ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
PATANISHO: Shiro anataka kumrudia Kamau ‘Mruka mimba’. (Episode 10, January 2020 )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2020
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#GidiNaGhost #Patanisho #RadioJambo
Subscribe TH-cam - bit.ly/2MeQ4ki
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Team hamam ukionyesha mwanaume unampeda madarau nayo 👌better stay single
+966nawakilisha 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 tuko pamoja
Ooh siwezi jipendekeza kwa mtu iiish
@@nancynjogu4 uko pade gani dear !niko damam
@@hdjdjhhdhdhhe1846 nko Riyadh
Dharau sana aki
ak shiru ati umuachi ivo, ashaenda huyo. dating a married man or woman is like driving a government vehicle it will never be yours
Andu a nyumba leo tuko represented 😛😛
Kama kawa😎😎
😅😅😅
Eeh😂😂😂😂😂😂
Twikuo😂😂😂😂😂😂
ng'uraaa 😂😂😂
Finally Its no longer A Luhyia affair,
This woman is totally different.Wakina shiro hawabembelezangi wanaume hivi.From team +1815
Shiro huwa wanasonga mbele kama injili
@@zacharyayaga6661 True, shiro haezi nunua mwanaume na pesa.
@@zacharyayaga6661 true
kwanza mimi naitwa shiro sipendi ujinga we shiro tiga gutuguithia
shiro mama lea mtoto wachana na kamau, utapata mwenye yuakupenda plus mtoto wako.Just move on its not easy but jipe moyo
Wewe Ghost unacheka hadi Kamau akatoroka😂😂😂😃😃😃Shiro just continue with ur life mummy lea mwanao una uwezo 😃😃
Ata mimi nlirukwa kipetero kiyesu🤣🤣🤣saa hii kadem kangu kako fom3 single na nko strong
Hii ni ujinga ya juu sana Lea mtoi shiro.sisi hatukurukwa lakini tuliachwa na tunalea watoto bila kusubuana na mtu
Wakikuyu wanapenda kuruka mimba
Alafu kwani huyu mama akuenda women conference.
Sasa shiro uko na doo zako vizuri c uendelee tu na maisha yako utapata wa kukupenda achana na kamau hakutaki.
Watu wa kiambu,aki shiro,utamaliza Ghost na kicheko,
Shiro jamani unasema uko na pesa yakulea mtoi shida yako nini umtafute huyo jamaa continue with ua own life mdogo wangu shiro
Desperation is real ewooo🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Team " Shiro" waliopewa mimba tukarukwa tujuane 👇👇
uko ndani.... patanisho 2020 zinatisha sana
Niko hapa Team" Shiro"
Risper Kibe Tuko wengi my dear😂😁😀
Emily Muthoni sisi tulirukwa ka shiro.
Mm apa
Mm siwezi beg someone juu ya kufinya saitan . .wanaume ni wengi nduniani mm nilirukwa na Mimba ya 3month saa my gal ako 9yrs .....nasiwezi ata taka kuona hiyo mwanaume
And life continues
And very happy dea
Huyo kamau isiwe ni jamaa mwingine uwanga anadrive motobike..amezaliza mademu kibao akiruka😂😂😂🙌
Chisos😲😲😲
Hujakosea kabisa
Pole sana Shiroh,,Itabidi ukubali kamau hakutaki
First one to watch from all the way +966, Gidi na Ghost mwanamke akipenda anamaanisha but kama jamaa amekataa hivio adharani let the lady move on na atapata mwingine mwenye atakubali na ampende pia
Pole mrembo ....uko na uwezo wa kutunza mtoto wako ..wachana na kamau wa wenyewe
Juzi ilikuwa mume yabembeleza bibi akakataliwa... Leo ni shiro anambembeleza mume dah kazi hii.. Hii patanisho ya 2020 ni ya watu kukataliwa
I can't beg a man nayo hio imezidi 😂😂😂😂😂
Jackie Ndambuki wacha hio mapenzi ikae
@@serahkimani4716 kama ni job yes I will chase 😂😂😂😂😂😂to my best
Hii watu ya kiambu hii!!!
