WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 302

  • @ThomasMselle-rw5ej
    @ThomasMselle-rw5ej 19 วันที่ผ่านมา +2

    Nilikuwa nikupinge lakini sasa nimekuelewa na kukubali umesema kweli tupu. Very great nitakutafuta Isaya the teacher

    • @Abcdefghijjjjjjjj
      @Abcdefghijjjjjjjj 16 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂
      Thomas umewah kumpinga huyu MPINGA KRISTO wewe?
      Kuwa muwaz bana
      Mpo njia Moja tangu mwanzoni kabisa

  • @user-kt7nn1jo2u
    @user-kt7nn1jo2u 6 วันที่ผ่านมา

    Hili swala la ndoa linanitatiza sana...naomba mungu anipe ufunuo juu ya hili...

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 10 วันที่ผ่านมา +1

    kabla ya kulaumu jiulize kwanini Mwenyezi Mungu akaumba idadi kubwa ya wanawake.

  • @SAYUKI513
    @SAYUKI513 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi naona mke mwingine soon na ni mroman cwez kufuata mpango wa binadamu niache kufuata mpango mungu.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 15 วันที่ผ่านมา +1

    NJOONI KATIKA DINI ACHANENI NA MILA ZA KIRUMI .....PROUDLY MUSLIM ALHAMFULILLAH 😊

  • @user-cm2io9vz3v
    @user-cm2io9vz3v 22 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu ubarikiwe sana. Unaelimisha jamii Kwa ukweli. Naitwa Bp Yusuf Lugata wa Geita huduma ya New Deliverance Church International. Naomba kujua wewe unaabudu Kanisa Gani. Naomba utusaidie zaidi kuhusu maisha baada ya kifo. Eschatology... Naomba sana

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 17 วันที่ผ่านมา

      Kumuuliza ana abudu Kanisa gani ni kukosa akili.Lengo lako ni nini.Huu ni utumwa wa dini badala ya kuwa huru kiroho.Dini au Kanisa gani mtu anaabudu ulikuwa mpango madhubuti wa walioleta vitabu ili kuwatia umaskini Waafrika.

  • @ZakariaChaula
    @ZakariaChaula 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka MUNGU akubariki Sana, ila nakupa pole maana elimu ya mke mmoja imetawala Sana mwanadamu na mbaya zaidi elimu zote zinatoka Kwa wazungu. Waafrika tumeacha VYA kwetu tunafuata VYA wageni

  • @johnndaji9532
    @johnndaji9532 24 วันที่ผ่านมา +4

    Kazi zipo nyingi tu siyo kujifanya mwalimu

    • @jumahalifa6436
      @jumahalifa6436 13 วันที่ผ่านมา

      Kazi ndiyohiyo yakuelimisha

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 25 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu akubariki sana

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 19 วันที่ผ่านมา +1

    Inna nahnu nazzalna dhikra wainna lahu lahaafidhuun

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 21 วันที่ผ่านมา +1

    Toeni ulofaa apo na uzinifu umewajaa mnajifanya mmeowa mke umoja baadaye akiumwa ao akifariki unaenda kuzini eti yesu amesema tuowe mke umoja unakubali unajificha unamzini mwanamkewa inje .siuowe tu acha uxinifu.iyo nisababu yakwanza mimi nakupeni.ni nyingietu sabab zakuowA wake zaid ya umoja.sbbu matatizo kuwanaume ni meeengi ndiyo mana mungu aliwapangiyeni kuowa wake wengikwanini mko wapingaji?Tena mungu hakupanga kwa sisi waislam tu nisisi wote wajawake sabab sote ni wanadam.mnaswara muislam sote.

  • @geraldmnyone9340
    @geraldmnyone9340 11 วันที่ผ่านมา

    Wakati wote kile kimjaacho mtu moyoni ndicho kimtokacho. Kinachofanyika hapa ni kulichafua Kanisa la Kristo aliloligharamia kwa mauti ya msalaba. Hatushangai mambo kama haya kutokea nyakati hizi. Mtu akifarakana na Roho Mtakatifu ni hatari sana! Mteule uwe macho!

  • @isayatumaamakau5535
    @isayatumaamakau5535 19 วันที่ผ่านมา

    Perfect 👍 well explained 👌

  • @user-ox6rb3wj5w
    @user-ox6rb3wj5w วันที่ผ่านมา

    Naomba utuwekee no ya kukusaport ili uduma yako ya kuwaelisha watu ujue zaidi

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 23 วันที่ผ่านมา +1

    Baba Upo vizuri mno fact's

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 25 วันที่ผ่านมา +3

    Sasa imekua ni mpango wa shetani kuwapoteza ata wateule wa Mungu. Kuweni na Akili maana ata Yesu anasema uwezi tumikia mabwana wawili lazima utampenda huyu na kumchukia huyu kwahiyo ata ndoa hipo hivyo pia.Suhala la kumpangia Mungu uko ni ukosefu wa Akili za kiroho mnafikiria kibinadam kuliko ki Mungu.
    Fikirieni kua nini Maana ya Mungu? Ni uweza ambao umeshinda uweza wote wa kila kitu Mbinguni na Duniani swala la kusema mkizaliana kidogo sijui mtakuwa wachache.Mmmh hapana Yesu Kristo alikuja kutufunulia habari za ufalme wa Mungu tu.kwahiyo yaacheni magugu na ngano safi viote pamoja ili mwisho kila mtu abebe mzigo wake.

