JAHIL 👉 KISHKI AKIDAI MASALAFI NDIO WASHIRIKINA ___ SHEIKH ABU HASHIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 160

  • @ShemsaSheranee
    @ShemsaSheranee 5 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akulipe kheiri sheikh wetu.na Allah atuweke mbali na watu wa bida'a maana wao ndo waharibifu wa kubwa wa dini hii yetu tukufu ya uislam,Aamiin

  • @JumaabedNzota
    @JumaabedNzota 10 หลายเดือนก่อน +5

    mashaALLAH kila anaye enda kinyume na mtume SWALANLLAH alayh wasalam anyooshwe

  • @ammaarmwinyi1120
    @ammaarmwinyi1120 10 หลายเดือนก่อน +3

    Allah atunusuru

  • @JumaabedNzota
    @JumaabedNzota 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kishik apewe elim

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 5 หลายเดือนก่อน +2

    ukweli kishki hana elimu ni ruwaibidhwa tu!!

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndio sie soma kishki kasoma,zaidi paada ya kumtafuta,jadiday mbayae usie fundinza adabu,muache sheikh wetu kishki usitie dosari.from Moçambique 🇲🇿🇲🇿

  • @YussufHamad-nf6dc
    @YussufHamad-nf6dc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo kishki akasome tena bd hyo ni majmaja 4:27

  • @JumaabedNzota
    @JumaabedNzota 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kishiki sasaivi watu wamesoma zungumza Kwa elim

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 10 หลายเดือนก่อน +1

      We ni miongoni mwa hao walosoma???

  • @abdillahsaid710
    @abdillahsaid710 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sheikh

  • @amerwelder7786
    @amerwelder7786 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa iyo kishki hajasoma jamani ,dah ,peponya allah inakazi kwel kwel ,allah atupe mwisho mwema

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 10 หลายเดือนก่อน

      Sikwamba akusoma ila elimu yake ndongo sana namambo anayoyaendea.mfono yeye ni wadarasa la kwanza alafu anaparamia masomo ya fomfoo.icho ndicho kinachomsumbuwa uyo shekhe.

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mawahabiiiiiiiii kazi kudharau watu na kujikweza nyinyi mtihaniiiiiii.

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mwenye elimu yakujisufu na kudhalilisha wenzake unless anatumika kuchezea waislam anadhani dini ni kuchunguza watu na kiwaraddi

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 4 หลายเดือนก่อน

    Mlango mlioufungua wa malumbano na khusuma umepelekea watu wakurejesheeni mfano wake au zaidi. Sasa mnashindwa kudhibiti changamoto mnakosa subira. Vumilieni, jipangeni fanyeni Daawa kwa mujibu wa Kitabu na Sunnah za Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam. Acheni Daawa za kibishoo tufanye Daawa za kiuchaMungu. Endeleeni kuuelimisha umma lakini kuweni na adabu. Daawat Salafiya ni kazi Tukufu sana lakini imevamiwa na vijembe, kejeli, khusuma, hasadi,sum'a na riaa. Matokeo yake unaikosa Haki. Badilikeni acheni kuchanganya haki na matamanio.

  • @YussufHamad-nf6dc
    @YussufHamad-nf6dc 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo kishki akasome tena bd hyo ni majmaja

  • @salehmussa9371
    @salehmussa9371 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenye kumsitiri Muislamu mwenzake,Nayeye atastiriwa na Allah sikuyakiama.
    Inawezekn unayoyasema niyasawa lkn kitende chakutoa clips zenu hizi mashekhe wasikuhizi nyote mnazima mbele ya Allah.
    Kwanini hamkutani mkanasihiana km kweli mnaumizwa na Imani nawala sio mihemko.
    Lini ulickia Maswahaba wakitukanana!!!
    Mnazani hawakuhitilafiana!!!
    Mashekhe wasikuhizi mnapenda makundi,kilammoja anajihic yeye anajuazaidi.
    Kwakifupi mnachangia kuubomoa Uislam nyinyi wenyewe Mnajiona mnajuazaidi kuliko wengine.
    Hii habari ya "Muislam nduguyake ni Muislam mwenzake nyinyi cjui mmeisahau!!!

