Good work bro Sky, hizi ndo vitu twataka kuskia. Sio mambo hayaeleweki .watu mahusiano yao wakae nayo wenyewe. Si pia tuna yetu ! Informative interview .
Issue sio wachaga sema personality ya mtu kwani wolper humuonagi akisema hizo you know afu na yule Beyonce wa mlela vp je sio mchaga hahahahaha, kwanza huyu mama mtu mzima na nusu hata asingekuwa mchaga hayo mashauzi ya kazi gani
MAMA❤️❤️❤️ I love U, naomba uwe Bibi wa watoto wangu nimekupendà,,master j,Ongera Sana uwa nakupenda Sana hasa maamuzi yako,
Good work bro Sky, hizi ndo vitu twataka kuskia. Sio mambo hayaeleweki .watu mahusiano yao wakae nayo wenyewe. Si pia tuna yetu ! Informative interview .
We need to hear more of this beautiful woman, yani anatema madini ya Tanzanite.
Muache kutuletea story za wamama wa hovyo kila siku.
Mashallah mama mzuri kweli amefanana na mwanaye
Wamefanana mpaka sauti hongera mama
Mama yuko so discipline
Safi sana Skywalker....mama Master J yuko pouwa sana, so composed. Kuhusu elimu ya akili, ningependa kujua jinsi ya kupata hiyo elimu ya akili.
Vizuri kusikia mama anakuja credit bado mpo hai congratulation masta J
This is classic interview, waiting for sehemu ya 2
Mama ana historia nzuri,,,,Sio mambo ya "" NILIPOTOKA MSOGA KIMBEMBE,, NALIKUWA NAUZA MAGIMBI STENDI KUU""
Umeonaee..kuna watu wanaishi wengine tunasukuma siku tu.
Tako kweli wewe😂😂😂😂😂😂
@@damariszuckschwert9489 sote tunaishi
Kila mtu na fungu lake kimaisha na zote ni neema za Mungu aliyetoa uhai.
Mama uzeeki mungu akuweke zaidi. Na unaongea km master j
Kweli haikua rahisi master j
Mama kasoma kafanyakazi mashirika ya kimataifa anaongea kiswahili kizuri sana wangekuwa wengine hizo pua zingebanwa balaa
Hahaha ni balaa
Yaan balaaaa aseee
Hawa ni ni mama zetu wa miaka hiyo wanajitambua critically
I can listen to this woman the whole year ana story tamu sana
Mama mungu akubariki
Kwa wazazi wote nishaona interview za ma celeb huyu mama J yuko sawa unlike the rest 😘 good work Sky
Huyu mama nimempenda bure sana
Anafanana na mama duuuu
My role mode. Ninafwatilia nyendo zako sana mama. Endelea tuu kunivutia kwa kweli
Umeonaee🙌
Determination is very very good in a person,Thanku mama 4 ur encouraging story👏👏👏🔥🔥🔥💪❤️🌞🙏🇰🇪.
Such a nice Interview
Mashallah wamefanana sana
Joachim jina la my uncle..
Maashallah Mmefanana
Mpaka sauti pia yafanana na master j.
This interview is next level, I enjoy every bit of it , the journey to success need sacrifice 🙏🙏🔥
Mama yuko very articulated
Jamaa kamchukua sauti mama yake aisee mpaka hiyo kusema dah master j mtupu
Du,kafanana sana mast j
Daaah,mama na busara zake,kafanana na Master J🤔🤔🤔
Duh, kwahiyo master J hajasoma kabisa st. Kayumba zetu
Kizazi cha wasomi hichi.😁
Hahaha wa kishua huyo
Asingeweza kufanya studio kwa miaka hiyo kama sio wa kishua. Lazima hela iwepo home ndio maana majani na master ni kishua
@@bullermgana213amini mzee
Bigup sana #SkyWalker kwa exclusive hii ya kipekee🔥💯
Asante sana fam
Sawa kabisa
Tunakusubiri sehemu ya pili
Mama wa kitanzania ....amenyooka katika kuongea kwake
❤❤❤❤🔥🔥🔥
Wachaga huwa hawana mashauzi hata kidogo. Angekuwa mwingine you know, you know, you know zingekuwa nyingi sana kwa mazingira aliyopita huyu mama.
Issue sio wachaga sema personality ya mtu kwani wolper humuonagi akisema hizo you know afu na yule Beyonce wa mlela vp je sio mchaga hahahahaha, kwanza huyu mama mtu mzima na nusu hata asingekuwa mchaga hayo mashauzi ya kazi gani
Wewe wachaga mashauzi kibao. Huyu mama anajitambua sana lkn you know mnazo nyingi tuu tunawafahamu
Haichoshi kabisa hii
Hizi ndo interview, siyo mara harmorapa anagombea mtoto mara nn
Duuuuh kumbe hajatokea kwenye njaa!!!
Research, mwandishi wa habari hukujiandaa kujua mtu unayeenda kumhoji ili upate madini ya kutosha
Malikia wa nguvu
M
Mama anamadini sana huyu.
Mama yuko very articulated