Big up to Sanaa Kaka, Napenda ulivyovyaa ila ilikosekana Kofia but usijali Mwenyezi Mungu akuezeshe ili kutimiza ndoto zako... In sha Allah Mungu ukulinde na akuhifadhi kwa Lilat bayaa
@@genvhehenuue4216 huo ni upofu wa kufikiri, kwann kusiwe na msstizo wa kuendlea kuheshimian, kupendn, kusaidian pia, bali mijitu inawaza kuwaozesha tu hawa Watoto.
Hata umenikumbusha kanumba sana.patrick umekua sasa kijana.Mwenye MUNGU aendeleye kukuongoza wewe na dada yako Jennifer pia kwa kazi zenu namaisha yenu
Duuuh dogo umekua Sasa,angali ucjiingize kwenye makund ya tamaa zczo za mcngi madem wa bongo movie najua tu watakunyapia wapotezee wnapenda vben5 jmn jmn ukiwaona waamkie "shikamoo dada"wataona aibu tu
Jumon like zake Patrick hapa kama bado unamkubali maana ni mtaratibu sana kwakweli 👏👏👏👏.😘
Nice Patrick kanumba 😘😘😘
Hahaha had ww
Jen umekua mzuri sn kwa kweli
Kweli kabisa
Mitindo
wew p ni HB sana Ila usilinge kuwa na heshima hivyo hivyo
kwl ila
upo vizuri mdogo wangu watu tunakuwa jamani gonga like km unampenda patrick
Eliamani Mbise oyee
Upo pow
Anaeuliza maswali yuko vizuri na patrick nae anajibu vizuri..........big up sana patrick Allah akujaalie kila LAKHERI
We ni hb
True
I like how Patrick is talkink ana ujasiri na hekma sana i like the boy he is like a bother to me like u big up bro
Jamn like hapa kama unamkubali Patrick kanumba twende sawa
Big up to Sanaa Kaka, Napenda ulivyovyaa ila ilikosekana Kofia but usijali Mwenyezi Mungu akuezeshe ili kutimiza ndoto zako... In sha Allah Mungu ukulinde na akuhifadhi kwa Lilat bayaa
Nice sana
Umenog San kaka kikubw kujitahid
he is very confident about what's he's saying wow big up bro wazai wako wamejaliiwa na mtoto mwenye upole naustarabu
Wamama wasimualibu mtoto jmn kama kweli,mtt mwenye akili anaonekana kuongea tuu🙏
Mdg Wang uko vizur sana
nakukubal san patrik kanumb
Kabisa dada
Hivi Hidaya njaidi anajisikiaje kuona mtoto wake kakua hivi,mashallah Mungu aendelee kukulinda.
Kama unaamn patrck n hb na unampenda gonga like❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaani kamekua tunakaaona lakini sahivi mate yanakimbizana🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Febisa Lameck nkbl
kwakwel yupo vzr
🧡
Febisa Lameck
Safi sana ,unajua kujielezea vzr na una heshima pia, mungu akunze...
1aaaaaaa
Big up San bro Athuman
uko vizur dogo komaa
MTANGAZAJI UNAJUA KUULIZA MASWALI SANA NA PATRICK UNAJIBU MASWALI SAFI SANA BIG UP.🇰🇪
IF GOD SAY YES. NO BODY CAN SAY NO. I'm not sure
Party me nimshabiki wako no1,, nakushauri usibadilike mdogo wangu kuwa heshima kazin na nje ya kazi
Safi Sana Dogo Langu komaa Mungu ata kupigania kjana
Usibadilike Patrick unapendeza zaid ukiwa hiv mpole mstaarabu kusoma cjui hata kuona con mmmh mekupenda bure
Malaya ww
Flora William n
mbn unasema malaya vipi kulikoni
Umekuwa mashaallah,bonge la handsome...hongera mama njaidi
Mashaallah othaman mungu akuzidishie kipaji chako na ndoto zako zitatimia♥️♥️♥️
Jamani Patrick Mungu akuongoze akuepushe na vishawishi 😘😘😘😘
Mashaallah mama njaidi kakuza usilewe usitaa mtoto mzuriee
saaaana halafu kama umegundua wengi humu hawajui kama ni mtoto wa Hidaya Njaidi.
