MTOTO WA AUNT EZEKIEL ATOA SIRI YA BABA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • #CHENIUPDATE

ความคิดเห็น • 446

  • @wahabmkazi7902
    @wahabmkazi7902 5 ปีที่แล้ว +59

    Mtangazaji yuko vizuri sana tena ako na sauti halisi ya mtangazaji wa kiume tatizo watu wamezoea sauti zile za kutengeneza au kugeza. Huyu yuko real na anajua kuuliza maswali yaani yuko on point

  • @faustineimanigaba9391
    @faustineimanigaba9391 5 ปีที่แล้ว +4

    unastahili kuwa maman kbsa afu jinsi una answer ni kama bile strong woman and clever one HBD cookie na maman yako kipenzi,mutangazaji unataka kujuwa mengi kuhusu kuacana kwake na Iyobo aunty siyo kama wale wakiachana na mwenziyo wanamupakazia bwana hebu muelewe she is very humble even kwakusema nakupendeya bule aunty

  • @grasianatesha6405
    @grasianatesha6405 5 ปีที่แล้ว +3

    huyu dada Nampa asilimia 100 umemjibu Safi mwanamke Bora . wewe Ni wa kipekee kwenye bongo movie. hongera sana

  • @madawakemikali776
    @madawakemikali776 5 ปีที่แล้ว +6

    Wasituzinguwe.....huyu jamaa yuko vizuri sana kwa kazi yake.....kisha sauti iko real....a man voice should be like that....kidume cha mbegu

  • @stellamsemo1020
    @stellamsemo1020 5 ปีที่แล้ว +34

    Aunt nakupenda!! Naomba mrudiane mlee watoto pamoja pls

  • @barakakaduma8803
    @barakakaduma8803 5 ปีที่แล้ว +19

    Aunt umejibu maswali vizuri sana Hongera

  • @laliaelulu1815
    @laliaelulu1815 5 ปีที่แล้ว +1

    Aunt Umekuwa rafiki yangu hii Interview najiskia kama nitazame mida yote fresh sana mwayaa Maana siri zako weka Moyoni.😍😍

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว +109

    Aunt umependeza sana wewe pamoja na mwanao. Happybirthday Cookie

  • @sophiemassare6356
    @sophiemassare6356 5 ปีที่แล้ว +1

    i like the talk mama cookie yua bright en intelligent..... plz come back baba cookie nyumban pamenogaaaa

  • @Alexandphylly
    @Alexandphylly 5 ปีที่แล้ว +1

    I love this woman so much she is so smart.nakupenda sana aunty

  • @selekidebe4385
    @selekidebe4385 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakupend sana.ant Ezekiel
    Nampenda.sana cookie happy birthday 👑👗👡👡🎉🎊🎂🎁 namis kukuon cookie

  • @sittykassim7323
    @sittykassim7323 5 ปีที่แล้ว +14

    Waooh! Aunt umejua kujibu vzr sn

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 5 ปีที่แล้ว +73

    mtangazaji uko poah sana kuuliza maswali yenye point.👏👏👏.

  • @Daphne362
    @Daphne362 5 ปีที่แล้ว +44

    HAPPY BIRTHDAY BEAUTIFUL PRINCESS COOKIE🎉🎉🎉🎉🎊🎊🎊🎊❤❤❤❤❤🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 5 ปีที่แล้ว +24

    Wasanii wa bongo kwa kuonjana onjana mmh 🙌🙌

  • @shirimacambodia184
    @shirimacambodia184 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwa majibu yaliyotukuka dada.Nimebarikiwa kwa majibu yako ya hekima sana.

