#Mzee

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • JUMAPILI HII USIKOSE KONGAMANO KUBWA LA DUA SALA NA MAOMBEZI LITAKALO AMBATANA NA VIFUNGO KUTAKUWA NA MAJI YA UPAKO NA MAFUTA YA UPAKO KWA UTIMILIFU UTAKAYO MALIZA UCHAWI NA MASHETANI MIKOSI NUKSI NA BALAA MAJI YA UPAKO HAYA YANA UWEZO WA AJABU NA PIA MAFUTA YA UPAKO YA UWEZO WA AJABU UKIAMINI KUSAIDIKA NI LAZIMA .KUFUNGULIWA NA MIUJIZA TELE. TUTAKURUHUSU UJE NA TATIZO AMBALO UTATOKA NALO USIOFU CHIEFMWANTEMBE AMEKUWA BARAKA KWA WENGI KATIKA ARDHIZI YA TANZANIA KWA MIAKA 37 SASA KUPITIA YEYE MUNGU AMEKUSA WENGI NI MZEE WA UPAKO CHIEF MWANTEMBE BISHOP ANTONY LUSEKELO HAYAA SHIME KANYANGA TWENDE WAKATI WAKO NI SASA. HATASHUGHULIKA NA MATATIZO YAKO BILA KUCHUKUA DINI YAKO. KWA MAWASILIANO 0754606082 KABLA YA KUPIGA ANDIKA SMS UTAJIBIWA KWA WAKATI. Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
    Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
    Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za TH-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

ความคิดเห็น • 193

  • @Jenestabenedkitor
    @Jenestabenedkitor หลายเดือนก่อน

    naitwa mosses bingileki niko bukoba kagera mzee nakukubali sana waambiee hao matapeli mungu akupe maisha malefu katkika jina la yesu kristo mwana wa mungu aliye ahi

  • @martinakyoo148
    @martinakyoo148 ปีที่แล้ว +2

    Hili la kukurupuka tu nakujiita bila kusubiri kazi ikutambulishe ,kutokutambuliwa na serikali, Mzee Wa Upako umenena vyema ubarikiwe Sana.

  • @rev.asanterabi7440
    @rev.asanterabi7440 ปีที่แล้ว +3

    Lusekelo hongera sana. Naona umerudi sasa! Maana awali ulianza kuhubiri vitu vya ajabu. Hizi ndizo jumbe za wakati. Mungu akuwezeshe udumu katika njia sahihi.

  • @seifrashid3664
    @seifrashid3664 ปีที่แล้ว +3

    Mzee wa upako Tabia ya kungalia pesa ukipewa mathabauni waca

  • @mactweve3353
    @mactweve3353 ปีที่แล้ว +1

    this servant of God has preached the truth of God, may God's blessings be upon him and his children

  • @shadrackpaulomabula
    @shadrackpaulomabula ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Mzee wa Upako kwa kuisema kweli yote nimekuelewa sana

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee karibu sana Kigoma ufungue huduma huku, mm nakutamani sana. Mungu amekujaria misuri ya ukweli.

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 ปีที่แล้ว +2

    Jamani hamuoni hata kusikia hamsikiii manabii wa uwongo wamejaa African na Tanzania amkeni mzee kaamua kuwafunulia maneno yenye ushahidi ubarikiwe inshalaaah

  • @Alex_Sesh
    @Alex_Sesh 3 ปีที่แล้ว +4

    Mzee wa upako Mungu wa binguni akubariki sana. Watanzania wanayo bahati sana wewe kuzaliwa Tanzania. Tunaomba sana usambaze umeme hadi Kenya.

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ mm nakupendaga sana Mungu akutunze❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ni8lv4nt7c
    @user-ni8lv4nt7c 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa nimekuelewa sana anthony

  • @frankmwinuka3413
    @frankmwinuka3413 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Transformer.