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 17 วันที่ผ่านมา

      Acheni mawazo ya kizungu hayo.Sisi Waafrika tulimjua Mungu kwanza kabla ya kuja hizi dini za kigeni ambazo zinawavuruga Waafrika mpaka wanakuwa wehu.Hivi wewe unafurahi Sana wanawake waendelee kufanya umalaya ili Hali iliwezekana kuwa mke halali wa Mtu mwenye mke mmoja?Kama kuwa na mke mmoja ni dhambi Mbona hatuwaoni mkitumia nguvu zenu zote ikibidi hata kufa kuupinga ushoga unaoenezwa na hao hao waliokuletea hiyo Biblia?

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@leonardchoma3765
      Ujalazimishwa ukitaka kuoa oa tu.Nafasi ni yako hila shika sana Neno litakuweka huru

  • @masumbukosylvester9482
    @masumbukosylvester9482 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe huo ndio ukweli sema wivu was uke wrnza ndio unaleta shida.

  • @KesherNgwembe
    @KesherNgwembe 2 วันที่ผ่านมา

    Ubishi sio jawabu Bali kutafiti Jambo ktkt maandiko ndo jawabu pastor yupo sahihi anaondoa ujinga ktk ukristo Mimi nimkristo Nina mke mmoja sitalaji kuongeza mwingine lakini isiwe sababu yamimi kuwa na mke mmoja nipotoshe apana anayetaka kuoa zaidi aoe tu .

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 25 วันที่ผ่านมา +1

    Wakristo tusome biblia mbona inaonyesha aliyeumba aliumba mke na mume tunakwama wapi ukiwa siliasi.na.Mungu kwanza ndoa ni kitu kidogo sana msifikili watu wate.wanapenda ndoa ndoa zenu.hizo kila mtu alivojaliwa

  • @lucasbaluhya3787
    @lucasbaluhya3787 25 วันที่ผ่านมา +1

    Bado unahitajika kusoma inje ya box kwa sababu unawaza kulingana na kile unachokijua tafuta kile usicho kijua ili uweze kusaidika.
    Unachotakiwa kukijua ni kwamba Ukristo haujaanzia kwenye Roma Empire,kunatofauti kubwa kati ya ukristo na wokovu na unatakiwa kujua kuwa Mungu wetu sio wa Wingi ni Mungu wa Utakatifu.

  • @KesherNgwembe
    @KesherNgwembe 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi naafiki Mana Kuna mchungaji niliwahi mpa swali la namna hiyo alinijibu kisiasa tu

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 14 วันที่ผ่านมา +1

    ACHANA NA OPOTOFU MWISHO UTASEMA WAOANE BILA UTARATIBU WA DINI. SIKU ZA MWISHO HIZI JAMANI. TUWE MACHO.

  • @user-je2cr9su8q
    @user-je2cr9su8q 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kuolewa au kuzaa naye tu na sababu ilikuwa ni kupata uzao baada kuona umri umeenda ila MUNGU alishamuahidi atapata mtoto wa ahadi kupitia sara

  • @InnocentMlembe-qt9fd
    @InnocentMlembe-qt9fd 16 วันที่ผ่านมา

    Kaka unapotosha watu unaonekana upenda kuoa mitala unatakiwa wakufuatilie vizuri

  • @user-kt7nn1jo2u
    @user-kt7nn1jo2u 6 วันที่ผ่านมา

    Lakini mbona kama mungu amenyamaza juu la hili swala la ndoa...make sielewi

  • @davidkayumpu8170
    @davidkayumpu8170 14 วันที่ผ่านมา

    Askofu kaz yake ni wito anatakiwa aoe mke mmoja na mshirika akioa wake wengi huo nao ni wito huyu mtumishi sijamwelewa

  • @pastorjameswatersoflifechu1227
    @pastorjameswatersoflifechu1227 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kuoa wake wengi sio wito ndugu yangu.
    Naomba swala hili kama huna uhakika liachetu.
    Unatengeneza watu wakuoa wake wengi.

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 25 วันที่ผ่านมา

      Huyu kaajiriwa na Ibilisi yupo kazini kwa Baba yake kupotosha watu

  • @Mzitomatelephone
    @Mzitomatelephone 22 วันที่ผ่านมา +1

    Ili uelewe hapa mpaka ufike mbali sana kimawazo

  • @salumsimai642
    @salumsimai642 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nahisi hawa wanaopinga ni wanawake hawa wanaleta mawivu tu ila by nature mke mmoja hatoshi wanaume tuoee tuoeee tuoeee

  • @peterkibiriti5601
    @peterkibiriti5601 19 วันที่ผ่านมา

    Acha kujifanya hujui kiswahili,wake wengi na neno wake wanne haya ni maneno,mawili tofauti,kasome kuiswahili

