Utakwenda kuulizwa pia huo UDj alisomea chuo gani cha kiislam ambacho aliupata au ulitembea na chuki zako na chuki za mashekh zako, Hukum haikuhusu wewe maana hata wewe hapo sio mkamilifu na ndio maana utahukumiwa au Shekh zako wanaamini na kukuaminisha kua huto hukumiwa? Chunga maneno yako unapo zungumza na unapotoa mawaidha toa kwa njia ambayo yule unae mpa mawaidha hamta gombana nae, Wewe Kazi yako ni kufikisha sio kuhukumu.
Hapa hakuna kosa bali tunazidi kuthibitisha ufinyu na uchache wa elimu kwa mawahabi yaani ndugu zetu hawa ukiongea jambo uongee rahisi mpk mtoto mdg aelewe lkn ukiongea kiufundi kdg tu ukazama ndani ili mtu akomaze akili ndugu zetu mawahabi tunawaacha njia panda hawaelewi na hawataki kusoma matokeo yao ndo kila jambo halifai dah msiba mkubwa kwa kwly tusomeni jmn
@@alfamody6286 Kua na akili jitambue usiaminishwe jihadi wakati wanao fanya hio jihad wanauwa ndugu zako waislam alafu Wewe unacheka unaona hio ni suna .Elimu mtu wangu ,Achana na mapokeo au elimu ya misimamo au itikadi za watu.
Bro yaani naamini mawahabi ufahamu wao ni mdogo anamaanisha kwnye Qur'an hizo mnazo tumia balagha bayat rasti nahawandi ajamy zote hizo hazikuletwa na mtume kwaio kma hamtaki bidaa msitumie lkn mnatumia kisha hizo hizo mtu akitumia kwenye shairi au kwenye kusoma mlango au qaswida au anaashid mnasema haramu so swali kwnn huku kwengine ziwe haramu na huku kwa Qur'an ziwe halali yafaa uelewe hajasema Qur'an ndo usisome au ndo kasema ni kma mziki bali hizo ala unazotumia yaani hizo sauti na hazijaletwa na mtume cjui umeelewa
Ukiskia masheikh wa kupotosha ummah ndio Hawa Sasa...ata hao walio kaa chini wanamsikiliza washapotoka ..... Allah atuongoze njia ya haki... Allah humma Ameen 🤲
saidi upo sawa na mim nafsi yangu nakupenda ila ushaur t si kila jambo lafaa kusemwa kwa watu unge tetea maulid t ingetosha bila kutaja mziki m mungu akubariki sana ust saidi tunakupenda kw ajili ya allaah
@@FatumaWaziri-v2w subuhana llah kweli mtu akipotea hawezi ongoka yani jitu linaharatisha muziki unasema tunakupenda kwa ajili ya Allah yani ni sawa na kusema endelea kutulingania moto wa jahamu sala laa duh! Ama kweli usufi ni upotevu na itikadi batwil Leo nimeamini
@@fatmasalim7132 ana mahaba na mtu kuliko hakki itokayo kwa Allah ndo wajichunguze watu itikadi yao nitaingia katika makundi 72 alitabiri mtume yataingia motoni isipokuwa kundi moja nalo fil janna.sasa unahararisha miziki utasje kuingia katk makundi 72 yenye kuangamia motoni mtu inatakiwa akiewa abari aichuje so anapokea tuuh shekh kasema saivi wameibuka watu wengi kila mtu adai ushekh.
Astaghafillah🥺🥺🥺 huku tunakoelekea ni kutimia kwa maandiko matukufu ndani ya Qur'an "hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfate mila zao". Huyu sheikh anaupoteza ummah wa kiislamu
Uzushi ni mbaya sana wampeleka mtu sehemu mbaya sana ukiuungia kutoka kwake ni kazi kubwa mno mpka Allah amrehemu mtu huyo ndio hali ya huyu DJ, ni bora angebaki hukohuko kwenye mziki sio jambo lake hilo kuliegemeza na Dini
@@Abuu-lr5bz Malizia hayo maneno ya Imam shafi usiyasome nusu nusu. Yaani umeyasoma ulipo pataka wewe panapo kuumbua umepaacha, Malizia hayo maneno ndio utoe hoja.
الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله، وصحبه، أما بعد: فإن التغني بالقرآن مأمور به شرعًا، فقد جاء في صحيح البخاري، وغيره أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: ليس منا من لم يتغنَّ بالقرآن. أي: يحسن به صوته،
Wewe abdallah ni chizi kabla hujaharamisha mziki kwani taarifu ya muziki ni nini?kuharibiwa maana ya mziki na kinadayamondi kwani mziki ni ni?ماهو الموسيقي؟wewe chizi lete taarifu
Muziki ni sanaa ya kupanga na kuunda sauti kwa namna inayovutia na kufurahisha. Muziki unahusisha vitu kama vile melodia, mdundo, harmonia, na wakati mwingine maneno (nyimbo). Ni njia ya kujieleza inayoweza kusikika, inayogusa hisia, na hutumika kwa burudani, ibada, au mawasiliano ya kihisia. Muziki unaweza kuwa na mitindo mbalimbali kama vile muziki wa jadi, muziki wa kisasa, pop, jazz, hip hop, na aina nyingine nyingi kulingana na tamaduni na ladha za watu.
