Vanessa,Jux anakutumia na kukuacha.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ค. 2019

ความคิดเห็น • 171

  • @suzaneliassimkwayi5817
    @suzaneliassimkwayi5817 4 ปีที่แล้ว +46

    My Role model vanessa mdee is another level

  • @plaxedanakazwe3957
    @plaxedanakazwe3957 4 ปีที่แล้ว +13

    Nimependa sana ongea yako dada, huna madoido ya kuchangamya kingreza na Swahili kama wengine na kati unajua kuongea English fluently. Big up bby girl, I like u naturally.

  • @toureskepta5987
    @toureskepta5987 4 ปีที่แล้ว +16

    Wow vee money nikama umeshusha mzigo u are so beautiful umekua mrembo zaidi

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 4 ปีที่แล้ว +34

    Kwa mara ya kwanza, nisamehe wasanii wengine, but , I think, I respect Vanesa! I dont know you, but, I think you are a great lady! Wow! Proud of young Tanzanian girl!

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 4 ปีที่แล้ว +17

    Upo vzr muonekano usiumizwe na mshenzi eyote bhana vee upo juu

  • @jenipherthobias2563
    @jenipherthobias2563 4 ปีที่แล้ว +10

    nakupenda sana dadaang mungu akubarki

  • @najma3268
    @najma3268 4 ปีที่แล้ว +14

    Vanessaa nakupenda sana kipenzi toka nikujue yaan sichokagi kukuangalia

  • @irenembura5684
    @irenembura5684 4 ปีที่แล้ว +14

    Ndio hapo tuone tofauti ya sisi binadam. Wasanii wengi ambao walikuwa hata hawajui neno 1 la kingereza basi wakijua kidogo ni shida mpaka msikilizaji unaboreka!! Maana wanapoteza hata maana ya interview! Tujivumie lugha yetu!!

  • @lucyjohn7904
    @lucyjohn7904 4 ปีที่แล้ว +65

    Okoka Vanessa umwimbie Mungu,utavutia zaidi ukiimba upande WA Mungu

  • @jacklinejay4816
    @jacklinejay4816 4 ปีที่แล้ว +15

    So beautful vee money and you always talk about motivations...inspiring💕lov you

  • @imyselfendi862
    @imyselfendi862 4 ปีที่แล้ว +20

    The original cashmadame indeed a Queen ,,,,,unatisha sana vee

  • @beatricejames6370
    @beatricejames6370 4 ปีที่แล้ว +14

    I love her soooo damn much um hurt if she ia hurt...i love you vanessamdee

  • @mohammedissa3013
    @mohammedissa3013 4 ปีที่แล้ว +2

    Jux ameniboa sana kuachana na vanexa maana namkubal sana vee money wachina hao hawana inshu bhna big up madam vee lningekuw na uwez ningemuoa madam vee nikamuepush na mabalaa ya kina diamond

  • @lilyanmongi1946
    @lilyanmongi1946 4 ปีที่แล้ว +13

    Nakupenda sana sana Vanessa

  • @estermgaya5816
    @estermgaya5816 4 ปีที่แล้ว +6

    Nmependa umefanya show vzr sana kiufupi umetusikiliza shabiki zako😘

  • @monalisaalex3921
    @monalisaalex3921 4 ปีที่แล้ว +72

    Ni Mungu amemtoa vee kwa juma he doesn't deserve such a queenangel

  • @sadrahtrizzah8191
    @sadrahtrizzah8191 4 ปีที่แล้ว +10

    Wow, I really love u so much Madame V.

  • @samwelpanga7313
    @samwelpanga7313 4 ปีที่แล้ว +11

    Mlikuwa best couple ila mioyoni mwenu mnabeba mambo mengi. Kuanza upya sio ujinga japo wengi tunafeil hapo

  • @rosemaiko9405
    @rosemaiko9405 4 ปีที่แล้ว +5

    Dah pole Vanessa but maisha lazima yaendelee mungu mwema

  • @trueexplorer894
    @trueexplorer894 4 ปีที่แล้ว +18

    Kwakweli kuhusu VMoney kuongea kiswahili Mtangazaji umesema kweli kwasababu hata Sporah alishawahi kumwambia Vanessa the same thing and so the fans have always felt the same way. Anaongea kiswahili flani ambacho sio broken but still kinafanya mtu ujisikie kuendelea kumsikiliza