Huyu doctor sule ameeleweka vizuri tyuu lkn hawa wanachimbua makaburi hii si sawa kabisa nasaha zangu naomba muache kufuatilia mitelezo ya watu na hata mkikosoa kosoeni kwa adabu sana sijui hata mnakwama wapi pengine ungezunguza mbele yangu tukiwa peke yetu ningekutia mkofi mmoja tu na mbele ya mungu ningemuambia unaamsha fitna.afua'an nimetumia maneno makali kidogo.
@@abubakarshaban6118 nakubali na mie wanijua lkn mm trained solders comander wa kikosi cha anga nnchini.afua'an nimenena uongo kidogo sikua na jinsi🤣🤣🤣
Huwezi kubeza kuswali kisha ukanyamaziwa, hayo ya kuelewa umeelewa ww ..mtu anakejeli kisha mseme kuelewa!! Kwani hamsomi hadith inayothibitisha mtu aweza kuingia peponi kwa kuswali tu ama haiwaingii akilini?? AF yeye mwenyewe anayeongea swalah zake pia viraka ma'adam si mtume lazima ziwe na mapungufu chungu nzima.
dr sule hakusema kuwa hakuna pepo yakuswali......aliwahi kusema hivyo kutokana na kisa maalumu kilichotokea zanzibar....,,,........... tatizo la jamii hupokea maneno bila kufahamu mantiki.........
@@SameerMdumbemalongo kwani kuna kosa gani nliloliandika ucjifanye unaimani kuliko wenzio, Allah(SWT) anaangalia dhamira mtu ndani ya nafsi yake unaweza ukakosea namna ya kufikisha ujumbe lakini dhamira yako ikawa njema.Halafu katika upuuzi wa simba na yanga mm hunikuti huko.Na kama utasoma nlchokiandika cjaangukia upande wowote,tatizo ss waislamu kipindi hichi tumekua tukipigana vita wenyewe kwa wenyewe kila kundi linajiona bora kuliko mwenziwe.
Hawa Mawahabi wamezidi tena wao hawana mawaidha isipokuwa kukosowa watu na kuchafuwa watu tu kwani hakuna Aya inayosema: " Ole wao wenye kusali?" Au hamzingatii Aya mnazingatia madhehebu tu
Unashindana na Quran kaka??? Quran inasema unaweza wewe watetea mtu dhidi ya Allah!!!! Wewe akili zako timamu kaka???? Unapinga kauli ya Allah kwa ajili ya mtu!!!!
Mimi Sio msomi lakini hapo nadhani ni lugha lakini nadhani alicholenga ni kwamba mtu asiridhike kwa kuswali tu lazima ajiongeze afanye mambo zaidi ya kuswali kwenye kung'oka meno huo ni mfano katolea kwamba ingawa Mtume Muhammad swallahu alayh wassalaama alikuwa akiswali lakini bado aliipigania dini ikampelekea akavunjika jino lakini hakumaanisha ili mtu aende peponi ni lazima avunjike meno dah. Watu tuelewe kwamba kuswali ni muhimu Sana lakini baada ya kuswali lazima mtu afanye mambo ya ziada kama kujenga misikiti, kujenga madrasa, kuwasaidia maskini, kuishi vizuri na majirani, kuwafanyia ihsani wazazi wawili, kutoa swadaka, kutoa zaka n.k
@@yuzzoawale2026 mm mwenyewe naungana na sulle huwezi enda peponi Kwa kuswali swali tofautisha kati ya kuswali na kuswali swali ni vitu viweli tofauti huwezi elewa ila Kwa wenye akili
Nyie mumechukua maneno hayo mawili tu hebu iskilize nyuma kidogo halafu nenda nayo mbele kidogo halafu nyinyi ni watoto wadogo sana kumbe mumezaliwa juzi ndio mumeipata video ya Dk Sule
Na Allah hayuko sawa aliposema anaeswali ataingia firdaus??? Mbona mnaonyesha sababu za kudorora umma nyinyi??!!! Wallah mnaskitisha kaka!!! Wewe unaambiwa Allah amesema kisha unabishana na Allah!!!! Ama hujui hivyo kaka??!!!!! Allah amesema anaeswali ataingia peponi wewe una rai yako mchwara kaa nayo mwenyewe!!!!
simpendi kwaajli ya kumshirikisha Allah na utapeli ila hapa ndugu zangu salafi hamkumuelewa amemaanisha kuswali kuswali katumia lugha ambayo wale watu wanao swali awali alafu wachawi wazinifu n.k
Hujamuelewa, wewe. Mimi nashangaa hawa Masheikh wamechelewa kumjibu. Mimi nilimsikia nikasema huyu mwehu. Nilippmuona anauza Mafuta ya upako, ndiyo nikaachana naye miaka mingi zaidi ya 10.
