IRAN yadaiwa kupeleka Makombora nchini Urusi, EU na Marekani walaani!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 121

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 6 วันที่ผ่านมา +6

    Nimeipenda hiyo

  • @mnyagamasinde6860
    @mnyagamasinde6860 6 วันที่ผ่านมา +11

    Ni safi Sana lean kupeleka makombora urusi ,marekani wanalalamika Nini ,mbona wao wamepeleka Ukraine?

  • @Happy-be8hh
    @Happy-be8hh 6 วันที่ผ่านมา +10

    Mbona na wao wanapeka kila mara, tena silaha za hatari, na waoo walaaniwe mara ×100 na mungu, ndio wanao zidisha mzozo

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 6 วันที่ผ่านมา +3

    Iran cheers 🍻 👏 ❤❤❤❤ safi sna

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 6 วันที่ผ่านมา +13

    Magharibi waoga sana, watulie wanyolewe

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 6 วันที่ผ่านมา +3

      😂😂😂😂😂

    • @SarhaSaid
      @SarhaSaid 6 วันที่ผ่านมา +4

      😂😂 tena watulize mshono

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 6 วันที่ผ่านมา +8

    Iran inaonekana sio nchi ya kawaida wanaogopwa sana

  • @njikuhr1875
    @njikuhr1875 6 วันที่ผ่านมา +15

    Inaonekana iran ana silaha zinazoogopeka

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 6 วันที่ผ่านมา +1

      Sana kumbe huna tarifa

    • @mohamedaley5632
      @mohamedaley5632 6 วันที่ผ่านมา

      @@njikuhr1875 wanasema kuna za sadaka na za kutumia mwnywe

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v 6 วันที่ผ่านมา +14

    ulaya na marekani wanalaani na wao walaaniwe milele

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v 6 วันที่ผ่านมา +3

      USA na washirika wake wanafirwa

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 6 วันที่ผ่านมา

      ​@@Clever-l8v 😂😂😂😂😂

  • @nassoroshakiru7094
    @nassoroshakiru7094 6 วันที่ผ่านมา +8

    Hii kitu ni fouble standard yaaani hawa wapumbavu akina EU pamoja na MAREKAN wanammind Iran kisatu kapeleka siraha Urusi lakin wao kila siku kupeleka Siraha Ukrain kwao ni shida na taabu

  • @ahmadmahmoud6139
    @ahmadmahmoud6139 6 วันที่ผ่านมา +1

    Good nice 👏💪💪💪💪

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 6 วันที่ผ่านมา +6

    Ni muhimu kudumisha ushirikiano wao

  • @ngerezamsagati7581
    @ngerezamsagati7581 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona wao Wanawasaidia ukrein nani analaani waache ushoga yoyote mwenye uwezo wakumsaidia mrusi powa marekani ndiyo anasababisha Dunia haina amani

  • @nassoromfumya7319
    @nassoromfumya7319 6 วันที่ผ่านมา +3

    Ripot hizi zinachelewa kuripotiwa. Mnafanya vizuri ila kaka sky ongezeni namna ya upatikanaji taarifa mapema. Tunatamani taarifa zote mpya tuzipate hapa

  • @MohamedChengula
    @MohamedChengula 6 วันที่ผ่านมา +3

    Hawana ushahidi wa Hilo wanatafuta sababu ili waikee vikwazo waongo mangaribi

  • @BabaHadhir
    @BabaHadhir 6 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa kaka mbona wao wanapeleka Israel na ukreni. Yaan Haw wamagharibi jamaa ni waking sana yani

  • @chabrumachabruma
    @chabrumachabruma 6 วันที่ผ่านมา +3

    Wanajipa mamlaka ya maamuzi ya kidunia wkt wengne wana nguvu za kujiamulia maswala yao ya kiulinzi na kisiasa

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 6 วันที่ผ่านมา +2

    Unajua waliwekabajet yakuiangamiza urusi sasa maghala yanaisha mpango bado wenyewe wanapangayao namungu anapangayake wenyewe watulie tu

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mapungufu yakiume hayo wenyewe mbona wapemleka ukrein

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 6 วันที่ผ่านมา

    Dah. Iran inaogopewa sanaaa

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mbwa marekani

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 6 วันที่ผ่านมา +2

    Iran peleka hadi vijiko

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 6 วันที่ผ่านมา +2

    Pumbavu!!, hawa manyang'au washenzi kweli, mbona wao wanapeleka Siraha Ukrain?.