@@nassor6333 Sasa watu kama wanaoabudu makaburi na linasimama jitu lina vilemba na kusema tunaomba Aya na hadithi inayokataza kuwaomba mayte atashindwa kuhararisha muziki
Nadhani huyu shetwani said anavuta bangi,maana hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza fananisha kusoma qur'an na kuimba nyimbo.huyu kachupa mipaka nyie mnaoishi kenya harakisheni kumuua huyo dj said inshaALLAH mtaikuta pepo ni yenye kuwasubiri
Wala sio mtume sw tu bal Allah amesema katika surate muzamilu aya 4 أوزدعليه و رتل القرآن ترتيل au uzidishe- na usome Qur'an kwa utaratibu na utungo.lkn ndivo bidaa nilazima iyo mwazo inavo anzia inaazia kidogo kidogo mwisho wasiku matokeyo yake hupeleka mtu pwabaya mno 😢😢😢😢 huyu Dj said amesha fika sehem husika shetani alivotaka kumpeleka sio mda mrefu masikini yitakuwa kama makanisa wataweka kabisa vifa za miziki 😢😢😢😢
Tumeambiwa tusome kwa utungo na taratibu, Je kuna Aya au hadith inatoa maelezo utumie sauti gani kuisoma hiyo qur an....,!!!? Unaweza ukatuambia mtume hiyo qur an kwa utungo alikuwa anaisoma vipi ili tuige kama yeye.....,!!!!? Sheikh said ametoa mfano Imam Sudeis tartiil yake ni sauti ya RAST je ndivyo mtume au Allah kaelekeza tuisome kwa sauti hiyo.....,!!!? Au nyinyi wenzetu elimu za ASW'WAATU HAMNA.....,!!!? Mnaweza mkatuambiwa ni nin maana ya mziki.....,!!!? Mnamhukumu vipi mtu ambaye ameweka taarabu au bongo fleva ndani na mkewe hali ya kuwa wapo uchi na wanacheza mziki.....,!!!? Muwe na ilimu ya kuzungumzia hayo mambo kwanza kabla ya kuyatolea maelezo. Mnaposoma kwa masheikh zenu muwaambie wawape mafhumu ya hizo hadith na Aya sio wawasomee tu fafsiri, elimu haiko hivyo.
Ufahamu siku zote ni rizqi kma mnaelewa hajakwambia Qur'an ni mziki bali amekwambia Qur'an mnaposoma mnatumia naghma akina bayat na zengine lkn naghma hizo hizo ukitumia kusomea qaswida mnasema haramu kwnn iwe huku haramu na kule halali? Qur'an ubora wake uko pale pale ila anazungumzia hizo maqaamat maana huwezi soma hivi hivi lazma utazitumia kwaio mbn kwenye Qur'an mnasema halali na mnakubali lkn kwenye qaswida zinakua haramu cjui mnaelewa ndo nmewaambia ufahamu ni rizqi ALLAH humpa amtakae na sio kila mtu
Dah! ALLAH awaongoze hawa watu. Yaani watu wa Bida'a watatafuta kila namna kutetea Bida'a zao, shirki zao na kila baya lao. Kwani alosema "IPAMBENI QUR'AN TUKUFU KWA SAUTI ZENU" ni nani? Kweli hawa ni WALINGANIZI KATIKA MILANGO YA JAHANNAM, MWENYE KUWATII WATAMUINGIZA HUMO." ALLAH atukinge nao.
Nenda zako we khurafi Allah ameharamisha muziki katika surati yunusi aya 54 na 56 kama sikosei nyi wapotovu kweli yani usufi ni itikadi batwili kadri siku zinavyoenda mashek zenu wanalingania batwil subuhana llah kwahiyo ninyi na Allah pamoja na mtume wake na Hawa mashekh zenu wanalingania watu moto yupi mkweli???