  • @ramadhanially8249
    @ramadhanially8249 10 หลายเดือนก่อน +1

    Masheikh zetu mnaweka sana radd kuwa ndio msingi wa daawat salaf tusomeshe watu watabainikiwa

  • @kijakazimussa2060
    @kijakazimussa2060 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mtihani makabila ban

    • @Abdul-AzizAthumani
      @Abdul-AzizAthumani 10 หลายเดือนก่อน +1

      ushekhe kaaazi hao makafiri wanakuwekeni fungu gaaan

  • @OmaryTambi
    @OmaryTambi 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kishk sio sheikh ni mhadhir asiye na elimu

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mngemuuliza kwanini. Kumshutumu na kumshambulia ni dalili ya mapungufu weledi katika Usulubu Daawa. Duat anatakiwa kuwa subra, au aya hadithi hamzioni??

  • @YussufHamad-nf6dc
    @YussufHamad-nf6dc 6 หลายเดือนก่อน

    Assalaama alaykum hyu kishik ni mushing tu

  • @husseinadam1278
    @husseinadam1278 10 หลายเดือนก่อน +1

    twakujuwa sana ulifeli kidawaa na wazeeka na huwo ujinga tahadhar ucfe ktka hali hiyo ww mzee

    • @Modyb
      @Modyb 10 หลายเดือนก่อน +4

      Allah akuongoze kwenye Haqq au akuvunir mgongo Kwa kalima hii ovu Kwa Shaykh wetu Abaa Hashim.

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kufeli kidaawa ndo ipoje hyo!?

  • @Mapyatv
    @Mapyatv 10 หลายเดือนก่อน

    Ama kwer wengiwao wenyeelim wanakibr

  • @HamdaniMmbaga
    @HamdaniMmbaga 6 หลายเดือนก่อน

    Tuonyeshe hiyo video aliyoufurisha,Wala c mjinga kua mstaarabu

  • @KhalfanMilole
    @KhalfanMilole 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mwanzo kabla cna elim nilijua kishk ni ghalim ....baadae nkajua hamna kitu

    • @nasoros.mgungo5502
      @nasoros.mgungo5502 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 kwa hiyo Sasa ndio umesoma?

    • @KhalfanMilole
      @KhalfanMilole 10 หลายเดือนก่อน +3

      @@nasoros.mgungo5502 sasa nafaham dini yang alhamdulilah ila namueshim maana nimesomeshwa na mwanafunz wake anaitwaj rajab juma......ila katika fani ya hifidh anahifidh mzur sana sheikh nurdin yuko active...kweny fiqk uku amuachie tu kakae

    • @Shabalala99275
      @Shabalala99275 10 หลายเดือนก่อน

      Kwan saiv una elimu au

    • @KhalfanMilole
      @KhalfanMilole 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@Shabalala99275 ya kumfundisha mtu akafaham kias nilichojaliwa maana tasfr ya elim ni kukifaham kitu inavyopaswa icho kitu kifahamike so far alhamdulilah kwny dini yangu c kama nyumba bovu

  • @AbdulAziz-q3o4m
    @AbdulAziz-q3o4m 10 หลายเดือนก่อน +5

    Masalafi hawa wa leo balaaa tupu

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kivip fafanua

    • @AbdulAziz-q3o4m
      @AbdulAziz-q3o4m 10 หลายเดือนก่อน

      @@أبوفيصل-د3ش ndimi zao kali matusi dharau na kujiona bora kuliko wengine hivyo sivyo salaf wa kweli walivyo lingania daawa

    • @AbdulAziz-q3o4m
      @AbdulAziz-q3o4m 10 หลายเดือนก่อน

      @@أبوفيصل-د3ش angalia hoyo headline jahil kishki wakati biography ya kishki yajulikana kasoma wapi