  • @tekkashibm1629
    @tekkashibm1629 5 ปีที่แล้ว +17

    You talk smart..and unajibu straight i like the talk

  • @mako331
    @mako331 5 ปีที่แล้ว +32

    Aunt is smart and beautiful, pambana na maisha sister

    • @mamboleoanzurunimamboleoan6611
      @mamboleoanzurunimamboleoan6611 5 ปีที่แล้ว

      makoiga mg hjjhcc

    • @Amneamne-qi2du
      @Amneamne-qi2du 5 ปีที่แล้ว

      Anty Pambana na maisha kwa sasa kuachwa siyo ww wakwanza hata mimi mwenzio niliachwa nawatoto 3 nanilikuwa sina kazi lakini kwasasa nipo nakazi na sipo Tz nimeolewa naishi maisha ambayo sikuwahi kuishi uko nyuma funga buti mama Mungu yupo Pamoja na ww !Wastara hasumbuki

  • @nurudovino288
    @nurudovino288 5 ปีที่แล้ว +3

    Ndio maan watoto huwa wakikuwa hawawapendi wababazao kisa tabia za babazao Mungu nikuzie mwanangu na mie😍

  • @nsumbuleboniface8915
    @nsumbuleboniface8915 5 ปีที่แล้ว +6

    Bigup bro Mungu akufikishe mbali zaidi ktk kazi zako👏

  • @dattitzfromtz6231
    @dattitzfromtz6231 5 ปีที่แล้ว +2

    Anti wewe nimama mzuri usikate tamaaa yote yanawezekana happy birthdaymy toto

  • @sureiamboo
    @sureiamboo 5 ปีที่แล้ว +10

    This presenter is doing good , keep up young man !

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 ปีที่แล้ว +38

    Mtangazaji alijipanga maswali anti masha allah

  • @esterlatiniel9948
    @esterlatiniel9948 5 ปีที่แล้ว +15

    nakupenda aunt hauna dharau kama wasanii wengne wanaodharau waandishi wa habari

  • @irenesese6968
    @irenesese6968 5 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda Aunt. unajielewa my

  • @nelsonnmwaipaja6980
    @nelsonnmwaipaja6980 5 ปีที่แล้ว +2

    mtangazaji upo up xana big up bro

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว

    Napenda interview zote za Aunty Ezekiel.Hua anajibu maswali kwa ufasaha saaana.Big up dear

  • @siyamunadhir3669
    @siyamunadhir3669 5 ปีที่แล้ว +3

    Makeup it amazing imetulia malipake 💄😍

  • @irenepatrickdavid5891
    @irenepatrickdavid5891 5 ปีที่แล้ว

    Waandishi wa sikuhz hamjui wajibu wenu khaaaaaaaaaa.....🙌🙌🙌🙌🙌

  • @blackisgold1200
    @blackisgold1200 5 ปีที่แล้ว +5

    She’s beautiful baby. Only that the mother dosent sound responsible

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 5 ปีที่แล้ว +14

    Hee kumbe anti Ezekiel mzuri loh" mtoto wa kibongo weeeee

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 5 ปีที่แล้ว +10

    Nakupenda uant.kiukweli mmeachana sjapenda

  • @fatmaissa6681
    @fatmaissa6681 5 ปีที่แล้ว +68

    Alichokiongea cook ,,Na mlichokiandika hapo juu ni tofauti kabisa waandishi hv mna nini lakn ??

    • @neemalkiswaga6126
      @neemalkiswaga6126 5 ปีที่แล้ว

      Hawajielewi

    • @hilarymafole6638
      @hilarymafole6638 5 ปีที่แล้ว

      Hawana akili hawa jamaaaaa

    • @patriciaemanuel3252
      @patriciaemanuel3252 5 ปีที่แล้ว

      Iyo inaitwa attention getting devices Kazi yake kubwa ni
      Kuhakikisha tunavutiwa kuisoma habari au kuiview video

    • @fettyRamadhani
      @fettyRamadhani 5 ปีที่แล้ว

      Fatma Issa na sisi tuache umbeya

    • @barakakaduma8803
      @barakakaduma8803 5 ปีที่แล้ว

      Fatma Issa Yani awa watu ni baraa kichwa cha Habari ni tofauti kabisa.

