Urusi yazindua mazoezi makubwa zaidi ya kivita ya majini mara ya kwanza katika miongo kadhaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 137

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 หลายเดือนก่อน +3

    Ndo tunaanza kazi sasa😅✍️🪖💯🇷🇺🇷🇺🇷🇺

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 หลายเดือนก่อน +12

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉Safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN na CHINA sasa kichpo KIENDELEE kwa Marekani. mpaka waombe yeyooo

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 หลายเดือนก่อน +22

    Kuna mtu anazan urus 🇷🇺🇷🇺 anapigana na yukren bira kujua anapambana mashoga

  • @mimibusarachibu
    @mimibusarachibu หลายเดือนก่อน +2

    Enyewe huyu ni mwamba na yuko kwenye mpango wa kuhakikisha Marekani anamuogopa milele

  • @TiosalverSalverdor
    @TiosalverSalverdor หลายเดือนก่อน

    Asante sky

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko หลายเดือนก่อน +10

    Mmeona vyuma hivyo. Ndo mjue urusi hajaamua tu kukiwasha mazima kwa ukraine. Ana mhurumia tu ngojeni aje aamue sasa hapo ndipo mtajua mrusi ni mbaya

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o หลายเดือนก่อน

      Nkwa iyo anapenda kuona wanajeshi wake wakifa mwaka wa pili huu sasa ukraine

  • @mimibusarachibu
    @mimibusarachibu หลายเดือนก่อน +2

    Kama Putin,Xi,Kim na Pezeshkian watakuwa na huu uhusiano wanaopanga kuwa nao,basi Magharibi na ubabe wake umekufa

  • @mimibusarachibu
    @mimibusarachibu หลายเดือนก่อน +1

    Na sisi Afrika tufanye kitu!Sky,mbona TZ hata tufanye kitu kwenye Bara Hindi😂

  • @bilalimsafiri7316
    @bilalimsafiri7316 หลายเดือนก่อน +8

    Big up putin waache mazowea

  • @zakariaabdalla-uo3nk
    @zakariaabdalla-uo3nk หลายเดือนก่อน +4

    China russiA

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba Putin... Rais wa dunia

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard หลายเดือนก่อน +2

    Nice Russia ❤

  • @HanafiZayumba
    @HanafiZayumba หลายเดือนก่อน +2

    Mashoga Chali Kila mahali kichapo hawatengenezi faida kama walivyo zoea ila hasala

  • @HamadiZulfa
    @HamadiZulfa หลายเดือนก่อน

    bora waeke imitmbo sw

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no หลายเดือนก่อน +1

    Muda si mrefu tutasikia mashoga wakitoa tamko😂😂😂😂 waoga balaa

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata หลายเดือนก่อน +2

    Waseme Tena Mme hamia Russian Wabongo bhana duuuh

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o หลายเดือนก่อน

    Mikwara tu! Wanajeshi wake wanaisha Ukraine mwak wa pili huu sasa mbaya zaidi wamevuka mipaka ya Urusi.

  • @allymbaruku4710
    @allymbaruku4710 หลายเดือนก่อน +9

    NATO sasahivi tutaskia tamko lao😅😅😅

    • @mpjozzegalvanize4926
      @mpjozzegalvanize4926 หลายเดือนก่อน +2

      Nato ka watoto wa mwisho, wakiona hivi utasikia wanalaani mazoezi hayo😂😂

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 หลายเดือนก่อน

      Kulia lia tu ndio wanajua😂​@@mpjozzegalvanize4926

    • @vladimirputn1809
      @vladimirputn1809 หลายเดือนก่อน

      ​@@mpjozzegalvanize4926😂

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o หลายเดือนก่อน

      Ukraine ameingia mipaka ya Urusi kiulaini. Mwak wa pili hui sasa wanajeshi wa Urusi wanakufa tu..! Ndio ataiweza NATO😂😂

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 หลายเดือนก่อน

      @@GeorgeElias-p5o wewe pia hamna kitu unajua hadi sasa hivi kazi kusikiliza mainstream media tu 😂😂😂😂