    • @azizaj776
      @azizaj776 10 หลายเดือนก่อน

      @@أبوفيصل-د3ش , Masalafi kweli MUSHIRINA Hii kweli hii imeenda KWELI KABISA , Wahabi / Answari sina wao ni MUNAFIQUN hizo imeenda

    • @othmanmohd3721
      @othmanmohd3721 10 หลายเดือนก่อน +1

      waliolimgania daawa walikuw vip tufhmche​@@AbdulAziz-q3o4m

  • @SuleimanHassan-o6f
    @SuleimanHassan-o6f 10 หลายเดือนก่อน +1

    Utajisumbia bure huwezi kumuangusha kishki Wala hutamfikia

  • @KishkitvAhmad
    @KishkitvAhmad 5 หลายเดือนก่อน

    Deixem o nosso sheikh em paz se bem você estudou então procura a ele,para se enderretar

  • @TwahaAbubakar
    @TwahaAbubakar 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mm mbona hio audio sijaisikia kishki akisema hivyo

  • @babulabe
    @babulabe 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kila mmoja anatafuta subscribe hana lolote, boya tu.

  • @azizaj776
    @azizaj776 5 หลายเดือนก่อน

    WOTE washirikina hata Salafi na kiskish WOTE washirikina

  • @thabitjumbe6527
    @thabitjumbe6527 10 หลายเดือนก่อน

    Jazba,waliokuwa pamoja leo wanagombana.

  • @jumamaabadi2012
    @jumamaabadi2012 10 หลายเดือนก่อน

    Meza aliyotingisha kishki ina vinywaji ghari sana ndo mana hata radd imejaa jazba ila ukweli ni kwamba mwenye kufarikisha Umma ni sahih kuitwa hivo

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 10 หลายเดือนก่อน

    Kinachotubakisha kwenye dini kwa kweli ni mapenzi ya Allah mashehe hawaeleweki kila siku wanatukana ovyo ingekuwa mtume alifikisha dini kama mnavyofikisha nyinyi sisi tusinge ipata hii dini

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa kipimo gan ulichotumia kuwajua Masheikh au Mitandao ya kijamii

  • @kingofrich6813
    @kingofrich6813 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mfuate mwenyewe mwambie kishki unakosea Sasa mbona unatuambia Sisi hujuw kama unamsengenya ?
    Wewe jamaaa msengenyaji acha iyo tabia ni mbaya na unapata zambi Kuna ishu haiko sawa mfate mwenyewe mueleze.
    Shekhe msengenyaji Wewe tubu Kwa Allah

    • @masanjalaissa1660
      @masanjalaissa1660 10 หลายเดือนก่อน

      Uyo anabainisha asengenyi punguza mapenzi

    • @kingofrich6813
      @kingofrich6813 10 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kubainisha uko na basi ndo hamna kitu kusengenya maana watu wanabainisha.
      Alipaswa amfate mwenyewe amwambie kama anakosea. Na akitaka kuwaelimisha watu andae somo kuhusu washirikina alieleze na asimtaje mtu. Ayo Ndio mafundisho Mtume na maswahaba au wewe uliwahi kuskia Kuna swahaba alimtolea Maneno pembeni swahaba mwenziwe kisa kakosea kitu?

  • @husseinadam1278
    @husseinadam1278 10 หลายเดือนก่อน +1

    huwenda ukawa mjinga ww

  • @HassanRajabu-q6v
    @HassanRajabu-q6v 9 หลายเดือนก่อน +1

    Muda mwingne mtu akikuraddi kwa mtandao haina haja ya kumjibu........kwan mtu kukosea ndo ujaahili kuna mtu kukosea hajui anahtaj kufundishwa af unajiita salafi n salafi gan aliewaita wenzie majaahili kwa kutokujua
    Tunakoelekea dini inakuwa simba na yanga mtu asipokuwa upande wako n hizb kila anachofanya n hizbi........balekhe ya elimu n shida sana

