Ukiwa kimwili auwezi mjua MUNGU, MUNGU ana uwezo wakufanya anacho taka auwezi mtilia mpaka ukianza mtilia mpaka nikusema uyo siyo tena Mungu,yesu ni Mungu bila mashaka yoyote,alisema katika matayo 25:31,,nitakapo rudia katika utukufu wangu na malaika woote pamoja Nami,kama uko na elimu fikiria,iyo neno,malaika pamoja naye atakuja ku hukumu sasa dunia,kama Yesu kristo sio Mungu atakua nani ? Ili akuke kwa utukufu wake ?
Kwani mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa nani? Mwanadamu ana Nafsi, Roho, Mwili, mzee wa upako kashatekwa tangu zamani na ameshawahi kukiri kwamba amekua akinywa pombe sasa kwa mujibu wa maandiko huyu anayejiita mzee wa Upako nae ni wakala tu wa kuzimu nabii wa uongo biblia inaweka wazi sana juu ya watu kama yeye kutokea
kwani mtu akinywa pombe ndo ana dhambi? au hawezi kuongea ukweli? au kwa sababu anachoongea huyo tapeli umeyapenda ndo unaona Mzee wa upako hana akili? jifunze kutafakari
@@suleymandachi782biblia ndio inasema tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu mbwa hafanani kwa namna yoyote Ile na mwanadamu sisi tunayoroho kutoka kwenye mwili wa Mungu mwemyewe
Nadhani kunashida katika hili.Aliyeongea na wanaomjibu.Ukisikiliza kwamakini naona kuna shida yauwelewa wa hili.Ishu ipo hapa.Mungu ni mmoja au Mungu ni Miungu mitatu? Hili ndilo lakushugulikia. Shida sio Mungu Baba Mwana na Roho Mtakatifu. Nadhani ipo kwemye Mungu Baba.Mungu Mwana Mungu Roho Mtakatifu. Nadhani hapa ndipo kwenye hoja ya msingi sana.Je, mbinguni na viti vingapi vya vya Mungu?
@@halidimgonza5945 asa kwani Ujinga wetu Sisi wewe unakukosesha akili au ni vipi. Maana hatujaomba welevu wako kutusaidia kitu kama vile ambavyo wewe ujinga wetu haukunyimi chakula. Don't be minicompoop
Mzee wa upako,pole sana sana,umechanganyikiwa!Njoo Kwa YESU KRISTO akuokoe!na wote washirika wako unaowadanganya Kwa mafundisho hayo potofu! Mimi Mwl CHRISTOPHER JACKSON SAMBAA kutoka SINGIDA tena Kijiji Cha Merya!
Kama haitoshi mwanadamu pia lazima ujue naye ni utatu NAFS MWILI NA ROHO kama Mungu alivyo BABA MWANA NAROHO,akasema na tuumbe mtu kwa mfano wetu. Lusekelo mnyakyusa mwenzangu usichanganye watu,kama umechoka utulie malizia uzee vizuri,usije ukawa ulianza vibaya ukamaliza vibaya,niafadhari kama ulianza vibbaya maliza viziri,maana heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wa jambo.
Ndugu Mungu wa wakristo ni mmoja tu na ana nafsi moja ambaye ni BABA YAKE YESU, na Yesu Kristo ni Mwanae na pia Roho mtakatifu ni Roho yake mwenyewe, hivyo BABA yake YESU KRISTO ndiye Mungu mmoja wa biblia na ndiye chanzo cha yote, na ndiye alimzaa YESU..ukisema Mungu ana nafsi Tatu maana yake hakuzaa unaungana na waislam.
Kabla ya kuumbwa mwanadamu Mungu alikua ameshaumba utawala wake wa mbinguni. Mbinguni kulikua kumesha kamilika. Ushahidi mchache. Mwanzo 3:1 (KJV) Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani? Huyo njoka ametumiwa tu ila ni shetani ambae alikuwepo mbinguni kama malaika wa nuru kabla ya mwanadamu kuumbwa. Ufunuo wa Yohana 12:7,9 [7]Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; [9]Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Ushahidi mwingine. Mwanzo 3:23-24 (KJV) kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa. Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima. Hapo utaona kundi la malaika makerubi lilikuwepo kabla ya kuumbwa mwanadamu. Fuatilia makerubi utaona. Hivyo utawala wa mbinguni ulikua umwekwisha kamilika. Hivyo mbinguni kulikua na tawala na vyeo kabla ya mwanadamu. Kwenye Ufunuo unapokaa wenye uhai wanne, wazee ishirini na nne walikuwepo kabla ya mwanadamu. Soma Daniel kunavitu utaona. Sasa Katika ufalme wa mbinguni wote waliumbwa kabla ya mwanadamu nakupewa nafasi zao Pia. Katika uumbaji huko mbinguni biblia imeonesha kidogo kipi kiliumbwa cha kwanza. MUNGU ALIUMBA MBINGU NA NCHI. Wakolosai 1:15 (KJV) naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. Katika uumbaji Yesu ndio alikua mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote. Ufunuo wa Yohana 3:14 (KJV) Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye Amina, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli, mwanzo wa kuumba kwa Mungu. Yesu ndio mwanzo wa kuumba au uumbaji wa Mungu katika viumbe. Ndio maana anasema hakushuka toka mbinguni atimize mapenzi yake ila ya Baba hivyo alikuwepo mbinguni. Yohana 6:38 (KJV) Kwa kuwa mimi sikushuka kutoka mbinguni ili niyafanye mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenipeleka. Hivyo ufalme wa Mungu mbinguni ulikua utawala Kamili na wao walikua wanaitwa wana wa Mungu. HIVYO NDUGU YANGU KWANZA TAMBUA AKISEMA KWA MFANO WETU HUKO MBINGUNI KULIKUA KUMEKAMILIKA. KISHA UTAZAME HAPO MWANZO KUNA MUNGU, ROHO YA MUNGU KISHA ANAANZA KUTAMKA NENO.