Yooh PATRICK kumbe wewe muislam Maasha Allah Allah akuzidiahie kila la kheri
Nitafurai sana one day nikisikia Patrick &Jenipha wakiwa kwenye mausiano adi kuoana wakaishi milele nawapenda awa watoto adi nashindwa kujizuia
MashaAllah Allah akujalie na kipaje chako na ueshimu dini yk Patrick
Dogo amekuwa aisee hadii nimemkumbuka Bro kanumba
Patrick mzuri kwa kweli, mungu akupe kilicho chema kakaangu
congratulations to you Patrick. much love ❤❤
Mashaallah umependza kweli mpole umekosa kofiaa tuu Allah akubarik
Patrick umekuwa handxme aseee😍
HONGER KWA HILO PATRICK MUNGU AKUBARIKI
Oyaaaaa Patrck wew ni mbayaaa Sana kwnye kujbu maswal ya kzushi umetisha mnooooo nmekubali Sana ulvymjbu huy bro
Ubarikiwe
mnaendana na Jenifa, mkioana mtanoga sana😘
Ndio unachokiwaza
@@zuwenachionda4062 😁😁😁😁😁😁
Binadam bana tuna mapungufu ety wanaendana waozeshe bas tukusifu
@@genvhehenuue4216 huo ni upofu wa kufikiri, kwann kusiwe na msstizo wa kuendlea kuheshimian, kupendn, kusaidian pia, bali mijitu inawaza kuwaozesha tu hawa Watoto.
Watanzani shida tupu yani munawaza kukwichi kwichi jaman mbona ata kaka na dada inapendeza sana
Woooh Patrick nakukubaki sana!!
Ongera dogo love u
Vizury Patrick nakubali akuna wa kukupinga Kaka yangu
Umekua mkubwa Patrick juzi to umekua mdogo am proud of u guy
Umenikosha apo et ni wemwenyewe ndo bado huyo alitaka ujichanganye watu wakuchukie una akili sana Mungu akutunze young wetu
Huyu jamaa ni mtaratibu sana tokea alivyokuwa mdogo.
nimekupenda bure othumani unajibu vizuri mashallah arafu umzuri pia hile midevu juzi lnsta picha uliedit
Masha Allah Allah akuondoshee husda yarabiy
Hata umenikumbusha kanumba sana.patrick umekua sasa kijana.Mwenye MUNGU aendeleye kukuongoza wewe na dada yako Jennifer pia kwa kazi zenu namaisha yenu
Ati watoto wakike wanamajina funny funny hivi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂... U funny too dude
Uko vzr sana Patrick kwenye kujibu maswali.
DAMMNNN dude yo kno how to kill interview....SHOUT OUT
Patrick mpole sanaa mpaka raha shee wa ukweli kaza buti maisha marefu bado
Hongera sana Patrick umekua sana Mungu azidi kukufanikisha ktk maisha yako
Othman Allah Akuongoze katika kazi zako.