Hapo amenifurahishe
Shiru wacha kutuonea watu wa kiambu😂
Shiru tuko wengi. Wewe lea mtoto wacha stress. Leo ni mona
Number 8 to comment nimejaribu sana
I like tha ringing tone
I support #Shiro# hao watu wa kiambu wacha tu...
GIDI GIDI unaeza fanya mtu awe tempted
First to watch from all the way +966
Yap pamoja
welcom
first viewer nipewe like
This lady should leave that guy and move on hata kama anampenda, furthermore the guy is married.Shiro has money and she can raise that kid. Forcing God's permissive will is very dangerous, and asking to get back with that guy, the end will be worse...
Kamau ni mwenda jeru.ciro lea mtoi one day atakutafuta.pia mm nlikataliwa na watoi watatu na saahi niwakubwa Nashukuru mungu
Uyu analilia mjulu ,c wezi jipendekeza kwa mtu aki
@@RoroRoserororo Heheeeee V.true
Unauma kulalamikia mwanaume anakuona mjinga kweli
I like the ringing tone
Siku shiro atamove on aki kamau hata amini no situation is permanent
Shiro bby wachana na boy child
Haki gidy, eti huyu mtu huwa anakufanyia nn,, hahaa
aish yani people just stay waiting....
Kamau ako na mti tamu sana dio shiru anamtamani
Waaaah
Gidi na Ghost mumenichekesha sana na kicheko chenyu😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Better late than never live from +966
+966nawakilisha 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 pamoja
@@nancynjogu4 Asanta
For the first tym kuskia mkikuyu patanisho but kwa kweli at ur age u need to be more mature but as they say age is just anumber,how can u be older than this kamau nd u preg then unasema uko na doh yakulea mtoto then love urself nd ur mtoto acha ujiga nkt
Nipo pia mimi.
Shiro needs prayer hayuko sawa kabisaa
Hae how are you??
Mpo watu wangu wa diaspora 🤗🤗
Tuko rocked
Kumbe kuna madem wa kutoka wandu wanyumba..wako nakatabia kama ya watu wangu waingo..Pole shiro
ubaya wa Gidi nyinyi munacheka sana hadi mtu anafell vibaya hadi anakata simu
Ya leo imeweza😂😂😂😂
Thanks have known,,, watu wa kiambu🙏🙈🙈
Shiru naona ni dem anajiheshumu hataki kurandaranda anataka twatwatwa ya kamau pekee pesa ako nazo 🤣🤣🤣🤣🤣kamau naona ni wale wanaume top ❤️🤣🤣🤣
Shiru wuiye i feel you..
Mtu akikataa DAMU yake hata mm sina kazi yake karas.
Karas haha hii maneno ya Gulf
Mwenye pesa hasemi
that Laugh by Ghost ....waah!!
I like how he laugh
More 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💧
Radio jambo school of laughter 😂 😂 😂
Ety hadi amtumie fare
Shiro sounds desperate ....mwanaume naye aligundua unajigwamisha kwake ehh utajua hujui niko ndani team 974 mpoo😰😰😰
Tupo
OK 😎
@@emilyadhiambo5707 oyaaa unawakilisha ukiwa wapi!
Kamau atazaa watoto lakini hakuna atakaefanikiwa maisha kama mtoto wa Shiro, lea huyo mtoto.
Hehehe wakikuyu ndani ya patanisho kiambu ofyoo
Kakamega tumepumzika
@@roselineawinja6604 na yetu hua inabamba hii ya kamau haina ladha 😂😂
Roro17758 Rose 17758 rororo ameshindwa kuongea, tumsaidie na spokesman amwongelelee.
Shiro nitafute pliz we need kamau back
Wanaume wakikuyu they don't like to be called kipii 😁😁😁😃🤣🤣🤣😂
Shiro pole sana
Shiro wachana nae, utapata akupendae
Shiru ni kama ulimiss class kwa conference I always say hakuna need ya kufall in love with someone who is younger than you one day atakudharau shiru wacha kukuwa desperate lea mtoto and life goes on na unafaa kuomba msamaha kwa akina shiru,shiku and wambui kwa kutuangusha we dont have time kumbembeleza wanaume
Huyu sio mkikuyu
Twa twa ndio mpango mzima!!
