Anawaeleza watu kuhusu kutubu dhambi???maana uponyaj ni haki ya watoto wa Mungu,na n wale waliomwamin Yesu pekee,maajabu watu wanapenda habar za miujiza kuliko kujiandaa na safar ya mbinguni,tafuten kwanza ufalme wa Mungu mengine mtazidishiwa,ni pamoja na uponyaji!!!!
jamani mungu ni mwaminifu palipo bwana yote yawezekana kuhusu watu kurudi usitieshaka baba watakuja labda wanatafuta mimi naomba number tu kabisaa iliniongee na wazazi wa sister Eunice 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
Asante malaika wa Mungu. Twakuombea Roho Mtakatifu azidi kukuongoza na akupe Maisha Marefu uzidi kusaidia wengi duniani wana shida mbali mbali na nguvu ya Roho Mtakatifu ndo nguvu halisi
Mzee habari ya shukrani yawezeka wanamshuru Mungu kupitia makanisani kwao na nmiskitini kwao kwani kumsukuru Mungu siyo lazima warudi huko kwani Mungu yupo mahala popote. Kumbuka maandiko yanasema ukitoa sadaka kwa mkono mmoja Basi wa wa pili usijue.
Emugu uliehai mama was yunis zidi maono naamini utatenda muujiza naomba begi yauchawi kwenye famiria yetu ikiwezekana ichomwe moto iri wajuwe kuwa upon huluma silomba lusaka zambia
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko ni kupoteza uslaam wako
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk NA kupoteza dini yako ya uslaam
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko ni kupoteza dini yako ya uslaam
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko
Mungu mwaminifu kweli.Euni tuombee tuweze kufika kwako.shida Hulu na huku
Anawaeleza watu kuhusu kutubu dhambi???maana uponyaj ni haki ya watoto wa Mungu,na n wale waliomwamin Yesu pekee,maajabu watu wanapenda habar za miujiza kuliko kujiandaa na safar ya mbinguni,tafuten kwanza ufalme wa Mungu mengine mtazidishiwa,ni pamoja na uponyaji!!!!
In God we trust. Thank Gid
Na wao mungu kawapa kwa njia hiyo, mungu ananjia nyingi za kumwokoa mwanadamu wake
Mungu na amwihifadhi Yunisi ape maisha. marefu
MashaAllah, Mungu amehifadhi yeye na wazazi wake
Jamani Huyo mtoto akikutana na mtumishi wa kweli haki ya Mungu mapepo yanamdondosha nawambieni
Mungu amlinde na amsimamie sanaaaaa🙏
jamani mungu ni mwaminifu palipo bwana yote yawezekana kuhusu watu kurudi usitieshaka baba watakuja labda wanatafuta mimi naomba number tu kabisaa iliniongee na wazazi wa sister Eunice 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺
God bless that baby
God bless this baby girl 🙏🙏
Asante malaika wa Mungu. Twakuombea Roho Mtakatifu azidi kukuongoza na akupe Maisha Marefu uzidi kusaidia wengi duniani wana shida mbali mbali na nguvu ya Roho Mtakatifu ndo nguvu halisi
YUNIS AKONA WAFUWASI WENGI SANA APA GERMANY WANATAKA VIDIO VIDIO VIDIO
Bwana Jesu asifiwe na ashidi ku bless family Yunis
Siyo Bwana Yesu, Bwana Yaweh ndo asifiwe.
Jamni mungu awainue watu wamsaidie huyu mtoto aweze kuja dar es salaam na mikoa mingine
Shukrani ni kwa Mungu sio waje kwako
Mungu azidi kumbaliki
Mungu ni mkuu kweli
Mwenyezi mungu apewe sifa
Tunaomba no ya simu
Mzee habari ya shukrani yawezeka wanamshuru Mungu kupitia makanisani kwao na nmiskitini kwao kwani kumsukuru Mungu siyo lazima warudi huko kwani Mungu yupo mahala popote. Kumbuka maandiko yanasema ukitoa sadaka kwa mkono mmoja Basi wa wa pili usijue.