  • @jumandakamenye2316
    @jumandakamenye2316 25 วันที่ผ่านมา +2

    Imeandikwa kila mumoja awe na mike wake mwenyewe vp hili limekaeje

  • @KilonzoJohn-mg7cw
    @KilonzoJohn-mg7cw 19 วันที่ผ่านมา

    Sema bibilia inasemaje ACHA ujinga na uchawa achane kutumia vibaya neno LA mungu Kwa sababu ya kutetea manabii wa uonge kumbuka ikosiku inakuja hayo unayosem utajibu mbele za mungu ACHA tafri za hovyo ACHA uchawa lusekelo ni mlevi anafundisha uongo nawe nisehemu ya mlevi muongo mnanganyifu mwalimu wa uongo na mungu anakuona

    • @leonardchoma3765
      @leonardchoma3765 17 วันที่ผ่านมา

      Biblia ndiyo nini?Hiyo Biblia haikushuka toka mbinguni.Iliandikwa na wanadamu na kufanyiwa marekebisho mara1647 kwa maslahi ya Wazungu ili tuwe mafukara.Hadi hii leo Mashoga wanaendelea kukifanyia marekebisho Kitabu hicho.Kama ukuu wa Mungu unadhihirika kwenye Kitabu kiitwacho Biblia au Qur'an basi huyo ni Mungu aliyefeli.Kwenye vitabu huko ndiko kulikojaa utapeli,mauaji,wizi,ubaguzi nk.

  • @user-jk5ey2mw7d
    @user-jk5ey2mw7d 20 วันที่ผ่านมา

    Mwogope Mungu, acha kupotosha neno la Mungu.

    • @josephatkajange-zx2tl
      @josephatkajange-zx2tl 17 วันที่ผ่านมา

      Amepotosha nini, toa vifungu hapa. Sio kusema tu from no where!

  • @rangos4749
    @rangos4749 25 วันที่ผ่านมา +3

    Uzinifu unakusumbua brother

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 25 วันที่ผ่านมา

      Huyu hata hastahili kuitwa brother huyu ni chizi na mzinifu.

  • @user-du3pd7gb4c
    @user-du3pd7gb4c 25 วันที่ผ่านมา +1

    !!! Kijana Umekufa kiroho,na shida umeokokea kwa hawa wanao jiita mirume na nabii asilimia kubwa hawa Neno la Mungu hawana ,wao wameshika vifungu vya kujilinda na mafanikio ,sio kweli ya Mungu ya kumfanya mtu aokoke !!! Mimi namshukuru Mungu nilisha wakimbia ,nimechunguza nikajuwa kweli hawa wauza mafuta ,na maji hawa hakuna kitu asilimia kubwa mafundisho yao niyakuzimu,yani yakishetan kabisa. Jaman makanisa yakweli yanayo hubiri kweli ni TAG , EAGT FPCT Na mengine Ambayo hawauzi vitu hawa ndo wanahubiri Neno kifadhaha lla sio hawa wauza vitu hawa

    • @isaackambofi1241
      @isaackambofi1241 25 วันที่ผ่านมา

      Jipange usiropoke tu tatizo umerisi Imani izo, mazeebu yapo Zaid ya 1000

    • @heneriko_pius
      @heneriko_pius 24 วันที่ผ่านมา

      HAKIKA

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 25 วันที่ผ่านมา +2

    Hata kama ungeoa wanawake 100 uta zaa wana wake wengi kuliko watoto wa kiume kwa hoyo haita saidia kama ni tamaa za kimwili owa tu lakini hutaweza kuwamaliza wana wake.

    • @user-it7ih1it3m
      @user-it7ih1it3m 25 วันที่ผ่านมา +1

      Una akili kubwa unachoongea ni kweli wanawake huwez kuwamaliza

    • @user-kh3ht3dr4s
      @user-kh3ht3dr4s 25 วันที่ผ่านมา +1

      Hongera sana mwalimu uko vizuri sana unawafafanulia sana bibilia

  • @brezenetcomputers9081
    @brezenetcomputers9081 14 วันที่ผ่านมา

    Dah nyie wachhungaji mnifurahisha mno mnaijua history na bible kwa ujumla mungu awabaliki ndo maana nawapenda sana walokole

  • @user-je2cr9su8q
    @user-je2cr9su8q 25 วันที่ผ่านมา +1

    We si ndio umesema mke wa adamu hakuwa Eva alikuwa ni Lilith sasa we huoni unapotosha watu wewe acha mafundisho ya kishetani ndugu yangu

  • @novatussimfukwe5968
    @novatussimfukwe5968 21 วันที่ผ่านมา

    Nimesoma comments nyingi, nilichokiona watu wanahasira na mihemko badala ya kuielewa concept. Mwalimu hana kosa hata kidogo na wala hajasema wakristu tuoe wake wengi ila ameelezea dhana ya wake wange katika maandiko. Katoa mfano mdogo tu wa idadi ya wanawake dhidi ya wanaume na akatuacha na swali kuwa wale wanaozidi wataolewa na nan? Na je n mpango wa mungu kuwa baadhi ya wanawake wasiolewe maisha yao yote????? Kabla ya kutoa kauli mbaya kwa mwalimu sote tujiulize na kutoa jibu katika swali hilo. Pia katupa mifano ya agano la kale ambapo wateule wa mwenyezi Mungu wengi walikuwa na wake wengi na akamalizia kwa kutupa historia jinsi biblia ilivyo editiwa mara nyingi ili kukidhi haja za baadhi ya watawala wa kidunia nyakati hizo.