Fundisho la utatu linasema Mungu katika nafsi tatu kila nafsi ni Mungu. Mungu baba, Mungu Mwana na Mungu Roho mtakatifu ila zote kwa pamoja ni Mungu mmoja. Hili fundisho halipo katika biblia nzima na halijawahi kufundishwa na yeyote katika kanisa la mwanzo.
Mzee wa upako hajawahi kuokoka, kuwa kumsikia mwenyewe anasema, kuwa hajawahi kupatizwa ktk mahi mengi na kuwa haina maana, akaongeza zaidi kuwa haijazuiwa kunywa pombe, labda kulewa!!! Hivyo inawezekana yeye anakunywa, hivi furaha ya pombe nini kama siyo kulewa?
Ukisema yesu ni mungu inamaanisha jina lake ni yahweh? La hasha, yeye ni mwana wa Mungu kwa kuzaliwa na ana uungu wa Baba yake. Ana asili ya Baba yake. Lakini si kwa nafsi. John 3:16 inadhihirisha vizuri kwamba yesu ana Baba yake. Yesu akiwa hapa duniani alisema ninakwenda kwa Baba yangu . Hakusema ninakwenda kwa Mungu mwenzangu. Akiwa hapa duniani alipewa mamlaka yote na Mungu Baba yake. Ndiposa akasema, Mimi na Baba yangu tu umoja. Haimanishi yeye na Mungu ni kitu kimoja. Akiwa msalabani ni nani alililia? Kwa hivyo tuwache Mambo ya kusema Mungu Baba na Mungu mwana. Tuwe tunasema Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu.
Wee gwajima mwanao uliyemzaa namna unavyompenda na kumlea na unavyomlinda unajuwa mwenyewe leo Mungu awe na mtoto hivi mngepata nafasi ya kumchezea na kumdhihaki kama hivyo mnavyohadithiana kiuongouongo kirahisirahi tu na kupiga mkelele hovyo tu hapo acheni hayo mambo Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa hana aliyefanana nae na ni yeye tu mwenye kukusudiwa
Maana yake maneno hayo ni hii; "Yule atakaeelewa mafundisho yangu, amekwishamuelewa Mungu" ● Mungu ni Mmoja ● Mungu haonekani ● Mungu ametakasika ● Mungu hazai, hazaliwi & Hafanani
Ufunuo 4:3 [3] na yeye aliyeketi alionekana mithili ya jiwe la yaspi na akiki, na upinde wa mvua ulikizunguka kile kiti cha enzi, ukionekana mithili ya zumaridi.
Mimi kuna maswali huwa najiuliza sana kuhusu Uungu wa Yesu alafu nabaki kuwashangaa sana Wakristo. Tena huwa ninawashangaa nakuwaonea huruma pia. Hivi kweli,Mungu Ashuke toka Mbingun kisha aje Dunia,ateswe na kiumbe Aliyemuumba Yeye Mwenyewe,Azalilishwe na Auwawe na kiumbe Alichokiumba Yeye alaf ndio kiumbe hicho hicho kipate kukombolewa toka kwenye Dhambi??? Dah...! 🤦 Ina maana Mungu Alishindwa kumtuma Malaika wake,japo mmoja tu,kuja Dunian kupambana na hizo dhambi mpaka Aje Yeye Dunian kujifedhehesha??? Sasa kwa hali hii,Mungu na Sheitwan nani zaidi? Manake kulingana na Wakristo,Yesu mpka kufa alikufa lakin Shetan hajawah kuonja umauti mpaka leo hii? Wakristo mna maswali magumu mno ya kujibu mbele ya Muumba wenu. Haya!
