Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2023
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
    Kwenye jiji la ‘Maraha’ hapa nyumbani kwetu Tanzania ambayo kwa miaka ya hivi karibuni sehemu za starehe zimekua tele na kila mmoja ana uwezo wa kula bata zake vizuri tu kulingana na urefu wa mfuko wake basi hakuna ambaye HAJUI jina la DJ huyu mahiri ambaye kwa ubunifu wake ameweza sana kubadilisha kabisa jinsi ambavyo wenzake walomtangulia walikua wanafanya. Yaani Ally alikichukua kitabu cha jinsi ya kutoa burudani kama DJ na kukichanachana na kisha akaanza kuandika cha kwake, ambacho mpaka tunaenda mtamboni kiiila msomaji wake anapeeenda ambayo yameandikwa na ambayo anaendelea kuyaandika.
    Wakati msimu huu unaanza Ally Bee hakua moja ya majina ambayo yalikua yameandikwa kama mmoja ya watu ambao tungependa kujua story ya maisha yake, kutaka kujua nini kinampa hamasa ya kufanya ambacho anafanya na pengine mambo mengine tele ambayo atakua na uhuru wa ku share na sisi. Ila kuna siku nilikua nyumbani na Rafiki yangu ambaye pia ni mdogo wangu Ndugu Sadam Almando Sanare ambaye nilikua namuuliza maswali kuhusu Dj mwengine kabisa huku nikilalamika kuhusu huyo mtu kwamba pengine kuna jambo haliko sawa kuhusu simulizi zake za baadhi ya mambo maana amekua kama anaongelea sana skuizi, then yeye akaniambia kuhusu Ally Bee (binafsi hupenda kumuita Ally Bee kwasababu wote tunamjua nyuki, na ukali wake lakini asali yake sote ndo kama hivyo, hopefully it will make sense kwake someday 😄). So wakati ananiambia nami tayari nilikua nishamuona, basi mengine yakaendelea kwenye meza yetu adhimu.
    Story ya maisha yake Ndugu yetu huyu ni ya mateso mengi sana, ila kwa sasa na hata pengine mwanzo kwa adha zote hizo tunamshukuru Allah kwa hayo yote maana hayo ndo yameleta hasira za yeye kutaka zaidi, kuomba zaidi na kufanyia kazi zaidi yote ambayo anayo leo. Ally anakumbuka jinsi alivyofika Dar es Salaam mara ya kwanza na pia amenihadithia adha ya kutokua na sehemu ya kukaa hasa unapokua umekuja mjini mara ya kwanza. Alinifanya nijiulize maswali mengi sana mimi kama binadamu wa kawaida kabisa, au ambaye Mwenyezi kanibariki kwa mengi zaidi ya wengine, nini nafanya kuwasaidia ambao nawaona barabarani? Au ambao hawana uwezo wa kunifikia lakini wana uhitaji? Kanifundisha kuhusu kutochukulia maisha au nafasi ambazo tunazo kwenye maisha yetu kwamba ni kawaida tu. Ki ukweli kila ambacho tunacho kwenye maisha yetu TUNA KILA SABABU YA KUMSHUKURU AMBAYE AMETUPA. Ila pia inabidi mara moja moja tujipigie makofi kwa mbali ambapo tumetoka na ambapo tumefika lakini zaidi tumuombe Mwenyezi Mungu azidi kutuimarisha na kutufungulia milango ya Kheri, ZAIDI.
    Niamini mimi nikikuambia kuhusu kutoa, kwamba kutoa ni raha zaidi kuliko kupokea ingawa wengi wetu tunapenda zaidi kupokea, ukitaka kujua hilo jaribu kwa kuanza kumpa hata mtu zawadi ndogo tu, hata pipi ambayo alikua hategemei kama utampa au utakumbuka, sura yake itakueleza mengi hata kama yeye ataamua asikuambie kwasababu zake zozote tu. Ally alisaidiwa na mtu ambaye hata walikua hawafahamiani na kuamua kumpa hifadhi katika sehemu ambayo yeye alikua anakaa. Pengine yeye alipofanya wala hakujua kama Ndugu Ally atakuja kuwa mmoja wa ma DJ HODARI na Hyper Man bora ambae nchi hii imewahi kuona.
    Leo ningependa tujifunze kuhusu hilo, kuhusu kuwa kind, kuhusu kuwapa watu nafasi kwenye maisha yetu na kutosubiri malipo kutoka kwao maana pengine yanaweza yasije lakini wewe tayari unakua ushamaliza kazi yako.
    Yangu matumaini story ya DJ Ally Bee itakua na impact kwenye maisha yako kama ambavyo imekua kwenye maisha yangu.
    Enjoy and stay BLESSED.
    Love,
    Salama.
    Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
    Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
    ‪TH-cam Link bit.ly/TH-camSalamaNa
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 99