Yan Abu khaula hujui kiarabu basi hata kiswahili hujui? Kwanza hajasema km mtu akiswali haendi peponi! Pili hajasema km mpaka uende peponi kwanza ungoke meno kaka yangu! Mbona nyinyi wakristo mnaojiita waislam mna mashaka sana! Hem msikilizeni vizuri halaf ndio muweze kumkosoa jamani, ifike siku mukumbuke km ipo siku mtaulizwa huko kwa mola wetu
Inna lillahi wa inna ilaihi raajiun Hawa Abu Khaula na Abdalla Humeid ni watu ambao ufuhamu wao ni finyu sana yaani wazito sana kufahamu mambo. Pia wanatumia maneno ya ovyo sana. Yaani hivi munavyolingania ndio njia waliyopitia salafi swalih wema walotangulia walikuwa na maneno machafu kama nyinyi?
Jamani tunatakiwa tufahamu kuna kuswali swali na kusimamisha swala. Kwani hata wanafiq wanaswali lakini hawasimamishi swala. { فَوَیۡلࣱ لِّلۡمُصَلِّینَ } { ٱلَّذِینَ هُمۡ عَن صَلَاتِهِمۡ سَاهُونَ } Ole wao wanaosali na kuuza sala zao. Na akasema allah { إِنَّ ٱلۡمُنَـٰفِقِینَ یُخَـٰدِعُونَ ٱللَّهَ وَهُوَ خَـٰدِعُهُمۡ وَإِذَا قَامُوۤا۟ إِلَى ٱلصَّلَوٰةِ قَامُوا۟ كُسَالَىٰ یُرَاۤءُونَ ٱلنَّاسَ وَلَا یَذۡكُرُونَ ٱللَّهَ إِلَّا قَلِیلࣰا } Na wakisimama wanakuwa wavivu na kujionesha tuu. Na akasema allah kwamba wema sio kusali tuu na ikawa hio swala hauitimizi inavyotakiwa, lakini miongoni mwa vitu vinavyokufikisha katika wena ni kusimamisha sala. { ۞ لَّیۡسَ ٱلۡبِرَّ أَن تُوَلُّوا۟ وُجُوهَكُمۡ قِبَلَ ٱلۡمَشۡرِقِ وَٱلۡمَغۡرِبِ وَلَـٰكِنَّ ٱلۡبِرَّ مَنۡ ءَامَنَ بِٱللَّهِ وَٱلۡیَوۡمِ ٱلۡـَٔاخِرِ وَٱلۡمَلَـٰۤىِٕكَةِ وَٱلۡكِتَـٰبِ وَٱلنَّبِیِّـۧنَ وَءَاتَى ٱلۡمَالَ عَلَىٰ حُبِّهِۦ ذَوِی ٱلۡقُرۡبَىٰ وَٱلۡیَتَـٰمَىٰ وَٱلۡمَسَـٰكِینَ وَٱبۡنَ ٱلسَّبِیلِ وَٱلسَّاۤىِٕلِینَ وَفِی ٱلرِّقَابِ وَأَقَامَ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتَى ٱلزَّكَوٰةَ وَٱلۡمُوفُونَ بِعَهۡدِهِمۡ إِذَا عَـٰهَدُوا۟ۖ وَٱلصَّـٰبِرِینَ فِی ٱلۡبَأۡسَاۤءِ وَٱلضَّرَّاۤءِ وَحِینَ ٱلۡبَأۡسِۗ أُو۟لَـٰۤىِٕكَ ٱلَّذِینَ صَدَقُوا۟ۖ وَأُو۟لَـٰۤىِٕكَ هُمُ ٱلۡمُتَّقُونَ } Mja inampasa kusimamisha sala na sio kuinama na kuinuka. Na kusimamisha sala ni kusali kwa kufata nguzo zote na masharti yote na sala ile ikaleta faida na miongoni mwa faida ni kukataza maovu na machafu. Huyo anaefanya hivi ndio ataipata pepo ya allah lkn kinyume na hivyo haikubaliki. Tujitahidini isiwe ulinganiaji wetu ni kukosoana kwa ugomvi na chuki wenyewe kwa wenyewe, bali tushikamane na yale mambo yanayotukutanisha na sio yanayotufarikisha na kutugombanisha. Kwani ibilishi ndie anaeotesha mizizi ya uadui baina yetu. Tunamuomba allah umoja wa waislamu na upendo na heshima baina yetu
