Siku zote binadam halizishwi hata ingekua kula kaya ipewe m1 lakini wengesema2 kikubwa nakuomba maghufuli endelea kupiga kazi na mungu aendelee kukupa nguvu
Tunayo Amani na utulivu Tanzania tumuonyeshe Mungu shukurani ili asije kutugeuzia sababu haturidhiki na kheri tuliyonayo ni jambo lakutisha kwa wenye imani wanao ielewa Dunia ya sasa ilivyo haribika Tanzania inatengemaa vyema tushukuru na tupendane Mungu ni Mwema, TZ Hoyeeeeeee!!!!!!!
Huyu Magufuli alikuwa hana tafauti Uongozi zilizopita maana yeye alijifanya Mungu Mtu Allah ndiye muweza wa kila kitu yeye alijifanya Mbabe wa kila kitu Mungu mlipe Kwa walioyafanya Viongozi wote CCM maana wote wastahiki adhabu Yako Kwa Dhuluma wanayoifanya na Ufisadi wizi uwauji wa watu wasio na hatia kunyanganya kuiba Kura yote hayo wameyafanya wao Kwa ubabe Kwa sababu wanalindwa na vyombo vya Dola Na Tume ya Uchaguzi wote walipe kama alivyoiba Kura na kuwadhulimu Watanzania
We baba lowasa nakuchukia ktk Maisha yangu sitakusaau nilikua mjamzito 2015nikaenda jangwan nikakanyagwa mpaka Mimba ikatoka nikaachwa na mumewangu Kisa were duu baadae nasikia umerud ccm a kudadekii natamani started. Fe
Raymond Kaswaga Wewe lowassa pumzika, ungekuwa mzalendo, au kiongozi safi na mzalendo, usingehama chama, baada ya kuanguxhwa kwenye kula za maoni,Unauchu wa madaraka, Muache raisi afanye kazi yake.Acha uxhenzi,
mungu alipoina watu wake wanaangamia aliketisha jeshi lake na kushauriana nimtume Nani duniani je.? wewe ni nani ushauri utaki alafu mniombee.....kwamungu why....?
Yusuph Manji jitihada zako zimeonekana hasa wachezaji walipoendelea kucheza ili kukuenzi hebu wafikirie wachezaji wako, mashabiki, na hata timu waswahili wana msemo usemao mti wenye matunda ndio ushambuliwao ndugu yangu hebu kaa tafakari
lakini lowasa baba ukumbuke Tanzania ni kubwa sana kwa hiyo ww acha kama yalivyo .makufuli anajua afanye nn.ilo jembe .hapo kazi kwenda mbele .Tanzania itang,'aa tu.
Kila jambo na wakati wake tulipokwa tumefika pa kuwasha majereta kela pahali kuachi a. Makemikia kusafirishwa bila kujua kilichopo ecro ! Marameta rada na mengine mengi Tanzania hahitaji mazunguzo inahitaji kazi tuuuu Tumuache RaisiHuyu apige pasi tukishanyooka ndio tuzungumze mzee luwasa tulia mazuri yako tuliyaona ukiwa ccm na sasa tulia kama wenzako akina waheshimiwa 1mh Salmu amedi kliopa Msuya warioba nyiye wote wakati ukifika mtaongea sio sasa hivi hata kule sauzi kuna MTU aliitwa desmndi tutu aliongea mwishoni na Amani akaendelea kila jambo lina. Wakati wake

Mungu ailaze roho yako baba lala salama lala kwa amani
Atleast lowasa angekua raisi basi maisha yangekua poa kuliko yalivyo sasa. Big up Sir!!!
Kwa lipi Na hata ange kua rahisi mbali mama magwira ange fanya haya kwa sababu tulipo fika ilikua mbaya
Goodluck Goodluck Acha uvivu, kafanye kazi maisha yatakua poa.
ONESPHORI SHAYO maisha gan huna kaz
Mwenyezi mungu akuongoze katika kila jambo na afya njema tutafanikiwa kwa uwezo wake ☔
Dada mzuri huyo aliekua anamuhoji Lowassa.
He is my president, magufuli ni raisi wa ccm.