  • @Assalafiyyah637
    @Assalafiyyah637 10 หลายเดือนก่อน

    Hii radd ni ya kitambo utadhania ni jana wanamitandao dah😂😂😂

  • @HassanRajabu-q6v
    @HassanRajabu-q6v 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu kasema usalafi n ushirikina mtafte kaa nae chini muulize kwann umesema hvo atakupa sababu na ww utajua huyu wap hakuelewa huo ndo uislam na masalafi walopta huko nyuma walijipamba na tabia nzuri...........yoyote anaewaradd watu mtandaon na kutoa maneno machafu huyo n salafi kikundi na sio salafi nisba ya wema walotangulia

    • @salehmussa9371
      @salehmussa9371 4 หลายเดือนก่อน

      Hakika ndugu,ckuhizi tucpokuwamakini na hawamashekhe wao ndio watakaoingiza waislam wengi kwenye maangamizi.

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi nyinyi mko vipi lenu ni kulumbana tu yaani tumewachoka

  • @azizaj776
    @azizaj776 10 หลายเดือนก่อน +2

    Simpendi Kishik ila alichosema masalifi musrikina hiii kweli KWELI KABISA hiii imeenda na Answari Sunna / Wahabi nao ni MUNAFIQIN

  • @nassirmohd-j6t
    @nassirmohd-j6t 10 หลายเดือนก่อน

    Hamna lolote kwisha nyiny wapuuuz tu
    Hamumjui isipokuwa ibn tamiyya wapuuz tu

  • @AbdallahNshimirimana
    @AbdallahNshimirimana 10 หลายเดือนก่อน

    Iyi niiaibu tunaaibika kwa mizozano yenu haitujengi

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 10 หลายเดือนก่อน +4

    KISHKI ana matatizo elmu yake ni ndogo mno,shida wajinga wanamuona aalimu naye akaghurika na sifa za wajinga!!na sasa hivi kazi yake anasaka tonge kupitia dini!!

    • @HasaniJuma-ew2kw
      @HasaniJuma-ew2kw 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe yako kubwaaaa au mbona hujulikani

    • @HasaniJuma-ew2kw
      @HasaniJuma-ew2kw 10 หลายเดือนก่อน

      Kishki sio njaaaa mkuuu humjui vizur wewe

    • @hashimabdulqadir4984
      @hashimabdulqadir4984 10 หลายเดือนก่อน

      naona elimu yako iko juu ww kimaro

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 4 หลายเดือนก่อน

    Shaykh wetu kweli unakosoa. Lakini mbona na wewe unakosea zaidi?!!! Mapito unayopita katika kukosoa kwa ko si ktk Manhaj Assalafi Asswalih. Jazba kubwa maneno hayana busara wala subira. Umechukuwa wapi Usulubu huo..? Msiharibu Dini kwa pazia la uduud.

  • @MussaIddyMitti
    @MussaIddyMitti 3 หลายเดือนก่อน

    Watu wanalalamikaa eeh.Sasa kama shekh angemfuata kishk akamwambia sis tungejuaje kuwa alichokiongea amekosea.Yeye kishk kazungumza na khutba yake imezagaa mtandaon.Sasa waliomsikiliza mtandaon watajuaje kuwa walimezeshwa matango pori.Cha muhimu watu kama hawa kutarajii huwa ngumu bali aula zaid kubainishwa makosa yao ili watu wawe makini na mashekh kama hawa.

  • @baarutmazrui5186
    @baarutmazrui5186 10 หลายเดือนก่อน

    Ovyoo

  • @rushu1232
    @rushu1232 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tumia lugha zuri Abuu Hashim wewe ni alim na mtu mzima huyo pengine amekosea na wewe pia waweza kukosea hufai kumuita jahil.