  • @Snoker101
    @Snoker101 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna vita kubwa inakuja wajameni

  • @TiosalverSalverdor
    @TiosalverSalverdor หลายเดือนก่อน

    Tunaomba mtupishe

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 หลายเดือนก่อน +1

    Putin ni kiboko ya mashoga. Mashoga sasa hiviii watalaani

    • @GeorgeElias-p5o
      @GeorgeElias-p5o หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu mda wake haujafika tu huyo.. Ukraine anapambana nae mwak wa pili sasa

  • @LuganoAmwamsojo
    @LuganoAmwamsojo หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @athumaniamani9905
    @athumaniamani9905 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba Putin anavimba sana

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 หลายเดือนก่อน +3

    Putin baba lao❤❤🌹🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @OmarHamza-j5v
    @OmarHamza-j5v หลายเดือนก่อน +1

    😂 Putin mwamba. Mashoga wataka sawatu,

  • @felisteronesmo3091
    @felisteronesmo3091 หลายเดือนก่อน +1

    Niupumbavu kwakweli, hii miaka sio yakuonesha ubabe tutazurika wengine tusiohusika .. akipigwa mmarekani au mrusi, sisi wengine vita vitatufuata tu iwe kwakupenda au lah .. sio mambo yakushabikia kabisa haya

    • @kevinkebe1097
      @kevinkebe1097 หลายเดือนก่อน

      Unajuwa nini ndugu!?... Haya mambo anayapanga Mungu mwenyewe. Kwahiyo yaache tu maandiko yatimilike.... Uzuri ni kwamba kutokana na kukuwa Kwa technology duniani kote, hapa East Africa kutakuwa salama tu ingawa tuta athirika kiasi ki mfumo. Chakufanya ni kujiandaa kisaikolojia na kutafuta Chakula Kwa wingi, pia kupunguza matumizi yasiyoyalazima, vita vitakuja hasa za KIUCHUMI duniani, acha watunishiane misuli, maana mungu na shetani wanatumia sana hayo mataifa makubwa kupambana, ndio maana huyu anapenda ushetani na yule hapendi ushetani, basi Kila mtu anavutia kwake, mtafaruku tuupuuuuu!!!! Ondoa mashaka Kila mtu akulinde na kuomba Kwa Imani yake vita vikimalizika maisha mengine yataendelea tu. Atakayekufa sawa, atakayebaki poa....

    • @vladimirputn1809
      @vladimirputn1809 หลายเดือนก่อน

      Mbonakwenuwakitekwahamusemi

  • @SaididadiMnindi
    @SaididadiMnindi หลายเดือนก่อน +1

    Iran,china,Russia,Korea kasikazin,ndiyo mataifa ya mungu hayo mengine ni wezi wa waziwazi

    • @MustaphaManole
      @MustaphaManole หลายเดือนก่อน +1

      Unaakili sana kijana

    • @felisteronesmo3091
      @felisteronesmo3091 หลายเดือนก่อน +1

      😢 mbona Tanzania siioni

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 หลายเดือนก่อน +1

      Ya shetani

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@felisteronesmo3091 Tanzania sio super power

    • @vladimirputn1809
      @vladimirputn1809 หลายเดือนก่อน

      ​@@saleemsuleiman2220marekani Canada France Germany poland

  • @justingodfrey8282
    @justingodfrey8282 หลายเดือนก่อน

    Vita ingekuwa ya marekani na ukraine team russia na waarabu wangesema marekani kashindwa vita

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama marekani baba lao c apigane yy na urisi pekee yake na asitumie mawakala kama anawexa shoga uyo

  • @ahmadmahmoud6139
    @ahmadmahmoud6139 หลายเดือนก่อน

    ❤❤🇷🇺💪💪💪💪💪

  • @stanleykibulungwa7480
    @stanleykibulungwa7480 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo jamaa mabom mengine wanafanyia mazoezi ingawa wako vitani😮