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda baba Wakati wa Mungu umefika sasa

  • @urbanmission3072
    @urbanmission3072 ปีที่แล้ว

    Nakukukubari SANA mzee wa upako,yaani mi kwa upande wangu tangu zamani namkubar pekes mzee wa upako

  • @yustomroki1419
    @yustomroki1419 ปีที่แล้ว +1

    Safisana Pastor Hakika Umenifanya niwe nakufatilia Hizi ndizo jumbe Zinazo Paswa kuhubiriwa Za kuwa Ambia wana Wa Mungu Ukweli .Safi Sana,, Hapo Nime kuelewa Vyema

    • @SMEDIA298
      @SMEDIA298 ปีที่แล้ว

      Hakika Mtu wa MUNGU

  • @SleepyAlpineVillage-yp2sz
    @SleepyAlpineVillage-yp2sz หลายเดือนก่อน

    Nakuamini sana pasta

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea ukweli kabisa mzee mungu akubariki mimi binafisi sijaona mtume wala nabii hukuna kabisa angalao moses kulora angalau hawa wote matapeli watupu

  • @NicholausNkumira-ue8fe
    @NicholausNkumira-ue8fe 3 หลายเดือนก่อน

    Manabii WA uongo wako wengi Sana, mtawatambua Kwa matendo Yao. Hata Lusekelo akisema Yesu SIYO Mwana WA Mungu yaani Mungu mwana, jua na yeye atakuwa Nabii wa Uongo.
    Maana imeandikwa kila roho isiyokiri kuwa Yesu NI Mwana WA Mungu NI ya uongo.
    Hata akisema Yesu SIYO Kristo na wafuasi wake NI WA Kristo atakuwa Nabii wa Uongo na mpinga Kristo.
    Wakristo tuwe makini Sana, Bwana Yesu alitutahadharisha Sana.

    • @johnsonbernald11
      @johnsonbernald11 3 หลายเดือนก่อน

      lusekelo anaongea kupitia biblia, biblia inasema yesu ni mwana wa mungu na sio kama wachungaji wanavyotudanganya eti yesu ni mungu, je mungu alitahiliwa? mungu alikuwa na ndevu?

    • @neemamajana3078
      @neemamajana3078 2 หลายเดือนก่อน

      Lusekero kwa mjibu wa maandiko ni mkweli

  • @wisembuya7891
    @wisembuya7891 ปีที่แล้ว

    Baba ubarikiwe sana sasa unahubiri injili ya kweli hakika umebadikika sana kwa sababu nilikua nakufuatilia hakika unaipiga lnjili ya kweli na MUNGU AKUPE NGUVU UENDELEE KUHUBIRI IJILI YA KWELI.

  • @gregorybundala4963
    @gregorybundala4963 ปีที่แล้ว +1

    Huu ni uponyaji wa kifikra mkubwa sana kwa kweli ubarikiwe sana.

  • @brezenetcomputers9081
    @brezenetcomputers9081 3 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana mungu akupe mwisho mzuri maana mwanga unauona

  • @medsonsanga4813
    @medsonsanga4813 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kwaa kuigeukia njia ya Bwana halisi maana uliteleza kunakipindi

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 2 หลายเดือนก่อน

    Love you so much❤ Baba

  • @BoniphaceMalale
    @BoniphaceMalale หลายเดือนก่อน

    Ukweli zaman ulikua mtumishi wa mungu kwelii ila saiv umemuasi mungu

  • @ramadhanzengwe3876
    @ramadhanzengwe3876 2 ปีที่แล้ว +7

    Upo sawa mzee wa upako mitume yote ni ya uongo hakuna mitume sasahivi mtume wa mwisho alikuwa mtume muhamad s.a .w

    • @davidbochela1441
      @davidbochela1441 ปีที่แล้ว

      Alifanya muujiza gani.

    • @davidbochela1441
      @davidbochela1441 ปีที่แล้ว

      Muhamad alifanya muujiza gani.