unajua kuna watu wakimuona mtu anapendwa wao hawaridhiki kabisa sio kwasababu ni wachamungu!! na unaweza kumuona mtu anamjadili mzazi wa mtu eti atakwenda motoni!!!! ukifikia hali hii basi ujue wewe ni mbumbu tu hata kama umesoma!!!!!!!ukiwa na shaka jiulize kuna ushahidi wowote kwenye quran kua allah kamtaja kua ksmkasirikia if no mind your business
Kweli nimeamini munaojidai maslafi humujui maana ya balagha hakumaanisha hivyo amemaanisha watu wawe nahimma yakuitetea dini ya Allah na mambo mengine sio kuswali tu kuna maskini kuna miskiti kujengwa madaris lakini nyinyi mwataka kuradd tu.
Kukua na himma ni kuidharau swala na wakati Allah anawasifu wanao swali katika suratul muuminun ambao wanaswali kwa khushui wanao swali si angesema tu wanao puuza swala tungemwelewa
@@ExcitedCricketHelmet-wr4sq hajadharau wala hawezi kudharau lakini hamujui fani za lugha ndio matatizo yenu hamuna fani za balagha swarfa maani kwa kiarabu hata kwa kiswahili pia ajabu sana.
Sasa huyo sule kama alikuwa hana maana hyo alikuwa na sababu gani ya kuficha kwann asibainishe kwamba maana yangu ni hii nyie ndyo mje mseme hakumaanisha hiv acheni ujinga maghurafi nyie kaeni chini msome
Kama usalafy ni namna hii basi alhamdulillah kheri kubwa, ni aya na hadithi hapo!!! Mdomo kunuka ni wewe kaka unaetusi mitandaoni... ungefanya adabu kama ni mkweli!!!
Alhamdulilah Dawa Salafia ina rekebisha Kwa Sufahaa kama hawa wakina sule na mithili yake
Hatari sana,,,kaanzia kuwaponda wanaoswali, Leo kahamia kwenye majini! Mungu hamfichi mnafiki,,,,
Allahuakbar
Sheikh wlh nmpenda liajllilah
Sule nimemuelewa vizuri
Kwahiyo sasa utatafuta utajiri wa majini?
Huyu doctor sule ameeleweka vizuri tyuu lkn hawa wanachimbua makaburi hii si sawa kabisa nasaha zangu naomba muache kufuatilia mitelezo ya watu na hata mkikosoa kosoeni kwa adabu sana sijui hata mnakwama wapi pengine ungezunguza mbele yangu tukiwa peke yetu ningekutia mkofi mmoja tu na mbele ya mungu ningemuambia unaamsha fitna.afua'an nimetumia maneno makali kidogo.
Umtie kofi Abdallah Humeid.. Nadhani humjui.. Hiyo ni mwalimu wa karate you minion.. Atakutoa nafsi.
@@abubakarshaban6118 nakubali na mie wanijua lkn mm trained solders comander wa kikosi cha anga nnchini.afua'an nimenena uongo kidogo sikua na jinsi🤣🤣🤣
@@AllyRamadhansheshuikasome dini acha ushabiki
@@AliIbrahim-yk6qe AHSANTEH kwa ushauri mzuri lkn na wewe usome au ushaa maliza
Hajamaanisha hivyo.msitupotoshe tumemuelewa vizuri doctor sule
Huwezi kubeza kuswali kisha ukanyamaziwa, hayo ya kuelewa umeelewa ww ..mtu anakejeli kisha mseme kuelewa!! Kwani hamsomi hadith inayothibitisha mtu aweza kuingia peponi kwa kuswali tu ama haiwaingii akilini?? AF yeye mwenyewe anayeongea swalah zake pia viraka ma'adam si mtume lazima ziwe na mapungufu chungu nzima.
