PATANISHO - NI STIMA GANI HIYO ANATENGENEZA NA SIKU TATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 210

  • @lemmyk8747
    @lemmyk8747 2 ปีที่แล้ว +36

    Kiukweli napenda Sana hii show inaelimisha na kutoa stress na maisha inasonga.... Big up Sana Gidi na mlei

  • @vitalyonga77
    @vitalyonga77 ปีที่แล้ว +4

    Hawa watu wa kupatanishwa tungekua tunawawatch ingekua fun zaidi bwana

  • @lemmyk8747
    @lemmyk8747 2 ปีที่แล้ว +18

    Gidi na mlei mungu awabariki Kwa kutetea ndoa za watu maana kiukweli nyinyi ni watu wa maana Sana katika hii dunia

  • @kurashigesir8709
    @kurashigesir8709 2 ปีที่แล้ว +27

    Some ladies will lose good men easily....a very hardworking guy.

    • @sakinadolcas
      @sakinadolcas 2 ปีที่แล้ว +5

      For real💯..huyo mama Ako na bad company, wanamdanganya

  • @marygakii8907
    @marygakii8907 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu aelewe bwanake na atulie ajue anatafuta,wangu anaendanga even a month na namuelewa sana koz he is handworking na sijawah mshuku imgn

  • @puritymutheu375
    @puritymutheu375 2 ปีที่แล้ว +26

    He is a nice guy mama nanii rudi home. Don't loose that man. He is struggling for you and your kids.

  • @rwanda2484
    @rwanda2484 2 ปีที่แล้ว +35

    This woman is not exposed. I have worked with an electrician wiring a house and its alot of work and since mine was from Muranga and the house is in Nairobi he and his team of about 5 would spend upto 3 weeks working and sleeping at the site. They even would carry their meko and cook on site. This was just one job and they made countless visit from the beginning to the end. Good electricians are a gem.

  • @africanreactions
    @africanreactions 2 ปีที่แล้ว +24

    This man is very genuine

  • @rogersmokaya3126
    @rogersmokaya3126 2 ปีที่แล้ว +10

    Napenda radio jambo sana,, rogers from Nyamira County

  • @catherinematoke2559
    @catherinematoke2559 2 ปีที่แล้ว +10

    Sirapu moja hadi ikamupoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wakisii tuheshimiwe🙌

  • @samirkacashaqaa8937
    @samirkacashaqaa8937 2 ปีที่แล้ว +18

    I love you guys naitwa Abdi from kilifi county ❤ God bless you 🙏

  • @hoseawafula6903
    @hoseawafula6903 2 ปีที่แล้ว +13

    i pay bills thru laughing sarcastically 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @marykalenga137
    @marykalenga137 2 ปีที่แล้ว +10

    this man is so honest...

  • @reginagakii167
    @reginagakii167 2 ปีที่แล้ว +14

    Representing gulf guys tuko gangari sana.....love your show

  • @vanenyaboke8237
    @vanenyaboke8237 2 ปีที่แล้ว +4

    The guy is soo mature n loves his family.mary ukiloose uyu hauna bahati

  • @kimanijohn9529
    @kimanijohn9529 2 ปีที่แล้ว +56

    That guy is right, he has to struggle for his family, he can even spend time outside fetching money for his family

  • @valleriefaith6703
    @valleriefaith6703 2 ปีที่แล้ว +13

    Gidi u in a good mood today...... Hujasema fupisha story 😅😅😅

    • @alicekmusic3925
      @alicekmusic3925 2 ปีที่แล้ว +3

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 I feel you

    • @dianakombo5178
      @dianakombo5178 2 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂

    • @marionnjoroge441
      @marionnjoroge441 2 ปีที่แล้ว +3

      Akh hua ananibore nashindwa mbona kipindi isipewe tym

  • @marrysilvester3861
    @marrysilvester3861 2 ปีที่แล้ว +7

    Naitwa Marry Nawapata vzr kutoka Tz

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482 2 ปีที่แล้ว +13

    I think in this case is lack of enough communication na kutoelewana.na lack of trust.na wivu.
    Watoto sasa ndio wanateseka🥲🥲

  • @Gmwaboli
    @Gmwaboli 2 ปีที่แล้ว +4

    That man is genuine and the best she can ever get

  • @cosmasanunda9504
    @cosmasanunda9504 2 ปีที่แล้ว +11

    The guy is right searching for the family, and his aman hard work with full of trustworthy that's why his clients using him always

  • @jabaliobanda9848
    @jabaliobanda9848 2 ปีที่แล้ว +18

    Mulei when you laugh I just find myself laughing. Keep it up to Gidi and Mulei

  • @simonkimani6045
    @simonkimani6045 2 ปีที่แล้ว +5

    This guy seems to be serious in life, ana ukweli furani, he try this best to look for his family

  • @marymumbiroshan6688
    @marymumbiroshan6688 2 ปีที่แล้ว +22

    Niandikeni kazi ya kucheka na ghost

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 23 วันที่ผ่านมา

    Yes am in Seychelles,mbona wanakaribisha wageni viziri Sana,Come to Seychelles am a 🇰🇪🇸🇨

  • @RoseOdiyo
    @RoseOdiyo 3 หลายเดือนก่อน

    Matusi Kali gaki....hati mke ni starborn ndo maana unalala inje sikutatu.