@@SaleheKhamis Kwanza masalafi wawajua au wazungumza tu kwa matamanio yako na ninaamin hata unachokisema hukijui na km unajua njoo useme masalafi ni kina nani
Huyu ni mtu kasoma wala hakuelewa vibaya ispokuwa nafsi yake imempambia hayo akapenda Sauti ya shetani(muziki)... Anajuwa ila anafamya makusudi,Allah amuongoze
Kama huyu shekh anaona shekh Said anakosea aombe mnaqasha tuone ukweli upo wapi kuliko kujibu akiwa mafichoni na sura yake haionekani, Ila sauti inasikika akiongea kwa rekodi voice, Omba hilo ili tumalize utata tuone kma itamshinda huyu shekh Said. Wallah ukimshinda nakuwa mfuasi wako na ukiogopa kufanya mnaqasha nitajua lengo lako ni ubishi na ushindani na kutafuta umaarufu na kujionyesha wewe ni hodari,Elimu huwa haijifichi na mwenye elimu anajulikana anapoongea na namna anavyo zungumza.
@@hajisimaikhatib9002 ufaham wenu unamatatizo sana, wapo wanazuon waliotelekeleza ktk hili kina Ibn Hazim lkn wamepewa udhuru kwasababu ni mujitahiduun na wamekosolewa, sasa Huyu Dj anaparamia mambo asiyoyajua kabisa ni afadhali angeenda kuimba taarabu hukoo kuliko kuyaingiza mambo haya kwenye dini
Shekh AbdaLLah humeid radhi za mwenyezimungu ziwe juu yako bora umeliona hilo baadhi ya waislamu wameunga mkono huyu dj baada ya kuhalalisha mziki nilisumbuka kuwaelekeza lkn ikiwa kama mashindano
Swahaba peke yake ndye anafaa kuambiwa radhi za Allah ziwe juu yake ama wengne tunawaombea Rahma za Allah ikiwa ameshafarik au tunawaombea Allah awahifadh ikiwa wapo hai Naam
@@maalimothman684 ni watu mlopotea hamjijui kama mpo katika potovu unahararisha kilichoharamishwa na Allah mtume mwenyewe aliharamisha asali hapo hapo ikaja Aya ewe nabiy usiharamishe kilicho hararishwa na mola wako Sasa mtume kakemewa sijui ww uso na julikana kwa lolote kwa Allah unapohararisha muziki ndo mashekhe wenu wanawalingania moto
@@maalimothman684 kuelimishwa kuhusu kuhararisha muziki subuhana llah kweli usufi ni upotevu wa wazi Ila watu wake hawajui wamepotea unasema unataka munakasha wa kutetea muziki Allah katika surat yunusi Aya 54 na 56 amekataa huwo muziki na kukemea na raana juuu zinamjia mpiga miziki we unataka munakasha hii ndo shida ya watu wa bidaah wamemtanguluza shekh kuliko Allah na mtume wake mtu wa bidaah yupo teyari kumtetea shekh wake kuliko kilichokatazwa na Allah na mtume wake ukiwa na ndugu msufi imekula hasara
Huyu hajielewi , hajui maana ya mziki , Mziki maanayake ni Ara na gani . Sauti pekee haiwezi kua Mziki , Bali Ara pekee bila hata ya sauti yaweza kua Mziki na ndio uhakika wake ulivyo , tujitahidi Sana kwenda kinyume na matakwa ya NAFSI zetu
Huyu dj hajitambui mbona ww unalingania usheitwani huo acha ujinga ww hata kama watu hawajasoma hata picha hawa oni ???kwani Aya ya Allah hamuioni ikiharamisha miziki?????achakudanganya watu
Asante shekh 😂😂😂 nmependa hii chalenji yakueka ndombolo msikitini.
hakika huyu kijana allah amuongoe kateleza sana.
Hapo ndugu yetu umekosea Tunakuombea Allah akuongze katika njia iliyonyooka
Dah!!! Huyu jamaa naona cjui anaelekea wapi yan kuna watu hii dini ndio moto wao Allah atuokoe na adhabu zake kw rehma zake😢
Kweli ndugu yangu
Fayasubhanallah wallah inasikitisha na inahuzunisha sana 😢😢
Allah atuongoze njia iliyosawa.
Ukifaham kuwa maisha ya muislam kila hatua ni ibada basi hautapata taabu kubaini uharam wa hili jambo. cjui huu mziki unachukua sehemu gani ya ujira
Hili chizi saidi limenyewa na kunguru
اللهم صل وسلم على محمد وعلى آله وصحبه أجمعين ❤
Amin
Inalillillah wa Ina ilayhi rajiuna Allah akuongeze Sababu utapoteza watu wengi we Dj
Utakwenda kuulizwa pia huo UDj alisomea chuo gani cha kiislam ambacho aliupata au ulitembea na chuki zako na chuki za mashekh zako, Hukum haikuhusu wewe maana hata wewe hapo sio mkamilifu na ndio maana utahukumiwa au Shekh zako wanaamini na kukuaminisha kua huto hukumiwa? Chunga maneno yako unapo zungumza na unapotoa mawaidha toa kwa njia ambayo yule unae mpa mawaidha hamta gombana nae, Wewe Kazi yako ni kufikisha sio kuhukumu.