    • @abouhanifa436
      @abouhanifa436 10 หลายเดือนก่อน

      Kwan jahil maan yak nn

    • @rushu1232
      @rushu1232 10 หลายเดือนก่อน

      @@abouhanifa436 jinga

    • @rushu1232
      @rushu1232 10 หลายเดือนก่อน

      @@abouhanifa436 taabu ya masheikh wanaojidai ni masalafii wakikosa hoja ndio wanaita watu majahil hivi Sh.Kishki daawa zote anazofanya na mashindano ya Quraan lnt waweza muita jahil tena muraqab kweli hashima ya Abuu hashim ni ndogo sana.

    • @abouhanifa436
      @abouhanifa436 10 หลายเดือนก่อน

      M nadhan umeckiliz kwa jazba umeckia alivyosem kwanz manno yak kaitafcr aya ya Allah kimakos anavytak yey kisha anasem masalf ni wat wanaolingania shirk wakt tawhid ndio msing mam katk dawa salafia

    • @abouhanifa436
      @abouhanifa436 10 หลายเดือนก่อน

      Au ww walion hil ni saw kupotsha umma waz waz

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed4849 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee unakokwenda siko ulisema ukiona mtu wa bidaa njiani uwe kama simba sasa labda amesilimu jana aburuta kanzu ukimuona ukunje uso bila naswaha njiani

  • @HUSENSHARIF-in3nd
    @HUSENSHARIF-in3nd 10 หลายเดือนก่อน +1

    mashekh Acheni kutukanana ukiona huwz kuongea ispokua mpaka utoe maneno machafu Bac hujawa shekh ww mwehu tuu kwasababu mwenye kulingania hawezi kutoa maneno mabaya

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 10 หลายเดือนก่อน

      Kaka hao wanaowashambulia masheikh sio masheikh ni pote la makafiri nyuma yao yupo myahudi.

    • @muhidinally9455
      @muhidinally9455 10 หลายเดือนก่อน

      Unamsema kishki harafu unaenda kwa kaka yake kuomba msaada

  • @anyimikemwakyanjala7158
    @anyimikemwakyanjala7158 10 หลายเดือนก่อน

    Masalafi wa Sasa ni mtihani Kwa waumini

  • @abuasya6629
    @abuasya6629 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ajabu unarekebisha mtu kwa harisa na kutukana .na unasema wewe ndio mjuzi wa sunnah ? SubhaAllah ...ndio tabia ya mwenye kudai kitu na SiYO. Muislamu . Muislamu mkweli ni hayin na layiin na mwenye kuchunga ulimi na anarekebisha kwa hikma na busara .hiyo ndio njia ya asalafu salih .

  • @shamsuddin4582
    @shamsuddin4582 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mzee khiyana inakusumbua , naamini kwa elimu ya Kishki huweziingia hata kidogo..istoshe kuteleza kupo. AF tuoneshe hiyo clip sheikh akiwakufurisha salaf

    • @allyjaffar7072
      @allyjaffar7072 6 หลายเดือนก่อน

      ههههه...الله يرحمك

  • @ShuaibuMsofe
    @ShuaibuMsofe 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tumia lugha laini kishki Ana watu wanampenda

    • @OmaryTambi
      @OmaryTambi 10 หลายเดือนก่อน +3

      Kupendwa sio hoja mbona kuna watu wanawapenda mbwa

    • @ShuaibuMsofe
      @ShuaibuMsofe 10 หลายเดือนก่อน

      @@OmaryTambi Ni wale wale

    • @salmaalkyumi6030
      @salmaalkyumi6030 10 หลายเดือนก่อน +1

      Inna lilahi waina ilaihi rajiun

  • @AbdallahMahiza-go3bh
    @AbdallahMahiza-go3bh 10 หลายเดือนก่อน

    Masalafi ni wehu siyo watu wa dini

  • @nassirmohd-j6t
    @nassirmohd-j6t 10 หลายเดือนก่อน

    Jaaahil niww mutaalim safiih

  • @Abuusaad-uy5cx
    @Abuusaad-uy5cx 10 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi wenyewe kwa wenyewe wanazozana...😂 IBNU taymiya mujassima

