Salama Na SHUSHO SE6 EP06 FULL SHOW |LUKA 11:9-13 PART 2|SendTip MPESA LIPA NO 5578460

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
    Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Kabla ya haya mazungumzo sikua nimewahi kukutana na Mwanadada Christina Shusho, ila habari zake nilikua nazo za kutosha tu. Hodari, Dada, Mama, mcheshi, mwenye sauti ya kumuamsha aliyelala, kumuelewesha asiye fahamu na mwalimu kati ya waalimu wa maisha na muziki.
    Ilikua faida kwangu mimi kukutana naye na sikuacha kumuangalia kwa admiration ya hali ya juu, kila likilokua linatoka kinywani mwake lilikua funzo kwa upande wangu bila hata ya kujilazimisha. Ukichukulia yeye si moja ya watu ambao naongea nao mara kwa mara, ki ukweli nilifurahi sana. Mama wa watoto na alikua mke wa mtu ambaye kwenye macho ya watu tunaomuona na kumkubali sana hatuwezi kuelewa au kuamini simulizi za mitihani ambayo ameshawahi kupitia mpaka sasa kuwa yeye ni mmoja kati ya wanamuziki HODARI wa muziki huu wa kumtukuza Mungu na kutufundisha wajibu wetu.
    Maisha ni safari ndo kitu sote tunajua, ila safari za wengine huwa na mabasi, au lifti, au punda, au kubebwa. Kila mmoja ana njia yake huku sote tukiwa tunataka ‘kufika mjini’. Je yeye ‘alifikaje? Alikua na usafiri? Alibebwa? Alitembea? Alifikishwa au alizaliwa huko mjini? Simulizi ya maisha yake itakufanya utamani kusikia zaidi na zaidi. Toka siku ya kwanza ya kujitambua kwake na kuolewa akiwa na umri mdogo. Biashara za aina gani alishawahi kufanya? Kipi kilimfanya aingie ndoani mapema? Maisha hayo yalikua vipi? Kuhusu wazazi wake? Na ndoto zake wakati akiwa anakua? Kwenye masuala ya dini aliingiaje? Na je kuhusu uandishi? Kuongoza kanisa? Mapenzi yake kwa Kenya na wa Kenya na wanavyomkubali? Je alishawahi kutamani pengine angekua mtu wa KE tu? Mahusiano yake na viongozi wa Siasa wa Kenya? Mahusiano yake na muziki wa nyumbani? Afya ya akili? Malengo yake endelevu? Khadithi za baadhi ya nyimbo zake ikiwa pamoja na Relax?
    Mazungumzo tulivu na mtu makini, kama kawaida yangu na wenzangu tunatumai nawe uta enjoy kama nasi tulivyo enjoy, Rafiki.
    Love,
    Salama.
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪TH-cam Link bit.ly/TH-camS...
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 51

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 4 หลายเดือนก่อน +2

    Salama umekuwa very respectful. It’s a very respectful interview. 👌🤜🏽 You knew what she wanted to keep to herself and you didn’t prob her and you knew what she wanted to express and encouraged her. You didn’t interrupt or insinuate, you listened and took notes as a life student, you were truly interested in what she was saying. It is really worth our time to listen to this. Big up Salama

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Christina, Nyimbo zako zilinitia moyo katika vipindi vigumu vya Maisha yangu. Ubarikiwe.

  • @mosesbusanya963
    @mosesbusanya963 2 ปีที่แล้ว +7

    Moja ya watu wanaojua kujieleza vizuri na kujibu maswali kwa ufasaha , this womsn is very smart 👏👏👏 christina

  • @Fondo0
    @Fondo0 ปีที่แล้ว +3

    She is so much reserved when issues of family are touched on.

  • @MRiki03
    @MRiki03 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akupe maisha marefu Salama One day utaniita kwenye hii watu watajifunza wasioamini

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 2 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana mtumishi, kama ulivyo sema cha kwanza ni kujitambua Wewe ni nani, wapi ulipo, na wapi unatarajia kufika 🙌🙌
    You’re such a great interviewer Salama, Mungu akuweke 🙏🙏😍

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 2 ปีที่แล้ว +2

    I really like the way Christina speaks

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 2 ปีที่แล้ว +6

    I was cry in my heart coz I have a Dream something I notice is to fight for my vision,Yani nimeongeza hasira ya kustrugle to reach the place I want to be

  • @Antoniokarani
    @Antoniokarani 2 ปีที่แล้ว +7

    I love what you do Salama. Your Interviews are very raw and genuine. Looking forward to meet you some day. ❤️From Kenya.