  • @zakariaabdalla-uo3nk
    @zakariaabdalla-uo3nk 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hawataki sema aty nawao iran wajua aty kama watasema wataekewa vikwazo

    • @ngerezamsagati7581
      @ngerezamsagati7581 6 วันที่ผ่านมา +1

      Wawekewe vikwazo marangapi? mbona vikwazo vinawarudi wenyewe

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn 6 วันที่ผ่านมา

    Wao mbona wanapeleka ukrain wamuache iran na Korea kaskazin wampe Putin makontena ya makombora

  • @dirahussein9291
    @dirahussein9291 6 วันที่ผ่านมา +2

    Iran anazijarubu silaha zake vitani

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa nyiye marekani na umoja wa ulaya nato nyote mnampa silah ukrein sasa inakuwaje hapo?

  • @asyajey3479
    @asyajey3479 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mbna marekani wanapeleka Ukraine mxiuuuu

  • @MarckMasaki
    @MarckMasaki 6 วันที่ผ่านมา

    Mbona wao wanapelekaga izrael,hao mashoga wameshindwa vita

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 6 วันที่ผ่านมา

    Iran na Korea kaskazini wamepata nafasi ya kujaribu silaha zao kwenye uwanja wa vita

  • @AbdalallaBrahimam
    @AbdalallaBrahimam 6 วันที่ผ่านมา +3

    Kama anazo mbona anaomba msaada uingeleza na ufaransa ujeluman mrusi kuomba msaada lazima anapigana na NCHI nyingi hata kama anazalisha akiba muhimu muelewe hilo

  • @j4amas5
    @j4amas5 6 วันที่ผ่านมา

    Mi sijui marekani wanatuchukuliaje? Yaani wao kupeleka silaha kwa watu wao ni sawa ila wengine wakipeleka silaha kwa adui wa marekani wanalaani

  • @nassoroshakiru7094
    @nassoroshakiru7094 6 วันที่ผ่านมา +1

    Acha ipeleke maana waswahili wa Pemba wanajuana kwa vilemba na kizuri nikwamba mtu humfaa mwenza wake kulikotu unyang'au wa hawa watu wengine

  • @MarckMasaki
    @MarckMasaki 6 วันที่ผ่านมา

    Mbona china inaleta sitki za meno sisi hatulalalamiki na msitu upo hao iringa

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 6 วันที่ผ่านมา

    Kumb urus inahitaj msaad wa iran 😮😮😮

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 6 วันที่ผ่านมา

    Yaani wao wako nchi 50 wanamchangia mtu mmoja !akipewa kasilaa kidogo wanalia saaaana

  • @robertbalomomona406
    @robertbalomomona406 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa mbona utwambii kuusu urusi ilivyo pigwa na droon

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 6 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ina wiki sasa. Twendeni na update msituletee habari zilizopitwa na wakati

  • @ngadumbishi1405
    @ngadumbishi1405 5 วันที่ผ่านมา

    Wao kupeleka ukraine ni sawa Ila wengine wakipeleka urusi ni tatizo au sio dj sma anakwambia mambo ya double standard 😂

  • @CantonaKunona
    @CantonaKunona 4 วันที่ผ่านมา

    Naomba sana Tz kuwe na vita ili mjionee mmezidi kuongea upumbavuu humu 🖕

  • @Bahati47
    @Bahati47 6 วันที่ผ่านมา

    Waobwakipeleka Ukraine na Israel ni sawa tu ila wenzao wakipeleka kwengine Wana laani au ndio mkuki kwa nguruwe?

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 6 วันที่ผ่านมา +5

    Ukraine imeishambulia mikoa 15 ya urusi kwa drone leo sjui imeleta madhara, uraya ni mwana kulifind ,soon mabak ya makombola yaanza Kuokotwa Bern maana German inajifanya inaijua vzuri Russia pia na Poland

    • @SaidMkome
      @SaidMkome 6 วันที่ผ่านมา

      Sasa wwe unapata nn watu kufa

    • @nassoromfumya7319
      @nassoromfumya7319 6 วันที่ผ่านมา

      Madhara yametokea kidogo na mtoto wa miaka 9 ndo kafariki.

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 6 วันที่ผ่านมา

      @@SaidMkome kwni omeona nimefrahi

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 6 วันที่ผ่านมา

      @@nassoromfumya7319 ni mmama sio mtoto kaka

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 6 วันที่ผ่านมา +1

      usituchote bwana wewe tunajua ni bwege wa magharibi.