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 25 วันที่ผ่านมา +2

    Unazidi kuchemka mzee

  • @ramadhanishabani9264
    @ramadhanishabani9264 23 วันที่ผ่านมา

    wakristo hawaruhusiwi kuoa mke zaidi ya mmoja, ili pate nafasi hii adimu kwa madhehebu mengine, ili waoe wake wawili, watatu, wanne, lazima wasilim wawe waislam ndio wapate idhini ya m/mungu, inje ya hapo indeleeni kuzini mtakuja kujuta siku inakuja mtakusanywa km udongo wa mfinyazi na kupondwa pondwa na kutupwa motoni kwa upofu wa mioyo yenu kukataa kuiona kweli ya m/ mungu

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 19 วันที่ผ่านมา

    Una tuletea mambo ya kihuni kuoa wanawake wengi iyo hapana Tena uyo mzee wa upako ndo hamna kitu upako Gani at wachukua watu wasio mjua yesu au mungu na tume wajua mambo yenu ya kupotosha jamii

  • @user-hn9qz6kv7n
    @user-hn9qz6kv7n 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hueleweki kabisa nakushhauri uwe Mwsilam ukaoe WA awake Tani yako KWA wakristo ni mmoja BIBLIA INASEMA MTU ATAAMBATANA NA MKEWE

  • @GraysonMtengeti-zc4ft
    @GraysonMtengeti-zc4ft 16 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @dicksonmrope8030
    @dicksonmrope8030 24 วันที่ผ่านมา

    Maoni ya wengi wanakupinga mwalimu Benson, wewe unafundisha ila haujashauri watu waoe mke zaidi mmoja Ila unatoa elimu, binafsi nimeelewa nimeongea kitu
    Mimi nimesoma theology ngazi ya bachelor

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 25 วันที่ผ่านมา +6

    Biblia ni msitu mkubwa inaweza kukuokoa au kuku poteza

    • @user-je8mj8dc7u
      @user-je8mj8dc7u 25 วันที่ผ่านมา

      Ujue kutenganisha uongo na ukweli

    • @mahadboy5124
      @mahadboy5124 23 วันที่ผ่านมา

      Kumbe uongo mwing kwny bibilia

    • @josephatkajange-zx2tl
      @josephatkajange-zx2tl 17 วันที่ผ่านมา

      Msitu gani!

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo ww itakuokoa au i😊takupoteza

  • @user-cf9tt4vg9e
    @user-cf9tt4vg9e 17 วันที่ผ่านมา

    Hu wakati yezu ule ulikuwa wakati wakale

  • @elishadodi8787
    @elishadodi8787 25 วันที่ผ่านมา +1

    Benson Una wito wa kuoa wake wangapi?

  • @eddygad2858
    @eddygad2858 22 วันที่ผ่านมา

    Huo siyo wito ni uzinifu sasa unataka wakristo waende kinyume n'a maandiko acheni kupotosha watu

  • @user-cf9tt4vg9e
    @user-cf9tt4vg9e 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mze unapenda mademu sana

    • @godwinkileo7702
      @godwinkileo7702 13 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅😅

    • @godwinkileo7702
      @godwinkileo7702 13 วันที่ผ่านมา

      Kuna kademu kanamchanganya sana, anatafuta njia ya kukaoa anashindwa anatafuta kuungwa mkono, na kwahakika hutapata kamwe, baki na ualimu wako wa kishetani,

  • @petermwenda6470
    @petermwenda6470 22 วันที่ผ่านมา

    Maziwa na tui la nazi kipi cheupe?😢😢😢

  • @user-cf9tt4vg9e
    @user-cf9tt4vg9e 17 วันที่ผ่านมา

    Wewe unatete uzizi .hu ni wakati wa roho

  • @lwitikoasa6899
    @lwitikoasa6899 25 วันที่ผ่านมา +4

    Mwalimu wewe ni teacher mzuli sana Kwafundisho hili haupo sawa Biblia. Marko 10:6
    [6]Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke. SIYO MUME NA WAKE

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 25 วันที่ผ่านมา

      Masomo mengi tu anapotosha so hili tu naona ametumwa kazin na baba yake ibilisi

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 17 วันที่ผ่านมา

      Tena Yesu anawambia ni kwa sababu ya tamaa.naomba mtoe maandiko maana ndiyo msingi.alafu kama mtu anahitaji kuoa wake wawili aoe kwani mmezuiliwa na naniii?

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 17 วันที่ผ่านมา

      Tena Yesu anawambia ni kwa sababu ya tamaa.naomba mtoe maandiko maana ndiyo msingi.alafu kama mtu anahitaji kuoa wake wawili aoe kwani mmezuiliwa na naniii?

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 21 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo waambieni sababu zilizopendekeza mungu kutamka wanaume waowe wake zaid ya umoja waambieni hawajuwi wako wanatafsiri vingine venye hawajuwi.mbona ni byepesi kuona?hata ukiwa wewe si msomyi unaona sabab yenye mungu alilazimisha wanaume kuowa mke zaid yaumoja binaeleweka kabisa .kwani mungu ni mwendawazim?nawaulizeni kwanza.ma sheih wafahamisheni sababu mnawaficha?waambieni waelewe hawajuwi kitu.

