Kaka umezungumzia swala la kifo kabla hujafanikiwa kuvuka, je mtu akivuka akafika kule baada ya mwezi mmoja main applicant akafariki,inakuaje kwa wale dependant wake? Wataendelea kuwa raia kwa kigezo kipi?@ EBM SWAHILI
Samahani kaka mimi nataka kufahamu kwenye working experience ni kwamba wanakuuliza tu au kuna documents watazihitaji ili kuthibitisha huo uzoefu wako naomba ufafanuzi wako kwenye hilo mfano mimi nafanya graphic ndio kazi yangu ila sijasomea lakini ndio kazi ninayoifanya
Hello Ernest Boniface My name is Victor Musumba am from Kenya am just asking how do you charge for photo editing for green card and DV application this year because I want to try my luck this year
Kuna watu wanawatoto bado hawana vyeti vya kuzaliwa wala passport na wengine wanaisha na wake ila bado hawajafunga ndoa na kupata cheti cha ndoa (cohabiting). Hawa wanajazaje katika mfumo wa application wa DV lottery??
Nashukuru nimemuelewa je ukishinda bahati nasibu nawe unafamiriya na visa umepata na kama nauli haitoshi kwenda famiriy yote unaweza kwenda mtu mmoja kwanza ukatengeneze mazingila?
One question, you apply lottery as unmarried but you married before result and you became a winner, will they allow you to go as married. Thanks for good lesson 👍
Mungu akupe maisha marefu baba. Mimi nakufuatiriya nikiwa nchi ya Burundi. Napendan sana vipindi vyako
EBM nakukubali sana kaka kwa maelekezo yko
Kaka ubarikiwe sana kwa elimu unayotupatia
B blessed bro EBM
Hongera Ebm
Thanx for education
Maa Shaa Allah..Shukran sana. Mungu Akubariki
Kweli kaka, hao jamaa wako serious sana, na wanajua sana
Kaka asante kwa elimu nzuri
Asante kwa kutuelekeza wajina wangu
Hongera sana kaka kwa elimu hii utaetupatie
Nakubali kk EBM
Asante kaka
Nimefurahi kweli kaka
Kaka umezungumzia swala la kifo kabla hujafanikiwa kuvuka, je mtu akivuka akafika kule baada ya mwezi mmoja main applicant akafariki,inakuaje kwa wale dependant wake? Wataendelea kuwa raia kwa kigezo kipi?@ EBM SWAHILI
Pamoja sana 5/5 🇨🇩🇨🇩
Je! Mtu anapobahatika kuwa selected kwenye Dvlotery inamuomba awe nakitambulisho cha mahama atakapoenda ubalozin wa USA?
And can you do the application for somebody
Samahani kaka mimi nataka kufahamu kwenye working experience ni kwamba wanakuuliza tu au kuna documents watazihitaji ili kuthibitisha huo uzoefu wako naomba ufafanuzi wako kwenye hilo mfano mimi nafanya graphic ndio kazi yangu ila sijasomea lakini ndio kazi ninayoifanya
Ni vitambulisho gani vinatikiwa mtu awe navyo kipindi cha interview ubalozi wa USA?
Dodoma Lini mtakuwepo?
Kama umewahi kukosa Visa,je inaweza ikawa sababu ya kukosa tena visa..hata baada ya kupata green card lottery.
Kaka nipo nje ya Tabora na nahitaji kufanya applications ya Green card
Tutakaa kwetu tu jamani kha!
Hello Ernest Boniface My name is Victor Musumba am from Kenya am just asking how do you charge for photo editing for green card and DV application this year because I want to try my luck this year
Experience nixa kazi gani?
Ukishinda Alafu uko nafamiliya kubwa unaweza ku tangulia ili upate nauli yawengine?
Leo nimetoka kwa office yako hapa Nairobi, Na tumehudumiwa vizuri sana,lakini ningefurahi sana kukupata.
Inshallah
Je ukisha zala mtoto badaye inakuwaje
🙏🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮💖💖💖❤ thanks for your information
Kuna watu wanawatoto bado hawana vyeti vya kuzaliwa wala passport na wengine wanaisha na wake ila bado hawajafunga ndoa na kupata cheti cha ndoa (cohabiting). Hawa wanajazaje katika mfumo wa application wa DV lottery??
Kama ni wanao inafaa uwajaze,,baadae utatafuta vyet vyao,mwenza uwe na chet Cha ndoa nae,zipo video amejibu yote haya
Ebm nauliza, hivi watuaje Kama umedanganya? yaan Kama umesema huna Mtoto wakati unao watuaje?
Au Kama uko katika ndoa ukasema upo katika ndoa watuaje pia?
diplomatic inachunguza kote uko
Nashukuru nimemuelewa je ukishinda bahati nasibu nawe unafamiriya na visa umepata na kama nauli haitoshi kwenda famiriy yote unaweza kwenda mtu mmoja kwanza ukatengeneze mazingila?
Swali zuri,ukipata majibu nijuze nami
@@mackjr5291 mpaka muda huu cijapata jibu je wewe mwenzangu umepata jibu?
@@HamisAbdul-b9b inawezekana ukasafiri pekeyako, hao wanafuata baadae lakini kunasehemu unajaza next to follow
Gulgowski Stravenue
One question, you apply lottery as unmarried but you married before result and you became a winner, will they allow you to go as married. Thanks for good lesson 👍
As long as you married b4 results in May, you are ok.
Ukishinda Alafu uko nafamiliya kubwa unaweza ku tangulia ili upate nauli yawengine?