  • @masalugusessa3702
    @masalugusessa3702 ปีที่แล้ว +27

    He is so adorable.......... not educated but well civilised and modernized! The content in his thoughts is so natural ...... then his aura is icing on the cake so much positive energy 🤩

    • @azizaskitchen
      @azizaskitchen ปีที่แล้ว

      I couldn't agree less..Am just seeing him for the first time but i love his vibe😂

  • @kelvinlucas2632
    @kelvinlucas2632 ปีที่แล้ว +5

    Kuna nondo nyingo mno humu with the very funniest conveying way...I real hearted this sesseion✊🏿🫵🙌🙌🙌🙌

  • @hendricksaugustine6967
    @hendricksaugustine6967 ปีที่แล้ว +6

    ally b anachosema kuhusu caring a parent when he's/her at bed sick and his/her whole life is a unlimited blessing ... am the witness it happened the same to me. sijawahi kukwama since my mom rest easy ... sababu ya baraka hizo hata nipate changamoto vipi zinatatuka atabila mimi kujua nashangaa tu am free from it ☺☺ #athumanii nondo nyingi pia tumeokota# thanks madam salama#

  • @alumetili3669
    @alumetili3669 ปีที่แล้ว +8

    Asee uyu jamaa kaongea kwa hisia mpaka nimesisimka asee mungu akuongezee sana allybee big up sana man

  • @LilacAlm
    @LilacAlm ปีที่แล้ว +9

    Great entertainer and down to earth kind a person.Big up DJ Ally B.👍😊

  • @shokakazini7135
    @shokakazini7135 11 หลายเดือนก่อน +2

    huyu jamaa big brain sana ... halafu ana moyo wake mweupe, hauna makwasukwasu

  • @bigparrevevo4062
    @bigparrevevo4062 ปีที่แล้ว +5

    Asante allybee
    Mungu akubariki
    Kazi na uhadili Kwa salama🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zombiesande4300
    @zombiesande4300 ปีที่แล้ว +4

    Nimeipenda sana iyoo n hisia kali sana aiseeeee duuh dj all b umepita kwingi

  • @paulmbonika2459
    @paulmbonika2459 ปีที่แล้ว +7

    It's a VIBE... Nice Man Ally B, keep pushing my brother. Bright mind.

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 ปีที่แล้ว +7

    Kila kaz unayopewa u take as an opportunity to get another job nakukubar dj ally B

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +6

    Kidogo ametaka kufanana na mnyama TD, na mbwembwe zake 😂

  • @glowingspirit606
    @glowingspirit606 ปีที่แล้ว +4

    akivyosema '' mama ''' to salama nimeshtuka 🤣 beautiful and true

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 ปีที่แล้ว +4

    Nime enjoy sana Leo na mwanangu dj ally b. Peace sana uyu jamaa. Kipindi naona kilikua kiufupi.

  • @maravilloso471
    @maravilloso471 ปีที่แล้ว +7

    One of the best interview so far

  • @moseshebrews9089
    @moseshebrews9089 ปีที่แล้ว +3

    Nasemajeeeeee, YahStoneTown ni true classroom

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kaka amenifanya nijifunze vitu vingi kiukweli,la mhimu ni kuwa jitoe sana kumsaidia mzazi wako na hasa kipindi amepatwa na maradhi ,hajiwezi

  • @rachelthomas1403
    @rachelthomas1403 ปีที่แล้ว +4

    Hilo vibe 😊😊😊ni fire mpaka namaliza kuangalia natabasam tuu

  • @hood.5.6.06
    @hood.5.6.06 ปีที่แล้ว +7

    This man is the MAN ❤

  • @mikekileo1186
    @mikekileo1186 ปีที่แล้ว +4

    Nilichojifunza Mwamba ana IQ kubwa mno🧠

  • @feisalsudy4399
    @feisalsudy4399 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mwamba inatakiwa itafutwe sessions moja awepo yy na TID nafikri itakua noma sana

    • @georgeigogo9259
      @georgeigogo9259 ปีที่แล้ว

      halwezi kunoga coz t i d halnal vibe la huyu mwambal

  • @user-xf8xz1zp6o
    @user-xf8xz1zp6o ปีที่แล้ว +3

    Yaani katika salama na zote zilizopita ya leo nimefurahi sana

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa kaongea ukweli wa maisha 🎉

