Mashallah umemjenga pakubwa kwa matukano yako. Lengo lako halikutimia. Kuna njia zakurekebishana haswa akihusika Sheikh Yusuf Abdi ambaye yuko tayari saa zote kurekebishwa na saa zote anahimiza umoja wa waislamu na masheikh hata kama wanatafautiana kifikra. Allah atamuhifadhi na shari zako.
Wewe ni mjinga mwenye elimu hamtukani mwenzake na elimu ni bahari kila mtu amechota kwa kiasi basi mpigie simu umsomeshe huyo jahil na yanini kutuambia sisi jifunze adabu inaonekana wewe elimu yako ya mtandaoni mjinga mkubwa ati unaitwa sheikh someni kwa othman maalim
Wewe sasa pia uko na shida kwani yeye kusema sheikh Yusuf ni jahil ni kumtukana hiyo si tusi...wewe uliemuita mbwa na mengine ndio umetukana...kuita MTU jahil si tusi Bali Hilo Jambo analifanya Kwa kutojuwa ndipo unaitwa jahil...Kila mmoja wetu ako na ujahili wake Kwa Mambo kadha...ila kuna kitu watu hawafahamu umajinunu na ujahili yaani ujinga na kutofahamu..waeza kuwa jahil na usiwe mjinga.....so sijui amemtukana sheikh Yusuf tusi gani hapo.
Hapa ss atukanae ni nani, kumbuka huyu unaemtusi hivi ni baba wa watu, mbali kuwa ametufidisha wengi wetu naswaha na ilmu tokea ubarobaro wake, Allah Amuhifadhi Sheikh wetu masalafi wa mji wa mombasa. Ss ww kama ni ushabiki wakutekeleza, hebu jitokeze ukabili japo wanafunzi wa Skh Abu Hashim Hafiddah Allah.
Haya Sasa, unamvu jia heshima shekhe Abdi kwa kumuita mjinga, wewe na wenzwko nyote mnaitwa masheitwaan, na hivi ndivyo wanapata watu wasiojali hekima na maneno mazuri Kama kanuni ya daawa. SHAKA YANGU KUHUSU MASALAFI NI ILE ILE, HAMJUI MNACHOKITAFUTA, NA KAMA MUNAJUA BASI NINYI MUNATUMIKA TU.
@@ramdanmbara8500 ndugu matusi hayatokusaidia kitu sisi lengo letu kuu kulingania hakki na mpk saa ya kiama ni kumbusuru mtume na mafundisho yake yasihsribiwe hivyo matusi ni kama warudia zama za kina abu jahli walomtukans sana mtume sababu walikuwa hawataki kuambiwa kweli na kuwacha yale watakayo so Allah akuongoze kumbuka utakuta matusi yako katika daftali lako na utaambiwa usome kwa kauli zako na jeuri yako na kule kuleta kibri katika hakki hayoo hayatushughulushi sisi hii dawa ya hakki hata kama maadui wa hii daawa wanachukia hilo hatujali sisi lengo tumriidhishe Allah na mtume wake
HII SIO DAWA YA KISALAFI MTU AKIKOSEA NI BORA UMFUATE NA UMWAMBIE NA YEYE NDIO ATAKAE KUJA REKEBISHA ALIOKOSEA SIO WEWE UMTUKANE MWENZAKO ITAKUA UMESHAMUONDOLEA HESHIMA
Shekh yusuf abdi ni shekh mkubwa, nadhani wewe ndio mjinga na mpumbavu , mashekh kama nyinyi ghadhabu za allah zinawasubiri, mtume hakutufundisha hivi mpumbavu wewe !!
yaani hii ni da'awa ya KIFEDHULI, NI KIKUNDI CHA WATU WALIO KOSA ADABU, NIDHAMU, HESHIMA, NI KIKUNDI KILICHO JAWA NA TABIA ZA OVYO KABISA, hata ile maana ya UISLAMU ni kuwa na tabia njema MAHIZBI HAWA HAWANA HIYO SIFA KABISA, imebaki kujinasibisha TU na USALAFI, kitu ambacho Wala sio uhalisia kabisa.
@@AbubakarMuqaddam-f2r hii manhaj ya kutoa waislamu wenzenu ktk manhaj yenu ya salafy kisha ikhtilaf ya ulama na kubeza wanachuoni wengine ndo mtume saw alituachia?ma jahil nyinyi ndomana mnagombana nyinyi kwa nyinyi kisha ulema.
