MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WASTAAFU IKULU, AMSIFIA LOWASSA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 263

  • @mariamwakabuta1034
    @mariamwakabuta1034 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimemkumbuka huyu baba jamani MAGUFULI wetu jamani Eewe Mungu hili ni pigo Mungu tupe kama huyu tena wakutufuta machozi 😭😭😭😭😭

  • @mcgoodluckeventz2175
    @mcgoodluckeventz2175 6 ปีที่แล้ว +8

    Naipenda hekima hii. Mungu akubariki Mh. Raisi wetu Dr. John P.J. Magufuli.

  • @gideonmugusi5275
    @gideonmugusi5275 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimefurahi sana kuwaona hawa viongozi wetu pamoja hivi. Halafu huo wimbo wa Tanzania Yetu nusura unitoe machozi. Mungu ibariki Tanzania.

    • @anthonygikuri
      @anthonygikuri 7 หลายเดือนก่อน

      Huu wimbo ni wa kipekee sana. Mungu ibariki Tanzania na watu wake!!! Mungu tubariki watoto wake!!

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 6 ปีที่แล้ว +4

    Mh raisi umeanza vizuri sana sasa ikikupendeza raisi wetu naomba uwaite viongozi wa vyama vya siasa nadhani italeta picha nzuri zaidi katika kuwaunganisha wananchi wa vyama mbalimbali na kuwafanya kuwa Watanzania.Hatuna nchi nyingine isipokuwa hii hivyo tuungane kwa pamoja na kuijenga kuwa nchi bora kabisa ambayo vizazi vyetu vitaifuarahia na kujivunia thamani ya maisha yetu ya sasa.Tuijenge Tanzania na sio chadema,cuf,ccm,act wazalendo au chama chochote kile au kundi lolote lile na jukumu hili nakuomba mh raisi wangu ulifanye wewe ili wasaidizi wako wanapoona waache kufanya siasa na hatimaye wawaunganishe watanzania na kuwa kitu kimoja ili kuijenga nchi yetu hii pendwa kabisa.Nipenda Tanzania...Mungu ibariki Tanzania

  • @saidmathias8850
    @saidmathias8850 6 ปีที่แล้ว +8

    hicho ni kitu kizur sana kuzungumza na wazoefu ktk maendeleo y'a nchi
    Mh Rais

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 6 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli wewe ni kichwa mjanja vbaya mno.ILa wanakumaindi angalia sura xao

  • @songashaban1332
    @songashaban1332 6 ปีที่แล้ว +2

    Never happened before
    Congratulate to president JPM

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 6 ปีที่แล้ว +7

    Duh nilitamani nimuone hata RAIS KIKWETE

    • @petermoses1560
      @petermoses1560 6 ปีที่แล้ว

      Michano Michano kwanini haja come

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 7 หลายเดือนก่อน

      Ana kinyongo ana hasira alimtaka Membe sio Magufuri

  • @usamsonwilson1178
    @usamsonwilson1178 6 ปีที่แล้ว

    Magufuli yuko vzr ,tuchape Nazi tu

  • @sospeteragoshi5349
    @sospeteragoshi5349 5 ปีที่แล้ว

    lowasa nae ni mstaafu au alijihuzuru????

  • @samateryusuf4345
    @samateryusuf4345 7 หลายเดือนก่อน

    JPM kapigika hadi raha asante Mungu

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 6 ปีที่แล้ว

    Ukisikia serikal ni nani bas ndo hao Jpm piga job

  • @bonydemaria2030
    @bonydemaria2030 6 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania ni nchi ya kipekee sana...Ni bahati ya pekee pia kukutana na hazina hiyo. Chapa kazi mheshimiwa Rais kwa kuchota busara za Wazee wetu hao. Viva Tanzania..... Viva Magufuli.....aluta continue!