  • @avagalslay985
    @avagalslay985 5 ปีที่แล้ว +3

    Mie na dada zangu tushawahi kupiga picture na aunt Ezekiel I love you aunty😘

    • @fettyRamadhani
      @fettyRamadhani 5 ปีที่แล้ว

      Mohammed Nassor hahaha wabongo bwana

    • @avagalslay985
      @avagalslay985 5 ปีที่แล้ว

      Wewe fetty kama ulikuwa hujui mimi ndio mbongo haswa upo nyonyo 🙅

  • @sarahwawuda7638
    @sarahwawuda7638 5 ปีที่แล้ว +2

    Aunt nakupenda sana....mmependeza

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 5 ปีที่แล้ว +25

    Nimekupenda.
    You hv changed.
    Naagiza Mama kukuunga mkono

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 ปีที่แล้ว +15

    Nampenda san my lovely sister #AuntyEzekiel

  • @mamandewa3674
    @mamandewa3674 5 ปีที่แล้ว +8

    Nakupenda sana aunt napia mamuombea maixha mazur mwanao akue katika maadili mema ukimtegemea mungu inalipa

    • @ritasospeterkati3427
      @ritasospeterkati3427 5 ปีที่แล้ว

      Hivi house of Star iko sehemu gani hapo dar? Aunt Ezekiel.

  • @dayanerrichy9842
    @dayanerrichy9842 5 ปีที่แล้ว +6

    big up kwa muulizaj wa maswal

  • @angelarajab1314
    @angelarajab1314 5 ปีที่แล้ว +10

    Happy birth day cookie may u live to grow to many yrs

  • @yoooyooo4270
    @yoooyooo4270 5 ปีที่แล้ว +4

    love cook na mama ake 😍

  • @jeremiahjoseph2794
    @jeremiahjoseph2794 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwandish acha usenge sasa mtoto katoa sir gan hapo??fala wew

  • @rogathengowo1099
    @rogathengowo1099 5 ปีที่แล้ว +6

    Mtangazaji ana jisauti libaya ila anauliza maswali konki sana salute kwako Kaka

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 ปีที่แล้ว +74

    kumbe mmeachana kweli jamani nilikuwa nawapenda sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    Hizi media zinaingilia mpaka kuwauliza watoto mambo ya familia hii siyo vizuri

  • @christsflowe.r
    @christsflowe.r 5 ปีที่แล้ว +8

    Cookie is so beautiful❤️

  • @elialucas6140
    @elialucas6140 5 ปีที่แล้ว +10

    happy birthday to you cookie

  • @joymasaki1657
    @joymasaki1657 5 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda unnty na mwanao Mungu awqtunze mwaya

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 5 ปีที่แล้ว +10

    yaani kweli mumewachana duuuu mbaya sana nikosa gani kubwa lenye lilitokea mpaka kusamehana ikawa haiwezekani jamani mbona mungu sisi atusamehe kila siku lakini sisi binadamu hatuwezi

  • @felisterjames1127
    @felisterjames1127 5 ปีที่แล้ว +5

    Iv jina lako halic nanai?

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 5 ปีที่แล้ว +6

    This chiq is cute and mature n intelligent,what do men really want???😭😭😭😭

  • @barkembarak9270
    @barkembarak9270 5 ปีที่แล้ว +36

    U are looking good my dear

  • @annakashelo8519
    @annakashelo8519 5 ปีที่แล้ว +12

    Anty nakupenda sana pia unajua sana kujibu maswali

  • @lawratakida4821
    @lawratakida4821 5 ปีที่แล้ว +9

    Mbona watangazaji mnakua waongo kichwa cha habari ni tofauti na tukio lenyewe

  • @joycematonya1241
    @joycematonya1241 5 ปีที่แล้ว +10

    honger aunt kwa kukuza the cute baby

  • @joycematonya1241
    @joycematonya1241 5 ปีที่แล้ว +6

    nakukubali san aunt na mwanao

  • @azizalazri1283
    @azizalazri1283 5 ปีที่แล้ว +5

    Jamani mrudiyanee tuuuu mbona yule Kk nimtulivuu sana alafuu mlipendezenaa vibayaa sana