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 หลายเดือนก่อน +3

    Awamu hii mashoga hawana bahati😅😅 Mungu asante kwaku mleta huyu mtu apa ulimwenguni Vladimir vladimirovic Putin. Tule tule tumashoga uchwara twa apa east Africa poleni okekeni ou msirimu ache izo laani maana mda wote mnakujaga apa kutete ma bwana zenu mmechagua upande wa watu waovu wanaopinga quran&biblia

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +1

      Kila kitu tumewaiga wao na ustaarabu wa dunia ni wao waliouleta na mifumo ya elimu ni wao na ndege tunanunua kwao.huu mtandao na internet ni wa kwao.Wao ni watu waliobarikiwa kushinda ww.Usikariri ujinga kuwa watu wote wa ulaya na marekani ni mashoga.kule kuna watu wana dini na wanamjua Mungu kweli kweli.Unaambiwa Marekani ni miongoni mwa mataifa ambayo ina watu wanasali sana.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน +2

      Marekani ni taifa lililobarikiwa

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma หลายเดือนก่อน +1

      @@MathewNathan-yb2bzHata upentekosti huu wa ujazo wa Roho Mtakatifu umeanzia Marekani baada ya miaka mingi ya ukame. Marekani imebarikiwa sana… na moja kat ya nchi zenye idadi kubwa ya wakristo duniani.

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 หลายเดือนก่อน

      Sasa Sio Uzombii Uwoo ukiristo Sio Dini Ni Taasisi Ya Wafanya Biasharq America 😂😂😂 Yni Ata Haiingiii Akilin Kwa Alie Timamu Yesu Azaliwe Jerusalem Mpka Apaee MBINGUNI Akiwa Jerusalem Enzi za Uhai wake Akuwai kufika America 😂😂😂 hapo hpo Dini Iyazishwee America Kma Sio Ukichaaa ni nnn😂😂​@@BarnabaBuhoma

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma หลายเดือนก่อน

      @@sanoureyaliwadoakaroyo1696 wewe sio wa kwetu. Maana ungekuwa wa kwetu ungeelewa mambo yetu. Ulichokiandika kimedhihirisha wazi kuwa wewe sio wa kwetu.

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 หลายเดือนก่อน +3

    HAWA MAJAMAA WANAWAZAGA VITA TU DAH

    • @justingodfrey8282
      @justingodfrey8282 หลายเดือนก่อน +1

      🎉Hahah ata viyu vingine hawawazi akat sera zao zinaferi kinomaa

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE หลายเดือนก่อน +3

      haujawahi kuwa na akili kibaraka wa magharibi😂😂😂

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 หลายเดือนก่อน +1

      @@PAULNYANDILE sema nini unanikomalia kishenzi, sawa bhna 😂😂

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 หลายเดือนก่อน

      ​@@AFRICA_D669tulia dawa iwaingiee

    • @shebyabdallah5854
      @shebyabdallah5854 หลายเดือนก่อน

      Vita inaleta eshima na kuondoa zulma

  • @yosefamlumbe7044
    @yosefamlumbe7044 หลายเดือนก่อน

    Hana jpya majeshi ya ukreini wakati hou yamekuvamia yapo nyumbani keako😂😂😂😂

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 หลายเดือนก่อน +1

      Umevurugwa kichwa, urusi sio nchii yako inamuokopa marekani inapigwa kama ngombe, nakua majeshi urusi wanapigwa kama mbwa na vijiji vinachukuliwa ,kama wanauwezo wavirudishe hunajipya shoga wewe mliwatako 😂😂😂

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 หลายเดือนก่อน

      Weww apo kuksi tu mbon zelesk analia vita haviwez

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 หลายเดือนก่อน

      Nyie mnamsikiliza zelesk

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 หลายเดือนก่อน

      @@happymrema7487 ndo apo kavurugwa akili 😁

    • @allyjuma9260
      @allyjuma9260 หลายเดือนก่อน

      Huo mtego mrusi sio mjinda kamuacha Ukraine aingie urusi ashambulie ili mrusi apate kisingizio cha kuwa Ukraine amevuka msitari mwekungu na kufanya uhalifu wa kivita nchini urusi ili mrusi akamrambe vizuri Ukraine na vita ishie hapo

  • @Kelvinjoseph-jz7kq
    @Kelvinjoseph-jz7kq หลายเดือนก่อน

    Hay makombola yaelekee Ukraine hah

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o หลายเดือนก่อน +2

    Amna kitu 😅😅😅

    • @ibnujumanne4054
      @ibnujumanne4054 หลายเดือนก่อน +1

      Subiria kutekwa wewe

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน

      kitu ni hicho ulichonacho ulichokikalia ambacho unakitumia kwa matumizi mengine.. Wakati matumizi yake hutumiwa ukiwa chooni tu!!