  • @Ambagaye
    @Ambagaye 6 ปีที่แล้ว

    Msekwa hakuwahi kuwa Waziri Mkuu

  • @abdulkuluwia6525
    @abdulkuluwia6525 5 ปีที่แล้ว

    Nlitaman nimsikie dingi kikwete

  • @aldoba2826
    @aldoba2826 6 ปีที่แล้ว

    Kuna mwingine alisema malofa

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 ปีที่แล้ว

    kama kuna aliemuelewa anieleweshe tafadhali

    • @allymachanokeis6781
      @allymachanokeis6781 6 ปีที่แล้ว

      Capt. A. Machano.
      Ni busara tosha ulicho kifanya mr. Magufuli.
      HONGERA.

  • @LebahatiLaizer-b4q
    @LebahatiLaizer-b4q 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika jpm kwaamani 😭😭

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 6 ปีที่แล้ว +4

    safi sana Mh. JPM piga kazi Tanzania ni vijana na wazee tuangalie maslahi mapana hasa ya kizazi kinachokuja

  • @bhokelucas9896
    @bhokelucas9896 6 ปีที่แล้ว

    wasanii wabongo fureva

  • @Ipagala_SDA_Children
    @Ipagala_SDA_Children 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee Mkapa, tukamlaza Lupaso, Magufuli amelala huko Chato, Lowassa tumemlaza Ngarash Monduli😢😢😢😢😢😢😢😢😢 ee Mungu tufundishe kuzihesabu siku zetu.

  • @maombinshedson5914
    @maombinshedson5914 6 ปีที่แล้ว +5

    kwl umefanya kitu kikubwa sana ,na chakuigwa , ila mheshimia unaonaje hata one day ukiwaitisha wazee wavijijini na wao uwape heshima hio yakipekee nawao wajisikie kuwa wanaye raisi wa aina yake yakipekee kuyiongoza tz

    • @kassimulugajo6512
      @kassimulugajo6512 6 ปีที่แล้ว

      Maombi Nsh Edson sasa atawaita wazee wa vijiji vingapi? au unataka afanye kampeni kila kijiji akutane na wazee? jambo hilo ni gumu kupita maelezo

  • @titussimiyu7645
    @titussimiyu7645 2 ปีที่แล้ว

    Leina O ngoyasi niko leki natron engaresero

  • @japhetntongani1179
    @japhetntongani1179 6 ปีที่แล้ว +7

    Mzee leo nimekuelewa sana kwa mara ya kwanza natoa complement yangu bila unafkir
    "Asiyejifunza ni mjinga, mzee Maghufuli nakupongeza sana sana!

    • @fantsonmpango7742
      @fantsonmpango7742 6 ปีที่แล้ว +1

      Japhet Ntongani .Huo s utaratibu mpya ulojifunza, hakuna kipya na cha maana hapo Kikwete alikuwa anakutana na wazee karibu wote kimikoa bila kuchagua nyadhifa zao ,acha hawa wasofika hata 20

    • @japhetntongani1179
      @japhetntongani1179 6 ปีที่แล้ว +1

      Fantson Mpango Nafkir kila mtu ana akili zake na nimeisemea nafsi yangu na sina shida na mzee kikwete
      Tatizo la watu mnaona madhaifu tu pongeza na mazuri na alojifunza ni mm sio wewe na haya ni maoni yangu ntashukuru kama ukinyamaza!!!

    • @aminisaid4434
      @aminisaid4434 6 ปีที่แล้ว

      Japhet Ntongani kweli

    • @jamesngundateresia2600
      @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว

      Japhet Ntongani good sana

    • @fantsonmpango7742
      @fantsonmpango7742 6 ปีที่แล้ว

      Ukiandika asiyejifunza unamaanisha nini!? Ndiyo sis tusiojifunza tunakujibu. Siku ingne semea nafs yako tu

  • @kabogodominika6305
    @kabogodominika6305 6 ปีที่แล้ว

    lowasa kakunja suraa

  • @Nicolao801
    @Nicolao801 6 ปีที่แล้ว +1

    umeanza vizuri lakini kama kweli unahitaji busara za wazee usiifanye iwe public, ita makundi tofauti, Ongea na Maraisi peke yao ongea nao private, mawaziri wakuu peke yao majudge peke yao. ikiwezekana hata mmoja mmoja . hapa mbele ya makamera unategemea nani atakuwambia mapungufu yako

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 6 ปีที่แล้ว +1

    Naomba nikushauri mh Raid na unilinde tafadhali sna Mara nyingine ukitaka kuongea na wazee wastaafu Waite bila makamera na uongee nao private .Asante

    • @xmaramoja362
      @xmaramoja362 6 ปีที่แล้ว

      Kabarana Maganga umenena kweli.