Hapa hakuna kosa bali tunazidi kuthibitisha ufinyu na uchache wa elimu kwa mawahabi yaani ndugu zetu hawa ukiongea jambo uongee rahisi mpk mtoto mdg aelewe lkn ukiongea kiufundi kdg tu ukazama ndani ili mtu akomaze akili ndugu zetu mawahabi tunawaacha njia panda hawaelewi na hawataki kusoma matokeo yao ndo kila jambo halifai dah msiba mkubwa kwa kwly tusomeni jmn
@@LASSUH4947 kwa hiyo mziki ni halali?
@@abdullahmasakata170 unatetea kharam wakati ipo wazi apo!
@@alfamody6286 Kua na akili jitambue usiaminishwe jihadi wakati wanao fanya hio jihad wanauwa ndugu zako waislam alafu Wewe unacheka unaona hio ni suna .Elimu mtu wangu ,Achana na mapokeo au elimu ya misimamo au itikadi za watu.
Kisomo ni tofaut na mziki... Huwez sema anasoma Quran Kwa kisomo ni kama aina mziki, hapana sheikh kakosea saaana.
Bro yaani naamini mawahabi ufahamu wao ni mdogo anamaanisha kwnye Qur'an hizo mnazo tumia balagha bayat rasti nahawandi ajamy zote hizo hazikuletwa na mtume kwaio kma hamtaki bidaa msitumie lkn mnatumia kisha hizo hizo mtu akitumia kwenye shairi au kwenye kusoma mlango au qaswida au anaashid mnasema haramu so swali kwnn huku kwengine ziwe haramu na huku kwa Qur'an ziwe halali yafaa uelewe hajasema Qur'an ndo usisome au ndo kasema ni kma mziki bali hizo ala unazotumia yaani hizo sauti na hazijaletwa na mtume cjui umeelewa
Dunia atatuangaikisha yaan ma shekh dj
Huyu ni DJ kweli.Subiri collabo na diamond uwe maarufu sababu walazimisha umaarufu kwa dini na haumoooooo.
Akimaliza kolabo ya diamond afanye kolabo na zuchu
Kumbe mnawafuatilia hao waimbaji ba nyie!
Mmmhh Allah amuongoze inshaAllah
Tuchungeni ndimi zetu waislamu matusi ni madhambi na Mtume hakuwa na sifa hizo
Kujiona unaujua sanaaa Kweli kunakupeleka kwenye ujinga hakika huyu ni mjinga na wala hajijui km mjinga...unaihalisha allioharamisha mola wala dah innalilah waina illaikh rajiuni
Inaitwa Jahal murakkb
Kwly maneno yko bro unaezajiona unajua kumbe ukawa ndo mjinga wa mwsho sasa hapo amehalalisha kipi ambacho Qur'an imekataza hem twambie na cc tuone
Ukiskia masheikh wa kupotosha ummah ndio Hawa Sasa...ata hao walio kaa chini wanamsikiliza washapotoka ..... Allah atuongoze njia ya haki... Allah humma Ameen 🤲
saidi upo sawa na mim nafsi yangu nakupenda ila ushaur t si kila jambo lafaa kusemwa kwa watu unge tetea maulid t ingetosha bila kutaja mziki m mungu akubariki sana ust saidi tunakupenda kw ajili ya allaah
@@FatumaWaziri-v2w subuhana llah kweli mtu akipotea hawezi ongoka yani jitu linaharatisha muziki unasema tunakupenda kwa ajili ya Allah yani ni sawa na kusema endelea kutulingania moto wa jahamu sala laa duh! Ama kweli usufi ni upotevu na itikadi batwil Leo nimeamini
Huyu anaonekana kampenda tu huyo Saidi kwa hiyo hata kama kaona anamakosa lakini kaamua kumkosoa kwa kumsifu! Nonsense!
@@fatmasalim7132 ana mahaba na mtu kuliko hakki itokayo kwa Allah ndo wajichunguze watu itikadi yao nitaingia katika makundi 72 alitabiri mtume yataingia motoni isipokuwa kundi moja nalo fil janna.sasa unahararisha miziki utasje kuingia katk makundi 72 yenye kuangamia motoni mtu inatakiwa akiewa abari aichuje so anapokea tuuh shekh kasema saivi wameibuka watu wengi kila mtu adai ushekh.