  • @pidiusDominick-qi7nl
    @pidiusDominick-qi7nl 25 วันที่ผ่านมา +2

    Uko vizuri mwalimu isaya achana na hao wakina mbalikiwa hawajui wanataka nini maana wanajifanya kama mbingu niyao na kuona wengine hawafai

  • @adonaiastoni1703
    @adonaiastoni1703 25 วันที่ผ่านมา +3

    Ni marufuku kwa mkristo hiyo ni tamaa na uache kupotosha watu Paulo anasema aliyezidiwa saana na tamaa awe na mke mmoja acha upotoshaji

  • @user-os3tg5bo6v
    @user-os3tg5bo6v 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe una mapepo pamoja na Lusekelo Mt 19:1----Yesu anawakumbusha kama ujinga huo unaoendelea nao ,Mungu aliumba mtu mume na mtu mke hakuna zaidi, Mtd 17:30 ,hakuna ruhusa kanisa; na Yesu hajaleta ukristo bali wokovu yeye alikuwa Kristo, zama za Adamu na Hawa baada ya aanguko ,Kristo anasema zama za ujinga hayo yote yalitendeka; soma utaona mkutadha wa Mungu si vile unavyoeleza maelezo yasiyo na Neno,hadithi za kizee ;acha utahukumiwa! Huelewi chochote.Amen

    • @godwinkileo7702
      @godwinkileo7702 13 วันที่ผ่านมา

      Anatafuta watu wakumuunga mkono ili aoe wake wengi kama Suleimani😅

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa wahubiri wako unasema Wana mapepo na ww unaohubiriwa utasalimika kweli soma vitabu wacha ushabiki

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 25 วันที่ผ่านมา +2

    Imeandikwa kwa sababu ya ugumu wa mioyo usifikili walipooa wanawake wengi Mungu alifulahi.hapana yesu alisema ni.ugumu wa mioyo na inaonyesha kuna vitu mtumishi wa Mungu akivifanya Mungu anachukizwa ila anakuwa hana jinsi wakati mwingine anasamehe wakati mwingine mapatilizo hayaishi.usilahisishe.bensoni.yeye aliyeumba aliumba mke na mume ukiwa.bize.na Mumgu sana hata mume mmoja mke mmoja bado ni mzigo watu wanalahisisha kuwa na Mungu mfano.hata.mwiislamiki.anae.swali swala.tano.Mungu anamfunulia jinsi.dunia ilivo.na.siri.nzito.naamini.hawezi oa mke zaidi ya mmoja maana majukumu ya Mungu majukumu ya mke majukumu.yake majukumu ya watu majukumu ya watoto wake awafundishe kumcha.Mungu wanadamu tuache masiara

  • @DanielDaniel-gx2ou
    @DanielDaniel-gx2ou 23 วันที่ผ่านมา

    inamana bibulia ilitokana namungu au nisiasa zawatu tu???

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 24 วันที่ผ่านมา +2

    Ila ndugu zangu midia kwasasa zitatupoteza

  • @AllyPawaga
    @AllyPawaga 15 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu uko sawa na mzee waupako yuko sawa watu hawataki ukweli Allah awalinde biblia imechakachuliwa sana

  • @sumamelody6197
    @sumamelody6197 18 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa sana mwalimu wangu tatizo ni mitaala tulio letewa na wazungu sio dini tu hata elimu yetu mashuleni inatufunza kua tegemezi

  • @ValerioKiputa-be6vt
    @ValerioKiputa-be6vt 24 วันที่ผ่านมา

    Kuelewa msuala haya inatakiwa akili kubwa. Akili ndogo haziwezi kwani Huwa hawataki kujifunza mambo mapya kutokana na mapokeo! Mtumishi endelea kutufundisha.

  • @jakoboamon9402
    @jakoboamon9402 17 วันที่ผ่านมา

    Kuongezeka Kwa kuzaliwa kimwili haimbabaishi Mungu,mkezaid ya mmoja in dhambi

  • @sabasisilwela2796
    @sabasisilwela2796 25 วันที่ผ่านมา +1

    Isaya unapotosha watu ndoa ni ya watu wawili tu mke na mme Mungu aliwaomba adamu na Eva2

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 25 วันที่ผ่านมา

      Ndugu ZETU wanatoa uumbaji WA kwanza Adam na hawa.kwani muhidi si iliumbwa punje MOJA mbona jkiipanda inatoka ZAIDI ya MOJA??? MUSA alisema MTU akiwa na wake wawili mmoja anampenda na MWINGINE anampenda wrote wakamzania WANA?? Taurati upo SAWA mwalkmu isaya

  • @elifasinimpagaritse7902
    @elifasinimpagaritse7902 25 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mwalimu Ana sema Biblia tunayo isoma sio ya kweli Ila anapo soma kuhusu Mambo anayo yataka yeye Anafika anaweka tiki kuwa ni kweli

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 25 วันที่ผ่านมา

      Huyu dishi limeyumba na hajielewi anaeleza suala la ndoa kwa mitazamo ya kidunia Mara aikosoe Biblia kuwa ilipotoshwa na kujiona yeye Yuko vizuri na historia zake za kishetani. Tukisema hivi anasema tunamtukana. Ni Mpumbavu sijawahi kuona Ila yeye anavyojiona ni bonge la Mwalimu. Yeye kama anadai wakristo hatuongezeki na akijiona yeye anafundisha sahihi, ana mpango wa kuoa wake wangapi kama mwl wa Neno la Mungu?

