NILIKUWA NAUZA MADAWA YA KULEVYA NILIPIGWA NIKAFUFUKIA MOCHWARI |TULIKUWA WEZI |MAITI IMEFUFUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @uredipeter412
    @uredipeter412 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana bro

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว +15

    Huyu mwandishi nampenda sana
    Anahoji kwa hekma sana
    Kweli kz ya yk unaiweza👍👍

    • @mouwanahamisi8216
      @mouwanahamisi8216 2 ปีที่แล้ว +1

      Tunajifunza hasa

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 2 ปีที่แล้ว

      yupo vizuri sana

    • @Johanah7721
      @Johanah7721 2 ปีที่แล้ว +2

      Sanaaaaa adi raha ♥️♥️♥️

    • @noors7030
      @noors7030 ปีที่แล้ว

      Mashaallah anastahili kua muandishi hongera kk

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว +11

    Ila inaonyesha madawa hajaacha kutumia sababu hiyo midomo ilivyoharika mtamgazaji mshuri huyo jamaa awe anampenda kutafuta Carrot 🥕 na awe anampenda kupika Cabbage 🥬 na alitie vitunguu vingi hiyo Hali itakwisha humor midomoni.

    • @jumanassoro1552
      @jumanassoro1552 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana kwa ushauri wako nazani utawasaidia watu wengi ushauri wako

    • @zidadumbepo1486
      @zidadumbepo1486 ปีที่แล้ว

      labda bange Ila siyo heroen

    • @rajabu4692
      @rajabu4692 ปีที่แล้ว

      Naomba namba yako ya simu nahitaj elimu Zaid katika hili

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 ปีที่แล้ว +5

    Apime damu kwanza

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว +6

    Jamani anakiri makosa
    Anatakiwa asaidiwe sio kuhoji tuuu

  • @phibijuilus7748
    @phibijuilus7748 2 ปีที่แล้ว +1

    hongereni madoctor kwa kz zuri

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 2 ปีที่แล้ว +5

    Anavyoelezea ugumu wa maisha mpaka inaskitisha wallah maisha magumu jamani

  • @naomysalim6477
    @naomysalim6477 2 ปีที่แล้ว +3

    kuna story ya mkaka mmoja alikua anafanya kaz mochwari,alisema mwizi alipigwa wakajua amekufa bwana akafufuka..kumbe ndo uyu jaman🙌🏼🙌🏼

  • @Tinatana30
    @Tinatana30 2 ปีที่แล้ว +9

    Sawa tumewasikia na Polen sana ila sasa sisi kama wanafamilia wa Maximum Tv tunafanyaje ili kuwasaidia Hawa ndugu zetu ??

  • @officialdoablej6455
    @officialdoablej6455 2 ปีที่แล้ว +7

    Maskini huyu kaka anaumwa hayuko sawa kabisa 😔😔

  • @khadijakdj8640
    @khadijakdj8640 2 ปีที่แล้ว +2

    Ww mwenyewe unakunywa pombe uruka inaonyesha 😂🤣

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 ปีที่แล้ว +2

      Mdomo sasa huruma

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 ปีที่แล้ว +3

      @@aminakipande5645 hiyo ni mouth cancer kiss zinaambukiza na kuna hizi pombe kali pia husababisha

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 ปีที่แล้ว

      @@judithmelvinealuchio8968 ni cancer au makovu ya kuungua

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 2 ปีที่แล้ว +4

    Jamani huyu mkk asaidiwe jamani
    Anatia huruma

  • @hawa45kisula34
    @hawa45kisula34 5 หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyujamaa akiongea anakaamgonjwaalafu pia anaupungufuwa afraid damu

  • @mwastimsingi9373
    @mwastimsingi9373 2 ปีที่แล้ว +5

    Wanatakiwa wasaidiwe sio kuwauliza tuuu

  • @josphatmwai1994
    @josphatmwai1994 2 ปีที่แล้ว +1

    Jesus Christ mtembelee huyu ndugu. Nairobi tupo

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 ปีที่แล้ว +3

    Inaoneka hanavidole maskini

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 ปีที่แล้ว +1

    S sahihi kabisa lakini hamkuweka no yake tukitaka kumsaidia chochote

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว +1

    Wacha na hizo sigara pia zote ni madhara makubwa sana

  • @ruthjohn4317
    @ruthjohn4317 2 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli huyu mkaka anaakiri basi tu jamn ugumu wa maisha kweli kila jambo linasababu kbs Mungu amkumbuka tu.