Kuweni makini masalafi kabiiisaah
watu wengine wamekaa kama Mayahudi dhu!
dr sule hakusema kuwa hakuna pepo yakuswali......aliwahi kusema hivyo kutokana na kisa maalumu kilichotokea zanzibar....,,,........... tatizo la jamii hupokea maneno bila kufahamu mantiki.........
Anhahahah
As-salamu Alaykum kabla hajapigwa radi ilikuwa vyema au busara kumuuliza Dkt Sule dhamira yake nn na kama kakosea Allah (SWT) amsamehe.
Huogopi mzeee mtu kuchezea maneno ya rahman....au unafikir hii ni simba na yanya????
@@SameerMdumbemalongo kwani kuna kosa gani nliloliandika ucjifanye unaimani kuliko wenzio, Allah(SWT) anaangalia dhamira mtu ndani ya nafsi yake unaweza ukakosea namna ya kufikisha ujumbe lakini dhamira yako ikawa njema.Halafu katika upuuzi wa simba na yanga mm hunikuti huko.Na kama utasoma nlchokiandika cjaangukia upande wowote,tatizo ss waislamu kipindi hichi tumekua tukipigana vita wenyewe kwa wenyewe kila kundi linajiona bora kuliko mwenziwe.
Anaogea na kitumia kitabu cha haki...
Hawa Mawahabi wamezidi tena wao hawana mawaidha isipokuwa kukosowa watu na kuchafuwa watu tu kwani hakuna Aya inayosema: " Ole wao wenye kusali?" Au hamzingatii Aya mnazingatia madhehebu tu
Yuko sahihi bana
Unashindana na Quran kaka??? Quran inasema unaweza wewe watetea mtu dhidi ya Allah!!!! Wewe akili zako timamu kaka???? Unapinga kauli ya Allah kwa ajili ya mtu!!!!
Mimi Sio msomi lakini hapo nadhani ni lugha lakini nadhani alicholenga ni kwamba mtu asiridhike kwa kuswali tu lazima ajiongeze afanye mambo zaidi ya kuswali kwenye kung'oka meno huo ni mfano katolea kwamba ingawa Mtume Muhammad swallahu alayh wassalaama alikuwa akiswali lakini bado aliipigania dini ikampelekea akavunjika jino lakini hakumaanisha ili mtu aende peponi ni lazima avunjike meno dah. Watu tuelewe kwamba kuswali ni muhimu Sana lakini baada ya kuswali lazima mtu afanye mambo ya ziada kama kujenga misikiti, kujenga madrasa, kuwasaidia maskini, kuishi vizuri na majirani, kuwafanyia ihsani wazazi wawili, kutoa swadaka, kutoa zaka n.k
Hawawezi kukuelewa ila wenye ufahamu
Uende ukaisiklize kwanza hiyo clip ya sulley kisha ndo uje uchangie hapa
@@yuzzoawale2026 mm mwenyewe naungana na sulle huwezi enda peponi Kwa kuswali swali tofautisha kati ya kuswali na kuswali swali ni vitu viweli tofauti huwezi elewa ila Kwa wenye akili
Swali langu sheikh sio kwa ubaya wala kejeli tumeambiwa swala ni nguzo ya dini Sasa huoni ni kuwavunja nguvu wale wanao swali na Sala ni lazma
Ndio shee wangh hawa wengn washenz2 na imebainika kumbe uyu sule ni mchawi2
Haha,,,,, Mungu anamfichua unafiki wake, kaanzia na kuwaponda wanaoswali, Leo kahamia kwenye majini
Anakusudia utoe hela
We mpumbavu sana sana sasa hapo una radi nini kipi ambacho dr sule ameongea hapo hakieleweki
Akukuviringa wewe ambaye akili yako kama yake
Nyie mumechukua maneno hayo mawili tu hebu iskilize nyuma kidogo halafu nenda nayo mbele kidogo halafu nyinyi ni watoto wadogo sana kumbe mumezaliwa juzi ndio mumeipata video ya Dk Sule
Na Pia amekusudia tunaifanya swala km kifichio cha madhambi yuko sawa doctor Sule.