    • @heneriko_pius
      @heneriko_pius 24 วันที่ผ่านมา

      HAMNA MWALIMU HAPA TUSHAPIGWA TAYARI

  • @apostledanielmwendajuu7200
    @apostledanielmwendajuu7200 22 วันที่ผ่านมา

    1 Wakorintho 9:5
    [5]Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?
    Huyu mke aliye ndugu anayezungumziwa na paul ni nani

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 21 วันที่ผ่านมา

    Jamani hawa nduguzetu naona hawelewi wala hawaamini kitab cha mungu.ningependa ma sheih wote sabab wao ndio wanaelim zaidyao.

  • @user-vy8tb2hq9w
    @user-vy8tb2hq9w 21 วันที่ผ่านมา

    Ukosahihi kwasababu zama za kwanza haikujurikana kama ni zambi kwasababu haikua zambi kwa maana hio itakua sio zambi kwasabsbuhio ni harari kuoa mke zaidi ya mmoja

  • @user-nz8bv6xn9r
    @user-nz8bv6xn9r 25 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa ni mpotoshaji wa hali ya juu sana mtanielewa siku si nyingi ss ni wakosefu lakini tusikubali mafundisho ya mashetani hoja za kuoa mke mmoja au wake wengi si hoja ishu ni uwezo wa binadam kuacha dhambi narudia tena huyu jamaa anajiita mwalm wa neno la Mungu amepataje cheo hiki? Mtu ambaye yuko kila mahali anasema anaongea na qatu wanao penda kujifunza si wanaopinga mm ntakupinga masaa 24 zungumza watu kuacha dhambi kuoa kuoa hoja za ajabu sana unatuletea nadharia mara hamas, ukraine, urus mara America sasa ww fuata dini inayorusu wake wengi mafundisho yako yatasaidia nn mana tayar ukrsto ushasema mke mmoja tupe testimony kama ww tayar ushaoa wake wengi na chips za mbeya unazo kula kama utawaweza bado naema ww n mtafta hela

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 25 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe una wake wangapi?

  • @heneriko_pius
    @heneriko_pius 25 วันที่ผ่านมา +1

    USITULAZIMISHE KUELEWA WEWE ELEZEA TU KAMA NI YA MAANA TUTAYAFUATA USITULAZIMISHE

  • @user-es6lq1bv1j
    @user-es6lq1bv1j 25 วันที่ผ่านมา +2

    Ww sio mtumishi WA Mungu ww umetumwa na ibilisi maan unaipinga biblia! Unapotosha neno la Mungu! Paulo alisema ktk wagalatia 1:8 kuwa akija Malaika kutoka mbingun na kufundisha tofaut na Sisi na alaaniwe! Sasa ww unafundish kinyume na biblia! Mungu aksaidie Sana!

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 20 วันที่ผ่านมา

      Sasa binadam na malaika nani wa kuchaguliwa, Huyo Paulo ana utume gani kwanza?

    • @obadiahmadeje7016
      @obadiahmadeje7016 20 วันที่ผ่านมา

      NIPE Maneno ya BIBLIA yanayokataza kuoa bibi 2,
      Ili yeye tumuone Kuwa muongo,
      Maana na Mimi kaniteka!

  • @elysemanirakiza9956
    @elysemanirakiza9956 24 วันที่ผ่านมา +2

    Lakini mafarisayo walimuuliza YESU akawajibu kwamba Mungu aliumba Mme Mmoja na musaidizi mke Mmoja na kwa sabu hiyo nendeni muishi ni wawili

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 15 วันที่ผ่านมา

      Sura gani?

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wacha ujinga oa wake wengi wachana na mambo ya mke mmoja Mila za wazungu

  • @benardbonephace4896
    @benardbonephace4896 19 วันที่ผ่านมา

    Naona kama mtu namwita shetani na mwenda wazimu na mimi najiona mwenye haki,basi inanibidi niangalie sn maneno yangu maana yaweza kunionyesha mi ni mtu wa jinsi gani kabla ya kumkosoa yule anayeongea,nadhani kitu cha muhimu ni kuleta hoja yenye ushahidi wa kimaandiko kuwa hiki kinachosemwa hapa ni cha kweli au cha uongo,sio wote tunaosikiliza tuna mawazo mgando ila tuna mawazo mseto yanayotafuta kweli ni ipi kama watu wa Beroya

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mi naona wazungu wanatuchezea tu akili zetu. Wanasisitiza ndoa ya mke mmoja halafu baadaye wanaruhusu ndoa ya mikata na baadaye ushoga!! Na wanatishia kuwa asiyekubali mpango huu anawekewa vikwazo kweli 😥. Mimi sasa hivi nitakuwa najifunza kwa wanyama wala si binadamu kwasababu wanyama hawajadanganywa. Wanaukweli wa asili.