Allah akbr Allah akbr Allah akbr
Astaghafillah🥺🥺🥺 huku tunakoelekea ni kutimia kwa maandiko matukufu ndani ya Qur'an "hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara mpaka mfate mila zao". Huyu sheikh anaupoteza ummah wa kiislamu
Muambie bas diamond akuunge wasafi kule umependexwa
Wajua mm nashangaa sna watu wengine ety ni madaaia wanasimama mbele y watu kutoa mawaidha watu kama hawa kweli akili timamu ni kitu nzuri sna
Tatizo uwelewa wenu mahabi ni mdogo mnoo
wewe umeelewaje
Huyu Kijana kumbe Mashakka Sana. Anapiga mazumari
Uzushi ni mbaya sana wampeleka mtu sehemu mbaya sana ukiuungia kutoka kwake ni kazi kubwa mno mpka Allah amrehemu mtu huyo ndio hali ya huyu DJ, ni bora angebaki hukohuko kwenye mziki sio jambo lake hilo kuliegemeza na Dini
Thena sanaa
Kweli kbsaa
😢 wah
SUBHANALLAH ALLAH
kwenye kazi Kuna kazi kweli hapa sijui si Bure uchizi unamjia huyu dj
Ndivyo alivyo sema imamu shaafy rahimahullah kwamba ukiingia katika usufi asubuhi haifiki mchana isipokua ushakua chizi huyu amekaa mda gani katika usufy itakua ana uchuzi uliopitiliza
@@Abuu-lr5bz
Malizia hayo maneno ya Imam shafi usiyasome nusu nusu.
Yaani umeyasoma ulipo pataka wewe panapo kuumbua umepaacha,
Malizia hayo maneno ndio utoe hoja.
@@suleymanmohd3418malizia wewe tuyajue
Uyu akapige muziki tu ajuulikane kuliko kuuchafua Quran na uislam Allah atukinge na Shari za maghurafi
Wewe ndio shari kubwa hapa ulimwenguni. 😂😂
HUYU SAIDI KAROGWA KWELI YAAN MZIKI WAFANANISHA NAMZIKI
Lakini mganga alio kuroga wewe ni mkali zaidi soma ulicho andika
Masheikh wahaq waksema mnasema wana hasad kwalipi wanalo waimbaji kama awa
Sio wasema kwa media niwamfuate hadharani wajadiliane Naye
Na shkh wa haqi? Mwny ubakika 100% na anachokifnya kuwa ndivyo hvyo hivyo ilivyokuwa..
Inna lillahi wainna ilayhi raaj'uun
subhana Allah hapa amefeli chehe said
Yote haya kwa sababu yakutaka twari
Ww said muogope allah yaani unahalalisha muziki kwa kufuata ya mataamanio ya nafasi yako
@@allyjuma9669 Sasa watu kama wanaoabudu makaburi na wanaonba Aya na hadithi inayo kataza kuwaomba mayte atashindwa kuhararisha muziki
Huyu si mumuite mjadala wazi au hamuoni amezidi😂😂😂 Muiteni mjadala wazi basi mumueleweshe😂😂😂😂😂😂
Dj saidi anafitna wallahi,,Allah atuhifadhi kutokana na fitna zake subhanaAllah,,,fatan
Ebu tuambie DJ said wataka Qur'an hisomweje , mn naona ndipo ht wamshinda RASULLULLAIH
Allah atuongoee inxhallah
الحمد لله، والصلاة والسلام على رسول الله، وعلى آله، وصحبه، أما بعد: فإن التغني بالقرآن مأمور به شرعًا، فقد جاء في صحيح البخاري، وغيره أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: ليس منا من لم يتغنَّ بالقرآن. أي: يحسن به صوته،
Je Qur'an inaimbwa au inasomwa?
Ufafanuzi wa neno Hilo maana yake ni kufanya uzuri katika usomaji wa Qur'an@@jumakapilima7295
Kisha akitwa dj mwakasirika
❤❤❤
Wacha kujifichaa Sura zako ukaonesha za wenzako,jitokezee nyuma ya pazia kama mwanamume
Kunawatu wanamtetea huyu Dj
Tafuten elimu achenni kukufurisha wenzenu
Eti mziki sio nini?
Haya,baada ya kuskiza,kuwa Hakimu muadilifu na uache kufuata hawaa ya nafsi!Baraka Allahu fikum
Kwenye comet kuna vichaa wengi sana hiv watu hawajui uharamu wa muziki kweli?
Naona saiv kunawatu wanampenda mtume zaid kuliko maswahaba yaani mpaka wanapiga mziki kwa ajili ya mtume saw subhanallah allah atuhifadhi
Yani mtihani sijui wamesoma wapi hawa wana hamasisha watu vibaya
Wewe abdallah ni chizi kabla hujaharamisha mziki kwani taarifu ya muziki ni nini?kuharibiwa maana ya mziki na kinadayamondi kwani mziki ni ni?ماهو الموسيقي؟wewe chizi lete taarifu
SHEKHE MCHONGO WAJUA MPAKA DOMBOLOO😂😂
Subhanaallah 😢😢
She mche Allah ndugu yg acha mziki
Kabisa kazinguwa hyu mwamba
Muziki ni sanaa ya kupanga na kuunda sauti kwa namna inayovutia na kufurahisha. Muziki unahusisha vitu kama vile melodia, mdundo, harmonia, na wakati mwingine maneno (nyimbo). Ni njia ya kujieleza inayoweza kusikika, inayogusa hisia, na hutumika kwa burudani, ibada, au mawasiliano ya kihisia. Muziki unaweza kuwa na mitindo mbalimbali kama vile muziki wa jadi, muziki wa kisasa, pop, jazz, hip hop, na aina nyingine nyingi kulingana na tamaduni na ladha za watu.