  • @AbdulaziziPacha
    @AbdulaziziPacha 10 หลายเดือนก่อน

    Wanaojiita masafi wa kwetu nikama matahiravile yani ushahidiwao ni kasema shaikhul ummah wapi wislam umetutaka kuchukua ushahidi dalili kwa shaikhul ummah

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 10 หลายเดือนก่อน +1

    kishki wazamani sio wa sasa hivi.zamani alikua wa moto sasa hiv kamati ya amani ndio tatzo sio yy,tumuombee dua tu,ila sio kama hana elimu.yuko vizr na siku akisema ngoja niwatetee salafi utampenda ila shida ni hivyo vikamati wanavomuingiza kila kukucha.

  • @gmai446
    @gmai446 10 หลายเดือนก่อน +1

    KUMA LA MAMAAAKO WEWE

    • @dawatul-salafi129
      @dawatul-salafi129  10 หลายเดือนก่อน +2

      Mjinga we... Acha ujinga

    • @fatibra7768
      @fatibra7768 10 หลายเดือนก่อน

      Jaribu kuwa na adabu​@@dawatul-salafi129

    • @Abuuabdillah259
      @Abuuabdillah259 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mama yako ana bakuli au ndooo🖕

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 10 หลายเดือนก่อน

      Usitukane Sikatika Uungwana

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@Abuuabdillah259Nawewe Kama Lakumnasihi Kwawema Basi Nibora Ungekaa Kimya

  • @fatibra7768
    @fatibra7768 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwann utumie lugha za aina hii.
    Ndio mtume alivyo wafunza hivyo.?

  • @meksd2418
    @meksd2418 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnapata shida na masalafii hawaa wamesomeshwaa na mayahudii na itikadii yaoo na makusudii yaoo kuvuruga uislamu ili ukosee umoja

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 10 หลายเดือนก่อน

    WEWE NDO JADIDE AU HIZBIA??
    AU TOLEO JIPYA??

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 10 หลายเดือนก่อน

    Ww huna adabu tu,huyo ndo sheikh wa Dunia nzima ibnu taymia lkn masheikh wa wenzio sio masheikh ww kweli huna adabu

  • @KhalfanShaban-x4x
    @KhalfanShaban-x4x 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 kwahiyo wew ndio uko sahihi saaana...umesheongea na mungu..... kakwambia uko barabara.....duh! Kweli ukichelewa kufa utaona mengi....

  • @babulabe
    @babulabe 10 หลายเดือนก่อน

    babu soma vizuri ibara hizo😅, acha kusoma utumbo:
    عن الطريقِ السلفيَّ
    Ndio nn?

  • @SabatiRamadhani
    @SabatiRamadhani 10 หลายเดือนก่อน

    Kishki anakuzidi tuliza mshono

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa wakati tulofikia sasa kila mtu asome mwenyewe tu asimftae tu maana hakuna mmashekh wa kutegemewaa kwa sasaa

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 10 หลายเดือนก่อน

    MASALAFI NI MAKAFIRI WASIOJIJUA, KWA SABABU UNAPOMKUFURISHA ALIYETAMKA SHAHADA KAMA WEWE UKAMFANYA KUWA KAFIRI ILHALI SIO KAFIRI TAMBUA WEWE NDIYE UNAYEKUWA KAFIRI, NA HIVI NDIVYO WANAVYOFANYA HAWA MASALAFI FEKI WA LEO.