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 6 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂 Iran 🇮🇷inamnyima san marekani usingizi, akiangalia aliemtuma Israel kupamban nae anajua fika uwezo wake mdg hlf kila Israel akijitahidi kufny uchokozi ili Iran 🇮🇷ajibu hajibu man anachokitafut marekani Iran ampige Israel aingie mazima lkn Iran kimya, wkt huo huo Iran 🇮🇷inasambaza drones ,makombora kwa Russia mn kuisupport nchi km Russia 🇷🇺silaha sio mchezo broo

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 6 วันที่ผ่านมา

      @@hemedjackson2261 😂😂😂 budaboss hizo silaha ambazo Iran anazipeleka Rasia ni za Rasia ...Rasia ndo anayezimiliki hata zile Nuclear facilities zilizopo pale Iran mwenyewe ni Rasia... halafu Kwa sawala la Israel... Iran ni Muoga na hamwezi Israel hata kidogo...maana kama nchi intelligence zake zipo chini basi hana lolote

    • @MohamedOmari-y1t
      @MohamedOmari-y1t 6 วันที่ผ่านมา

      Iran wana technology yao mzee,wale ni "Waajemi"​@@omondiowino7875

    • @djmaxbeatztz
      @djmaxbeatztz 6 วันที่ผ่านมา

      @@hemedjackson2261 Irani inamifumo ya kizamani sana,urusi mwenyw hamna kitu pale anamtegemea Kim jong Un na Xi Jin ping sema tu urusi ni gutaifa gukubwa sana

  • @nsabimanasuleyman2008
    @nsabimanasuleyman2008 6 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 Sasa mbona wao wanapeleka Ukraine 😅😅😅 manyangau ni manyangau tu ndio Maana mimi huwa sipendi Ubepari hata Kidogo . Na ujama ndio njia yangu

    • @jonfredkewe3451
      @jonfredkewe3451 6 วันที่ผ่านมา

      Umenena Maneno yaliyo ukuna ubongo wangu ."Ujamaa ndiyo njia yangu" hongera Sana

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 6 วันที่ผ่านมา +1

    Lakini Marekani ikipeleka silaha Israel unaskia mara oooh mashoga hao hawapendi Amani...kuwa muislamu lazima akili ijazwe mavi Kwanza...la sivyo huwezi kuwa muislamu

    • @djumadjumbe6907
      @djumadjumbe6907 6 วันที่ผ่านมา

      Sura yako ina fanana n'a akili yako

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 6 วันที่ผ่านมา

      @@djumadjumbe6907 vipi imekuuma sio..

    • @hassankhalid6711
      @hassankhalid6711 6 วันที่ผ่านมา

      mbona wewe kwenye matako yako kuna mavi

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 6 วันที่ผ่านมา

      @@hassankhalid6711 kwasababu huko ndo mapito ya mavi...ila ili uwe muislamu lazima akili ijazwe mavi Kwanza....

    • @Awatee
      @Awatee 6 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@omondiowino7875Nga'u ng'au weye uislam unakupa msongo wa mawazo ao makafiri wenzio io elimu ya uislam ndio wanaitumia kwa maslah yao ya kidunia ndio ikakufikia weye sasa weye mwenye akili lipi umelifanya uislam ndio umekufanya weye kupata Mama akakuzaa weye
      Munajiona mna akili

  • @boscomakala.3923
    @boscomakala.3923 6 วันที่ผ่านมา

    Wakipeleka wao ukraine ni sawa,ila urusi akipelekewa ni kosa daaah.........😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🚮🚮🚮🚮🚮

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 6 วันที่ผ่านมา +2

    Irani kwa kweli mnachekesha sana mnasaidia watu makombora wakati ndani kwenu wenyewe hampo salama Israel wanamuondoa yyte wanaemtaka

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 6 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa kama Iran dhaifu mbona mabwana zenu wanalia

    • @ce-08
      @ce-08 6 วันที่ผ่านมา +1

      Ni kwel dhaifu lakin Haina maana wasitoe msaada unakumbuka Tz ilitoa msaada wa chakula wakati wa kimbunga pale Malawi Kwan nchini kwetu c Kuna watu wanashida hata Milo mitatu ni ngum kupata lakin huwez acha kuweka ushirikiano na mtu mwingine kisa ww Bado ujawa sawa nae

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p 6 วันที่ผ่านมา +1

      Huo ni umoja wao kama ule wa ulaya,Dunia sasa inagawanyika pande 2

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 6 วันที่ผ่านมา +1

      wewe choko kweli,kama hauna point na haufahamu ukweli ni bora aukae kimya paka wewe.

  • @zumemooha6504
    @zumemooha6504 6 วันที่ผ่านมา

    WAMAGHARIBI NIWAJINGA TUU IVI WAO WANAMUEZESHA ISREAL KUFANYA MAUAJI YA WATOTO HAWALAANI NI MBWA WAMAGHARIBI

  • @YOHANANYONI
    @YOHANANYONI 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani china na blazr na india mnasubili nn peleken vifaa urus akaonye hao mafilahuni

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 6 วันที่ผ่านมา

    Hii vita bhana duuh
    Israel wana laani kuwa Russian ana sapot iran kwa vita inayo endelea middle east Halafu leo ndyo hivyo tena iran ina sapot Russian 😁😁😁😁

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 6 วันที่ผ่านมา

    shahid ina trend sana unyama mwng Iran... tunasubir mvua ya maangamizo atakayoshushiwa zayun Israel

    • @raymrash
      @raymrash 6 วันที่ผ่านมา

      Athubutu 😂😂😂😂...