Wewe jahil kweli kweli Sasa ndo upuuzi gani
huna akili @itsmelatz
Unaongeaa sahihi ndugu yangu
Subhan allah
إنا لله وإنا إلیه راجعون
Wallhy Bila Ilm mtapotea vbya sanaa. Uzushi ni motoni direct
Zuchu , Diamond, Ally kiba, Khadija kopa, Eheee wamepata mtetezi wao ! Eti huyu ni shekhe tegemezi wa kisufi mtetezi wa Mawlid.
@@nassor6333 Sasa watu kama wanaoabudu makaburi na linasimama jitu lina vilemba na kusema tunaomba Aya na hadithi inayokataza kuwaomba mayte atashindwa kuhararisha muziki
@@nassor6333 mwenye kumskiza huyu DJ na kubali na kumtetea ni wazi kuwa hana elimu ya dini au n ta'asub anayo
Huu mtihani kabisa
Elimu aliyokupa Allah ni Amana
Wanaohuzunisha ni hawa wanaohutubiwa ujinga na huyu DJ mpotoshaji mropokaji halafu wakacheka. Atakupelekeni motoni huyu Juhhaat. Shauri lenu
Sahihi kabisa!😢
Nadhani huyu shetwani said anavuta bangi,maana hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza fananisha kusoma qur'an na kuimba nyimbo.huyu kachupa mipaka nyie mnaoishi kenya harakisheni kumuua huyo dj said inshaALLAH mtaikuta pepo ni yenye kuwasubiri
Awake disco msikitini kwake
Wapotosha waislamu kaka
Shekh said yuko sawa mashallah allah amzidishie ilmu❤
muogope mungu wako wewe,huyu kashakufuru asikuingize na wewe kwenye ukafiri
Na elimu yenyewe ndio hio?
Hakika maneno mazur hayana shaka kwa mwenye elimu na ufahamu
@@Allybinamourkakufuru vp hem twambie
@@hamadysalum7242kma yako au😂😂😂
yaani. unasema Qur'an ni miziki. Kwani mtume si kasema tusome Qur'an kwa sauti nzuri yaani ww shetani amekutawala
Wala sio mtume sw tu bal Allah amesema katika surate muzamilu aya 4 أوزدعليه و رتل القرآن ترتيل au uzidishe- na usome Qur'an kwa utaratibu na utungo.lkn ndivo bidaa nilazima iyo mwazo inavo anzia inaazia kidogo kidogo mwisho wasiku matokeyo yake hupeleka mtu pwabaya mno 😢😢😢😢 huyu Dj said amesha fika sehem husika shetani alivotaka kumpeleka sio mda mrefu masikini yitakuwa kama makanisa wataweka kabisa vifa za miziki 😢😢😢😢
@@abdoumadiousseni4835😂😂😂😂😂
Wewe unajua maana ya hiyo aya
Tumeambiwa tusome kwa utungo na taratibu,
Je kuna Aya au hadith inatoa maelezo utumie sauti gani kuisoma hiyo qur an....,!!!?
Unaweza ukatuambia mtume hiyo qur an kwa utungo alikuwa anaisoma vipi ili tuige kama yeye.....,!!!!?
Sheikh said ametoa mfano Imam Sudeis tartiil yake ni sauti ya RAST je ndivyo mtume au Allah kaelekeza tuisome kwa sauti hiyo.....,!!!?
Au nyinyi wenzetu elimu za ASW'WAATU HAMNA.....,!!!?
Mnaweza mkatuambiwa ni nin maana ya mziki.....,!!!?
Mnamhukumu vipi mtu ambaye ameweka taarabu au bongo fleva ndani na mkewe hali ya kuwa wapo uchi na wanacheza mziki.....,!!!?
Muwe na ilimu ya kuzungumzia hayo mambo kwanza kabla ya kuyatolea maelezo.
Mnaposoma kwa masheikh zenu muwaambie wawape mafhumu ya hizo hadith na Aya sio wawasomee tu fafsiri, elimu haiko hivyo.