    • @yazidbafunda5092
      @yazidbafunda5092 10 หลายเดือนก่อน +3

      Acha Uongo emu lete ushahidi na hoja ya maneno yako haya maana hakuna salaf anayekufurisha mtu yeyote pasina kufuata misingi ya kukufurisha

    • @tariqsinga8440
      @tariqsinga8440 10 หลายเดือนก่อน +2

      Nani kakufurishwa na masalafiy leta ushahid

    • @MusaMkata
      @MusaMkata 10 หลายเดือนก่อน +2

      Mmmmhh kumbe mko weng akina Kishki eeh

  • @husseinsalimhemed7169
    @husseinsalimhemed7169 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ata wewe pia uko na makosa yako

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi nyie masheikh mnaelekea wapi?
    Hivi hiyi ndio Daawa ya kutukana na kukejeli watu, ya Akhee , Uislaam una mambo mengi ya kufanya na kufundisha, Daawa imekuwa kama mipasho
    Mnatia aibu

  • @AbdallahMahiza-go3bh
    @AbdallahMahiza-go3bh 10 หลายเดือนก่อน

    Hakuna salafi atakaye nusa harufu ya Pepo, kwasababu hawana ikhlaswi ktk dini, atakaye wafuata masalafi amejinyima Pepo

    • @mohammedmataucar66
      @mohammedmataucar66 10 หลายเดือนก่อน +2

      Naona mgawaji za harufu za peponi unatamba hhaah 😂😂😂😂😂

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 10 หลายเดือนก่อน

    Tafsiri ya nani?? Tafsiri ya aya

  • @arafatkhan6465
    @arafatkhan6465 10 หลายเดือนก่อน

    Ninyi watu mnashida gan kwani unaacha maamlisho ya Allah na kuanzia kushambulia watu Sasa sijui ni elim gan mlio nao coz Allah na mtu wake awakugawa watu Kwa makundi wala kugawa watu laasha ninyi wenye elim rudini mkasome tena

  • @OsamaAbeid-r7h
    @OsamaAbeid-r7h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kishki kasoma wewe unaeongea ndio hukusoma kama wewe msomi tafuta njia ya kumnasii muislamu mwenzio sio kukurupuka kwenye media unaonekana una husda na chuki tu kwa sababu kishki yuko juu kida'awa wewe hujulikani Sasa unatafuta kujulikana kupitia yeye hapo ndipo mulipo feri masarafu

    • @yazidbafunda5092
      @yazidbafunda5092 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kishiki nae kafanyaje sasa mbona hakuwaita masalafi na kuwanasihi bali nae kakurupuka kwenye media au wasemaje ikiwa kusema kwenye media ni kukurupuka

  • @SamirKaba-u1c
    @SamirKaba-u1c 10 หลายเดือนก่อน

    Masalafiya jadidah ni Mtihani mkubwa

  • @babulabe
    @babulabe 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa katoka wapi?

  • @nyehungeitsupportltd8546
    @nyehungeitsupportltd8546 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi kupika kelele tu, mwaka ujao saudia inatengeneza salaf 3rd generation aje akukufurishe wewe salaf wa leo. Sishangai hivyo ndivyo mlivyotengenezwa na baba zenu saudi.

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 10 หลายเดือนก่อน

    Wahabi mwengine huyu anatafta kujulikana 😂😂😂😂

    • @husseinadam1278
      @husseinadam1278 10 หลายเดือนก่อน +1

      hata wanafunzi wamerithi hiyo ujaahil wako chunga mzee ulifeli kitambo ktka dawaa kuwa msikilizaji

  • @abdulkadirhajj4830
    @abdulkadirhajj4830 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa nyiny kazi yenu mwasubr mtu aseme mumseme mumradd bas seme na nyiny toen fatua semen,, musiwe wakoseaji tu au elimu yenu ndio hii tu

  • @MohamednoordubaMohamednoorduba
    @MohamednoordubaMohamednoorduba 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi yenu kwa tusi maulamaa kundi ya wajinga hao

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani mtume saw alituachia kundi linaloitwa salafiya?wwe ndo jahil murakab

    • @hbaba.
      @hbaba. 10 หลายเดือนก่อน +2

      wew bacteria wa virusi kasoma ujue salafi ninin

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 10 หลายเดือนก่อน

      Usalafi ni ukafiri​@@hbaba.