  • @gloriachristianshirima5001
    @gloriachristianshirima5001 5 ปีที่แล้ว +6

    Wanaume was kibongo
    Wanatesa na kunyanyasa wake zao ndo maana MTU akiachwa anakuwa huru

  • @munalook4477
    @munalook4477 5 ปีที่แล้ว

    Comments mum thanks aunty Ezekiel.mungu akubarikie family yako mum.but naomba mkuwe na usiano mwema kwa Baba mtoto wako.namanisha hivyi mum kama Baba mtoto anakusaidia kulea , imagine ni Bora Mimi kama mm nimezaa na mtu hata maji kuletea watoto wake ni Ngoma.mungu aibaliki hio usiano aunty na usindisshe maombi kwa mola

  • @masudimwana6107
    @masudimwana6107 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah umependenza namwanao

  • @lovenesselisante6035
    @lovenesselisante6035 5 ปีที่แล้ว +28

    black is beauty😘

  • @neymermponde7810
    @neymermponde7810 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda Sanaa

  • @frijeniasumbai9847
    @frijeniasumbai9847 5 ปีที่แล้ว

    Love you aunt....naienjoy jina la mtoto wako cookie...hahahaha

  • @sophiamtaita7416
    @sophiamtaita7416 5 ปีที่แล้ว

    Mastaa hv mnapepo gani hamkali mkatulia na wanaume mliozaa nao mnataka kilamtoto awe na baba yake mnaona ndiosifa acheni ushamba kama mlikua hamtaki kuishi wato mnachanua miguu ya nini ushambamtupu mtakua mnazaraulika kilasiku 😎😎😎😎😎😎😎

    • @jenfan8781
      @jenfan8781 5 ปีที่แล้ว

      Sophia Mtaita acha kuhukumu watu mama
      Coz wew mwenyew n mwanamke cha msingi n kuomba tuuu

  • @omaryadamn4560
    @omaryadamn4560 5 ปีที่แล้ว

    Aunt mwanzo nilikua sikukubali kabisa ila baada kua na mtoto umekua tofaut kabisa afu unatumia busara nakupenda sana

  • @jeniferlukas7346
    @jeniferlukas7346 5 ปีที่แล้ว +3

    Ukweli sina lakusema,,mana raha yangoma uingie ucheze,,,daaah mlipendeza,,niliwapenda jaman,,cjui kwann mmeachana,,daaah

  • @ليلىفاكي-ش2ش
    @ليلىفاكي-ش2ش 5 ปีที่แล้ว +9

    Ww anti rudi kwa mumeo acha mumependeza sana hao wanaume mwengine wanakufata fata wanakudanganya tu moze ndio anakupenda

  • @lisanide6339
    @lisanide6339 5 ปีที่แล้ว

    NAKUPENDA SANAAA AUNT EZEKIEL UNAJIELEWA NA UNAJITUMA NA UNAJUWA THAMAN YAKO NA YA MWANAO

  • @safiyashabani8717
    @safiyashabani8717 5 ปีที่แล้ว +14

    Nakupenda sana uko mkweli

  • @nanceymartines8257
    @nanceymartines8257 5 ปีที่แล้ว +5

    Wahuniii nyie mbona caption ipo tofaut na kilichomo ndaniii.. Mnakwaza

  • @khadijabakari-q5w
    @khadijabakari-q5w ปีที่แล้ว

    Omulimu omulunge by lily

  • @stellafungo9711
    @stellafungo9711 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe. Mmeachana jamani Poleni Sana eheee

  • @yudithamchome5046
    @yudithamchome5046 5 ปีที่แล้ว +1

    U'r my everything😘😘😘😘😘

  • @khayraatkheir9599
    @khayraatkheir9599 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda kwa sababu hujichubuwi tofauli na wenzio wengine wanao taka weupe wa dukani

  • @mourinenekesah4002
    @mourinenekesah4002 5 ปีที่แล้ว +1

    so cute mum cookie

  • @rehemasaid6876
    @rehemasaid6876 5 ปีที่แล้ว

    Kwakeli mm mwenyewwe nimeipenda sana mama hongera sana ant

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 5 ปีที่แล้ว +12

    Powerful message to mothers for sure.