Ufahamu siku zote ni rizqi kma mnaelewa hajakwambia Qur'an ni mziki bali amekwambia Qur'an mnaposoma mnatumia naghma akina bayat na zengine lkn naghma hizo hizo ukitumia kusomea qaswida mnasema haramu kwnn iwe huku haramu na kule halali? Qur'an ubora wake uko pale pale ila anazungumzia hizo maqaamat maana huwezi soma hivi hivi lazma utazitumia kwaio mbn kwenye Qur'an mnasema halali na mnakubali lkn kwenye qaswida zinakua haramu cjui mnaelewa ndo nmewaambia ufahamu ni rizqi ALLAH humpa amtakae na sio kila mtu
Allah wakati anamwambia Mtume hakika leo nimekukamilishieni Dini yenu hapo Maulidi ilikuwepo
Mbona sauti za mziki zinatumiwa kusoma kuran ,niwekeni sawa
Duh!! Ndugu yng Said, sasa unachupa mipaka. Rudi kwa mola wako
Basi huyu asiwe nduguyako sometime naona huyu kijana kama amepungukiwa na akili kbs
Anza wewe
Dah! ALLAH awaongoze hawa watu.
Yaani watu wa Bida'a watatafuta kila namna kutetea Bida'a zao, shirki zao na kila baya lao.
Kwani alosema "IPAMBENI QUR'AN TUKUFU KWA SAUTI ZENU" ni nani?
Kweli hawa ni WALINGANIZI KATIKA MILANGO YA JAHANNAM,
MWENYE KUWATII WATAMUINGIZA HUMO."
ALLAH atukinge nao.
Ufahamu wa masalafi nimdogo sana
Nenda zako we khurafi Allah ameharamisha muziki katika surati yunusi aya 54 na 56 kama sikosei nyi wapotovu kweli yani usufi ni itikadi batwili kadri siku zinavyoenda mashek zenu wanalingania batwil subuhana llah kwahiyo ninyi na Allah pamoja na mtume wake na Hawa mashekh zenu wanalingania watu moto yupi mkweli???
@@SaleheKhamis Kwanza masalafi wawajua au wazungumza tu kwa matamanio yako na ninaamin hata unachokisema hukijui na km unajua njoo useme masalafi ni kina nani
Wenu masufi ndio mkubwa syo? Ndo mtetetete huyu DJ anayehalalisha alicho haramisha Allah na mtume wake? Au nyinyi dini yenu ni ipi
Iv we huo ujing anaosem ndug yk yy ndoanaufahm mpan
Yyt anaitw salaf allah awabaarik ❤❤❤❤
Allah atuongoee
Huyu DJ HAMUONEI HATA AIBU ALLAH......NA DINI YAKE HII SAFI YA KIISLAM
Hili ni zigo zito kweli kweli.
Kweli huyu khurafi ni DJ.
Mtume swallallahu alaihi wa sallam alitymia sauti nzuri na sisi twatumia sauti nzuri Wala hatusemi mtume ametumia Hayo majina ulio taja
Alaaaàaah kumbe waangalia picha
Huyu chizi anautafuta moto wa ALLAH
Huyu ni mtu kasoma wala hakuelewa vibaya ispokuwa nafsi yake imempambia hayo akapenda Sauti ya shetani(muziki)...
Anajuwa ila anafamya makusudi,Allah amuongoze
Eti kuna mijipumbavu yamsapoti dj
@@farajichilumba5114 eti bana ipo tu imeweka majisura apo... subhana Allah 🤭🤭 Allah humma Ameen
Huyu d j amche Allah jamani hata mziki ni Halali ? eeeeee kweli dunia hiooo inaishaaa
Nilijua huyu ni mpuuzi
Yani Hawa Masalafi wao washaajitia peponi tayari
@@QassmuManaaph ebu taja mmoja tu na mji wake au nchi yake aliyesema kwa kinywa chake ni wa peponi
Au syo ni ukweli hamtaki kubali .....na hyo ndyo sifa za watu kama Abuu Jahal akina Firauni na mfano wao
Kusema kua mziki ndio kujitia peponi , acha urongo , na ujinga
Kusema mziki ni haramu , ndio kujitia peponi ? Mbona husemi ukweli
@@KhamisiMulusi Tushaafananishwa na Akina Abuu Jahli tena na kina Firaun duuh.
Mna kazi ninyi
Yaani miaka miasita uisilam unajuwa mziki haramu we unae halalisha elimu hiyo umetoa wapi we dj
Sstaffullah bro watoa kusmama kwa kibla matusi ya mfano wa kende ww umekoaea omba msamaha
Kama huyu shekh anaona shekh Said anakosea aombe mnaqasha tuone ukweli upo wapi kuliko kujibu akiwa mafichoni na sura yake haionekani, Ila sauti inasikika akiongea kwa rekodi voice, Omba hilo ili tumalize utata tuone kma itamshinda huyu shekh Said. Wallah ukimshinda nakuwa mfuasi wako na ukiogopa kufanya mnaqasha nitajua lengo lako ni ubishi na ushindani na kutafuta umaarufu na kujionyesha wewe ni hodari,Elimu huwa haijifichi na mwenye elimu anajulikana anapoongea na namna anavyo zungumza.