N kweli muombeni sana Allah awakinge maana masufi hamjawahi kubali dalili hata mngepewa dalili vitabu elf msinge kubali Hata makafiri husema hvyo hvyo endeleen kukaa na ujinga wenu hvyo hvyo lau mngekua na akili mngemuomba Allah awape ufahamu wa njia ya haqq.
Kwa sababu hualikwa konzi akatoa mihadhara ndio amekuwa jaahil ikiwa kusoma ndio huku kwa kutukananaa mashekh basi haina haja ya kusoma huwezi mtukana mtu lazima kuna neema amekushinda nayo ww umesoma wapi na umepitiahwa nananii kuwa umesoma
shida hata wanamuziki (muttib)wakivaa kanzu na kofia basi hujiita na kuitwa SHEIKH!! Mutrib yusuf abdi aende kutimbuiza kwenye sherehe za watu sampling yake!!
Huyu Yusuf Abdi alisema yule hamza alipona kwasabab ya nashidi aliyo itunga yeye, Hamza akaja akasema kapona kwasabab ya kufanyiwa hijama hahaha hakika huyu n mjinga.
Mtume alimwambia abuu dharr al ghifaary" إنك امرؤ فيك جاهلية" ww ni mtu una ujaahiliya. Na hilo ni baada ya Abuu dharr Allaah amridhie alipomtia aibu mtu kwasababu ya mamaake, alimtusi. Baarakallaahufiik
Hapo kwenye kuleta sidja ya kusahau, pengine hakua akijua, binaadamu hawezi kujua kila kitu, haswa kwenye hii dini yetu. Ni apo tu asamehewe, ila yale mambo ya kulegeza sauti kuimba tumseme. Kama anataka kuimba aimbe sauti gumugumu si kubana pua. ###Mfano : Owa weweee, owa wewee, acha kuzini, acha kua bachelor. Kwa sauti ngumu😂😂
Huu n msiba mkubwa waislamu umetufika unamfikishia mtu ruduud kwanjia ya kumvunjia heshima yke? Bila yaku kujali ni mzima ana watt wakubwa t na cku nyingi mnaradd wala hajibu naashasema endeleeni nyi ndio mnakaza mukisha mshambulia kwa nguvuzote ndio ataacha?
Maajabu sio shekh yusuf kuwa hakusoma maajabu ni ww msomi kumfatilia shekh yusuf ambae ni jahil fata wasomi wenzako yy atafatwa na wajinga wenziwe lkn unavyo mfata fata pia ww jinga lakupindukia ndio inavyo fahamika
Mimi nina swali kwa Abuu Hashim yeye mwenyewe kwa mdomo wake alitamka kwamba mwanzo sheikh yusuf Abdi alikuwa akilingania sunnah. Na maneno yake mengine asema ni mtu jahil hajasoma dini wala dunia. Swali langu ni kwamba alipokuwa akilingania sunnah alilingania vip na mtu hajasoma? Kwa mtu mwenye channel hii au mwingne yeyote mwenye kuweza naomba anifikishie hili swali kwa Abuu Hashim
Wewe mzee mzima somesha dini sio kutusi watu vipi Yusuf Abdi ni jahil wewe wamjua amesoma wapi na daawa zake vile hakubaliani na msimamo wenu ndio mwamuita jahil.
Allahu Akbar huyu Yusuf Abdi ni mtu mjinga
Wallahi hayo sio Maarifa katika Elimu.Allah akusamehe kwa Dhambi za kumtukana Muislamu mwenzako.
Hawa jamaa ni wahuni na wapo Duniani Kote wanalipwa na Wayahudi kuuvuruga Uislam na kuvunja umoja wao na upendo Maina yao......
Kutwa shehk yusuf hasbunallah waneemal wakil mwenyezimungu amuhifadh shehk yusuf na shar zakila hasid
Amiin Amiin Amiin
Masalafy ni mahasidi
Wallahy hawa jamaa hawana adabu sio sifa za uislam
Mashallah umemjenga pakubwa kwa matukano yako. Lengo lako halikutimia. Kuna njia zakurekebishana haswa akihusika Sheikh Yusuf Abdi ambaye yuko tayari saa zote kurekebishwa na saa zote anahimiza umoja wa waislamu na masheikh hata kama wanatafautiana kifikra. Allah atamuhifadhi na shari zako.
Musitukanane jaman wala msihukumiane , Allah ndio mlipaji kutokana na nia zetu.