    • @fredynjige5663
      @fredynjige5663 ปีที่แล้ว

      Muhammad hakujua kusoma

    • @fredynjige5663
      @fredynjige5663 ปีที่แล้ว

      Saa mbovu kuna kipindi inasema ukweli big up Mzee wa upako

    • @mtakatifubony5525
      @mtakatifubony5525 3 หลายเดือนก่อน

      Mohamad tena, alikuwa malaya yule jamaaaaa

  • @mohamedmahmudali9346
    @mohamedmahmudali9346 ปีที่แล้ว +1

    Ipo siku ya Mungu utakuja shahadia na kubadili dini ,kwani nishakufatilia clip zako kama7 nahisi uko ukweli unaujua ,,zaidi Mungu akufanyie wepesi inshallah 🙏

    • @jonasimwanzi3632
      @jonasimwanzi3632 ปีที่แล้ว

      Unafikilia uo ugaga wako aufanyi kazi kwa jina la yesu

  • @gideonmphunami2448
    @gideonmphunami2448 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mtumishi kwa kusema kweli hakika itakuweka huru

  • @gabrielnjiapanda3710
    @gabrielnjiapanda3710 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu akutie nguvu mtumishi,Endelea kuihubiri injili ya kweli ya Mungu aliye hai.

    • @LeticiaMwalongo-qc8hb
      @LeticiaMwalongo-qc8hb ปีที่แล้ว

      Mzee wa upako unaongea kwelikweli tupu, naomba unifafanulie maana ya hiyo alama hapo ukutani

  • @thomasbugwano5114
    @thomasbugwano5114 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha

  • @johnlightmkose4723
    @johnlightmkose4723 ปีที่แล้ว

    Sasaivi nakuelewa ila huko nyuma ulikuwa umepotea njia
    Ubarikiwe sana

  • @godfreymaiko2126
    @godfreymaiko2126 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe mtumishi wa Bwana.

  • @tazbernardmanda5176
    @tazbernardmanda5176 ปีที่แล้ว

    naona uamsho umekufikia sasa barikiwa

  • @giftuiso3489
    @giftuiso3489 ปีที่แล้ว

    Hakika mtumishi Mungu amekutumia kuwaokoa Wakristo wanaopotea Mungu akupe kusema vyema kila wakati

    • @abeidkhamis6130
      @abeidkhamis6130 ปีที่แล้ว

      Usijichanganye huyu mtu anaye mwita Paulo kua nabii naye amepotea pia

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 ปีที่แล้ว

      @@abeidkhamis6130 Aya nabii khamis

  • @Elimunamalezi
    @Elimunamalezi ปีที่แล้ว

    Nakuelewa pastor

  • @alexmasea2425
    @alexmasea2425 2 ปีที่แล้ว +1

    We mwenyew nabii wa uongo

  • @nyandasalasi2271
    @nyandasalasi2271 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mchungaji kwa kusema ukwel

  • @Elecovid
    @Elecovid 3 หลายเดือนก่อน

    Ww shetani mungu anakuona unavyofanya maigizo

  • @sifamanyori-kf9vq
    @sifamanyori-kf9vq ปีที่แล้ว

    Kumbuka rusekerwa wasingeku manambii husingehishi mungu anakuona

  • @martinsimtenda5990
    @martinsimtenda5990 ปีที่แล้ว

    Naipenda Sana huduma yako

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 ปีที่แล้ว +1

    Nimeupenda ujumbe niujumbe mzur maana unafundisha

  • @nelsonbreidon6600
    @nelsonbreidon6600 ปีที่แล้ว

    Nikweli mtumishi wa Mungu saiz waongo wengi wana jiita mitume na nabii

  • @deusdatuschristian9127
    @deusdatuschristian9127 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi mungu akubariki mzee wa upako unasemaga ukweli

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 ปีที่แล้ว

      Ameeni 🙏 Mungu akutunze mchungaji Roho mtakatifu asidikukuwapaka mafuta yake.maana manabii wengi niwaongo.wanatafuta pesa manabii niwanganga wa kinyeji wanamizimu ya utambuzi .maana makanisa Yao wanatabili.