Kinachowaponza Wakristo ni suala la Yesu kuja Dunia na kutoa hukumu kwa wanadamu! Yani hapa ndipo tatizo kubwa sana lilipo kwao. Wanashindwa kujuwa kuwa Mungu Anagawa majukumu kwa viumbe wake anao wataka Yeye kwa ajili ya kufanya baadhi ya majukumu. Ndio maana yupo Malaika wa Mvua,Motoni,Peponi,Mtoa Roho za waja,Mleta Ufunuo kwa Mitume wake na kadhalika. Kwa hiyo,sio tatizo Mungu Akimpa Yesu jukumu la kuja Dunian kuwahukumu watu mimi. Amkeni nyie!
wakristo ni watu ambao kuwaamisha na kupiga pesa ni rahisi mno coz huwa hawana reasons ya kufikiri yaani huwa wanamezeshwa kama ilivyo, so sishangai mtu kuanzisha kanisa ni kisha kuwadanganya mwisho wa dunia ni siku Fulani halafu akawachoma wakafa ilihali aliyewadanganya ni mzima. amkeni someni biblia muielewe acheni kukaririshwa.
Mwenyezi Mungu ni mmoja tu. Mmiliki wa Sayari zilzopo Ulimwenguni ambazo zinakadiriwa na wanasayansi wa Anga zaidi ya Trillion 3. Yeye Muumba wa vyote vilivyomo ndani ya Sayari zote hizo tena kwa idadi. Mungu hawezi kujaribiwa mara tatu na Shetani dhaifu. Tena Yesu huyo huyo akasema apasaye kuabudiwa ni Mungu tu, mbona hakusema aabudiwe Yeye Yesu? Mungu gani asiyejua siku ya hukumu? Mungu gani aliye na Mama, kaka, Dada, Babu, bibi na ndugu? Mbinguni hakupaishwa Yesu tu, je Nabii Enock au Elijah waliopaishwa Mbinguni ni miungu nao?
Ni kweli huyu anayejiita sijui Upako kweli ni zaidi ya mjinga - ni taahira. Pombe zimemfanya amtumikie adui. Maana neno lilisema "...tutawajua kwa matendo yao".
@@hellen9056 Ni kweli Wakristo husema Mungu ni Mmoja .. Lakini kwenye Maelezo yao haonekani Mmoja, Bali WATATU ... ● Baba - ambae ndie mkuu (YAHWE) ● Mwana wa pekee - ambae ni Yesu ● Roho mtakatifu - ambae huwafunulia manabii
Mimi ni Muislamu, ... kwa mtazamo wangu; Mzee wa Upako Ameweka pembeni Matashi ya nafsi yake, anazungumza sio kwa kukaririshwa, bali kwa Uelewa .. Hawa wengine kelele nyingi. 🎉
Haitaji kujua maandiko,ni kutumia ubongo kungamua mambo,maana tunajibana kimawazo na vitabu vichache na waandishi wachache wkt kuna maandiko mengi na vutabu vingi ambavo hatuvisom na wala hatuhitaji kuvisoma.
Wote wapigaji. Kama wametumwa na Mungu mbona hawajuwani? Mbona wanakosoana, mbona wanafanyiana vitimbi? Mbona hatukupata kusoma kwenye maandiko waliotumwa na Mungu walihitirafiana? Ukweli unakuja punde si punde.
Maka firi nyinyi wajinga mulio pitiliaza ktk ujinga huyungwajima alisema yeye ana fufua mbona alipokufa magufuli haku mfufua ndio mana nika waambia nyinyi wajinga sasana
Mzee wa. Upako akae darasani ngwajima amsaidie maana ngwajima ana madini adimu adi uwe naroho mtakatifu awe mwalimu akufundishe mzee waupako ana ongea mambo yasio na mashiko
Yaani na kichwa cha habari kikubwa... nmesikiliza muda wote huu lakini sijasikia "hoja" iliyojibu "hoja" za Lusekelo... nmeaikia maelezo meeeeengi yasiyo na msingi wa "hoja"
Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa upako oyeee nakupenda sana
Ukiwa kimwili auwezi mjua MUNGU, MUNGU ana uwezo wakufanya anacho taka auwezi mtilia mpaka ukianza mtilia mpaka nikusema uyo siyo tena Mungu,yesu ni Mungu bila mashaka yoyote,alisema katika matayo 25:31,,nitakapo rudia katika utukufu wangu na malaika woote pamoja Nami,kama uko na elimu fikiria,iyo neno,malaika pamoja naye atakuja ku hukumu sasa dunia,kama Yesu kristo sio Mungu atakua nani ? Ili akuke kwa utukufu wake ?
Safi Sana mchungaji gwajima nakukubari Sana mtumishi wa MUNGU Alie hai
Mzee wa upako yupo sawa kabisa
Mzee wa majeshi uko sawa sana
B@@philipphanuel9558sishangai kuon mashetan yaktawala Dunia as niny
Ana wa poteza huyo mwehu gwajima yesu sio Mungu na hawez kuwa mungu kamwe
@@yusafbayu7016HUJUI kitu kuhusu MUNGU, Hebu tuanzie hapa ...... Mtu ni nani?
Tito 2:13
[13] tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
QUL-HUWALLAHU AHAD (SEMA M/MUNGU NI MMOJA.
allah Mungu wa koran na Jehovah Mungu wa biblia ni wawili tofauti.
