ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
PATANISHO: Mpenzi wangu sio sponyo! - Lucy amtetea
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2020
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#Patanisho #RadioJamboKenya #GidiNaGhost
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/2MeQ4ki
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220
Hamam team wifi za bure "likes tukiedanga more love guyz
Married men will always play cards with you...sponyo loading 🤣🤣🤣gidi u made my day
hahahahaa
Even married women do the same we're all in same boat
Ningetaka kuambia Lucy plz achee kuharibu ndoa ya mwingine ajue ya dunia hulipiwa hapa hapa akumbuke amezaa msichana atapigwa kiboko na mungu.
True
My advice to young ladies ,zinah ni haraam ndo mnapata shida ,oleweni halali na mwenyezi mungu subhana wa taallah atawasaidia
Team diaspora of saudi Arabia ,;;;:wanaume wawenyewe sumu...sponyo reloaded
Gidi na ghost no one can stop reggae, Niko ndani ndani tena kwa mpigo
Ghost unachekanga adi najipata nkicheka Tu....love your show guys
Ghost i love the way u laugh
......i wish my husband laughs like u singewai pata stress
Haya
Hehehehehe
Really?
Hawa wanaume wako kwa ndoa tafadhali muache kuchanganya wasichana wawatu mkiwadanganya munawapenda musisahau dunia duara vile uchezao mabint za watu hivyo hivyo wako atakuja kuchezewa,pole sana Lucy wewe ni msichana mdogo omba Mungu akuondolee huo upendo wa mume wawatu na akujalie ubavu wako.
Ni kweli gidi.kupatanisha huyu msichana ni ku encourage mipango ya kando.je bibi yake akijua.sijafurahia what this lady is doing na bado ni mdogo sana.
Hii patanishow haifai kabisa. Mnaeza aje patanisha dem mwenye anaharibu ndoa ya mwanamke mwingine? Angekua second wife ni story ingine but huyu ni bwana ya mtu na ata bibi yake hajui 🙄 hii ya leo mm sitaunga mkono
Patanisho si patanisho bila @Ghost
Gidi na ghost your show is wonderful listening u from Dubai big u p guys.
Giddi na Ghost my favourite breakfast show. Nawapenda bure😍
Asante . We love you more Betty
Mmmh.leo nimechelewa listening from 974.nawapeda tu bure
My favorite station since 2008
Gidy na sisi wenye hatuchelewi kucomment baada y kuangalia kwa you tube, mbona hamzungumzie zawadi zetu ama mmeanza ufisadi hapo💃💃💃💃💃💃
😂 😂 😂 😂 😂
Hahahahaha
Unataka fare
@@fredrickokoth1886 you again?
Cette facon de rire de Gost est unique dans cette emission. Felicitation à vous deux.
Thanks for recognizing the TH-cam scoud alafu watu wa saudia tutaunganishwa lini😂😂😂
Love this
Waislamu ndio wako na adabu duniani...
unaitikia kuzalia sponyo?na unajua ako na bibi,,,hehe hata haujulikana,,,you need to revisit notes za conference
Thanks for recognizing the TH-cam sqoad alafu watu wa saudia tuta patanishwa lini😂😂😂
What did I just listen to🤔🤔this is ndwendi ndwendi Lucy ,wake up from your sleep!