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 ปีที่แล้ว

      Ameeni 🙏 Mungu akutunze mchungaji Roho mtakatifu asidikukuwapaka mafuta yake.maana manabii wengi niwaongo.wanatafuta pesa manabii niwanganga wa kinyeji wanamizimu ya utambuzi .maana makanisa Yao wanatabili.

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 ปีที่แล้ว

      Ameeni 🙏 Mungu akutunze mchungaji Roho mtakatifu asidikukuwapaka mafuta yake.maana manabii wengi niwaongo.wanatafuta pesa manabii niwanganga wa kinyeji wanamizimu ya utambuzi .maana makanisa Yao wanatabili.

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 ปีที่แล้ว

    BIG UP MZEE WANGU ANTHONY

  • @WILLIAMCHINA
    @WILLIAMCHINA ปีที่แล้ว

    Mungu Akubariki

  • @oscarjackson2973
    @oscarjackson2973 3 ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa mtumishi

  • @Victor-qu5nz
    @Victor-qu5nz ปีที่แล้ว

    Amen from Kenya

  • @jumanneselemani2172
    @jumanneselemani2172 3 หลายเดือนก่อน +1

    SILIMUNI MJE KWENYE UISLAM

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli Kabisa Yesu Alisema. Atakuja Nabii Lakini Sasa Siku Izi Manabii Kila Kanisa Cha Ajabu Wanamuubili Yesu Wakati Wao Manabii Siku Izi Vituko

  • @benardwankoka3447
    @benardwankoka3447 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi mkuu

  • @reginamarwa8636
    @reginamarwa8636 ปีที่แล้ว

    Sauti ya MTU aliaye nyikani...itengenezeni njia ya Mungu yanyoosheni Maputo yake

  • @sebastianzongoro8915
    @sebastianzongoro8915 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kusema ukweli

  • @JamesIbrahim-el4zw
    @JamesIbrahim-el4zw ปีที่แล้ว

    Nawepi

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa alivyo anza ufreemason wake alikua anatembea n Mabodiga kibao saizi sijui kakosea Masharti hakuna Bordigard wala upako aliojifanya kaupata na hawa waumini sijui wametoka vijiji gani kwani hata mimi nilisha ingia chaka

  • @UfunuoSt
    @UfunuoSt ปีที่แล้ว

    Kuna ukweli fulani umeongea, ubarikiwe kwa hilo.

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 ปีที่แล้ว

    Amina mwantembe

  • @thomaswegoro4331
    @thomaswegoro4331 2 ปีที่แล้ว +2

    Moja Kati ya hotuba Bora zaidi. Amina. Naongezea
    Matendo ya mitume 1 tunaona watu 120 waliitwa Katika interview ya kumpata mbadala wa Yuda iskariot na wakapatikana 2 yaani Yusto na Mathia Kisha Mathia kua mshidi.
    Kama Katika kipindi kile walipatikana 2 wenye sifa, vipi Sasa????? Tusome biblia

  • @fundiwamoldzapevingblock6378
    @fundiwamoldzapevingblock6378 ปีที่แล้ว

    The had master

  • @petermgaya9693
    @petermgaya9693 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ww ndio unayeijua dini wengine wezi tu

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 6 หลายเดือนก่อน

    Huna lolote mzee wa bapa konyagi KUUBWA!!

  • @georgembise7234
    @georgembise7234 ปีที่แล้ว

    Unasema wewe ndo muhubili mwenye nguvu kiliko wote !!!😂😂😂😂!!!mungu atusaidie,lkn mm nawaeshim watumishi wote nawapenda nawaeshim

  • @Elecovid
    @Elecovid 3 หลายเดือนก่อน

    Hata we mchungaji wa uwongo tu

  • @samuelinnocent953
    @samuelinnocent953 2 ปีที่แล้ว

    Amina amina chief

    • @fredrickmapunda3110
      @fredrickmapunda3110 ปีที่แล้ว

      Unateseka sana nahuduma zawenzako mbona wewe unamadudumengi wenzio hawakusemi umejaribu kujiita nabii umechemka uliuza mifagio na miti umeiwwekea upako umechemka kweri Dunia inamambo.