@@DavidMatata .. Hata unachokizungumza hukielewi.. 🖊
Rejea Surat Maida
Gwajima ndio mjinga na mwongo kuliko waongo wote
Mzee waupako yupo mmoja love
Kwani mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa nani? Mwanadamu ana Nafsi, Roho, Mwili, mzee wa upako kashatekwa tangu zamani na ameshawahi kukiri kwamba amekua akinywa pombe sasa kwa mujibu wa maandiko huyu anayejiita mzee wa Upako nae ni wakala tu wa kuzimu nabii wa uongo biblia inaweka wazi sana juu ya watu kama yeye kutokea
Mzee wa upako kashakula pesa zao lazima apingane nao
kwani mtu akinywa pombe ndo ana dhambi? au hawezi kuongea ukweli? au kwa sababu anachoongea huyo tapeli umeyapenda ndo unaona Mzee wa upako hana akili? jifunze kutafakari
Mungu hana mfano,ukifananisha utakuta hata mbwa kaumbwa kwa mfano wa Mungu maana Mungu anakula na kunya basi hata mbwa vilevile
@@suleymandachi782biblia ndio inasema tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu mbwa hafanani kwa namna yoyote Ile na mwanadamu sisi tunayoroho kutoka kwenye mwili wa Mungu mwemyewe
Mzee wa upako pombe zinamuharibu
Mungu juu yetu, Mungu kati yetu na Mungu ndani yetu Hilo ndilo fundisho la biblia
Nashukuru kuona ndugu zetu wa proud to be wamejaa humu wanakula neno mdogo-mdogo
Mungu yuko peke yake mmoja tu
Gwajima najua sana biblia he is so intelligent,safi sana mtani wangu
Hajuwi kama wewe
Mzee wa upako anakili sana kushinda huu mm nipo n mzee wa upako
Mzee wa upako anaongea ukweli
Fungu alilotoa liko wapi?
Kwa hio mungu ni wa 3🤣
Yesu alisema eloi eloi eloi mungu wangu mbona umeniacha nanhakusema waungu wangu mbona mmeniacha
Hapo Hawa ndugu wa christu Hawa wazi wala Hawa somi
Ni mwili ndo uliokuwa unasema ivyo kwasababu aliuvaa mwili 100 , maanayake ukimpiga alikuwa anasikia maumivu kama wewe ,
@@yusafbayu7016haya mambo huwez kuyaelewa kwa akili zako za kibinadam hizo ambazo zimekusaidia kupata D mbili O'level.
Zaburi 22:1 "Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha? Mbona U mbali na wokovu wangu, Na maneno ya kuugua kwangu?"
@@joseaugust2805 leta andiko thibitisha hayo ma neno yaku vaa mwili hapa hapa
mzee wa upako yupo sahihi
Nadhani kunashida katika hili.Aliyeongea na wanaomjibu.Ukisikiliza kwamakini naona kuna shida yauwelewa wa hili.Ishu ipo hapa.Mungu ni mmoja au Mungu ni Miungu mitatu?
Hili ndilo lakushugulikia.
Shida sio Mungu Baba Mwana na Roho Mtakatifu. Nadhani ipo kwemye Mungu Baba.Mungu Mwana Mungu Roho Mtakatifu.
Nadhani hapa ndipo kwenye hoja ya msingi sana.Je, mbinguni na viti vingapi vya vya Mungu?
Elimu ya Bishop Gwajima ni fahari ya mbali Sana kuzidi Elimu za kina Mzee wa upako.
Angekuwa anayo Elimu ya manufaa angekuwa ameisha uacha Ukristo zamani
ww huyo gwajima nyote wajinga msojua Injil, mzee wa upako yuko sw 99.9%
@@halidimgonza5945 asa kwani Ujinga wetu Sisi wewe unakukosesha akili au ni vipi. Maana hatujaomba welevu wako kutusaidia kitu kama vile ambavyo wewe ujinga wetu haukunyimi chakula. Don't be minicompoop
@@fbensonytunachotaka musome ili mumtambue Mungu wa kwel ili muondokane na ujinga na muepukane na moto mkali wa jehanam
Fact,he's very intellect person
Nakukubali Sana askofu gwajima kitabu chako Cha maombi ya kushindana kilivyobadilisha maisha yangu barikiwa Sana baba
Kitabu cha gawajima sio cha mungu 😅
Nakitafuta Sana hicho kitabu sijui nakipataje
Nenda ubungo kwenye office zao utakikuta
Ina lilah waina ilaih rajiun watu wanahubiriwa waende motoni kufuru kubwa hiyo eti mungu awe na mwana subhannallah mungu hafanani na chochote never
Mzee wa upako,pole sana sana,umechanganyikiwa!Njoo Kwa YESU KRISTO akuokoe!na wote washirika wako unaowadanganya Kwa mafundisho hayo potofu! Mimi Mwl CHRISTOPHER JACKSON SAMBAA kutoka SINGIDA tena Kijiji Cha Merya!
