🛑FRIJI BOVU AANIKA UKWELI WA KAGOMA KUFUTA PICHA ZOTE INSTAGRAM, SIMBA NA MANULA WAFIKIE MUAFAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ธ.ค. 2024
  • FRIJI BOVU AANIKA UKWELI WA KAGOMA KUFUTA PICHA ZOTE INSTAGRAM, SIMBA NA MANULA WAFIKIE MUAFAKA #azamfc #football #footballclub #globaltvonline #live #millardayo #simba #wasafi #yanga #simbasc

ความคิดเห็น • 26

  • @syliviamurondoro4690
    @syliviamurondoro4690 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atakuponya kagoma usikate tamaa tunakuombea mchezaji wetu nzuri sana.❤.

  • @alfayeedtemp7268
    @alfayeedtemp7268 3 วันที่ผ่านมา +2

    Tunakupenda saaana kagoma utapona mungu mwema

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 4 วันที่ผ่านมา +8

    KAGOMA TUNAKUPENDA SANA SIMBA. MU GUNIMWEMA UTAPONA TUU NA UTAENDELEA NA KUIPAMBANIA TIMU KUBWA TENA PENDWA NCHI I

  • @jamesjames2368
    @jamesjames2368 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mmesahau Manula alivyojichana na vioo kule Mwanza! Dakika za mwisho kabla ya kuanza mchezo. Manula bado anahitaji kuwaomba msamaha wanasimba

  • @haidaris.kalunga9541
    @haidaris.kalunga9541 3 วันที่ผ่านมา +2

    We ni mpuuzi. Nani alikuambia Kulikuwa na kesi TFF? Unadanganya kwamba waliambiwa wakaelewane! Usilinganishe na kesi ya Lameck Lawi! Kagoma tangu day 1 ni mali halali ya Simba. Hao waliokuwa wanadai ni Mchezaji wao waliishia kukata viuno tu na mkataba. Usipende kudanganya watu Kwa makusudi

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kagoma tunamhitaji uwe nafuraha simba

  • @ChrissMayega
    @ChrissMayega 4 วันที่ผ่านมา +2

    We Fuliji bovo umesahau manura alicho tufanyia yani aliumiza watanzania. Wangap yeye Leo kuumizwa kidog tu mnaanza kupiga kerere

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 3 วันที่ผ่านมา +1

    wana simba tutulie tutapata majibu tarehe 15mwezi huu kwenye dirisha dogo

  • @Changajunior
    @Changajunior 3 วันที่ผ่านมา

    Kauli nimeipenda ya bilioni kumi

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 3 วันที่ผ่านมา +2

    Manula lazima akubali kuwa camala is the best than him.

  • @Changajunior
    @Changajunior 3 วันที่ผ่านมา +1

    Dizaini kama amekata tamaa

  • @YustinoMchopa
    @YustinoMchopa 3 วันที่ผ่านมา +1

    Alikuwa analipwa kwa kazi yake

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 4 วันที่ผ่านมา +2

    Wamshauri tu wampe mbinu za kisasa zakibiashara za mastaa wote duniani ni mitamdaoni

  • @Niika870
    @Niika870 4 วันที่ผ่านมา +1

    Manura😂zile 5 hatujasahau weee

  • @TumainiSawee
    @TumainiSawee 2 วันที่ผ่านมา

    Hivi huyu manura kasahau mambo aliyo tufanyia?

  • @ThadayoGroly
    @ThadayoGroly 3 วันที่ผ่านมา

    Nikajua kafuta point

  • @Changajunior
    @Changajunior 3 วันที่ผ่านมา

    Mbona kama nina mueewa isufu kagoma kama jina lake huyo ameona hatajwi kwaio ame ona atafute prani b ili ajipatie sita nakujiblandi huko nyinyi hamjuitu

  • @ismailhamisi3461
    @ismailhamisi3461 4 วันที่ผ่านมา +1

    Viongozi waliamua Chasambi arudi sio kwa matakwa Yako usidanganye watu

  • @petroyohana200
    @petroyohana200 4 วันที่ผ่านมา

    Neno "aghalabu" hujalitumia kwa usahihi. Ulipaswa kutumia neno "nadra" ambalo ni kinyume cha neno "aghalabu". Nadra maana yake ni mara chache lakini aghalabu maana yake ni mara nyingi.

  • @careymariahhhh
    @careymariahhhh 4 วันที่ผ่านมา

    KAMA HAPENDI MITANDAO HILO NI JUU YAKE YEYE A FOCUS NA MPIRA AKIPONA KABISAAA APAMBANIE NO AWE FIRST ELEVEN AACHE KUWEWESEKA

  • @janethelly4986
    @janethelly4986 3 วันที่ผ่านมา

    Kafanyiwa nn na wewe?mbona unatuchanganyaa🙄🙄

  • @pinomjata678
    @pinomjata678 3 วันที่ผ่านมา

    Tatizo wachambuzi wengi wa Tanzania wanapenda kuonekana wanajua vitu au wao ndio wenye taarifa kuhusu timu/wachezaji/wahusika.
    Kweli wewe ni friji bovu unawalalamikia Simba kuhusu kilichotokea kwa Manula hata taarifa kamili huna unachofanya ni ku-speculate tu. Manula alishapanda ndege na akaumwa ghafla na ikashauriwa abaki nyumbani, wewe ni daktari friji bovu?
    Eti unasema ulipiga kelele kuhusu Chasambi mpaka sasa hivi anacheza, wewe ni nani? Unashindwa kujua utovu wa nidhamu ndio ulisababisha mwanzoni asiwe anacheza
    Friji Bovu acha kupotosha na kupenda kutengeneza unnecessary headlines

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 4 วันที่ผ่านมา

    Kama hataki kukaa benchi si aondoke!!! Camara🇬🇳 anatosha

    • @careymariahhhh
      @careymariahhhh 4 วันที่ผ่านมา +2

      Kabisa asituchoshe yeye Sio mkubwa kuliko simba

  • @Changajunior
    @Changajunior 3 วันที่ผ่านมา

    Atakua huyu ninatoka wale mamluki