Napenda vile gidi na gosti wako very honest and true
Look for your own husband Young lady.. Ndoa za wenyewe wachana nazo. Kabisaaaa
Money 💴 is a 👿. Kid’s are innocent brought to this world innocently sad indeed
Gidi:huyo ni sponyo
Lucy:bwanangu c sponyo
Ghost:hihihihihihihihihi
Listener: Wolololo hiyo ndio dawa ya kuharibia wenye ndoa
Taigwe gathukia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Haki
I love patanisho through u tube
@@lizkanjah8503 6th
Waaaaah ya Leo ni kali sana
Nakwambia
Wah maneeno hayo
Tuned..aki confidence iko hii Kenya cjui
Hio kicheko ya ghost kama ni mimi napatanishwa naweza lia tu😂😂
Haki anaudhi iyo kicheko mi nakasirika tu
Uyu siponyo anasema asiwekwe hewani ndio bibi wa home asijue sasa atajua2 akuna siri tena. Ata kama bibi ana redio jirani ako nayo atasikia na ampigie simu.🙆🙆🙆🙆🙆
Team kujiamini💪💪💪
🙋♀️🙋♀️🙋♀️🙋♀️
Ndaniii
Nice patanisho imeninice sana
Seriously mzee wa mwenyewe, huyu dem Yuko after money , mzee tulia kwako am nt married bt eiiiish we should style up
Pls wacheni kupatanisha mpango wakando nachukia mpango wakando sana tena sana
Hiyo ndio zawadi ya kuharibia mwanamke mwenzako ndoa
Total respect to that man, na wewe Lucy please my sister look for your own man acha kuwa desperate na bwana ya wenyewe coz atakutema kama jugu za kuonjeshwa na arudi kwa her main Big G
😅😅😅😂😂😂si mualike huyu Msichana kwa conference 🤣🤣🤣😅😅tulisema hatuzalii sponsors
Gidy na ghost you are my heroes 😂😂😂😂
Miaka 24 unahangaika na babu njo tz tuoane
mob love from asia
nice job gidi n ghost
Giddi na gosh age is just a number
Naomba mnipatanishe na ghost muleee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
team masponyo
Team Diaspora 💓 💓 💓 💓 💓
🙋♀️🙋♀️🙋♀️
Niko
Gidi na Ghost sasa instead ya kupatanisha sasa mtaanza kuvunja ndoa za wenyewe ju yf ya huyu jamaa atasikia hii stry na kutaenda noma!! Huyu Lucy atafute bwana aolewe #Burekabisa
Listening from Doha Qatar
Ntaftie job huko
Unawakilisha mtaa gani mimi niko Binmahmoud
@@lydiaaruba6670 nko Nrb bt looking for a job
Huyu ghost kwani aliajiriwa kucheka, aki am dead🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe musichana wachana na mwanaume wa mutu tafathali muombe mwenyesi mungu akupee wako
Lucy look for ur own guy
Gidy na cost na pongeza kwa Nazi mzuri mnayofanya nikiwasikiliza ku[toka kiambu town
Achana na sponye Lucy,achana na mabwana za wenyewe kuja gulf tusugue hamam upate doh zako bila stress
Namba 891 wajameni Leo nmechelewa juu ya baridi huku Doha
sawa
Julius is a gentleman
Stress zitazidi kukumaliza lucy vile uliingilia ndoa ya wenyewe ndivyo yako itaingiliwa
Nawapendaga sana gidi na ghost dah
Makosa kubwa kupatanisha mpango wa kando.
Wooow ya leo ni kali sn
🤣🤣🤣Hata mimi wacha nicheke na Gidi na Ghost,Some ladies Yawah🤔
Kweli hii ni sponyo,,
Leo Niko vvip.
Waaaaaa
May God rem all men having mipango ya kando 🙏🙏
Gidi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂unamaswali'mazuri'
Today I missed it guys rusha hewani
🤣🤣🤣🤣hali ya uchumi ni mby...kitu Lucy ataki kuskia ni ako na sponye
Yani mpango wa kando ndio anakupa stress waaaah huyu mwanaume ana wanawake kila kona cheiiiiii .side chick aki jipe shugli naona ukilea huyu mtoy solo mamayooooo🙆♀️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Nasio mbali sana, ataanza kumlea hivi karibuni..
Ghost 😂😂😂😂kucheka raha hope sio Doris my cuzo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Duh!!
Mummy ukicheza na life utapata ugonjwa at young age tafuta bwanako uolewae wachana na bwana ya wenyewe hujui akona wagapi wengine think twice mum
Good advice
Sure atumie akili apo ugojwa ni mbaya
This ghost guy can really laugh.....😂😂😂😂😂
Lucy wee ni home wrecker, alafu uko insecure juu ya bwana ya wenyewe? Acha upumbafu tafuta wako
Hahaha...mwambie
NANCY RUO RUO 👊👊
Lucy ni mkora sana; umedandia bwana wa wenyewe na bidii hivyo
0714127572
Kelvn@@roselineawinja6604
😂😂😂😂😂😂😂😂 mtoi moja siz na bwana wa mtu kulalamika ni ya nn na bb yake ako Gidi 😂😂😂😂😂
Yani patanisho imefika mpaka place wanapatanisha harlots kweli familia imekosa value. Pls guys stop entertaining these kind of unions hawa harlots wameharibu familia mob sana
Mtoto ako class 3 na ujui Kwao, pia Yeye ajui kwako mna meet tu kwa logde na Ni mume wako?, wanawake yawa
Very fishy indeed.