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 ปีที่แล้ว +2

    Daaah hili ni darasa na lipo kwa kila mtu kama kuna mtu yoyote anaenda sivyo na wazazi na wapo hai basi arudi na kuwaangalia na tuishi vizuri na watu

  • @josembulo6228
    @josembulo6228 ปีที่แล้ว +3

    Baraka ziko kwa wazazi na Wema ni Njia ya mafanikio yako kesho

  • @kennedjohn5785
    @kennedjohn5785 ปีที่แล้ว +3

    ❤❤😂😂bonge la interview nimefurahibna kuelimika kinouuma

  • @wilsonwilliam274
    @wilsonwilliam274 ปีที่แล้ว +2

    This interview is so touching. Thanks Salama

  • @NisherRR
    @NisherRR ปีที่แล้ว +3

    Ally Is A VIBE Big Time!!!! Asumaniiiiiiiiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Great Show!!! Congrats to Salama and The Team!!!!!!

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 ปีที่แล้ว +2

    Nimeenjoi sana hii show, maverously interview

  • @shuhudiamtasiwa6646
    @shuhudiamtasiwa6646 ปีที่แล้ว +4

    Nimejifunza nimefurahi ❤❤❤

  • @mr.performance2533
    @mr.performance2533 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa ameniliza so educative story

  • @mtokambali2320
    @mtokambali2320 ปีที่แล้ว +2

    Ally B kanifikirisha Sana. Kaongea Mengi kama Hustler. Nmejifunza

  • @mayaramso5647
    @mayaramso5647 ปีที่แล้ว +4

    I love the interview

  • @davidmsuya4993
    @davidmsuya4993 ปีที่แล้ว +1

    Dj romijons,mdogo wake na mondi.alikuja kuliga mziki montana bar maeneo ya wazo contena..aisee alikuwa anapiga vibaya na kwa dharau..nyimbo anapandishia hovyo hovyoo.

  • @daggerslick
    @daggerslick ปีที่แล้ว +5

    Ally bee the dj....🙌🙌🙌🙌

  • @Masaki_001
    @Masaki_001 ปีที่แล้ว +1

    Show qali sanaaa Salama walai big for Ally B and u too Salama jabiri ❤🇰🇪

  • @CatherineNzeki
    @CatherineNzeki ปีที่แล้ว +1

    Aisee Salama nakukubali saana kwa kutuletea watu waliojaa NONDO.Nimejifunza mengi sana kupitia maisha ya Ally bee ya zamani na ya sasa.Ni kweli katika utoaji na kuwasaidia wazazi na watu walio chini hua unabarikiwa sana...mimi ni shuhuda wa hili.We should live to touch hearts of others in one way or the other

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 ปีที่แล้ว +4

    Nimempenda Asumani

  • @benkassian2187
    @benkassian2187 ปีที่แล้ว +2

    Athuuuuumaaaniii Naseeeemaaaaajee Naseeeemaaaje huna baya mwambaaa

  • @denisndaki167
    @denisndaki167 ปีที่แล้ว +2

    One among the best interview

  • @stevendoo2086
    @stevendoo2086 ปีที่แล้ว +3

    Tajiri...namkubali sana 🔥

  • @salmaally7411
    @salmaally7411 ปีที่แล้ว +3

    nimefurah leo mwanzo mwisho

  • @tuntulusekelo4191
    @tuntulusekelo4191 ปีที่แล้ว +2

    ALLYBEE PhD Holder

  • @Thelife_code
    @Thelife_code ปีที่แล้ว +2

    Kubwa kulikoo🔥🔥

  • @obejaartist2745
    @obejaartist2745 ปีที่แล้ว +1

    One of the best interviews

  • @lailaally7406
    @lailaally7406 ปีที่แล้ว +2

    Nimerudia hii mara mbili.....nimejifunza safi sana ...god bless you guys

  • @angelmwamsaga8758
    @angelmwamsaga8758 ปีที่แล้ว

    Duh! Nimeenjoy hii interview kwakweli, big up bro

  • @hefsibahunkie7376
    @hefsibahunkie7376 ปีที่แล้ว

    Great stuff Man,,Great Stuff asee

  • @lswai6777
    @lswai6777 ปีที่แล้ว +1

    Great interview!