  • @josephnjeno2582
    @josephnjeno2582 6 ปีที่แล้ว +7

    Jambo jema sana endeleza utaratibu huo wazee ndo kila kitu japo namba wanaisoma nenda nao hivyo hivyo

  • @bahatifabian2804
    @bahatifabian2804 6 ปีที่แล้ว

    Hongera. Baba. Kwabsala. Ulzoonyesha. We. Nirais.wamufano.dunia.nzma

  • @missarngweshemi9983
    @missarngweshemi9983 6 ปีที่แล้ว

    RAIS JPMAGUFULI NI MTU mwenye nia njema mwenye BUSARA na hekima ndo maana ameweza kufanya jambo km hili. Yuko ktkt ya kipindi chake cha kwanza cha uongozi, Vila shaka nia yake anataka kupima kupitia viongozi wenye uzoefu ktk nchi hii, sio Marekani, Misri na kokote. Nchi ya Tanzania hao ndio wanaijua Tanzania na changamoto zake, wakimshauri utakuwa ni ushauri sahihi unaoweza kumfanikisha sambamba na malengo binafsi aliyonayo. Mungu akuzidishie hekima, uzalendo, upendo hasa kwa wanyonge na Tanzania kwa ujumla. Hao viongozi ni hazina kubwa inayoweza kuisaidia nchi yetu kuwa na dira nzuri au mwelekeo kutufikisha tuendako. Kabla hawajaondoka dunia, watusaidie kuweka mustka bari mzuri wa nchi. Mbarikiwe viongozi wetu na watanzania wote wenye nia njema mbarikiwe! Tutafika tu! TANZANIA TANZANIA, NAKUPENDA KWA MOYO WOTE.........!

  • @rajabumzuwanda7505
    @rajabumzuwanda7505 6 ปีที่แล้ว

    Waiga jala

  • @mwanamatofali6981
    @mwanamatofali6981 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera sana mh. kwa kuendelea kuonyesha ukomavu na upendo wako kwa viongozi walio kutangulia kukupa mawazo mema ya kuendelea kuinyosha nchi yetu!

  • @vanbeezy258
    @vanbeezy258 6 ปีที่แล้ว

    nimeipenda

  • @msafirihotai7200
    @msafirihotai7200 6 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Mungu azidi kukufunilia ili nchi yetu I we mfano kwa mambo mazuri,in mfano bora kabisa kukutana na watangulizi na kubadilishana mawazo.hongera sana...

  • @eliothchaula6513
    @eliothchaula6513 6 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @angelusilljujalijuja9852
    @angelusilljujalijuja9852 6 ปีที่แล้ว +1

    mungu ibariki Tanzania hongera jpm

  • @naumimjwanga7317
    @naumimjwanga7317 6 ปีที่แล้ว

    mbarizi

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 ปีที่แล้ว +3

    Asante san mwenyez MUNGU kwa muongozo mzuri kwa raisi wetu

  • @gabrieldavid3689
    @gabrieldavid3689 7 หลายเดือนก่อน

    R.I.P JPM

  • @geofreymlingwa2914
    @geofreymlingwa2914 6 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations to our President Dr Magufuli God may bless you because you have shown a love to all people in the country

  • @franktibikunda5717
    @franktibikunda5717 6 ปีที่แล้ว +5

    big up sana Rais

  • @jworld1480
    @jworld1480 7 หลายเดือนก่อน

    JPM

  • @jumaself5496
    @jumaself5496 6 ปีที่แล้ว +5

    Upo vizuri mheshimiwa rais

    • @petersangaya1891
      @petersangaya1891 6 ปีที่แล้ว

      Juma Self nakupenda president wangu.

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 6 ปีที่แล้ว

    Respect to u President J P M kwa hekima na busara za kuwaita wazee hakik umefanya jambo la maana mno👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @issackibrahim840
    @issackibrahim840 5 ปีที่แล้ว

    Pinda vp?