Gidi na ghost nawapenda bure😁
Asante Matara
Wueh!!!!!🙆🏼♀️🙆🏼♀️🙆🏼♀️🙆🏼♀️
Unaharibia mwenzako ndoa kwanini ukiwa wapili tarajia watatu
Doris ni mkamba lol hope sio wa pipeline🤣🤣🤣🤣🤣 huyo mwanaume ni wayaàa jo
🤣🤣
@Gidi nilikuwa nimewamiss
First leo leteni like
Chukuwa yangu
@@agneswanjihia1383 hahahaha thanks........late comers tuwaweke wapi
@@carosmwongela2823 hapo in front 😂😂😂
Ooh my God ety nini ?????
Wah.......26 na 44 na ako bibi Lucy wacha ujinga tafta mume wako ww.......
😂😂😂ni sponye
Akona upuzi..n sheiz very young
Haki lucy ni crazyyyy anapewa madawa na mzeee vizuuuuriiii🤣🤣🤣🤣🤣
Nipatanishe na gidi😂😂😂😂😂😂
Patanisho ya mpango Wa kando, unasikia siku hizi unanitaa we????
Jubilee walipeana handshake sasa kuna tanga tanga na kieleweke hahahaha Lucy achangue jina ya chama yake na mapema
Kai
Wait wait nanii🤔bwana ya mtu ndo anakupa stress hivo vyoteeee🤨 ghaii blood of Moses yaani hadi una uhakika ako na bibi but wewe uko tu😳unaitaji slaps kali za uso
Mzee amekwepa kumaanisha ako na wengi
😆 Lucy bwana ya wenyewe hapo tokaaaa mbioooooo, the man respects the wife, na Doris ameingia, chezea mkamba wewe, utasaulika ushangae, niulize mimi na baby daddy
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ya Leo imekua more fire 😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Ghost amecheka 🤣🤣🤣🤣🤣Gidi wewe utaacha kuita mabwana za watu sponsor 😂😂😂😂😂😂Leo mumenibamba
First view always ♥️♥️♥️
Hey Slyviah
Listening from iran sponyo manenos Ngai
watu huenda Iran kwan? sijawai sikia?
@@nazshee5404 ee tuko huku kuja pia nikupoa sana
@@alicenjoki9338 nipe no
Lucy wewe, nyinyi ni wale wakubrake nyumba za watu, mbona u date na mtu ako na wife, wewe ni mpango wa kando wakutufanya sisi tuitwe team kujiamini,team ma single, unang'ang'ania bwana wa wenyewe, achana na bwana wa wenyewe, sijui nikupate wapi nikuwekelee moja ya mapua, eeeiish.
Kabisa Yeye ndo anafanya tuitwe home wreckers, akwende uko kabisa.
It takes 2 to tango bwana ako pia namwingine,community husband atapata mtu kama sio huyu ni mwingine.
@@roselineawinja6604 anazingua, eti nampenda tu ata kama ni mzee, lol
Sally Okumu 👊👊
@@mwendapoleee Thank God! I was looking for this statement. I know Lucy is not innocent in this but people are over-looking that the husband is involved with her, and he is the one who is married. So mzee ndiye anaharibu nyumba yake mwenyewe. I think it's unfair and sexist to call Lucy a home-wrecker..both of them are wrecking this home..and the bigger blame goes to the man juu family ni yake. Wote wako na makosa..but especially the guy since he is the one in a marriage. Plus the guy is older by like 20 years and Lucy is barely an adult, so this man should know better.
Aki kumbe wasichana wenye kuvunja nyumba za watu niwengi
😂😂😂😂😂huyu ni sponyo anakushindia kindu 25 yrs wachana na bwana ya mtu atakupa stress bure mammy unless kama atakutambulisha kwa bibi yake n familia yake kwa jumla ngomaa