Na Allah hayuko sawa aliposema anaeswali ataingia firdaus??? Mbona mnaonyesha sababu za kudorora umma nyinyi??!!! Wallah mnaskitisha kaka!!! Wewe unaambiwa Allah amesema kisha unabishana na Allah!!!! Ama hujui hivyo kaka??!!!!! Allah amesema anaeswali ataingia peponi wewe una rai yako mchwara kaa nayo mwenyewe!!!!
Hebu msikilize vizuri uyo Dr Sule halafu iangalie suratul Muuminun ndo utamfaham,Sio kwa kuswali tu uipate pepo,je unafikia lengo la swala?
@Jannat tahmid. Nakuomba Akhy usipigiahane kelele na hawa watu. Hiii ndio kazi yao.. Allah aniongoze mimi na waislamu wote .....
Je haikuwa swala ni miongoni mwa sababu za mtu kuacha maasi?
Ni sababu lkn je watu wanaacha maasi nje ya swala?
simpendi kwaajli ya kumshirikisha Allah na utapeli ila hapa ndugu zangu salafi hamkumuelewa amemaanisha kuswali kuswali katumia lugha ambayo wale watu wanao swali awali alafu wachawi wazinifu n.k
Hujamuelewa, wewe. Mimi nashangaa hawa Masheikh wamechelewa kumjibu. Mimi nilimsikia nikasema huyu mwehu. Nilippmuona anauza Mafuta ya upako, ndiyo nikaachana naye miaka mingi zaidi ya 10.
Dah mtihan kweli huu usalafi wa ss ila siwashangai ufahamu nao n risk 😢
Yan Abu khaula hujui kiarabu basi hata kiswahili hujui? Kwanza hajasema km mtu akiswali haendi peponi! Pili hajasema km mpaka uende peponi kwanza ungoke meno kaka yangu! Mbona nyinyi wakristo mnaojiita waislam mna mashaka sana! Hem msikilizeni vizuri halaf ndio muweze kumkosoa jamani, ifike siku mukumbuke km ipo siku mtaulizwa huko kwa mola wetu
Punguza zarau kwa mtu usie mjua sw
Mashekh mandazi wana hasadi na sule😅
Wanahasadi na sheikh majini?
Inna lillahi wa inna ilaihi raajiun Hawa Abu Khaula na Abdalla Humeid ni watu ambao ufuhamu wao ni finyu sana yaani wazito sana kufahamu mambo. Pia wanatumia maneno ya ovyo sana. Yaani hivi munavyolingania ndio njia waliyopitia salafi swalih wema walotangulia walikuwa na maneno machafu kama nyinyi?
Jamani tunatakiwa tufahamu kuna kuswali swali na kusimamisha swala.
Kwani hata wanafiq wanaswali lakini hawasimamishi swala.
{ فَوَیۡلࣱ لِّلۡمُصَلِّینَ } { ٱلَّذِینَ هُمۡ عَن صَلَاتِهِمۡ سَاهُونَ }
Ole wao wanaosali na kuuza sala zao.
Na akasema allah
{ إِنَّ ٱلۡمُنَـٰفِقِینَ یُخَـٰدِعُونَ ٱللَّهَ وَهُوَ خَـٰدِعُهُمۡ وَإِذَا قَامُوۤا۟ إِلَى ٱلصَّلَوٰةِ قَامُوا۟ كُسَالَىٰ یُرَاۤءُونَ ٱلنَّاسَ وَلَا یَذۡكُرُونَ ٱللَّهَ إِلَّا قَلِیلࣰا }
Na wakisimama wanakuwa wavivu na kujionesha tuu.
Na akasema allah kwamba wema sio kusali tuu na ikawa hio swala hauitimizi inavyotakiwa, lakini miongoni mwa vitu vinavyokufikisha katika wena ni kusimamisha sala.