  • @shinunasaid7884
    @shinunasaid7884 ปีที่แล้ว +3

    Mlete tena uyo kwenye kipindi jamaa ana IQ kubwa sana namkubali kinoma noma

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 ปีที่แล้ว +4

    He is so funny❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @lucasdismas4314
    @lucasdismas4314 7 หลายเดือนก่อน +1

    VIJANA TUNA FUNZO HAPA

  • @tinomasangia5511
    @tinomasangia5511 ปีที่แล้ว +1

    Best interview

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 7 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉 dj ali

  • @fix799
    @fix799 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana hii

  • @twentyacresfarms3464
    @twentyacresfarms3464 ปีที่แล้ว +2

    Kuwa na watu wengi wanakuombea

  • @budabossbossman3184
    @budabossbossman3184 ปีที่แล้ว +1

    Big up allybeeq

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 ปีที่แล้ว

    Blessings Athumani ❤

  • @khaifaabdy4983
    @khaifaabdy4983 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂daaa ila brother AllyBee bhana watu walokaribu nae wana enjoy sana😂😂😂 asumaniiiiiiii

  • @reylinjericho747
    @reylinjericho747 11 หลายเดือนก่อน

    Best interview ever madini matupu

  • @PainBoyFit
    @PainBoyFit ปีที่แล้ว +1

    Best interview❤❤❤😅

  • @johnphilipo6760
    @johnphilipo6760 ปีที่แล้ว +1

    Moshi town stand up 🔥

  • @rophinamshamba9850
    @rophinamshamba9850 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤from 🇰🇪🇰🇪

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    💯👌🏽

  • @cooler3263
    @cooler3263 ปีที่แล้ว

    ❤❤ nimependa hii

  • @sultanallysalum9344
    @sultanallysalum9344 ปีที่แล้ว

    one love brother

  • @ShukuruMaulidi-vw7wo
    @ShukuruMaulidi-vw7wo ปีที่แล้ว +2

    💯💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @nuranbashir5713
    @nuranbashir5713 3 หลายเดือนก่อน

    The guy is very fun 😅

  • @lucasdismas4314
    @lucasdismas4314 7 หลายเดือนก่อน

    Jamaa hana Elimu lakini ana akili sana 21:11 kaongea jambo muhimu sana na la kweli

  • @JamilahOmar-cf2ow
    @JamilahOmar-cf2ow ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 huyu jamaa yuko funny

  • @AureliusMdemumylovechezelina
    @AureliusMdemumylovechezelina ปีที่แล้ว

    Hii ni shule ❤

  • @tanzaniaawesom5483
    @tanzaniaawesom5483 ปีที่แล้ว

    100% 🔥🔥

  • @user-hx1cp4mg3q
    @user-hx1cp4mg3q 10 หลายเดือนก่อน

    Dah😅

  • @EliyacostantinoPius
    @EliyacostantinoPius ปีที่แล้ว

    Dah jamaa kaongea nondo sana

  • @NabakiZanzibar
    @NabakiZanzibar ปีที่แล้ว

    Aasumaniiiiiiiiiiiiiiiiiii!🤣😂

  • @donshmic5581
    @donshmic5581 ปีที่แล้ว

    best dj

  • @mnyamwezijuma1140
    @mnyamwezijuma1140 ปีที่แล้ว

    Asumaniiiii 😂😂😂😂

  • @KarimKisailo-fp7tw
    @KarimKisailo-fp7tw ปีที่แล้ว

    Inshallah

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndo interview sasa

  • @nibretoberdsanga6588
    @nibretoberdsanga6588 ปีที่แล้ว

    next naomba aje vunjabei please please

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 ปีที่แล้ว +1

    Asuuuuuumannnniiiii

  • @nangatukatalks
    @nangatukatalks ปีที่แล้ว +1

    Salama take your credit you stick to the theme

  • @mwakilamwaki1718
    @mwakilamwaki1718 11 หลายเดือนก่อน

    Nairudia mala kumikumi

  • @roberts.c883
    @roberts.c883 ปีที่แล้ว

    14:57 😂😂😂

  • @omarmahewa928
    @omarmahewa928 ปีที่แล้ว

    Yani salama hii interview amefulahi mpaka kajisahau kama yeye mtangazaji

  • @DARAJANI_TV
    @DARAJANI_TV ปีที่แล้ว +2

    Chaliangu Ali una nondo Kama zote wagumu tunadumu

  • @barakachalres9316
    @barakachalres9316 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kazi sanaaaa

  • @kodackdeblack7982
    @kodackdeblack7982 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @marthamshana6942
    @marthamshana6942 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅

  • @mswahili7856
    @mswahili7856 ปีที่แล้ว

    Best interview

  • @nibretoberdsanga6588
    @nibretoberdsanga6588 ปีที่แล้ว

    next naomba aje vunjabei please please

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 ปีที่แล้ว

    Secondary ianzie hata darasa la 5 la 3 kama kweli ivi 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁

  • @lyamcyjunior2812
    @lyamcyjunior2812 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @nibretoberdsanga6588
    @nibretoberdsanga6588 ปีที่แล้ว

    next naomba aje vunjabei please please