@@mkongwekhamis4331 ujinga sio TUSI kaka
ABUHASHIM NI KENGE TU MSHENZI MBWA MKUBWA WEE.. ELIMU GANI WEWE MSHENZI MBWA WEE. UNAKERA SANA WEWE NDIE JAHIL MURAKKAB WAMURAKKAB
Sasa wewe "Mufti" waita watu mbwa
Hamuigopi mungu huyu kumtukana Assalamu mwenzako ni dhambi
Wewe ni mjinga mwenye elimu hamtukani mwenzake na elimu ni bahari kila mtu amechota kwa kiasi basi mpigie simu umsomeshe huyo jahil na yanini kutuambia sisi jifunze adabu inaonekana wewe elimu yako ya mtandaoni mjinga mkubwa ati unaitwa sheikh someni kwa othman maalim
Wewe sasa pia uko na shida kwani yeye kusema sheikh Yusuf ni jahil ni kumtukana hiyo si tusi...wewe uliemuita mbwa na mengine ndio umetukana...kuita MTU jahil si tusi Bali Hilo Jambo analifanya Kwa kutojuwa ndipo unaitwa jahil...Kila mmoja wetu ako na ujahili wake Kwa Mambo kadha...ila kuna kitu watu hawafahamu umajinunu na ujahili yaani ujinga na kutofahamu..waeza kuwa jahil na usiwe mjinga.....so sijui amemtukana sheikh Yusuf tusi gani hapo.
Hapa ss atukanae ni nani, kumbuka huyu unaemtusi hivi ni baba wa watu, mbali kuwa ametufidisha wengi wetu naswaha na ilmu tokea ubarobaro wake, Allah Amuhifadhi Sheikh wetu masalafi wa mji wa mombasa. Ss ww kama ni ushabiki wakutekeleza, hebu jitokeze ukabili japo wanafunzi wa Skh Abu Hashim Hafiddah Allah.
اللهم احفظنا من الحقد والحسد
ولا تنازعو فتفشلو وتذهب ريحكم
Sipendi ma Sheikh wakuka kutwa kutukana watu mitandaoni afu wao wanajifanya wanajifanya wachamungu wao ndo wasomi Wallah Allah atuongoze tunapo elekea tutafata nafsi zetu sio masheikh masheikh masheikh tena😢
Uyo abuu hashim ajifanya kakamiluka
Mbona wamuita mwenzako jahil moja kwa moja😢😢...ina maana wwe ushakamilika
Tuambie ama wwe ushajitosheleza kwa ibada zako
Haya Sasa, unamvu jia heshima shekhe Abdi kwa kumuita mjinga, wewe na wenzwko nyote mnaitwa masheitwaan, na hivi ndivyo wanapata watu wasiojali hekima na maneno mazuri Kama kanuni ya daawa.
SHAKA YANGU KUHUSU MASALAFI NI ILE ILE, HAMJUI MNACHOKITAFUTA, NA KAMA MUNAJUA BASI NINYI MUNATUMIKA TU.
Hizi si rudud km mnavyodai ni mipasho isiyokuwa na faida yoyote katika kuupeleka mbele uislamu, kaeni mashekhe mfikirie upya
Mm napenda waropoke halafu wanyamaze tu washenzi wakubwa nyie
Muogope.mungu
Nawe pia n shkh shekhena ww ndio uko ujahliyyati
Mpumbavu wewe, hii Miwahabi kwakweli hii mijitu ni miwakala ya Ibilisi hii...
@@ramdanmbara8500 ndugu matusi hayatokusaidia kitu sisi lengo letu kuu kulingania hakki na mpk saa ya kiama ni kumbusuru mtume na mafundisho yake yasihsribiwe hivyo matusi ni kama warudia zama za kina abu jahli walomtukans sana mtume sababu walikuwa hawataki kuambiwa kweli na kuwacha yale watakayo so Allah akuongoze kumbuka utakuta matusi yako katika daftali lako na utaambiwa usome kwa kauli zako na jeuri yako na kule kuleta kibri katika hakki hayoo hayatushughulushi sisi hii dawa ya hakki hata kama maadui wa hii daawa wanachukia hilo hatujali sisi lengo tumriidhishe Allah na mtume wake
Hivi yusufu abdi ni katika akida ipi namuonaga anaimba nasheed ni suffi au nani sijaelewa akida yake ni sufi naombeni kujuwa hilo
enyi makafri tuacheni na uislamu
Majadida dini yao kubwa kuvunja heshma za watu
HII SIO DAWA YA KISALAFI MTU AKIKOSEA NI BORA UMFUATE NA UMWAMBIE NA YEYE NDIO ATAKAE KUJA REKEBISHA ALIOKOSEA SIO WEWE UMTUKANE MWENZAKO ITAKUA UMESHAMUONDOLEA HESHIMA
Shekh yusuf abdi ni shekh mkubwa, nadhani wewe ndio mjinga na mpumbavu , mashekh kama nyinyi ghadhabu za allah zinawasubiri, mtume hakutufundisha hivi mpumbavu wewe !!