{ ۞ لَّیۡسَ ٱلۡبِرَّ أَن تُوَلُّوا۟ وُجُوهَكُمۡ قِبَلَ ٱلۡمَشۡرِقِ وَٱلۡمَغۡرِبِ وَلَـٰكِنَّ ٱلۡبِرَّ مَنۡ ءَامَنَ بِٱللَّهِ وَٱلۡیَوۡمِ ٱلۡـَٔاخِرِ وَٱلۡمَلَـٰۤىِٕكَةِ وَٱلۡكِتَـٰبِ وَٱلنَّبِیِّـۧنَ وَءَاتَى ٱلۡمَالَ عَلَىٰ حُبِّهِۦ ذَوِی ٱلۡقُرۡبَىٰ وَٱلۡیَتَـٰمَىٰ وَٱلۡمَسَـٰكِینَ وَٱبۡنَ ٱلسَّبِیلِ وَٱلسَّاۤىِٕلِینَ وَفِی ٱلرِّقَابِ وَأَقَامَ ٱلصَّلَوٰةَ وَءَاتَى ٱلزَّكَوٰةَ وَٱلۡمُوفُونَ بِعَهۡدِهِمۡ إِذَا عَـٰهَدُوا۟ۖ وَٱلصَّـٰبِرِینَ فِی ٱلۡبَأۡسَاۤءِ وَٱلضَّرَّاۤءِ وَحِینَ ٱلۡبَأۡسِۗ أُو۟لَـٰۤىِٕكَ ٱلَّذِینَ صَدَقُوا۟ۖ وَأُو۟لَـٰۤىِٕكَ هُمُ ٱلۡمُتَّقُونَ }
Mja inampasa kusimamisha sala na sio kuinama na kuinuka.
Na kusimamisha sala ni kusali kwa kufata nguzo zote na masharti yote na sala ile ikaleta faida na miongoni mwa faida ni kukataza maovu na machafu.
Huyo anaefanya hivi ndio ataipata pepo ya allah lkn kinyume na hivyo haikubaliki.
Tujitahidini isiwe ulinganiaji wetu ni kukosoana kwa ugomvi na chuki wenyewe kwa wenyewe, bali tushikamane na yale mambo yanayotukutanisha na sio yanayotufarikisha na kutugombanisha. Kwani ibilishi ndie anaeotesha mizizi ya uadui baina yetu.
Tunamuomba allah umoja wa waislamu na upendo na heshima baina yetu
Hawawezi kukuelewa ila wenye ufahamu
unajua kuna watu wakimuona mtu anapendwa wao hawaridhiki kabisa sio kwasababu ni wachamungu!! na unaweza kumuona mtu anamjadili mzazi wa mtu eti atakwenda motoni!!!! ukifikia hali hii basi ujue wewe ni mbumbu tu hata kama umesoma!!!!!!!ukiwa na shaka jiulize kuna ushahidi wowote kwenye quran kua allah kamtaja kua ksmkasirikia if no mind your business
Mtu ambae hana radhi za wazazi hata akiswali vipi haingii peponi
Shida skhe una wivu mpk gari nalo linakuuma la sule😅 acha fitna mna roho mbaya na hasadi
Nani ameacha kuswali mwongo mkubwa wewe
Kweli nimeamini munaojidai maslafi humujui maana ya balagha hakumaanisha hivyo amemaanisha watu wawe nahimma yakuitetea dini ya Allah na mambo mengine sio kuswali tu kuna maskini kuna miskiti kujengwa madaris lakini nyinyi mwataka kuradd tu.
Kukua na himma ni kuidharau swala na wakati Allah anawasifu wanao swali katika suratul muuminun ambao wanaswali kwa khushui wanao swali si angesema tu wanao puuza swala tungemwelewa
@@ExcitedCricketHelmet-wr4sq hajadharau wala hawezi kudharau lakini hamujui fani za lugha ndio matatizo yenu hamuna fani za balagha swarfa maani kwa kiarabu hata kwa kiswahili pia ajabu sana.
Mtaalam wa lugha sasa mwambie mtaalam mwenzio wa lugha sulley aje atusomeshe alikuwa anakusudia nini@@rushu1232
Sasa huyo sule kama alikuwa hana maana hyo alikuwa na sababu gani ya kuficha kwann asibainishe kwamba maana yangu ni hii nyie ndyo mje mseme hakumaanisha hiv acheni ujinga maghurafi nyie kaeni chini msome
Mbona maneno yapo wazi tu anaeleweka vizuri ingekuwa hvyo hata watu wema waliotangulia wangeridhika na kuswali peke yake
Wewe shehe ushafahamu alicho maanisha ila unaujingaatu wakutakaa usifiwe wewe husikikk
We shekhe una fitna sna uislam aupo hivyo una akili kbs
Kweli ndio nmejua nyie ndo masalafi uchwara hamna akili mdomo kunuka