    • @mohamedaley5632
      @mohamedaley5632 6 วันที่ผ่านมา

      @@raymrash kashashiwa mara ngap mpka uuulize?? Halaf ilikuwa trreiler movie soon inakuja

    • @raymrash
      @raymrash 6 วันที่ผ่านมา

      @@mohamedaley5632 leo siku ya ngapi tangu aseme anampiga😂😂😂

    • @mohamedaley5632
      @mohamedaley5632 6 วันที่ผ่านมา

      @@raymrash kaa pemben?? Hujajua vita bado

    • @raymrash
      @raymrash 6 วันที่ผ่านมา

      @@mohamedaley5632 Iran kafyanta😂😂😂

  • @seifamir2588
    @seifamir2588 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa ukiona mrusi anapokea silaha kutoka Irani ujue ni dalili za kushindwa hizo.

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 6 วันที่ผ่านมา +1

      Sio hivo, ni kwamba anaficha silaha zake ili adui asijue Urusi ana silaha za namna gani. Ndo maana anachukua silaha kwa jirani afu anatumia kanakwamba hana, kumbe ni mbinu tu.

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 6 วันที่ผ่านมา

      @@MichaelMathew-j3f anaficha silaha....what kind of excuse is this?

    • @MichaelMathew-j3f
      @MichaelMathew-j3f 6 วันที่ผ่านมา +1

      @@ShawnBeatz hahahahahaha mbinu za kivita.

    • @TeddyDickson-w5p
      @TeddyDickson-w5p 6 วันที่ผ่านมา

      Ukraine anapopewa na nchi kibao ni dalili ya kushindwa ?

  • @djmaxbeatztz
    @djmaxbeatztz 6 วันที่ผ่านมา

    Siku moja marekani akichokozwa Dunia itanuka

    • @Awatee
      @Awatee 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂Hivi unafikiri kwa akili zako ukiwa mchochezi kwa wengine kwako kutakua salama maisha

    • @djmaxbeatztz
      @djmaxbeatztz 6 วันที่ผ่านมา

      @@Awatee ndo hivo babe la Dunia Lina misilaha mingi linasubiri tu kuchokozwa ili liharibu Dunia

  • @HercaIlunga
    @HercaIlunga 6 วันที่ผ่านมา +1

    Urusi hovyo

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 6 วันที่ผ่านมา +1

      Tulia dawa iwaingiee

    • @theempire4058
      @theempire4058 6 วันที่ผ่านมา

      Si wanasema urusi inaongoza kwa silaha duniani mbona wanaagiza nje?

    • @HercaIlunga
      @HercaIlunga 6 วันที่ผ่านมา

      @@theempire4058 urusi haina nguvu nimeshangudua hilo tena Ukraine ukiruhusiwa kutumia silaha zote sijue

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 6 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😂😂 Ntanyau alisema midd Est wampe sila awafundishe 😅😅 wanaogopa Israel wanakimbilia urus

    • @sultanbakary4292
      @sultanbakary4292 6 วันที่ผ่านมา +1

      Na bwana wa Israel analia kama anawez aivamie iran

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 6 วันที่ผ่านมา

    KUMBE ADI URUSI ANAITAJI MSAADA WA SILAA, ILA ISRAEL IKIOMBA SILAA MAREKANI WATU INAWAUMA KUTOKA MOYONI, KUBALINI TU MAREKANI PEKEE NDO AIWEZI KUOMBA SILAA POPOTE DUNIANI. 😂😂

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 6 วันที่ผ่านมา +2

      Nyie simnasemaga israel ni hatari kuliko hata marekani hata urusi pia kwahyo kama wao ndio threat bas haina haja yakusaidiwa

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o 6 วันที่ผ่านมา +1

      AKILI YAKO INAFANANA NAJINA LAKO" HAKUNA KILICHOKAMILIKA DUNIYANI KWANAMNA YOYOTE.HAWO USA NDOO NANI? NCHI YAMITUME AMA!!!?😉😉

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 6 วันที่ผ่านมา +1

      😁😁jinga san

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 6 วันที่ผ่านมา

      Huijui Canada wewe kijeshi

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 6 วันที่ผ่านมา

      Israel ni hatari in terms of technology,Kila kitu duniani kwa sasa ni technology,vita,afya,michezo nk,kwahiyo Mkuu unapoongelea. Teknolojia you’re speaking of the other universe.