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 หลายเดือนก่อน +3

      wenzako ujerumani wanalia wanaomba mazungumzo ya amani na Urusi kumaliza vita maana uchumi wao umeporomoka sana

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน +2

      @@africanQueeny-u7o kitu ni hicho ulichokikalia ambacho unakitumia kwa matumizi yasiyofaa...

    • @mohamedmarijani
      @mohamedmarijani หลายเดือนก่อน

      Amina ktunguu

  • @AllyMaliki-z4b
    @AllyMaliki-z4b หลายเดือนก่อน

    Mr Fred Budala Weka GPS Za vifo vya baadhi ya watu hapa Tanzania vya watu wasio julikana Nini kifanyike msiwe BIAS wa Habari mna angalia sana habari za Russia I don't know ila una wachambuzi very clever Dj sma Ali masubi hebu kaeni chini tujue what wrong be mfate tu kanuni za uandishi Tuna jua mnataka Views but mnatoka out of News laws

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj หลายเดือนก่อน

      Mkuu unajifanya hujui ama kuhusu nchi yako na sheria zake(kumradhi lkn).

  • @davidandrew6332
    @davidandrew6332 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa nguvu za Rusia sikutarajia hivi Vita vingemsumbua namna hii...

    • @abdulrazack9577
      @abdulrazack9577 หลายเดือนก่อน +8

      Kupigana na nchi zote za magharibi mchezo hapo hapoa vikwazo zaidi ya efu 2

    • @dannywillson5874
      @dannywillson5874 หลายเดือนก่อน +7

      Urus anapigan na nato sio ukrain

    • @frocoissango8973
      @frocoissango8973 หลายเดือนก่อน +5

      Unajuwa anaho pigana naho au?

    • @abuukajembe-to6sd
      @abuukajembe-to6sd หลายเดือนก่อน +5

      Andelea kulala ivo ivo

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma หลายเดือนก่อน

      @@abdulrazack9577Angekuwa anapigana na hizo nchi zote angeshashambulia hizo nchi.. badala yake Ukrain tu. Mbona hajawahi kurusha kombara Marekani au Ulaya?? Mnatufanya hatuna akili sio eeh!! Marekani na Ulaya wanatoa misaada ya kijeshi kama kama ambavyo mtu anaweza kumsaidia rafiki yake akiwa kwenye changamoto.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

    Putin mbwembwe tu muoga kama nini.kazi yake kutishia tishia tu.Baba lao Marekani katulia tuli kashamweka kwenye tageti akijichanganya tu putin atajuta na nchi yake itachakazwa hakuna mfanoe.

    • @frocoissango8973
      @frocoissango8973 หลายเดือนก่อน +1

      Unajuwa vyema unacho kisema au maisha magumu uku marekani nipo penyewe ivi wanahaha kila siku

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

      @@frocoissango8973 ww unachekesha kweli hapa duniani kuna sehemu ambako hakuna maisha magumu?labda kama ni mbinguni.

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 หลายเดือนก่อน

      Mbona baba lao mwenzake ucraine anaisha ila anaogopa kutia mkono 😂😂😂. Baba feki HUYOO

    • @JeanMalilo
      @JeanMalilo หลายเดือนก่อน

      @@frocoissango8973upo marekani ya nyarugusu labda, hakuna anaye haa huku

    • @abdallahmasanja621
      @abdallahmasanja621 หลายเดือนก่อน

      Sasa kwanini wameshindwà kumpinga na kuungana kwao kote