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 25 วันที่ผ่านมา

      Hivi kwani ni wazungu walioamuru muoe mke zaidi ya mmoja? Kwa hiyo ni dhambi kuoa mke mmoja na Mungu atawatupa jehanamu watakaofanya hivyo? Kama ndivyo Mwalimu anayefundisha Haya ana wake wangapi mpaka Sasa anapotufundisha? Kama anaye mmoja ni wapi Mungu aliagiza tuoe wake wengi?

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂 wanyama hawaoi kumbuka wanapandiana tuuuu

  • @jakoboamon9402
    @jakoboamon9402 17 วันที่ผ่านมา

    Roho mtakatifu amelidhibitisha hilo uhalali ni kuoa mke mmoja,unavoenda kihistoria mmechemka na Mze wako wa upaka

  • @LuganoKingdom
    @LuganoKingdom 22 วันที่ผ่านมา

    Wewe ndiyo mkristo wa kweli, endelea kutetea Kizazi cha UKRISTO

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 24 วันที่ผ่านมา +1

    ukristo sio idadi. hatushindani kwa idad.tunashindania kukomboa roho

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 24 วันที่ผ่านมา

    hiki kizazi n kizazi kilicho chaguliwa kwa ajili ya utukufu wa Mungu. ndio petro anasema. taifa teule takatifu ss tu makuhani. kuhani hatakiwi kuoa wanawake wawili na hatakiwi kunywa kileo.

  • @user-dt7jp4rd5x
    @user-dt7jp4rd5x 20 วันที่ผ่านมา

    Sipendi kutaja Jina Langu kwasababu Za kiusalama. Swali Langu Ni Hili Bwana Benson. Nini kifanyike Ili 1.kufufua Huo Ukweli Uliofichwa na Wazungu kwa lengo La kuitawala Dunia. 2. Nini Kifanyike kwa Kanisa Ili Liweze kuulewa Huu Ukweli na kuufundisha Ili Waumini Wa Kikristo Waongezeke?

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ni vingumu kukuelewa mwl Benson kwani wazungu walituletea huo utamaduni tukakubali lakini sasa wameleta ushoga na gay eti tufuate sasa kipi ni kipi hapo utaelewa ni Bora kuwa na vijana wawe wanawake na kusagana ujinga mtupu na nchini wapo wanao waunga mkono hawawezi kumpa technology at ata ufe wanatamani tuendelee kuwa wajinga Tu hapo wanafurahi

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 14 วันที่ผ่านมา +1

    HAKUNA KUOA WAKE WENGI. NDIYO MAANA WALIKUWEPO ADAM NA HAWA TU. MUNGU HAKUONGEZA MWANAMKE MWINGINE KWA ADAM

  • @ElibarakaBellet
    @ElibarakaBellet 13 วันที่ผ่านมา +1

    Biblia mwanzo Hadi ufunguo wa yohana hakuna sehemu imeandikwa mwanaume lazima aoe mke Moja kama unao mpunga oa wake wengi

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fact

  • @bonychitanda6410
    @bonychitanda6410 25 วันที่ผ่านมา +1

    Wanawake ni wengi kuliko wanaume lkn kila mwanamke ana bwana ake

  • @severinantunuligwa4598
    @severinantunuligwa4598 25 วันที่ผ่านมา +7

    Msiwe walimu wengi!! Sasa ndio naelewa kwamba ualimu ni shida kubwa huyu jamaa isaya ni shetani mzima kabisa

    • @dechardavid2555
      @dechardavid2555 24 วันที่ผ่านมา +2

      Kama kakosea Muombee..ila usimuite hivo kua ni Shetani..Hienda wewe ndio unauelewa mdogo ..maana kila mtu na uelewa wake..Mungu sio wako peke yako.

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 24 วันที่ผ่านมา

      @@dechardavid2555Kuna kazi nyingi za kufanya kwa Mungu sio kuombea watu waliojikinai

    • @EvoniSanga
      @EvoniSanga 22 วันที่ผ่านมา +2

      Usimtukane ww jenga hoja ili tuone yupi mkweli ila kutukana nikudhihirisha kuwa Huna hoja

    • @dechardavid2555
      @dechardavid2555 22 วันที่ผ่านมา

      @@EvoniSanga kabisaa

    • @peterlove4g869
      @peterlove4g869 22 วันที่ผ่านมา

      Huna unachokijua ungelikua unachochote kichwanimwako ungeleta hoja

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 25 วันที่ผ่านมา

    Saizi watu wanatumwa na waganga waolewe na wewe wengine wanatumwa na uganga wakuowe uone oleweni ila mm nasema.heri.watu.wamtafutao bwana kwa.nyakati ambapo yesu anatabili anasema kuna mambo yatakuwa.yanatokea watu watakuwa wakivunjika mioyo wazen mapenzipenzi jibu mtalipata

  • @mkkson6927
    @mkkson6927 25 วันที่ผ่านมา +1

    Stay kwenye neno ya Mungu bro siyo maneno yako

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 25 วันที่ผ่านมา

      Yaani hoja ya kibiblia inavyotetewa ndipo utaelewa there is satanic agenda behind to spoil christians

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 23 วันที่ผ่านมา

    Hili jamaa halina akili kabisa sijajua ualimu alitoa wapi

  • @user-hq8wn9tz2l
    @user-hq8wn9tz2l 25 วันที่ผ่านมา +3

    Nimekufuatilia sana kwa kipindi kilefu nikagundua kwamba ww jamaaa unaakili ndogo sanaa

    • @user-hz3fv8fd1c
      @user-hz3fv8fd1c 16 วันที่ผ่านมา

      Wewe akili yako imesinyaa sana!