ASANTE SANA Global TV KWA VIDIO MPIYA YA YUNIS MUNGU ASHIDI KU BLESS YUNIS NA FAMILY WAKE
Eunice niombee kwa mama Niko Saudi mahali pabaya nataka kutoroka niende kazi ingine ...nisipate shida njia yote mungu aniongoze
Bima ya maisha anayo King Jesus
Am from Malawi i would really want to follow what is happeninig to this child but the problem is language barrier
Allah amhifathi mtoto huyu
Emugu uliehai mama was yunis zidi maono naamini utatenda muujiza naomba begi yauchawi kwenye famiria yetu ikiwezekana ichomwe moto iri wajuwe kuwa upon huluma silomba lusaka zambia
Sister mtalajiwa
mngeweka no za simu itasaidia wanaotaka kwenda huko
Loliondo tena,msituibie tumechoka kabisa kuibiwa
Ok
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko ni kupoteza uslaam wako
Hata tukiwa mbali hivi,tumeshuhudia mkono wa bwana nyumbani kwa ba Eunice.
Mtoto niombee kwa mama nipone ugonjwa wangu.
Yes sikatai lakini si yeye ni nguvu za msalaba angalia headline zako mtu awezi ponya watu . Ni MUNGU alimtumia
Sasa kama mmeweza kujenga nyumba kubwa ivyo mnashindwaje kumkatia bima mtoto ya laki Tano au 1 m
Mafanikiooooo yapo 😭😭😭
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk NA kupoteza dini yako ya uslaam
Kama huna Cha kusema nyamazatu.
Vipi naweza fika huko
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa mariifa
Wewe ndiye unayeangamia Kwa kukimbia maarifa
Natamani nikifike hukoo
Nashukuru kwa maelezo mazuri.
Ila naona suara la kumfungulia Bima ya afya siyo..
Kama kweli Roho Mtakatifu yuko ndani yake.mhmmmm!!!!
Tunaomba namba jamani ya hao wazazi ili tusje kupotea
Mie naishi Mombasa Sasa najaribu kupiga simu sipati,Nina mtoto kijana alipatwa na wazimu je nifanye aje kufika huko?
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko ni kupoteza dini yako ya uslaam
Ayaaaa jamaniiiiiiiiiii
Bima ya afya yanini wakati mwenyewe anatibu kwa maji
Na yeye ni mwanadamu,kwahiyo wazazi wake lazima wawe na hofu na kingine mganga ajigangi.
Wanafanya biashara tu Kama anaponya kwa maji Bina ya Nini Sasa😏😏
Nyumba imeshaisha duh kwel mmefanikiwa kimaisha
BONGO KWA MICHONGO
Tupe number ya huyo driver dio atutoe sirare
Kuiga washukiwe na roho
mbona anatumia mashoto
Wacheni kutapeli watu nyinyi,Allah ndie mponyaji pekee
Mungu unataka ashikenamiguu?
Daaa kwel hii noma
Loliondo part 2
Nauliza nauli ya kutoka mbeya mjini hadi rorya ni pesa ngapi...?
kutoka mbeya had dodoma ni 32. kutoka dodoma had mwanza ni 30, kutoka mwanza had huko rorya ni 15, jumla utqipata mwenyew hapo
Tunaomba no ya wazazi
Aeroo nyathino gichunya teeee yawaa onge wach Mungu nimwema Usiliyee kwa akili ya shukran Mungu ataleta mema
Mambo hampeani number ya babake wengine tuko mbali na Shida mbali mbali
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko
WAVUTE MAJI. ILI YAPATIKANE KWA URAHISI KWA AJILI YA USAFI NA MACHOO
Kwani hayo maombez ni hela au ni bule?
unamashwali ya kisege
Anaponya wenzie yeye anataka akatibiwe hospitali
Kweli kabisa imani ikiwa thifu unakufuru
Stop writing silly things about this angel. Stop it. Wacha mtoto yunis afanye kazi ya mola. When you comment badly you are a devil.
Exactly Dada umenena make watu wanaropoka tu hawajui
Unamwamini Mungu alafu unatamani bima ya afya jamani mbona kizunguzungu?
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣
Babu wa roliyondo kama namuona vile👉😷
Amewajengea nyumba wazazi wake.wajinga ndio waliwao siku zote.. wazazi wake Wanaendelea kumtumia.musitoe chochote.Jamaa Wana Jenga nyumba tu
Tunaomba mama ampe uwezo wa litufanyia huduma kwa njia ya mtandao
Sasa siaweke maji yake tu bima ya nini,wajinga ndio waliwao nikweli kabsaa kumbe
Umekosa akili wewe. Wanao pona wengine wao wanatumia pesa nyingi pasi kusaidika. Wanacho kitoa hapa ni kitu kidogo sana.