Kama haitoshi mwanadamu pia lazima ujue naye ni utatu NAFS MWILI NA ROHO kama Mungu alivyo BABA MWANA NAROHO,akasema na tuumbe mtu kwa mfano wetu. Lusekelo mnyakyusa mwenzangu usichanganye watu,kama umechoka utulie malizia uzee vizuri,usije ukawa ulianza vibaya ukamaliza vibaya,niafadhari kama ulianza vibbaya maliza viziri,maana heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wa jambo.
Ndugu Mungu wa wakristo ni mmoja tu na ana nafsi moja ambaye ni BABA YAKE YESU, na Yesu Kristo ni Mwanae na pia Roho mtakatifu ni Roho yake mwenyewe, hivyo BABA yake YESU KRISTO ndiye Mungu mmoja wa biblia na ndiye chanzo cha yote, na ndiye alimzaa YESU..ukisema Mungu ana nafsi Tatu maana yake hakuzaa unaungana na waislam.
Duh 🙄 kwani roho vs nafsi sikitukimoja kwanimarazote ukifa wanasema nafsi yako iende vizuri ao rohoyake ipokerewe vizuri mbona hawasemi nafsi naroho ebu nipe manayake
Kabla ya kuumbwa mwanadamu Mungu alikua ameshaumba utawala wake wa mbinguni. Mbinguni kulikua kumesha kamilika.
Ushahidi mchache.
Mwanzo 3:1 (KJV) Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?
Huyo njoka ametumiwa tu ila ni shetani ambae alikuwepo mbinguni kama malaika wa nuru kabla ya mwanadamu kuumbwa.
Ufunuo wa Yohana 12:7,9
[7]Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake;
[9]Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.
Ushahidi mwingine.
Mwanzo 3:23-24 (KJV) kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.
Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.
Hapo utaona kundi la malaika makerubi lilikuwepo kabla ya kuumbwa mwanadamu. Fuatilia makerubi utaona.
Hivyo utawala wa mbinguni ulikua umwekwisha kamilika.
Hivyo mbinguni kulikua na tawala na vyeo kabla ya mwanadamu. Kwenye Ufunuo unapokaa wenye uhai wanne, wazee ishirini na nne walikuwepo kabla ya mwanadamu. Soma Daniel kunavitu utaona.
Sasa Katika ufalme wa mbinguni wote waliumbwa kabla ya mwanadamu nakupewa nafasi zao Pia.
Katika uumbaji huko mbinguni biblia imeonesha kidogo kipi kiliumbwa cha kwanza.
MUNGU ALIUMBA MBINGU NA NCHI.
Wakolosai 1:15 (KJV) naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Katika uumbaji Yesu ndio alikua mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Ufunuo wa Yohana 3:14 (KJV) Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye Amina, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli, mwanzo wa kuumba kwa Mungu.
Yesu ndio mwanzo wa kuumba au uumbaji wa Mungu katika viumbe.
Ndio maana anasema hakushuka toka mbinguni atimize mapenzi yake ila ya Baba hivyo alikuwepo mbinguni.
Yohana 6:38 (KJV) Kwa kuwa mimi sikushuka kutoka mbinguni ili niyafanye mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenipeleka.
Hivyo ufalme wa Mungu mbinguni ulikua utawala Kamili na wao walikua wanaitwa wana wa Mungu.
HIVYO NDUGU YANGU KWANZA TAMBUA AKISEMA KWA MFANO WETU HUKO MBINGUNI KULIKUA KUMEKAMILIKA.
KISHA UTAZAME HAPO MWANZO KUNA MUNGU, ROHO YA MUNGU KISHA ANAANZA KUTAMKA NENO.
SASA WEWE TUAMBIE ALIMAANISHA KWA MFANO WA YEYE NA NANI?
FUNDISHO LA UTATU HALIPO KATIKA BIBLIA.
Fundisho la utatu linasema Mungu katika nafsi tatu kila nafsi ni Mungu. Mungu baba, Mungu Mwana na Mungu Roho mtakatifu ila zote kwa pamoja ni Mungu mmoja.
Hili fundisho halipo katika biblia nzima na halijawahi kufundishwa na yeyote katika kanisa la mwanzo.
Efeso 4:6
[6] Mungu mmoja, naye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote.
toa maandiko Gwajima acha kutumia akili zako
17:3 Yohana
Mungu ni mmoja tu kwenye vublia gani imesema Kuna mungu baba nwana na riho ntakatifu gwajima toa Aya acha blaa blaa
Mzee wa upako hajawahi kuokoka, kuwa kumsikia mwenyewe anasema, kuwa hajawahi kupatizwa ktk mahi mengi na kuwa haina maana, akaongeza zaidi kuwa haijazuiwa kunywa pombe, labda kulewa!!! Hivyo inawezekana yeye anakunywa, hivi furaha ya pombe nini kama siyo kulewa?