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai 9 วันที่ผ่านมา

    Wewe mlevi

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 15 วันที่ผ่านมา

    Mm Biblia sijawahi kuielewa kbsa. Mtume Paulo ni mtume wa mungu kweli , huyu mrumi na crusader ktk jeshi la kirumi anakuwaje mtume , huyu Mr P ndio kaharibu image ya Yesu . mara Yesu mungu , mara mtume ,mara mtoto wa mungu ......

  • @aliponaimu
    @aliponaimu 25 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmmhhhhh.

  • @yusuphhassan9619
    @yusuphhassan9619 24 วันที่ผ่านมา

    Wewe kweli ni mwalimu unasimama na ukweli Mungu akulipe kheri

    • @user-rw3uu2rw8e
      @user-rw3uu2rw8e 24 วันที่ผ่านมา

      Shehe acheni kupotosha watu tamaa ya mwili huwez itimiza

    • @yusuphhassan9619
      @yusuphhassan9619 23 วันที่ผ่านมา

      @@user-rw3uu2rw8e siyo tamaa ya mwili sisi tunafata mitume na manabii wote walioa wanawake zaidi ya mmoja je walifanya dhambi?

    • @LuganoKingdom
      @LuganoKingdom 22 วันที่ผ่านมา

      Uko vizuri saana, ila uwezi eleweka kwa sababu tumedanganywa mpaka tumepoteza uelewa wetu USICHOKE KUKOMBOA UZAO WA KIKRISTO

  • @abdillahramadhani2983
    @abdillahramadhani2983 25 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe sema mwenye akili atajufunza

    • @elishadodi8787
      @elishadodi8787 25 วันที่ผ่านมา

      Je kwa Injili hiyo uko tayari kumwamini Yesu na kuokoka? Kama huwezi ujue ni upumbavu ule ule unaofundishana kwenye uislamu ili mzini na wake wengi.

  • @evalinekassam5187
    @evalinekassam5187 17 วันที่ผ่านมา

    Kama daudi kapotea na ss pia tupotee kaka muombe Roho mtakatifu akufundishe bibilia imeandikwa na manabii na mitume siku za mwisho zimekarinia

  • @simonmwambene4441
    @simonmwambene4441 25 วันที่ผ่านมา +3

    Unajifanya unanidhamu wakati unalitukana Taifa la Israel wewe halafu unajiita Mwl wa neno la Mungu sijui Mungu gani

    • @victorbeno
      @victorbeno 24 วันที่ผ่านมา

      Mmmmmmh nae huyu ujuage kusoma biblia sio kusomewa kila kitu utabaki unapingatu

    • @paschaljuma3312
      @paschaljuma3312 20 วันที่ผ่านมา

      Kwaiyo israel ndio nini we mjinga

  • @user-wu7sy6dp2o
    @user-wu7sy6dp2o 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nilikuwa nakuamini lakin sasa naona kama unapotosha mwalim isaya

    • @mwalimuisayabenson4859
      @mwalimuisayabenson4859  25 วันที่ผ่านมา +2

      Usiache kuniamini please ila wewe mwenyewe fuatilia usiende na mapokeo na elewa dhana katika hili, sasa ukiacha kuniamini utakosa mengi mazuri kutoka kwangu hili moja lisikufanye uache kuniamini hakuna binadamu aliyekamilika.

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 25 วันที่ผ่านมา

      Lakini mwalimu lazima tukubaliane ukristo sio dini wala sio mpango wa mungu maana nidini ambayo haijitoshelezi wala kua na msingi maarum na pia haikuanzishwa na yesu wala hata maneno yaliomo ndani ya bibilia hayana uhakika kama yesu aliyafundisha maana yesu mwenyewe hakuandika bibilia wala hakupewa bibilia na mungu yeye Alipewa ingili na ilikua kitabu kimoja TU kama vile zaburi torati ingili na koroan laki hiki kinachoitwa bibilia au bible ni vitabutu vya historya zawatu nani vitabutu kama vya hesabu na kiswahili na hitolia havina mpango wote dini yenywe yesu hakukianzisha ilianziswa miaka 14 na Paulo hapo antokia na kwarayakwanza waliitwa wakristo Wewe ukitaka kufuata dini yakweli na haki silimutu uwemuisilamu uondokane na huu utumwa wakufuata vituambavyo havina mashiko ndugu yangu ubarikiwe sana assalamualaikum 🙏🙏🇹🇿

  • @Dolkasidanieli
    @Dolkasidanieli 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa nishetani mtupu

  • @BarakaYasini-lp3ys
    @BarakaYasini-lp3ys 25 วันที่ผ่านมา +3

    Ukweli unajua Sana mjinga ndy atakaye kubisha