Nyinyi hamna chochote isipokuwa no kulaomiyana mitandaoni Basi
Cha ajabu huyu Yusuf Abd watu humuona ni shekhe kumbe ni msanii wa nyimbo.
Hii ni da'awa ya ki JASIIDAH,
Mh Sheikh About Hashim ajua Kila kitu kumbe?
سباب المومن فسوق وقتاله كفر
yaani hii ni da'awa ya KIFEDHULI, NI KIKUNDI CHA WATU WALIO KOSA ADABU, NIDHAMU, HESHIMA, NI KIKUNDI KILICHO JAWA NA TABIA ZA OVYO KABISA, hata ile maana ya UISLAMU ni kuwa na tabia njema MAHIZBI HAWA HAWANA HIYO SIFA KABISA, imebaki kujinasibisha TU na USALAFI, kitu ambacho Wala sio uhalisia kabisa.
Hivi yusuphu abdi ni suffi au nani namuonaga tuuh anashambuliwa ni suffi au katika watu dhehebu gani huyu
Hasad itawaua... Mashetwani wakubwa. موتوا بغيظكم
Salafi hawna kazi ya kufanya Mola awaongezi
Hii ndio daawah ya kisalaf???? Tumche allaah kwani maisha mafupi sana
Kutwa kutukana watu jmn 😢
Kwani mtume swa alituachia manhaj inaitwa salafy
Alituachia madufu au ?
Ndio ndugu yangu
Kwan wewe ulikuw unajuwaj? Inaonekan hujajuw ni manhaj Salafiy maskini.
@@AbubakarMuqaddam-f2r hii manhaj ya kutoa waislamu wenzenu ktk manhaj yenu ya salafy kisha ikhtilaf ya ulama na kubeza wanachuoni wengine ndo mtume saw alituachia?ma jahil nyinyi ndomana mnagombana nyinyi kwa nyinyi kisha ulema.
Uwahabi ni fitna kubwa ambayo Allah ame tutahini ktk zama hizi.. نسأل الله السلامة
Uwahabi ni fitna kweli... Tumuombe Allah aupeperushe
N kweli muombeni sana Allah awakinge maana masufi hamjawahi kubali dalili hata mngepewa dalili vitabu elf msinge kubali
Hata makafiri husema hvyo hvyo endeleen kukaa na ujinga wenu hvyo hvyo
lau mngekua na akili mngemuomba Allah awape ufahamu wa njia ya haqq.
Kwa sababu hualikwa konzi akatoa mihadhara ndio amekuwa jaahil ikiwa kusoma ndio huku kwa kutukananaa mashekh basi haina haja ya kusoma huwezi mtukana mtu lazima kuna neema amekushinda nayo ww umesoma wapi na umepitiahwa nananii kuwa umesoma
shida hata wanamuziki (muttib)wakivaa kanzu na kofia basi hujiita na kuitwa SHEIKH!!
Mutrib yusuf abdi aende kutimbuiza kwenye sherehe za watu sampling yake!!
Duh kwa style hiyo dini imekufa
Mtume mmoja kitabu kimoja lkni hakuna upendo mmoja ni chuki tu
Kama huna kitu kichwani usichangie chochote
Huo mda wote alipokuwa na nyinyi hakuwa na makosa lakini sai ametoka kwa upuzi wenu ndio mnasema akona makosa 😂😂😂 nyinyi viongozi wa mkona ujinga sana
أنصار السنة ماذا تعنون بهذه الكلمة وأي سنة تنصرونها ماكان حبيبنا لعانا ولاسبابا من اين انتم وتعليم الدين ؟
Usalafi ni uvundo.
Tabia za kisenge mnakaa kuchamba waume.