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 5 หลายเดือนก่อน +1

    Anajibu fact mno

  • @loiceamugune6711
    @loiceamugune6711 2 ปีที่แล้ว

    I just love you Salama.You are such an inspiration to me and many you give people a voice and a chance to speak.Love your work mamaa

  • @aliceejayi4023
    @aliceejayi4023 2 ปีที่แล้ว

    Wow nice interview hongera sana salama hakika tunajifunza mengi kutoka kwa mama shusho tungetamani arudi tena

  • @filotheaflorence788
    @filotheaflorence788 2 ปีที่แล้ว +1

    Much love to shusho 🥰🥰God Be With you 🙏🙏

  • @gracedonati4206
    @gracedonati4206 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani hapa Shusho ndo alikuwa anaanza story but ndugu mtangazaji umekatisha kipindi. Kama vipi muite tena na mahojiano yaanzie hapo alipoishia

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 2 ปีที่แล้ว +1

    ameeleza vizuri sana kuhusu manabii wa uongo,wengi huwa hawapendi kusubiri wakati wa Mungu ufike,wanataka shortcut.

  • @elizabethsanga9184
    @elizabethsanga9184 2 ปีที่แล้ว +2

    Okay nimejifunza hapo kwa watumishi fek kumbe niugumu wa maisha tu, lakini mwanzo halikuwa lengo lao hilo

  • @mako331
    @mako331 2 ปีที่แล้ว +4

    Ninapenda nyimbo za huyu dada, ila namshauri asikubali kuimba nyimbo zako kwenye mikutano ya siasa utaharibu wito, alafu punguza kuiga Kiswahili cha wakenya kidogo

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 2 ปีที่แล้ว

    Nice interview love u Shusho🙏🙏🙏

  • @nicki1885
    @nicki1885 2 ปีที่แล้ว +1

    Courageous woman !

  • @beatriceberthajoshua8825
    @beatriceberthajoshua8825 2 ปีที่แล้ว

    Tunamuomba na pastor rose shaboka please itapendeza saana

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 2 ปีที่แล้ว +2

    Sure ni kazi ngumu kwwli but if you are sure that you called in that field God almighty will take you through,

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Christina uko vizuri!😍 Nazipenda busara zako, hekima yako, na ujasiri wako ! 🤗 Gombea Ubunge Kigoma, kamsaidie kazi Mama Rais! 😃👩‍🎓😃

  • @johnjohn3839
    @johnjohn3839 2 ปีที่แล้ว

    Interview bora kabisa

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 2 ปีที่แล้ว

    Show Kali sana unyama mwingi

  • @gideonrichard7577
    @gideonrichard7577 2 ปีที่แล้ว

    Best interview 🙌

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Good

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 2 ปีที่แล้ว

    .Love you christina ❤️❤️.Tuletee Rose muhando

  • @alicemalisa2109
    @alicemalisa2109 2 ปีที่แล้ว

    Rose muhando., Pastor Rose Shaboka

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 2 ปีที่แล้ว

    Shusho nakukubali sana mpaka salama kapoa

  • @Mapamboli-ep5fg
    @Mapamboli-ep5fg 2 ปีที่แล้ว

    Nice SHOW 😍

  • @ritahenry9756
    @ritahenry9756 2 ปีที่แล้ว

    Kwa interview hii, mpiga hela tu huyu

  • @lightnessexaudy615
    @lightnessexaudy615 2 ปีที่แล้ว +1

    Kristina kiingereza Kingi sana af tunataman kuhusu familia na mmeo

    • @linnetmbotto7212
      @linnetmbotto7212 4 หลายเดือนก่อน

      Yuko kazini. Hayuko sebleni kwake. Anajiongelea Brand yake. Kwanini ajichafue na mambo ya familia

  • @ndimbumiabdallah2806
    @ndimbumiabdallah2806 2 ปีที่แล้ว +1

    🥰🥰🥰🥰

  • @bellabakera
    @bellabakera 2 ปีที่แล้ว +13

    Loh she is hard to interview. Yaan kwenye maisha yake binafsi she is so private

    • @evelinaluvata1471
      @evelinaluvata1471 2 ปีที่แล้ว

      Yan mbaka umwelew lazima utulizee akil

    • @Karmatz
      @Karmatz 2 ปีที่แล้ว

      Jamani mmeshasema BINAFSI mmejua kwa kuimba kwake binafsi yake muachieni....tuanzie kwako binafsi yako unaweza kuiweka hadharani?

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 2 ปีที่แล้ว +1

    Jesca yuko vzri

  • @robertdominiko2667
    @robertdominiko2667 2 ปีที่แล้ว +1

    Shusho hataki ongelea maisha take ya kigoma

    • @mlomilucy8294
      @mlomilucy8294 5 หลายเดือนก่อน

      Kuna mcongo moja aliniambia ni jirani yake kule uvira..nilikataa kuamini ila alisema cristina ni mcongo kwa baba na mama kwao uvira..

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 ปีที่แล้ว

    Wanaanza na Mungu wanamalizia na shetani..,wahuni ndio wengi mjini na kwenye dini

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmh jesc is a destruction😓

  • @allpotentials8420
    @allpotentials8420 2 ปีที่แล้ว

    10:38

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว

    MVUTO WA KUOLEWA AU KUOWA
    m.th-cam.com/video/HdR6_C_pnto/w-d-xo.html

  • @neemalukala6588
    @neemalukala6588 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @petronilakimario8533
    @petronilakimario8533 2 ปีที่แล้ว

    14:17