  • @yahyangasama71
    @yahyangasama71 5 ปีที่แล้ว

    Hotuba hii ina mafundisho ya kuhusu uchumi naomba waandishi waichape inafaa kujifunza nchi inavyoenda mbele nimeipenda

  • @regonmshanga8989
    @regonmshanga8989 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana rais wetu umefanya jambo, jema kiukwel hauna kinyongo na mtu, big up sana baba

  • @jackisonijackisoni6715
    @jackisonijackisoni6715 5 ปีที่แล้ว

    Saf jp

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 2 ปีที่แล้ว

    Sina chakusema leo imebaki picha mkapa ayupo,malimsefumagufuri wangu ayupo tenanabaki kuangalia picha tu Mungu wetu ni mwema sana endelea kupumzika kwa amani

  • @MrSoftBrains
    @MrSoftBrains 6 ปีที่แล้ว +1

    sijamuona Kikwete na Malecela

  • @masudiitembele5414
    @masudiitembele5414 6 ปีที่แล้ว +1

    wap kikwete jaman hapo

  • @gmaemba22
    @gmaemba22 6 ปีที่แล้ว

    Very good President... ila naomba sana Tanzania waruhusu watu wake kua na passport mbili...pls pls...Baba Raisi wetu Magufuli. Mimi ni hilo tuu.
    Ila kwa hili tukio la kiistoria nakupongeza sana...ongezeni ushirikiano na serikali ya New Zealand...

  • @sabinajoseph9297
    @sabinajoseph9297 6 ปีที่แล้ว +2

    Ushirikishwaji mzuri hongera sana rais wetu

  • @aminisaid4434
    @aminisaid4434 6 ปีที่แล้ว +1

    Rais Magufuri Mungu akupe maisha marefu wewe ni mfano wa kuigwa

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 ปีที่แล้ว

    Mbona Mh.Rais ulisemaga ushauri hutaki? Alisema mh.yusuph makamba ulikataaga alichokushauri.Je leo watakayokushauri utayafanyia kazi?

  • @jacphaelyjohn2445
    @jacphaelyjohn2445 6 ปีที่แล้ว

    alichokifanya presdent J. P. M. kingeweza kutuliza ghasia ilioghasilishwa na walioghasiwa maana ni cha busara Sana

  • @mwanawetumwagora6283
    @mwanawetumwagora6283 6 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuijalia Tanzanian iwenchi yaamani upendo ,namshikamano,bilakujali dini,ukabila,itikadi zakisiasa,na ujinsia,furaha ingenizidi mwalimu,nyerere pia angekua hapo Bali nimipango ya mungu ,tufuate mazuri,yake,.sasa naona JP atafuata ushauri,japo hataki kupangiwa.

  • @brhchannel6618
    @brhchannel6618 6 ปีที่แล้ว +3

    Good Mr. President!!!

  • @charleskidima1178
    @charleskidima1178 6 ปีที่แล้ว +1

    Kikwete wap

  • @margaretmwingira1339
    @margaretmwingira1339 6 ปีที่แล้ว

    Ni muhimu sana kukumbuka wazee na mchango wao appreciation! Hongera Dr. John Magufuli kwa kutambua/acknowlegde viongozi wote walioitumikia nchi!

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 6 ปีที่แล้ว

    Binafsi nimependezwa na hili.... Ila jitahidi kufuata ushauri usiamini yako tu

  • @iddiupepo8449
    @iddiupepo8449 6 ปีที่แล้ว

    Makonda mbona hujamwita na yeye ni rais

  • @salustianmlingi1561
    @salustianmlingi1561 6 ปีที่แล้ว

    Dk Raisi Magufuli nakukubali Sana we ni kiongozi bora usiyeyumbishwa mwenyezi mungu akubariki uendelee kuwa na msimamo

  • @timotheokileo4335
    @timotheokileo4335 6 ปีที่แล้ว +3

    Great my presider

    • @mafikiritwinzi8856
      @mafikiritwinzi8856 6 ปีที่แล้ว

      Nafuatilia kwa ukaribu
      Ni hekima kubwa ameitumia.
      Itakuwa ya maana sana kama itakuwa na positive outcome.
      Kwa mustabari wa nchi yetu well done Mh Dr JPM