Hii ni mtego. Huyu jamaa asidhubutu. Atang'arishwa mbaya sana
Aky niokotwe dani ya hamam nimeshidwa kutoka yaani kamau mruka mimba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uli Twa Twa Twa shiro vizuri mpaka hawezi kaa bira wewe
Wa kwanza kuskiza
Shiru uko na upuzi sana....the guy is married leave him alone otherwise you are breaking someone marriege but the kid have the right to know the daddy... forget about the love shit and get ur child right to know the father ....
Hahaaaa...we shiro umetuangusha sana
Shiro missed some lessons huko women conference!!! utume fare, really shiro, really? umetuangusha!
😂😂😂😂😂😂 very true
Sonnie Chosen she’s a desperate women’
Aky we need to go back for conference
@@mercyfaith3021nini huwa mnafunzwa
Twa twa yake iko juu😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leo sipitwi.
Ghai mtu anarukanga mtoto his blood m flesh waaaah
Is this what we call desperation? 🙄
Kitu kama iyo
Shiro you cant' force love. Let Kamau be. One day he will come looking for his child.
Yea
Team hammam sisi hatuezi tuma fare jibi laban tukisonga
Ati alijump ball haaaahhhaaaa
Waaaah kumbe wakikuyu wengine Pia ni kehee?? Na wanapenda kuita Luo kehee, hii Sasa ni teat for tat 😂😂😂
Ee uri^
💃💃💃💃💃muko team pataniso nimefika +964
Mi ndo nafika
@@fatumaqatar6185 mimi siongei
A najua ufundi kitandani ndio Ana Mpenda hata mm npenda mwanaume mashine
Waaa hii ya Leo kali huyu dem yuko na lazima na kamau kwani aliguswa wapi na kamau aki shiro ww
Lilian njoo hapa usikize ya wakikuyu
AM SINGLE MOTHER MY DEAR!!!! I HAVE A VERY NICE FAMILY!!!!!
Aki our people from central what is this!!! ¡why why can't you be like western men they don't jump babies mnatuaibisha 😂 😢
Nimezama na mluhya watt2 na haangalii watt wala hawajali hajui wanvaa nn wa nakula wala wanasoma vipi... Lakini mungu atamuaibisha niko gulf na nastrugolia wanangu ole wake ajilete saa hii
@@prettyaysha7892 woiiii really so sio wote wazuri
she is not from central this madness
@@bethgachuki6988 No not she mwanaume die wa central
Desperation
Well done kamau isalute you stay with your wife achana na hawa wakuharibia watu ndoa zao👏👏👏👏👏👏👏👏👏🎺🎺🎺🎺🎺🎺😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
kamau tunakuanga ivo.... Romantic
Woi kamau isikue ni ww
@@floranjuguna902 sio Mimi but uyo mama anataka revenge sio kamau anataka
Hahahahaha hapo nakubaliana ww kamau wote ni romantic but tabia ni hio hio,,,, kuruka mimba
@@floranjuguna902 apana Mimi siwezi ruka afadhali usaindie mtoi mahali utaweza
Mapenzi ya facebook😃
Shiro wake up achana na bwana ya wenyewe lea mtoto..
Aki it hits different with kikuyu women,,,,,hatutakangi ujinga you are forced to board by force
Shiro ako willing kutuma fare jameni😂😂😂
Mtu ukimuonesha upendo wa hali ya juu,basi anakuona wewe ni dhaifu wa mapenzi,sasa hapo anakuchapa kwa ajili ya upendo wako kwake.
The lady seems to b desperate
Turundiane juu nampenda...🙄🙄na hutaki akusaidie kulea mtoto🙄wewe ni twa twa unataka tu tena ya kila siku😅😅wanaume hushtuliwa bado😅😅ghost si tucheke twende zetu😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂uui dhitima🏃♂️🏃♂️
Nahama Kiambu 😅😅
Tiga maundu maingi wee 😅😅😅😅kamau
Leo sio waluhya aki.kumbe shiro na KAMAU waneza patanishwa?????.
Shiro anataka kuni😂😂😂
Kamau aliruka mimba kipeperu kiyesu 😂😂😂
Wakikuyu hawachezi 😂😂😂😂