  • @maclaudismail6606
    @maclaudismail6606 3 หลายเดือนก่อน

    Hahahaa nabii masanja unasikia

  • @chachamturi259
    @chachamturi259 3 หลายเดือนก่อน

    Mnajua jaman maneno yasiwafanye mkatekewa tatizo lawatanzania tunapenda kuangalia hapa hatuangalii nyuma huyu mzee anamaneno matam lakini life style yake ndo inatia mashakaa

  • @WilsonJohn-or6rl
    @WilsonJohn-or6rl ปีที่แล้ว

    Tuache wivu tupige kazi ya Mungu.
    Kwani mzee wewe uko juu ya Bibilia inayotambua fivefold ministries in Ephesians 4:11 kama kuna feki manake ilianza kuwepo original.

  • @muhammedsuleiman2137
    @muhammedsuleiman2137 2 ปีที่แล้ว +1

    You are one of them.

  • @dorcasnsemwa411
    @dorcasnsemwa411 ปีที่แล้ว

    Kila kitu kina feki na original, kikubwa watu wa mungu kila kitu tukipime kwa neno la mungu

  • @peterndumbalo6637
    @peterndumbalo6637 ปีที่แล้ว

    Amina 🙏🏿

  • @solomonlaizer9213
    @solomonlaizer9213 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli tumtegemee Mungu mwenyewe

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 ปีที่แล้ว +1

    Msipokuwa waislam hamtaamini mtakachoenda kuona

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe kama kimya bwana, kwanza kujiita Mzee WA upako ni kunifananaisha na Mungu. Kufuru wewe

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 ปีที่แล้ว

    Ktk Siku umeongea basi ni leo

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 ปีที่แล้ว

    Neno la Mungu niukweli huyo ndo MUNGU

  • @damasipipingo271
    @damasipipingo271 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubalikiwe mzeee

  • @lucianodeo4103
    @lucianodeo4103 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @bampirenema9871
    @bampirenema9871 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @katabanyamasala7943
    @katabanyamasala7943 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe

    • @MzeewaupakoTz
      @MzeewaupakoTz  3 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @josephemmanuel388
      @josephemmanuel388 ปีที่แล้ว

      muchungaji nilikuwa ckupendi lakini sasa nakupenda sana nanitakuja kanisani kwako kusali

    • @josephemmanuel388
      @josephemmanuel388 ปีที่แล้ว

      @@MzeewaupakoTz nilikuwa ckupendi lakini sasa nakupenda sana nanitakuja kanisani kwako kusali.🙏🙏🙏🙏

  • @StevenCredoMTV
    @StevenCredoMTV ปีที่แล้ว

    Tunahitaji injili kama hizi

  • @arnoldethan8699
    @arnoldethan8699 ปีที่แล้ว

    Wivu unatesa Kanisa la Bwana la Bwana.

  • @kamarajoshua8719
    @kamarajoshua8719 2 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Acheni kudanganya watu manabii wengi ni wa uongo hunena mambo ya duniani wa kweli hunena maneno ya ufalme wa mbinguni. Alisema Yesu watatokea wengi hao wote ni wa dunia hunena mambo ya duniani hayo ndio matunda yao.

  • @sebastianungimba4676
    @sebastianungimba4676 2 ปีที่แล้ว +1

    Waambie wapuuzi hao

  • @michaelgilbert1531
    @michaelgilbert1531 ปีที่แล้ว

    Uchief mwantebe umeupata wapi

  • @user-qs8vi4fd6m
    @user-qs8vi4fd6m ปีที่แล้ว

    Hakika kwa maneno yako pekeee tunabalikiwa

  • @NicholausNkumira-ue8fe
    @NicholausNkumira-ue8fe 3 หลายเดือนก่อน

    Wakristo waweje waislamu wakati wanamfuata na kumwamini Yesu Kristo kuwa yeye ndo njia na kweli na uzima mtu hawezi kwenda Kwa Baba bila kupitia njia yake?
    Mwaminini Yesu kuwa Bwana na mwokozi WA Maisha yenu ili na nyie mje mfike mbinguni Kwa Mungu Baba.