LGBTQ nyie
Huyu Yusuf Abdi alisema yule hamza alipona kwasabab ya nashidi aliyo itunga yeye,
Hamza akaja akasema kapona kwasabab ya kufanyiwa hijama hahaha hakika huyu n mjinga.
Ni wapi Mtume S.A.W alimwita muislam aliyetamka shahada Jahili??? Umetoa wapi mwanachuoni wewe???
Mtume alimwambia abuu dharr al ghifaary" إنك امرؤ فيك جاهلية" ww ni mtu una ujaahiliya. Na hilo ni baada ya Abuu dharr Allaah amridhie alipomtia aibu mtu kwasababu ya mamaake, alimtusi.
Baarakallaahufiik
Hawa jamaa hawana la kusema ila kutaja watu tuu kaeni chini msomeshe watu waache bidaa na wamuogope Allah elimu yenu basi faidi yenu ni ipi????
Ulivyo jua mwenzako ni jahil ,hebu jua nafsi Yako, na tangu lini ulikua judge?
Hapo kwenye kuleta sidja ya kusahau, pengine hakua akijua, binaadamu hawezi kujua kila kitu, haswa kwenye hii dini yetu.
Ni apo tu asamehewe, ila yale mambo ya kulegeza sauti kuimba tumseme. Kama anataka kuimba aimbe sauti gumugumu si kubana pua.
###Mfano : Owa weweee, owa wewee, acha kuzini, acha kua bachelor. Kwa sauti ngumu😂😂
Ulianza vizuri kibusara kisha ukaharibu
Huu n msiba mkubwa waislamu umetufika unamfikishia mtu ruduud kwanjia ya kumvunjia heshima yke? Bila yaku kujali ni mzima ana watt wakubwa t na cku nyingi mnaradd wala hajibu naashasema endeleeni nyi ndio mnakaza mukisha mshambulia kwa nguvuzote ndio ataacha?
Mjinga Ni Wewe Abuu Hashim Mkosefu Wa Nidham Na Elim
Maajabu sio shekh yusuf kuwa hakusoma maajabu ni ww msomi kumfatilia shekh yusuf ambae ni jahil fata wasomi wenzako yy atafatwa na wajinga wenziwe lkn unavyo mfata fata pia ww jinga lakupindukia ndio inavyo fahamika
Mimi nina swali kwa Abuu Hashim yeye mwenyewe kwa mdomo wake alitamka kwamba mwanzo sheikh yusuf Abdi alikuwa akilingania sunnah. Na maneno yake mengine asema ni mtu jahil hajasoma dini wala dunia. Swali langu ni kwamba alipokuwa akilingania sunnah alilingania vip na mtu hajasoma? Kwa mtu mwenye channel hii au mwingne yeyote mwenye kuweza naomba anifikishie hili swali kwa Abuu Hashim
We pia sio mzima
😂😂 nashangaaa sijui. Alikua akilingania. Vipi. Yusuph Abdi amepinda. Ila Abuu Hashim yaonekana alikua. Mvutaji. Wa bangi. Maan. Yuwaongea. Bangi. Tu
Tuletee huo ushahidi wa Maneno ya Abuu hashim kumsifia Yusuf Abdi
Hawa Ni wajinga wasema
Picha Haram
Kisha mwaweka picha yake
كبر مقتا عند الله أن تقولوا مالا تفعلون.
th-cam.com/users/postUgkxYMfOy_9XZb8ZOq9juyaitCBNqh9u1f6m?si=UVmYF8Sl3Fc1QWzm
Ohh kumbe mtu awe amesoma nipaka akasome kwa ahlusunah wal jamaa
Kama hajasoma Sasa sisi tukushauri Nini ? Sawa mpe mkeo amsomeshe baradhuli wewe
Tafuta jambo la kufundisha unaita mtu jahili ambaye yuwasoma ayah za mungu .kweli usalafi ni Chama cha wajinga na chuki na hasad
Wewe mzee mzima somesha dini sio kutusi watu vipi Yusuf Abdi ni jahil wewe wamjua amesoma wapi na daawa zake vile hakubaliani na msimamo wenu ndio mwamuita jahil.
Why are you concerned? Your busy with people .
Coz this is the Religion of Allah and it concerns every Muslim
Utahini ni ubongo wako uliooza mpuuzi wewe huyo mtu ni jaahil kweli we huoni
Acha usenge wako kutukana watu bila sababu. Sheikh gani wewe unaoita watu majahil, jahili wewe na wapumbavu wenzako wanaokufuata,Al Qaida wewe.