Asanta sana bingwa
Hana mda huo na mnakasha na huyo dj, ww hoja umesikia amebainisha vzuri sasa akili kichwani mwako,
Si mpka mayahudi wawe na ilmu huezi muelewa kma ww ni shabika wa dhehebu
She saidi yupo sahihi knisa shida ufahamu wenu mdogo tu na kutafsiri mambo juu
@@hajisimaikhatib9002 ufaham wenu unamatatizo sana, wapo wanazuon waliotelekeleza ktk hili kina Ibn Hazim lkn wamepewa udhuru kwasababu ni mujitahiduun na wamekosolewa, sasa Huyu Dj anaparamia mambo asiyoyajua kabisa ni afadhali angeenda kuimba taarabu hukoo kuliko kuyaingiza mambo haya kwenye dini
Sio yeye
Ni wanawavyuoni ndio wasemao
We pia ni mgonjwa mwengine
@@jamalishoo3802ukiwa sio mfatiliaji maisha utakuwa mjinga
Haya hao wana wa chuoni waliosema mm nisaidie jina la kitabu na namba ya kurasa tu
huyu mpotoshaji tuu
Mnakurupuka ktk kufahamu uyo kaeleza mambo ya sauti ambazo zinatumika kuimba nyimbo za kumsifia mtume
Shekh AbdaLLah humeid radhi za mwenyezimungu ziwe juu yako bora umeliona hilo baadhi ya waislamu wameunga mkono huyu dj baada ya kuhalalisha mziki nilisumbuka kuwaelekeza lkn ikiwa kama mashindano
Swahaba peke yake ndye anafaa kuambiwa radhi za Allah ziwe juu yake ama wengne tunawaombea Rahma za Allah ikiwa ameshafarik au tunawaombea Allah awahifadh ikiwa wapo hai Naam
WACHA KUSEMA WENZAKO NYUMA YA PAZIA.MBONA UNAOGOPA MUNAQASHA NA USTADH SAIDI
Hata mie naupenda lakini usogongana na uwislamu
Unaupenda mziki?????????!!!
Innalilah wainnailah rajiun
Mmh huyu nilikuwa namkubali ila.saiv naona hakuna kitu hapa allah akuongoze
Sheikh humeid ni SIMBA wa makhurafi
Hhhhhhhhhhhh
@@KhamisiMulusini Simba wa sunnah
Hahaha maashaallah tabaaraka
Huyu m😅pumbavu kweli, kama. Hizo sauti za quran ni miziki namuuliza mtume s.a.w, kasoma na kusomesha quran alikua akiimba Mziki gani,???
Usitumie njia ya mipasho kama mafulani kama una elmu mpaka mdahalo uilimishwe
@@maalimothman684 ni watu mlopotea hamjijui kama mpo katika potovu unahararisha kilichoharamishwa na Allah mtume mwenyewe aliharamisha asali hapo hapo ikaja Aya ewe nabiy usiharamishe kilicho hararishwa na mola wako Sasa mtume kakemewa sijui ww uso na julikana kwa lolote kwa Allah unapohararisha muziki ndo mashekhe wenu wanawalingania moto
@@maalimothman684 kuelimishwa kuhusu kuhararisha muziki subuhana llah kweli usufi ni upotevu wa wazi Ila watu wake hawajui wamepotea unasema unataka munakasha wa kutetea muziki Allah katika surat yunusi Aya 54 na 56 amekataa huwo muziki na kukemea na raana juuu zinamjia mpiga miziki we unataka munakasha hii ndo shida ya watu wa bidaah wamemtanguluza shekh kuliko Allah na mtume wake mtu wa bidaah yupo teyari kumtetea shekh wake kuliko kilichokatazwa na Allah na mtume wake ukiwa na ndugu msufi imekula hasara
Watu wa bidaà ni matatizo sana wallaah
Pumbavu peleka huko huko kenya usituletee zanzibar
Kwani Alhaakumu takaathur sio Qur'an? Na nani aliweka eti Taraweh isomwe Qur'an mzima? Acheni ushoga bana
Bado mtawaona mpaka masheikh wakshilikina
Huyu kachanganyikiwa
Huyu hajielewi , hajui maana ya mziki , Mziki maanayake ni Ara na gani . Sauti pekee haiwezi kua Mziki , Bali Ara pekee bila hata ya sauti yaweza kua Mziki na ndio uhakika wake ulivyo , tujitahidi Sana kwenda kinyume na matakwa ya NAFSI zetu
Huyu dj hajitambui mbona ww unalingania usheitwani huo acha ujinga ww hata kama watu hawajasoma hata picha hawa oni ???kwani Aya ya Allah hamuioni ikiharamisha miziki?????achakudanganya watu
Akili mbili 😅
Qurafiii mmepotea na km hamtaki kufuata sunnah na quran mtafika pabaya