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 6 ปีที่แล้ว

    Amepungua mutu mmoja muhimu ila yeye ni mwandishi wa habari na si mwingine nae ni "MAYALA"

  • @chabakakilumanga2206
    @chabakakilumanga2206 6 ปีที่แล้ว +1

    JPM MAY ALMIGHTY GOD CONTINUE TO BLESS YOU

  • @saitotisaitoti6734
    @saitotisaitoti6734 6 ปีที่แล้ว

    Nyie MCL mbona mnanong'ona chinichini hadi tunawasikia 😂😂😂

  • @salustianmlingi1561
    @salustianmlingi1561 6 ปีที่แล้ว

    Hakika ulichokifanya ni zaidi ya Upendo na haijawahi kutokea kwa kiongozi yeyote binafsi ninakupongeza sana

  • @yussuffundy4162
    @yussuffundy4162 6 ปีที่แล้ว

    mnafikiria magufuli fala anajijengea mazingira mazuri ya 2020

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 6 ปีที่แล้ว

    Mimi fikra zangu naona Kama kweli tuko na nia tubadilishe Katiba ituongoze tu, na sio maamuzi na fikra za mtu yatuongoze, hata waitwe nani ni bure sbb hatutekelezi, Trump kama si katiba yao USA angelishaitia moto..

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 7 หลายเดือนก่อน

    Jamaani magufuli mungu akutolee adhab za kaburin

  • @suitbertmaro5792
    @suitbertmaro5792 6 ปีที่แล้ว

    Mhe Rais kazungumza Vizuri sana pia kafanya Vizuri kuwaita wazee ikulu haijawahi kutokea. Mungu azidi kumbariki.

  • @omaringulipa3426
    @omaringulipa3426 5 ปีที่แล้ว

    Spika huy n mxtaafu...? Mwite na cieijiii..

  • @missarngweshemi9983
    @missarngweshemi9983 6 ปีที่แล้ว

    Haijapata kutokea chini ya jangwa la sahara! Nia njema ni tabibu, nia mbaya huharibu!

  • @bezaspilo8449
    @bezaspilo8449 6 ปีที่แล้ว

    Mimi sikusifiiiiii hata chembe. man bado sioni unacho kifanya. unatuumiza wana tz.

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 6 ปีที่แล้ว

    Pia Mh. Rais hongera kwa kutaka ushauri kwa waliokutangulia hivyo ndivyo tunavyotakiwa kuishi Mungu Akuongoze zaidi.

  • @engkihundo4161
    @engkihundo4161 6 ปีที่แล้ว +1

    Jambo la maana sana. Endelea na moyo wa kutambua mchango wa watangulizi wako katika kazi. Big up

  • @shamilamanyalika248
    @shamilamanyalika248 6 ปีที่แล้ว +1

    kikwete mbonasijamuona

  • @mohamedgendem569
    @mohamedgendem569 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Rais Magufuri,si tu umefanya jambo kubwa bali ni mfano wa kuigwa na nchi nyingi duniani,si kitu rahisi kukipata sehemu nyingine duniani. Hiki ni kielelezo cha upendo mkubwa tuliona watanzania.

  • @shabanimtua7235
    @shabanimtua7235 6 ปีที่แล้ว

    Hivi nchi hiki inawaziri mkuu mstaafu?au kunamawaziri wakuu waliopitwa na muda kwakuachwa na marais au kwa kupitwa na muda,maana Tanzania haijawahi kupiga kura kumchagua waziri mkuuu.