Ukisema yesu ni mungu inamaanisha jina lake ni yahweh? La hasha, yeye ni mwana wa Mungu kwa kuzaliwa na ana uungu wa Baba yake. Ana asili ya Baba yake. Lakini si kwa nafsi. John 3:16 inadhihirisha vizuri kwamba yesu ana Baba yake. Yesu akiwa hapa duniani alisema ninakwenda kwa Baba yangu . Hakusema ninakwenda kwa Mungu mwenzangu. Akiwa hapa duniani alipewa mamlaka yote na Mungu Baba yake. Ndiposa akasema, Mimi na Baba yangu tu umoja. Haimanishi yeye na Mungu ni kitu kimoja. Akiwa msalabani ni nani alililia? Kwa hivyo tuwache Mambo ya kusema Mungu Baba na Mungu mwana. Tuwe tunasema Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu.
Mnadanganyana kwel
Tusome neno la Mungu aliye hai na tumwombe roho mtakatifu atupe ufunuo wa neno lake takatifu
Wee gwajima mwanao uliyemzaa namna unavyompenda na kumlea na unavyomlinda unajuwa mwenyewe leo Mungu awe na mtoto hivi mngepata nafasi ya kumchezea na kumdhihaki kama hivyo mnavyohadithiana kiuongouongo kirahisirahi tu na kupiga mkelele hovyo tu hapo acheni hayo mambo Mungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa hana aliyefanana nae na ni yeye tu mwenye kukusudiwa
Hakika walio kufuru kwako ukiwaonya au usiwaonye hawamini(sulat al bakara)
GWAJIMA MUNGU NI MMOJA
Wachungaji muwe mnawasomea waumini wenu kutoka kwenye vitabu sio mnatunga kwenye vichwa vyenu
Usanii mwingi.......na masikhara. Hakuna Mungu mtu😊
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mtu anakuwa Mungu ni uchizi
Huyu lusekelo nae asituchanganye
Someni biblia ndugu zangu munapotezwa mzee wa upako yupo sahii sana gwajima anapiga kelele mungu haombwi hivyo
Amen Amen.
Acha kupotosha watu wewe. Mungu ni mmoja kwisha
Ubarikiwe sana Baba mchungaji 🙌
Yule alieniona Mimi amekwisha muona baba !
Maana yake maneno hayo ni hii;
"Yule atakaeelewa mafundisho yangu, amekwishamuelewa Mungu"
● Mungu ni Mmoja ● Mungu haonekani ● Mungu ametakasika ● Mungu hazai, hazaliwi & Hafanani
Gwajima shule IPO , mzee wa upako kakurupuka
Amen amen ♥️
Mlete hoja mezani siyo kumshambulia
Kazikwenu mmekutana wenyewe
Gwajima huna akili
Ufunuo 4:3
[3] na yeye aliyeketi alionekana mithili ya jiwe la yaspi na akiki, na upinde wa mvua ulikizunguka kile kiti cha enzi, ukionekana mithili ya zumaridi.
antony yuko sahii sana mweny usikivu wa kiroho atamwelewa .thanks mchungaji
Mungu akubalik sana
Mimi kuna maswali huwa najiuliza sana kuhusu Uungu wa Yesu alafu nabaki kuwashangaa sana Wakristo. Tena huwa ninawashangaa nakuwaonea huruma pia. Hivi kweli,Mungu Ashuke toka Mbingun kisha aje Dunia,ateswe na kiumbe Aliyemuumba Yeye Mwenyewe,Azalilishwe na Auwawe na kiumbe Alichokiumba Yeye alaf ndio kiumbe hicho hicho kipate kukombolewa toka kwenye Dhambi??? Dah...! 🤦 Ina maana Mungu Alishindwa kumtuma Malaika wake,japo mmoja tu,kuja Dunian kupambana na hizo dhambi mpaka Aje Yeye Dunian kujifedhehesha??? Sasa kwa hali hii,Mungu na Sheitwan nani zaidi? Manake kulingana na Wakristo,Yesu mpka kufa alikufa lakin Shetan hajawah kuonja umauti mpaka leo hii?
Wakristo mna maswali magumu mno ya kujibu mbele ya Muumba wenu. Haya!
Kinachowaponza Wakristo ni suala la Yesu kuja Dunia na kutoa hukumu kwa wanadamu! Yani hapa ndipo tatizo kubwa sana lilipo kwao.
Wanashindwa kujuwa kuwa Mungu Anagawa majukumu kwa viumbe wake anao wataka Yeye kwa ajili ya kufanya baadhi ya majukumu.
Ndio maana yupo Malaika wa Mvua,Motoni,Peponi,Mtoa Roho za waja,Mleta Ufunuo kwa Mitume wake na kadhalika. Kwa hiyo,sio tatizo Mungu Akimpa Yesu jukumu la kuja Dunian kuwahukumu watu mimi. Amkeni nyie!
Bak na mungu wako Allah ukrsto uache Kama ulvo
wakristo ni watu ambao kuwaamisha na kupiga pesa ni rahisi mno coz huwa hawana reasons ya kufikiri yaani huwa wanamezeshwa kama ilivyo, so sishangai mtu kuanzisha kanisa ni kisha kuwadanganya mwisho wa dunia ni siku Fulani halafu akawachoma wakafa ilihali aliyewadanganya ni mzima. amkeni someni biblia muielewe acheni kukaririshwa.