MashaAllah Patrick umezidi kuwa mzuri🥰🥰
Upo vizur San umekua Patrick
Unaongea kama king kiba😍
Yuko vizuri mungu amlinde na kmpigania
yaani aka katoto mashallah kazidi kuendeleza usanii kama wakati wa marehemu kanumba
Ani patrick we ni mzuli sana ukiwa na jenif inakua poa sana
Nakupenda buree mdogo wangu una msimamo hatari
Naomba kujua ni movies gni zko ili niweze kuwoch plz
Umekuwa sana mdogo wangu hongera yako endelea kuwa na busara yako hivyo hivyo
Patrick Uwiiiii yeweeh he is very handsome very wisdom ubaki hivyo hivyo.... Don't change bhana Tafadhali
Patrick you are so handsome guy love you so much
Patriki ww nzuri nakupenda ww na jenifa nawakubari sana zaidi yasana
Vizur Patrick wa kanumba na Jennifer wako
Dongo uko vizuri kweli
Nakupenda bure sana 😘😘😘natamani tupige Kazi pamoja na. Wew. Jomoni
Love youuu
Kaaa umekua li handsome hatariiii mdg wangu
Kwa wale wenzangu wa mikoan wanaemkubal hijamaa ndugu yetu kijana mwenzetu Patrick gonga like zenu hapa......😋
TEAM PASUA KICHWA Jimmy video onlin
Patrick we ni mtaratibu na we ni binge LA hnsm
Uko bright Bob
Nakukubali sana mdog wangu
Hongera sana Patrick
Shukraan Chen Tv" Nilimmiss
Pamoja Sana mpendwa
Live masela vp mbona hamumsupport mwana
duh Patrick umekua mkaka handsome LA ukwee😂😂
umeongea point nzuri
Jomon Umenoga sana Patric 😀
Wow!ur so handsome Othman gd bless you
Patrick maktaba primary ,jenifa upanga primary
Patrick amekuw Mansha Allah unaoneka uko na busara
Upole wako nautulivu wako dar nakupenda sana mdogo wangu
yuko vizuri aendelee vivyohivyo
mashallah patric umekua.
nice Patrick love you
Patrick kakuwa mashaa Allah
Patriki HB wanawake wanagonga tyu hapo 😂😂😂mung anajua kuumb wallah
Hahahahaha umeonaeeeeee
@@ghatiwambura2514 yaan we acha tu kijan Hb sanaa daah
Umenoga
Ila mtoto mzur jmn kaaah
Eva umeona maono hhhh
Yan mpaka rahaa
Wewe eva
@@davidngonyani4923 nambie
@@catherinejohn2067 hahahaaaa weeeh acha tu yn duuuh kawa mtam adi anakela yn
Umekuwa jamani pia unajua kujibu maswali eti mimi mwenyewe😂😂
Anifa juma juma uko vizuri sana bro Tanzania tunavipaji fufueni na wengine jamaniii,,,!!
Mungu akulinde kaka upo vizuri
Good speech
hongera sana patrick umekuwa mkaka sasa
Uhm ka komeya kweli🇨🇩🇨🇩
Nakupenda bur💝
Duuuh dogo umekua Sasa,angali ucjiingize kwenye makund ya tamaa zczo za mcngi madem wa bongo movie najua tu watakunyapia wapotezee wnapenda vben5 jmn jmn ukiwaona waamkie "shikamoo dada"wataona aibu tu
😃😃😃😃kwa kweli
@@jackiejackie1272 😄😄😄
😂😂😂😂😂😂
Haha khadija mbavu zng zinachomoka
@@joycelaurence7989 😄zshike zsichomoke jmn,Mana hawa bongo movie wakike cjui kwann Wana mapepo ya viben 10 na 5
Anavyoongea kama Ali kiba
Hyo mambo ni kweri au
Acha ujinga wew unamfananixha uyo dogo na babu yako alikiba
duuh kwel jmn
Aaa wap kiba ampt patric yuko juu
@@fabianmaganga5485 😏
Waoo tunawangojea asee video zenu zpo poa sana
Umeongea kwa busara sana hadi rahaa😀😀
Eti mimi mwenyew hakuna mwingine umeongea kwa busara sana kila kipengele
Woow amekua
Napenda anavyo ongea kanikumbusha Uncle jj jomoni.
Nakubal sanaq patrick
☺
☺
Mashallah Patrick kijana mtaratibu
Mzur jaman
Umeongea vyema lazima mmoja awe juu na mmoja chini. Movie nyengine zinakuwa zogo tu maana wote wanapiga makelele hufahamu lolote.
mashallah kawa mkubwa mshunuuu
I like u Patrick's ur looked wise an Bright
Nakukubali sana p
Nipeni like basi jamani mbona ivyo😭
Uk vizur mdog wang hongera san othuman
Ebu weken number nikuadd group la ujasiliamali buleee kabisa ujasiliamali group jaman kumenoga kaulimbiu yetu tokomeza umasikin
Jaman Patrick
Up vzur umekuwa
Nakukubl kaka
Umejieleza vizur mtoto
Patrick umekuwa mdogo wangu