  • @honoratinyamwihyura1172
    @honoratinyamwihyura1172 6 ปีที่แล้ว

    Mbona kama Bw.mkapa anaogapa kumuangalia Mr.president

  • @iddiibrahim5963
    @iddiibrahim5963 6 ปีที่แล้ว

    Nimewahi kuwa kiongozi ktk uwakilishi wa kata, vikao kama hiv vina tija sana lkn kuna baadhi yao wanashindwa kuyasema walionayo, mh rais ongeanao kimakundi MF, majaji, maspika, mawaziri yawe makundi tofauti mwisho malizia na marais hapo utayapata mazuri zaidi ya Jana, Leo na ya kesho

  • @yohanamsengi3396
    @yohanamsengi3396 6 ปีที่แล้ว

    Una moyo wa pekee baba wengine hawawezi kuwa na moyo kama wako, ubarikiwe sana ! Chuki na moyo wa ubaguzi hazileti masilahi kwa taifa letu! Mungu akupe maisha zaidi mzee wetu!

  • @jumachuku9813
    @jumachuku9813 6 ปีที่แล้ว

    Unatulisha upepo unayo yasema hayatoki moyon wakileta fyoko wanatumbuliwa

  • @drmuha5419
    @drmuha5419 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Rais wetu mungu akulinde na akuongezee hekima maradufu

  • @mashangwanambalu6219
    @mashangwanambalu6219 6 ปีที่แล้ว

    Maji yashaanza kuzidi unga.Busara inaanza kuingia n.a. kuwashwa washwa kunabadili upeo!

  • @raphaelpaschal7892
    @raphaelpaschal7892 6 ปีที่แล้ว

    nimefurai sn hongereni Waze wa Tanzania safi sana magu hongera mkapa kwakumlea vyema rais wetu

  • @faustaclemence2511
    @faustaclemence2511 6 ปีที่แล้ว

    Lakin Mr.President ungeanza na kuwaba msamaha jamani..Wengine waliambiwa wanawashwawashwa..ha ha haaaaa..Ni baraka pia hiyo

  • @binurarassi8156
    @binurarassi8156 6 ปีที่แล้ว +9

    Nakupongeza sana Rais wetu Magufuli, siku zote Nakuombea mema Mungu akulinde Rais wangu.

  • @georgekyando325
    @georgekyando325 6 ปีที่แล้ว

    what I learn from you

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว

    Jamani nangoja povu kutoka sacos

    • @alexdaniel7214
      @alexdaniel7214 6 ปีที่แล้ว

      hana lolote siku zote hajawaona anaona jahazi linazama ndio wanakua wa mhimuu mmm ukubwa dawa ,

  • @rajabseleman1708
    @rajabseleman1708 6 ปีที่แล้ว

    kiukweli sijaona kama we we ijapo walio zowea kupinga watasema daima mungu akulinde magu

  • @hamiscosmas4667
    @hamiscosmas4667 6 ปีที่แล้ว

    Hali ngumu mtaani wazee mwambieni ,ndugu yenu atatuua huku

  • @rehemasangali8158
    @rehemasangali8158 6 ปีที่แล้ว +2

    Wazee full mnuno

  • @bedsonjohn2051
    @bedsonjohn2051 6 ปีที่แล้ว +2

    Big up president

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 7 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu mrehemu baba yetu magufuli

  • @franklukas485
    @franklukas485 6 ปีที่แล้ว +3

    Good idea

  • @metiliole7189
    @metiliole7189 6 ปีที่แล้ว +4

    Mbona hawana furaha

    • @mohamedmunene2108
      @mohamedmunene2108 6 ปีที่แล้ว

      Watafurahi tu

    • @mohamedmunene2108
      @mohamedmunene2108 6 ปีที่แล้ว

      Mungu akuzidishie, akupe maisha marefu

    • @missarngweshemi9983
      @missarngweshemi9983 6 ปีที่แล้ว

      Metili Ole Wanashangaa, hawaelewi, wameshikwa na simanzi hawajui lengo lake. Wengine hadi wafike nyumbani ndio watazinduka na kuelewa kilichokuwa kinaendelea.

  • @abdulkareemally8371
    @abdulkareemally8371 6 ปีที่แล้ว

    Nilijua Umewaita Ujiuzulu kumbe upo.

  • @batulimwasisime4795
    @batulimwasisime4795 6 ปีที่แล้ว

    HAPO BORA MKUBWA WA NCHI YAANI UMESHANGAZA DUNIA HASA KWA AFRICA HONGERA RAIS JONH