Jicho Mtego say it again
Siku zote binadam halizishwi hata ingekua kula kaya ipewe m1 lakini wengesema2 kikubwa nakuomba maghufuli endelea kupiga kazi na mungu aendelee kukupa nguvu
Lowassa daima alitanguliza siasa za amani na za kistaharabu sio kama wapinzani walio wengi wanaotaka vurugu ili wao wafaidike kimaslahi ya kisiasa
Tunayo Amani na utulivu Tanzania tumuonyeshe Mungu shukurani ili asije kutugeuzia sababu haturidhiki na kheri tuliyonayo ni jambo lakutisha kwa wenye imani wanao ielewa Dunia ya sasa ilivyo haribika Tanzania inatengemaa vyema tushukuru na tupendane Mungu ni Mwema, TZ Hoyeeeeeee!!!!!!!
Huyu alikua mzalendo WA kweli
Kweli siasa ni mazungumzo makubaliano na uelewano
2 years ago. Mmekosa habari!
Huyu Magufuli alikuwa hana tafauti Uongozi zilizopita maana yeye alijifanya Mungu Mtu Allah ndiye muweza wa kila kitu yeye alijifanya Mbabe wa kila kitu Mungu mlipe Kwa walioyafanya Viongozi wote CCM maana wote wastahiki adhabu Yako Kwa Dhuluma wanayoifanya na Ufisadi wizi uwauji wa watu wasio na hatia kunyanganya kuiba Kura yote hayo wameyafanya wao Kwa ubabe Kwa sababu wanalindwa na vyombo vya Dola Na Tume ya Uchaguzi wote walipe kama alivyoiba Kura na kuwadhulimu Watanzania
We baba lowasa nakuchukia ktk Maisha yangu sitakusaau nilikua mjamzito 2015nikaenda jangwan nikakanyagwa mpaka Mimba ikatoka nikaachwa na mumewangu Kisa were duu baadae nasikia umerud ccm a kudadekii natamani started. Fe
Pole dada
@@claudjoel9921 asante
Tamaa iyooo we babu
magufuli anataka sifa hafayi kuwa Raisi
mzee wangu pumzika sasa umetumikia taifa unayo thawabu kwa Mungu tayari
Raymond Kaswaga Wewe lowassa pumzika, ungekuwa mzalendo, au kiongozi safi na mzalendo, usingehama chama, baada ya kuanguxhwa kwenye kula za maoni,Unauchu wa madaraka, Muache raisi afanye kazi yake.Acha uxhenzi,
Kumbe Lowasa ulikuwa una busara....
Wewe lowasa mbona sikuelewi?
tamaa mbaya
Brasil vs uruguy
mungu alipoina watu wake wanaangamia aliketisha jeshi lake na kushauriana nimtume Nani duniani je.? wewe ni nani ushauri utaki alafu mniombee.....kwamungu why....?
Yusuph Manji jitihada zako zimeonekana hasa wachezaji walipoendelea kucheza ili kukuenzi hebu wafikirie wachezaji wako, mashabiki, na hata timu waswahili wana msemo usemao mti wenye matunda ndio ushambuliwao ndugu yangu hebu kaa tafakari
Hawa Amry
Tund lis
Wawe unamavumba ukumu yamwizi kwamikono yetu yaraiya tunakupiga moto wakubwa wezako wamekupa fea usiwacharazie washukuru kukupa dongo kenge wewe
Mamasai yatabaki kuwa mimasai tu
Punguza chuki
magufuli ni nyelele mpya
Mm magufuli namuona m binafs tu
lakini lowasa baba ukumbuke Tanzania ni kubwa sana kwa hiyo ww acha kama yalivyo .makufuli anajua afanye nn.ilo jembe .hapo kazi kwenda mbele .Tanzania itang,'aa tu.
Kila jambo na wakati wake tulipokwa tumefika pa kuwasha majereta kela pahali kuachi a. Makemikia kusafirishwa bila kujua kilichopo ecro ! Marameta rada na mengine mengi Tanzania hahitaji mazunguzo inahitaji kazi tuuuu Tumuache RaisiHuyu apige pasi tukishanyooka ndio tuzungumze mzee luwasa tulia mazuri yako tuliyaona ukiwa ccm na sasa tulia kama wenzako akina waheshimiwa 1mh Salmu amedi kliopa Msuya warioba nyiye wote wakati ukifika mtaongea sio sasa hivi hata kule sauzi kuna MTU aliitwa desmndi tutu aliongea mwishoni na Amani akaendelea kila jambo lina. Wakati wake
Mhuu
umechoka baba punzika mwache magu afanye vitu