  • @mbarouksaadhussein290
    @mbarouksaadhussein290 10 หลายเดือนก่อน

    Ili kundi la Salaf kweli linachuki pia na Mashekhe wengine kwan Kuna Mtu aitwa Kassim Mafuta ndio msemaji wao amemtukana had Dr Islam hi pia ndio Salaf alioizungumza Allah?

  • @NadharMohd-ek8wl
    @NadharMohd-ek8wl 10 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi youtuber wakiislam mnauharibu uislamu,mnakashifiana nyinyi kwa nyinyi kwa mambo yaikhtilafu tena nyinyi niviongozi wadini mnawapeleka wapi waumini wanaokufuateni?بإس الإسم الفسوق بعد الإيمان,Je mmelisahau hili?إتقوا الله

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 10 หลายเดือนก่อน

    "Total approved failure Daawa " kazi ya Daawa ni kazi Tukufu sana lakini kuna baadhi ya Waislamu wanaharibu sana. Vijembe, kejeli vineno vya kijingajinga.

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 10 หลายเดือนก่อน

    Tatizo lenu hamufundishi uislam ila kuvamia watu wanaotoa mawaidha .
    Nyie ni chama Fulani.
    Ilmu gani hiyo ya KUPINGA JIHAD? HATA NYIE PIA MMEPINDA.
    EBU MTUAMBIE, MNAONGELEAJE WALE WATALIBAN WALOSHINDA KULE NA WANATAWALA KIISLAM?
    EBU ONGEENI TUPATE ELIMU YENU

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 10 หลายเดือนก่อน

    Wakumbavu wakubwa nyie munazozana kwa mitanadao munamushkil kainikando mujadiliane cio kutukanana kwa media bure kabisa mavi ya kuku

    • @MusaMkata
      @MusaMkata 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hizo ndo rududi kijn kama hujui kaa kimy sio muda wako huu😊

  • @nassirmohd-j6t
    @nassirmohd-j6t 10 หลายเดือนก่อน

    Tuchambulie nani jaahil murakkab na basiit jaaahil wewe hii midude hii mijineno michafu

    • @HUSENSHARIF-in3nd
      @HUSENSHARIF-in3nd 10 หลายเดือนก่อน

      huyo ndie jaahil kwasababu yy kama shekh hapaswi kuongea maneno kama hayo

  • @GhulamSoud-mg8nq
    @GhulamSoud-mg8nq 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu si salafi mwenzenu mbona Leo mnageukana tatizo lenu nyinyi masalafi wote mna matatizo

    • @Abuu_Asfiya-Salafy
      @Abuu_Asfiya-Salafy 10 หลายเดือนก่อน +3

      salafy tangu lini??

    • @Abuu_Asfiya-Salafy
      @Abuu_Asfiya-Salafy 10 หลายเดือนก่อน +2

      wenzie ni kina nani??

    • @GadafiRashidi
      @GadafiRashidi 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni salafy?​@@Abuu_Asfiya-Salafy

    • @mbarouksaadhussein290
      @mbarouksaadhussein290 10 หลายเดือนก่อน

      Hapana Kishk sio Salaf Kishki ni Answar ila saiv tunawaita Mawahabi
      Haya ni Madhehebu mawili tofauti ndugu yangu

  • @jumamohamed628
    @jumamohamed628 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂 dini imevamiwa hii,kilichopikwa sasa kinafanya kazi,Waislamu wanaendesha,kwa Mashekhe kama huyu mzungumzaji basi ni Afueni kuswali nyumbani kuliko msikitini,kwa hali hii lau sio serikali inaonekana waislamu wangekatana mapanga

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 10 หลายเดือนก่อน +3

      Aso na akili huongea kama ww.

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@أبوفيصل-د3شpengine wewe ni chizi uliyerogwa tena

  • @YussufHamad-nf6dc
    @YussufHamad-nf6dc 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo kishki akasome tena bd hyo ni majmaja 4:27