  • @hasnasaif1075
    @hasnasaif1075 5 ปีที่แล้ว +8

    Umzuri mamy

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 5 ปีที่แล้ว +2

    Da yaani Dr Cheni kawa MC aise nabaki huku huku uingereza na njaa yangu ila shikamooni awamu ya 5 nchi inasonga mbele sio awamu zile za 2,3,4 Tanzania ili bakwa na MAFISADI

  • @safiyashabani8717
    @safiyashabani8717 5 ปีที่แล้ว +3

    Maasha'allah

  • @miriamabwao3062
    @miriamabwao3062 5 ปีที่แล้ว +9

    Nimependa alivyojibu maswali safi sana

  • @estherqueen5382
    @estherqueen5382 5 ปีที่แล้ว +8

    Exactly. Mama cookie

  • @aminadulle7797
    @aminadulle7797 5 ปีที่แล้ว +1

    Sauti ya huyu mtangazaji nmeipenda jmn

  • @fatimamwamjibu7661
    @fatimamwamjibu7661 5 ปีที่แล้ว +4

    Smart Aunt na Cookie

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 5 ปีที่แล้ว +12

    Nimependa maswali yako mtangazaji very good

  • @denispaul3744
    @denispaul3744 4 ปีที่แล้ว +2

    Hbd cookie

  • @salomejohn8565
    @salomejohn8565 2 ปีที่แล้ว

    Ant Napenda unavujibu kwakujiaminii

  • @abdulimalikhamadi1078
    @abdulimalikhamadi1078 4 ปีที่แล้ว

    Mdada uko vzr

  • @piusmwachuvaka3490
    @piusmwachuvaka3490 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda uant huwezi amini na pia napenda sana kazi zako mungu akusimamie kwenye kazi zako

  • @christinamnyili627
    @christinamnyili627 3 ปีที่แล้ว

    Umependeza mama Cookie

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 ปีที่แล้ว

    Uyuu jamaa mfanya interview ni mbwaa Kama mbwaa wengine utamuulizaje mama mtoto Mambo ya picha za kitandani inahusu Nini kwenye birthday pumbavu kabisa muwe mnafikiri maswali ya kuuliza nyau kabisa kazi tuu kuchora maisha ya watuu

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 5 ปีที่แล้ว +1

    Mama Cookie anajielewa sana

  • @graceedward3334
    @graceedward3334 5 ปีที่แล้ว +2

    Wooooooow lik it an maswal.majib yote qonk

  • @laurenciamushi8727
    @laurenciamushi8727 5 ปีที่แล้ว +4

    HAPPY BIRTHDAY COOKIE

  • @aminaburundi5210
    @aminaburundi5210 5 ปีที่แล้ว +10

    Happy Cook nagupenda mutoto muzur

    • @hatamimnimempendabulejaman1596
      @hatamimnimempendabulejaman1596 4 ปีที่แล้ว

      Haha Amina hata mim nampenda kazur watu waliumbukaga Zaman wakat mama yake hamuonyeshi wakasema mtoto mbaya nini kamfuata sura baba yake walivyokuja kumuona wakashangaaga kila mtu akasifia mtoto mzur mzur nikasema binadam nyie

  • @grecehuyukibanishida5595
    @grecehuyukibanishida5595 5 ปีที่แล้ว +30

    kusema kweli nakuomba aunt ezekili rudi kwa mumeo

  • @tinabellafashionz
    @tinabellafashionz 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice 🌸🌸

  • @pendocharlse6164
    @pendocharlse6164 2 ปีที่แล้ว

    Aunt we mzuri sana

  • @janethmbogela9724
    @janethmbogela9724 5 ปีที่แล้ว +2

    Aunt nakupenda sana

  • @wahidamuhamed9518
    @wahidamuhamed9518 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwako mama na mtoto