  • @sebastianzongoro8915
    @sebastianzongoro8915 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa unatoa mafundisho unaelewesha kupitia maandiko matakatifu wengine ni kelele tuu

  • @clemencemillanzi6750
    @clemencemillanzi6750 ปีที่แล้ว

    Umemaliza mzee huna deni tena, na maneno yako, watu wenye akili yataishi mioyoni mwao daima.

  • @patrickraymond729
    @patrickraymond729 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @modestshikilana4610
    @modestshikilana4610 ปีที่แล้ว

    Sioni sababu ya kulumbana, fundisheni neno acheni kulumbana. Mbona hata wewe ulipiga wengi tu.

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 ปีที่แล้ว +1

    MITUME NA MANABII, WATA JIJU!

  • @charlessigunga
    @charlessigunga ปีที่แล้ว

    Nikelu transifoma

  • @apostlepeterdan2336
    @apostlepeterdan2336 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏 Amen

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 ปีที่แล้ว

    Hivyo ni vijembe sio upako.Penda neni,acheni, Mwamposa ni nabii na mtume,na mungira.,Na wengine wengi,anaye juwa,,nabii au mtume ni mungu wewe huwezi kujuwa.Huwezi kujuwa mungu kamchaguwa nani? Muache mungu ndiyo atajuwa.

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 2 ปีที่แล้ว +5

    Semeni wenyewe tukisema waislam shida

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 ปีที่แล้ว

      TEHEHEHEHEEEE!!!!😂

    • @lwagamwakalinga8038
      @lwagamwakalinga8038 ปีที่แล้ว

      Uzuri wake sisi mtu akijitokeza kuhubiri ukweli tunamuunga mkono lkn nyinyi akijitokeza mwenzetu kusema ukweli juu ya upotovu uliojaa kwenu mnaanza kumuwinda mumuue !

    • @ezekielbarnaba5785
      @ezekielbarnaba5785 ปีที่แล้ว

      Hao lzm wawepo ili neno la Mungu litimie

    • @fridageorge2809
      @fridageorge2809 ปีที่แล้ว

      Alafu wanaotuharibia ukristo wala sio wakristo tunawaangalia tu! Mwenyezi Mungu Mwenyewe atawanyoosha! Watch and pray!!

  • @lwihokajigili24
    @lwihokajigili24 ปีที่แล้ว

    HAMMA KITU HAPA...NJIA UNAYOTUMIA KUKOSOA WENGINE ILI UONEKANE MZURI WAKATI NIWALEWALE....NI NJIA ZURI YA KUJIPATIA WAUMINI WENGI NA KUJISAFISHA KWA JAMII...TUBU RUDI KATIKA NJIA YA KWELI

  • @luisdamianojekapu7136
    @luisdamianojekapu7136 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 10 หลายเดือนก่อน

    Yaani mzee waupako wewe ningekua Dar ningekupa zawadinabii mwingine anasema watu wauze vitu.mkemee huyo

  • @andrew29468
    @andrew29468 2 ปีที่แล้ว +5

    Kuna ukweli mkubwa alichoongea no matter what!

    • @leonardmwayeya13
      @leonardmwayeya13 ปีที่แล้ว

      Mzewaupako maubiriyako nimatam yanaraza tumbua majipu kuuza maji yamia 500 Hadi 10000 mwaipopo Hadi udingo kijiko 500

  • @bonifasemmanuel4700
    @bonifasemmanuel4700 2 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea vizuri ila na wewe ni mmoja wao

  • @user-qp7ym1lb8y
    @user-qp7ym1lb8y 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo unakunywa pombe