@@abubakarihamissi4178 sio kwel nakupnga kwel kwel, maaana sio wote ata waislam wapo kbao tu uko kwa mwaposa nao awajui Quran?
@@emanuelmkama1325 ndiyo hawajui quran sio kila anayeitwa jina la kiislamu amesoma na kuelewa Quran
Gwajima anajua kuwapanga 😂😂😂
🤣🤣
watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa😅😅😅
Kumbe hajui maandiko
Ah mnatuchanganya bhana Bora tuendelee kucheza mapiano
😂😂😂😂
Bora @erickykoyanga9364 Umesema Kweli tuuuu .. CONFUSION hatari
Ifike Mahali wachungaji muache kufundisha mafundisho yanayotoka vichwani mwenu. Muwe mnawatajia maandiko waumini wenu na muwasomee kuthibitisha mnayoyasema. Sio kufundisha tu na kupokea sadaka huku mkipoteza watu.
Hahahahhaa noma Sana pumbafu ka weka mpaka bendera ya Israel inayo uwa watu huoni kama huyu ni mwehu
Ila kweliii aisee wawee wanaweka na ushahidi pia mana maneno bila proofs ni kama tunalishwa matango poli
HONGERA KWA KUKURUPUKA.Kama wewe huelewi ACHANA NA MAFUNDISHO HAYA ni kwa ajili ya wale waliokusudiwa na KUELEWANA NA YESU
Chukua soda hapo dukani Kwa mangi Kwa bill yangu. Umenena.
Untaka kuuliza nini nikujibu kwa Maandiko hapa?
Hata usipo miliki bado fresh tu, Mungu ni mwema
Baba askofu, Mungu azidi kutukuzwa, wewe huwa haubahatishi, unajua unachokifanya
UmetishaBISHOP
Sawa kabisa Mtu wa Mungu
Mwenyezi Mungu ni mmoja tu. Mmiliki wa Sayari zilzopo Ulimwenguni ambazo zinakadiriwa na wanasayansi wa Anga zaidi ya Trillion 3. Yeye Muumba wa vyote vilivyomo ndani ya Sayari zote hizo tena kwa idadi. Mungu hawezi kujaribiwa mara tatu na Shetani dhaifu. Tena Yesu huyo huyo akasema apasaye kuabudiwa ni Mungu tu, mbona hakusema aabudiwe Yeye Yesu? Mungu gani
asiyejua siku ya hukumu? Mungu gani aliye na Mama, kaka, Dada, Babu, bibi na ndugu? Mbinguni hakupaishwa Yesu tu, je Nabii Enock au Elijah waliopaishwa Mbinguni ni miungu nao?
Amen
Mbona sioni kama kuna uhusiano wowote kwa haya mahubiri ya wawili
Itafika mahali mtahamia kwetu uisilamu umesimama nyie mparurane tu dini ni moja tu duniani
Amina 🙏
Kawaida ya binadamu kupingana na kweli
MUNGU BABA ni mmoja tu hakuna Cha roho mwili Wala nafusi, MUNGU BABA ni moyo na ss pia ambao tuna penda ni moyo
Glory be to God out Lord Jesus Christ!
Hawaja jamaa hawana akili hata kidogo ukiwauliza katika amri 10 ya kwanza ipi usiwe na miungu mengine ila mimi maana yake nini
Ni kweli huyu anayejiita sijui Upako kweli ni zaidi ya mjinga - ni taahira. Pombe zimemfanya amtumikie adui. Maana neno lilisema "...tutawajua kwa matendo yao".
Yesu alisema baba yupo mmoja tu, ndie aliye mbinguni
Hakuna miungu watatu bali Mwenyezi Mungu wa kweli ni mmoja tu hata kama mkiwapotosha watu juu ya ukweli huu .
Kila mkristo anajua MUNGU ni mmoja na wamefundishwa ivo
Yes, waswahili husema manahodha wengi chombo huenda mrama, mungu ni mmoja tuuuuuuu
@@hellen9056 Ni kweli Wakristo husema Mungu ni Mmoja .. Lakini kwenye Maelezo yao haonekani Mmoja, Bali WATATU ...
● Baba - ambae ndie mkuu (YAHWE)
● Mwana wa pekee - ambae ni Yesu
● Roho mtakatifu - ambae huwafunulia manabii
Nyiye mzee wa upako kawazid palefu sanaaana gwajima mzee wa upako anajua biblia sana
Na anaijua sana kaka, huyu Gwajima asijifananishe hata kidogo na Mzee Wa Upako😂😂
sahihi
Mimi ni Muislamu, ... kwa mtazamo wangu;
Mzee wa Upako Ameweka pembeni Matashi ya nafsi yake, anazungumza sio kwa kukaririshwa, bali kwa Uelewa .. Hawa wengine kelele nyingi. 🎉
Kuiweka Islael /Jews flag nyuma yako ni wazi hujitambui sina haja ya kukusikiliza,inauhusiano gani na kanisa?
