mwanzo Hadi mwisho🔥🔥yaani mpangilio ni sawa na mmefanya kazi safi sana ✨hongera kabisaa❤️👏👏
Nimeipenda 🎉🎉🎉🎉
Ndoto Ya namna gani clam We auoni ishara mtu kila time munakutana makaburini sasa ujuwe
Akiikosawamuvi
Au sio mmeamua mtupe kitu kizim ila nimependa ujuwe kunawatu niwavivu kufuatilia season kwahiyo bila shaka kunakitu mmewaza biggap sana.
Woow by sanihati kibo
❤❤ on
Clam endelea hivo hivo.... Hizi za one hour plus ndio vitu vyenyewe..kazi njema...
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Shabiki wa kwanza wa clam huku youtube naomba like jmn nipo wa kwanza
Unatak upeleke wapi likes kwani kuna soko la likes
Shabikiwatatu
Ikosawa
Wow, what a creativity!
Great one. I like it 🤠
napenda kazi zako sana CLAM hii kazi safi #kenya nakuona
Big love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Love you more from kenya❤big up❤❤❤❤❤🎉
Hi nimeipenda hii movie ni nzuri sana ubarikiwe
Uyu mganga tumepigwa🤣🤣 anyway ni moja ya burudani movie tamu na nzuri balaha nakufatilia sana clam
This movie was very nice❤
Clam mm pia nataka kua mzimu wa kenya tngu mwnzo hadi mwsho aah pumbavu zangu mm jmn
Hongera zako movie nzuri sana jaman
Clam malaya habari zako pôle sana tena asante sana kwa movie hii
Saniford mapunda ipo vizur Sana yani nami naitaji kuji unga na wewe tafazali yanj
Man roo tz nimekubali dogo endelea kua m bunifu sanaa ubunifu
Wow...
Bring onother one
Its so lit
Kweli hii movie imeweza, you are the Greatest showman endelea hivo hivo brother
Sema sis ulo mchezesha hapa mzuri sn naowa 🫠😁
Umeangukia bro
Congratulations...nice job anzeni ingine tuko pamoja
Nimi mu miss huyu DaDa
Kupenda ni poa lakini kuendelea matatizo ❤
Mm wa number 43 nipe likes zangu at least 44🤦
Kwan likes zinauzwa au mbona wazihitaj sana hivoo
good work m'y brothers am proud of you
Wenizaid ya waigizaji🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂 clam bhn unanivunja mbavu
Waganga wako bro 😂
Tumefwatila Kama sisone
Content nzuri Safi sana CLAM 🎉🎉
ila uyo Bro wako kacheza vizuri kinoma Uhalisia mule mule ani nimependa 💯💯❤️🔥
Jamani mganga akata mauno😂😂...Clam na team yako bana 🙌 🙌
Jaman hii kitu ya moto kweli
Clam unajua kaka
Imeweza sana naipenda