Sasa yupo nje kwa dhamana ,kazi ya selo ni kumlinda mtu hapo tiar ana tuhuma za kuua hata kama hajaua mnafikir usalama wake utakuaje ,ikitokea tena kuna mtoto haonekani au kapotea si watahis yeye ndo kamla tena
kama keshaonja nyama ya mtu siku 3 anamla kwelii basi atakula tena lakini sasa hata mifupa haikubaki au mbona fuvu la kichwa lipo isijekuwa mpango umetumiwa njia za kichaa
Kweli ni chizi kabasa.sasa kama alikuwa na njaa si angeomba majirani chakutiya kinywani wanaume wanzangu ubwiru usitume tudunge kila mwanamke tunae muona kuwa sahihi mbele ya macho tu inafaa kuwachunguza vizuri,nakama wanamapungufu kiafya basi tuwasaidiye.2024 inakuja na makubwa dah nyama pori kabisa,hata mmbwa hana izo akili.😮
kutoa dhamana kesi kama hio na mtu kaua mnafikiri usalama wake ukoje uko uraiani Mana tiar ana tuhuma za kuua hata kama mnahis hajaua sidhani kama una akili we afande
SubhanaAllah 😢😢
Subhanna Allah subhanna Allah subhanna Allah 😭😭😭😭
😢😢shida ni awajama wanao zalisha vichaa
Hatari San shinyanga
Huyo hayupo Sawa
Akili ipo sawa kweli?
Inna lillah wanna illah wainna illah Rajiun,Allah amsamehe,sio akili zake 🙏
Dunia hii tutaona mengi
Dhamana ni ya nini hapo?Mtuhumiwa mnamwekaje nje ?akiua watoto wa majirani je?Angekaa huko police au apelekwe kambi za vichaa.
Mmmmh kama move kabisaa mwanadam mwenzie licha ya kuwa mwanae
Safi sana
Sasa yupo nje kwa dhamana ,kazi ya selo ni kumlinda mtu hapo tiar ana tuhuma za kuua hata kama hajaua mnafikir usalama wake utakuaje ,ikitokea tena kuna mtoto haonekani au kapotea si watahis yeye ndo kamla tena
kama keshaonja nyama ya mtu siku 3 anamla kwelii basi atakula tena lakini sasa hata mifupa haikubaki au mbona fuvu la kichwa lipo isijekuwa mpango umetumiwa njia za kichaa
Sasa dhamana ya nini apo na wakati amekiri mwenyewe kwamba amemla 😢😢😢au mnataka akaendelew kuwala wengine
Mwenzangu kichaa huyo ataua wengi serikali jman
Ndo wanacho kitafuta acha atafune wengine jitu shetani mna lipa zamana
Uchungu wote wakunzaa nimle nyama mwanangu mwenyezi mungu tusaide😢😢
Yaan😢
Yaan hapa nawaangalia wanangu 😢😢 dah Allah atuhifadhi sis na vizaz vyetu jman huyo atawala watoto wa wenzie why mmempa dhamana jmn
@@najmasalim-rg6ow ni hatari
😢😢
Kweli ni chizi kabasa.sasa kama alikuwa na njaa si angeomba majirani chakutiya kinywani wanaume wanzangu ubwiru usitume tudunge kila mwanamke tunae muona kuwa sahihi mbele ya macho tu inafaa kuwachunguza vizuri,nakama wanamapungufu kiafya basi tuwasaidiye.2024 inakuja na makubwa dah nyama pori kabisa,hata mmbwa hana izo akili.😮
Mh
sasa alimpika au alimla mbichi mbichi hee bongo kunahitajika maombi
kutoa dhamana kesi kama hio na mtu kaua mnafikiri usalama wake ukoje uko uraiani Mana tiar ana tuhuma za kuua hata kama mnahis hajaua sidhani kama una akili we afande
Asinge pewa samana kabisa ataendelea kumla wangine
Hao ni wazee wa ndagu za kutajirika wanaita kusabha
Hadi tufike tumechoka sana😢
MGONJWA MWINGINE wa AKILI sio mzima WIZARA Ya AFYA MNAFANYA NINI OFISINI GO OUT TO THE FIELD PSE
Siku huu uchawi wa kijinga jinga utaisha huku afrika na elimu ikazidishwa haswa vijijini ndio Africa itapiga hatua.