Hauwez kuelewa kama hauna D 2
Mzee wa Upako keshamaliza jambo lake.
nashindwa kuelewa tatizo liko wapi huyo Yesu Mwenyew alishaclear hili mara nyingi kwa kumtaja Mungu baba mara kadhaa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Utatu ni mfumo ulioanzishwa na wakatholiki kinyume na bibilia.
Amezaliwa half unasema ni mungu we ni chizi
Yesu kazaliwa kanyonya Kwa mama ake kalelewa mpaka kawa mkubwa anakula anaenda chooni vipi awe mungu usiseme uwongo wa kupanga
Wewe peleka huko uislamu wako, hapa hapakufai,, hapa tunaongea,, Habari za mbinguni,, hutazielewa kama huana D 2
@@fortunataangelo5575
Wewe mwenye D 2 ulipaswa umuelekeze aelewe kama ulivyoelewa wewe .. . 😂 ..
#Vijana wa Kikristo wengi hawajui Bibilia yao.
@@swafiirbulbul819 D 2 ndugu bi NEEMA YA MUNGU ,, kama hujafunuliwa hayo , Sahau kuelewa , Hayo mafumbo ya imani!
Yesu alikuwa ni mtu
Sasa chizi hapo mbona ni gwajima
Haitaji kujua maandiko,ni kutumia ubongo kungamua mambo,maana tunajibana kimawazo na vitabu vichache na waandishi wachache wkt kuna maandiko mengi na vutabu vingi ambavo hatuvisom na wala hatuhitaji kuvisoma.
Kama huyo mwana wa mungu nawewe ni mwana wa nani
Unawatia ujinga waumini yesu siyo Mungu
Wote wapigaji.
Kama wametumwa na Mungu mbona hawajuwani?
Mbona wanakosoana, mbona wanafanyiana vitimbi? Mbona hatukupata kusoma kwenye maandiko waliotumwa na Mungu walihitirafiana? Ukweli unakuja punde si punde.
😂😂 wa moton wanajulikana tu utaona tolii zao tu ktk maombi yao tu
Yaan awe mtoto chiz mara 1000000000000000000000
Gwajima hana andiko.
Mungu amsamehe mzee wa upako
Ukusamehe wew usojua kitu ebu soma utajua
@@hassanally4960 vip wewe unajuwa? Au ndo bendera fata upepo
Maka firi nyinyi wajinga mulio pitiliaza ktk ujinga huyungwajima alisema yeye ana fufua mbona alipokufa magufuli haku mfufua ndio mana nika waambia nyinyi wajinga sasana
Akusamehe ww mzee wa upako msomi na biblia amesoma ww na mzee wa upako tumsikilize nani
@@fadhilikidunale6671 Msikilize Mungu siyo mimi wala mzee wa upako
Allah ndo nani?Anapatikana wapi?
Kwani kupiga kelele kuna maana gani??
MUNGU ni mmoja tu naungana na mzee wa upako
YESU ni MUNGU
Mzee wa. Upako akae darasani ngwajima amsaidie maana ngwajima ana madini adimu adi uwe naroho mtakatifu awe mwalimu akufundishe mzee waupako ana ongea mambo yasio na mashiko
Wewe nani watudanganyaaaaa tuuuuu
Yesu si Mungu Baba bali ana uungu wa Baba yake.
😂😂😂😂😂😂 ... Kumekucha
Mzee wa upako alisema hata uende kigoma urudi hakuna anae weza kuleta andiko kuwa yesu ni Mungu 😂
Bado bibilia huijui unaluka baadhi ya mafundisho waumini msitoke hadi awasomee mistari ileee ya ...........
Safi,Mzee was Upako.unawachangamsha wachungaji.wasome Sana'a Bible.Mungu ni mmoja.na jina lake Yesu.
Mungu ni mmoja tu.
@@philipphanuel9558 Halipigingiki
😂😂😂 ... Yaani umeeleza vizuri, Mwisho ukaharibu ... Ulipaswa useme hivi;
MUNGU ni Mmoja tu, na YESU ni miongoni mwa Mitume na Watumishi wake.
Ukisema Yesu ndie Mungu, tunaelezwa siku za Mwisho, YESU ataketi mkono wa kuume wa Baba .. 😂😂
BABA ni nani ..!? ... je! Ni Yeye Mwenyewe..!?? 🖊
Acha uchonganishi ndugu mtangazaji
😂😂😂.. sio Uchonganishi ...
Ni mwanzo mzuri wa kuwatowa watu Ukungu na Ujauzito wa Fikra ..
Yaani na kichwa cha habari kikubwa... nmesikiliza muda wote huu lakini sijasikia "hoja" iliyojibu "hoja" za Lusekelo... nmeaikia maelezo meeeeengi yasiyo na msingi wa "hoja"
Safi sana..
Umeruhusu akili yako kufanya kazi..
Katokomea nje ya mada aliyotaka kuitetea.😢😂
Hakika 🖊
Hapa wskinaproud to be SI wanyamaze hayawahusu waendwlee na yakwao
Tapeli anawinda maokoto 😂😂