FAHAMU JINSI YA KUTUMIA KAZI YAKO IKUWEZESHE KUPATA GREEN CARD🇺🇲✈️✈️✈️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 39

  • @richardscofeld9136
    @richardscofeld9136 2 ปีที่แล้ว +4

    Kaka nimekuelewa sana sana tunashukuru sana ,ila Hilo SoMo limegusa watu wengi sana ambao walikua hawajasoma mpaka high school

  • @danielkiondo9451
    @danielkiondo9451 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana ubarikiwe mno kwa somo hili

  • @Bboybou
    @Bboybou ปีที่แล้ว +1

    Asante sana bro

  • @danielkiondo9451
    @danielkiondo9451 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed Mr.

  • @ericmkami7578
    @ericmkami7578 ปีที่แล้ว +1

    Hii channel ni muhimu sana...

  • @richardscofeld9136
    @richardscofeld9136 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana kaka

  • @priscastevenvyagusa8169
    @priscastevenvyagusa8169 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana mwanakwetu.

  • @musibabutu1376
    @musibabutu1376 2 ปีที่แล้ว +1

    Nzur sana bro...Bonge la darasa

  • @SafariKaembe
    @SafariKaembe ปีที่แล้ว

    Mwanakwetu hongera kwa kazi yako nzuri ya kutufunza na kutupa moyo mimi ni mkenya truck driver nataka Sana kufanya hii kazi inchi za ughaibun, na kuomba visa kwa njia ya simu sijajua Sasa hapo ndio kunanishinda na sijui ninani atanidirect mpaka nijue kuaply application.

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว

      Unataka ku-apply kazi au biza

  • @shebbyID24.
    @shebbyID24. 2 ปีที่แล้ว +2

    Salute you bro

  • @allyjuma4795
    @allyjuma4795 ปีที่แล้ว

    Ok kwaiyo mm naweza kuomba kwakua m fundi bomba au plumble nimeajiliwa shilika lakiselekari nina miaka 4 jee naweza kuomba

  • @MrMasterMathew
    @MrMasterMathew ปีที่แล้ว

    Good

  • @jackypaul8846
    @jackypaul8846 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anisaidie niliomba,MUNGU anifungulie njia jamani

  • @DomKiDi
    @DomKiDi 2 ปีที่แล้ว +1

    Uishi maisha marefu bro ❤

  • @ShabahMob-rx5zc
    @ShabahMob-rx5zc ปีที่แล้ว

    Kaka hambari

  • @Bboybou
    @Bboybou ปีที่แล้ว +1

    Mi sijamaliz high school acha niingie google niangalie

  • @ramadhaniamora7493
    @ramadhaniamora7493 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanakwetu

  • @imanrogers5309
    @imanrogers5309 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Naomba mawasiliano yako please

  • @ashanassor-nk6gd
    @ashanassor-nk6gd ปีที่แล้ว +1

    hi mambo minaitwa mbarouk salum
    natakakuja kwamatembezi wikimbili vp

  • @omimjawiri5695
    @omimjawiri5695 ปีที่แล้ว

    Mm nipo Dubai miaka miwili na miezi nane nafanya plastic mashine industry opereter vp naweza kukolofai

  • @georgempuya9343
    @georgempuya9343 2 ปีที่แล้ว +1

    Broo hujasema nikiasi Gani Cha pesa kwa kumuandalia hizo document za experience ya kazi, funguka kaka cc tuko kwenye kusubiri matokeo ya DV lottery 2024.

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว

      Muda ukifika tutajua Gharama

  • @SalomeNzowa-je7ny
    @SalomeNzowa-je7ny 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa kazi ya salun inaweza kubaliwa kupata visa?

  • @augustineswai5174
    @augustineswai5174 ปีที่แล้ว

    Kaka piah kuna shida kuipata Arrival tv kwenye simu. Yani inakuwa haipandi haraka. Sasa sijui ni kwangu tuu au na watu wengine piah.

  • @omimjawiri5695
    @omimjawiri5695 ปีที่แล้ว

    Mm nipo Dubai nafanya kazi miaka miwili na miezi nane nafanya plastic mashine industry opereter vp naweza kukolofai

  • @nailaty
    @nailaty ปีที่แล้ว

    Kama hauna hiyo green card huwezi kupata viza?

  • @fathermwakisongo
    @fathermwakisongo ปีที่แล้ว

    Go deeper bro,

  • @ShabahMob-rx5zc
    @ShabahMob-rx5zc ปีที่แล้ว

    Nipe namba yako kak ili niwaze kutoma yiyo pesa kaka mwana kwetu

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว

      Malipo yanafanyika kupitia Lipa Namba ya *Shoshana Africa company* 5781214 ingia kwenye menu ya M.pesa chagua namba 4 lipa kwa m.pesa then chagua namba moja ingiza namba 5781214 jina itasoma *SHOSHANA AFRICA COMPANY* baada ya hapo tuma majina yako hatua inayofuata ni kukupigia simu

  • @froogame1922
    @froogame1922 2 ปีที่แล้ว +1

    Veep kuhusu ujasiliamali unaweza kukupa hizo point?

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  2 ปีที่แล้ว

      Sijaelewa ni kwamba unataka nazungumzie ujasirimali au ?

  • @magesadavid7708
    @magesadavid7708 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇺🇸

  • @deusmbassa9749
    @deusmbassa9749 2 ปีที่แล้ว +1

    Nitapataje namba yako ya WhatsApp ili nikutumie video ya kazi yangu uione afu unishauli plz ujibu comet yangu

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  2 ปีที่แล้ว +1

      +1 682-368-9282 WhatsApp number

    • @teacherelectronicszenji5633
      @teacherelectronicszenji5633 ปีที่แล้ว

      @@ArrivalTvHabari yako kwa ss wafanyabishara vipi imekaje?

    • @ArrivalTv
      @ArrivalTv  ปีที่แล้ว

      @@teacherelectronicszenji5633 it's possible ila lazima kuweka title ambayo itafi hizo points

    • @KelvinJohn_food
      @KelvinJohn_food ปีที่แล้ว

      @@ArrivalTv okay