  • @stevenkapanga7156
    @stevenkapanga7156 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaman maisha haya

  • @ReychoMc
    @ReychoMc 2 หลายเดือนก่อน

    Weken namba zao tuwasaidie

  • @jinnahsameer
    @jinnahsameer 28 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢 daaa hadi inauma

  • @josemsafimusic3389
    @josemsafimusic3389 2 ปีที่แล้ว +3

    YESU PEKEE TU NDO ALIYEFUFUKA KUTOKA KWENYE KIFO HAO WENGINE WALIPITIWA NA USINGIZI MZITO WATU WAKAJUA WAMEKUFA

    • @victoriankanue7849
      @victoriankanue7849 2 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣👍👍👍

    • @jacquilinenoah949
      @jacquilinenoah949 2 ปีที่แล้ว +2

      nmecheka sanaa😂😂😂

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 2 ปีที่แล้ว +1

      kenya nikiwa mdogo sana kuna muchungaji alimuua muchungaji mwenzie sababu ya cheo na aliua mwenye alikuwa ameokoka kabisaa maziko muuaji mwenyewe akawa ndio anamusomea ile ya fumbi kwa kwa vumbi jeneza lilitoka likamukaa kichwani wakatwaa wote wakapotelea kwa mawingu haya mambo yapo ila mungu akiwapea second chance huwa wanaokoka huyu tuseme labda alipitiziwa na maumivu sio hata usingizi na ilikuwa njia ya kujiokoa mungu alimuokoa ubaya anatusi watu mungu ndiye mwamuzi siku zote

    • @stellah3844
      @stellah3844 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣Huyu alizimia

  • @zeddydaqueensy4612
    @zeddydaqueensy4612 2 ปีที่แล้ว +3

    Duuh maisha haya jamani hadi huruma

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa usharudi kwa Mola wako

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 ปีที่แล้ว +1

    pole

  • @mamafau9806
    @mamafau9806 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kama mteja uyoo avuti unga kwer uyoo mmm

  • @najmamosha7443
    @najmamosha7443 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 2 ปีที่แล้ว +1

    Dua pole kaka mapito hayo

  • @saifal-harthi2080
    @saifal-harthi2080 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka yangu namuonea huruma

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 2 ปีที่แล้ว +1

    Mung mwema mochwar kabisa 🙄🙄🙄

  • @beathamahatane2205
    @beathamahatane2205 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anakuhitaji umtumikie sasa

  • @mecksaloon81
    @mecksaloon81 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akufanyie wepesi

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 2 ปีที่แล้ว

    Ipo siku mungu atakupa usikate tamaa mungu yuko na ww

  • @comedywaves1091
    @comedywaves1091 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana ndugu yangu

  • @matishomateso4639
    @matishomateso4639 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @marryjonas6973
    @marryjonas6973 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana

  • @fatumakhalidi7066
    @fatumakhalidi7066 2 ปีที่แล้ว +2

    We ni Eric mtoto wa herieti chumila mdogo wa rucy na caro na mashana?? Nijibu moyo wangu upoe mana kama ni wewe nimekukea sana pale yombo 😊😊

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 ปีที่แล้ว

    Dah pole sana huyu atakuwa ana ukosefu wa vitamin ndio maana mdomo huko hivyo 🤲🤲

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 2 ปีที่แล้ว

    daaa inasikitisha Sanaa MH hi Dunia inachangamotoo pole Sanaa"

  • @mishwanwanmish8803
    @mishwanwanmish8803 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +3

    Subuhanallah polekaka

    • @rukiasaid2039
      @rukiasaid2039 2 ปีที่แล้ว +2

      Uwache sasa kazi iyo

    • @rukiasaid2039
      @rukiasaid2039 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeamshwa ili utubu mwenyezi mungu kakupa muda ili utubu

  • @jasmineeomary2041
    @jasmineeomary2041 2 ปีที่แล้ว +6

    Sema wanawake tuna huruma sana🙌

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว +1

    Hee

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว +2

    Auwahu akibaru mtihani mkubwa mungu atunusuru

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 ปีที่แล้ว +1

    Inaoneka hanavidole maskini

  • @dottojafet9153
    @dottojafet9153 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Kaka Ni mkorof sn! Anapita kkoo akiombaomba ukimwambia sina anakutukana matus makubwa mpaka unakimbia,mshesz sn huyo

  • @aishaally8062
    @aishaally8062 2 ปีที่แล้ว +3

    Bonde la Muhimbili Hilo Nimekaa sana hapo Maisha Usikie mpaka Sasa hivi nipo Dubai namshukuru sana Mwenyezi mungu zaidi ya Sana.