  • @RKBro-jr1ts
    @RKBro-jr1ts 2 ปีที่แล้ว +10

    🤣🤣unbelievable,unakujiwa mpaka kwako na prado kama muheshimiwa,nataka connections na uyo mama pia mimi ni Fundi wa interior decor

    • @labancosta2719
      @labancosta2719 2 ปีที่แล้ว

      Pia mm ni fundi wa Generator... connection na hyo mama please

    • @mamawa3mamawa321
      @mamawa3mamawa321 2 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @wmarysella
      @wmarysella 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

  • @blessingsbenzo6837
    @blessingsbenzo6837 2 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda hyu mwanaume he is genuine

  • @ayarobertson919
    @ayarobertson919 2 ปีที่แล้ว +5

    The guy sounds genuine

  • @asiyoedward3511
    @asiyoedward3511 2 ปีที่แล้ว +1

    Siku hizi ukifumania mwanaume wako na mwanamke- una shukuru tu Mungu .

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 2 ปีที่แล้ว +10

    Abdi Ata paka mzee hunywa maziwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @teshedwards6310
    @teshedwards6310 2 ปีที่แล้ว +8

    This guy is true

  • @moreh462
    @moreh462 2 ปีที่แล้ว +12

    Alinipiga siraapu😄😄😄

    • @djsavage8882
      @djsavage8882 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lynnm7866
    @lynnm7866 2 ปีที่แล้ว +7

    Mwanaume amejieleza vizuri ,kama hana mpango wa kando then wanafaa kuelewana tu

  • @elijahnyangeri770
    @elijahnyangeri770 2 ปีที่แล้ว +27

    Ghost always makes my day.😀😀😅

  • @emilykiplagat7545
    @emilykiplagat7545 2 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂 weh! Kulala nje kwa mwanaume these days me nalala sijipi stress, wengine walipata 1st salary wakapotea 3 day's.hii maisha ni kujipenda

  • @sylvianjeri6216
    @sylvianjeri6216 2 ปีที่แล้ว +12

    Huyu kijana ako sawa gidi usimuingilie aki hiyo kazi mm naijua ata mjengo mtu huenda one week

  • @esthernyakoboke3635
    @esthernyakoboke3635 2 ปีที่แล้ว +4

    Mary pls elewana mjenge familia yenu

  • @dominicongaga3114
    @dominicongaga3114 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mosichana ni peer influence

  • @vincethebasist4
    @vincethebasist4 2 ปีที่แล้ว +4

    A good man am working na madam hope this wont happen...ladies pay well

  • @merinasash3267
    @merinasash3267 2 ปีที่แล้ว +14

    Mbona watu wanalalamika hakuna sauti na mm nasikia 🤔🤔

  • @AfroStarCrew
    @AfroStarCrew 2 ปีที่แล้ว

    Atoti nyenoka nyenoka atoti suroka suroka.... Atoti

  • @dedanpasil10
    @dedanpasil10 2 ปีที่แล้ว +1

    woooi I thought ni Victor mandala anapatanishwa

  • @aneymaalim704
    @aneymaalim704 2 ปีที่แล้ว +4

    very funny indeed akakuja kunichukua na Gari hustler stima kiwazi

  • @kwahmah230
    @kwahmah230 2 ปีที่แล้ว +8

    gidi unaeza eka kwa mtu stima hata 1 wik sio kitu ya siku moja

  • @okothstephen9960
    @okothstephen9960 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mama aelewe huyo jamaa. Na kama hataki jamaa afanye kazi basi atafute kazi alishe familia

  • @abeldickie
    @abeldickie 2 ปีที่แล้ว

    The man sounds genuine. And I understand that slap. Mixture of love frustration. N if u understand how bibi wakisii hukaribisha bwana nyumbani utaelewa pia, juu Obara amesema alikaribishwa na maswali

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 ปีที่แล้ว +3

    Alafu mtu anaweza wacha bwana mzuri alafu baadaye akienda kuangukia bwana mwengine sumbua ndio anaweza tii

  • @ashleygrace389
    @ashleygrace389 2 ปีที่แล้ว +3

    18 on trending 🙌

  • @mwanosu7128
    @mwanosu7128 2 ปีที่แล้ว +7

    Nunueni simu mm naipata n audio visual

  • @christineachieng4094
    @christineachieng4094 2 ปีที่แล้ว +7

    Gidii youre harsh on boychild

  • @erick.ndunda2518
    @erick.ndunda2518 2 ปีที่แล้ว +2

    The guy is very honest

  • @salomemsangi3752
    @salomemsangi3752 2 ปีที่แล้ว +5

    Hahaaa Wakenya mnafurahisha
    Ila wanawake waKenya mnamsimamo amuogopi kitu, ila hii kuachana mnazalisha machokora mengi

  • @mariamjohn1700
    @mariamjohn1700 2 ปีที่แล้ว +7

    Gidi nipo Tanzania napenda niwe naangalia hii kipindi live nifanyeje

    • @joshuasabasi3118
      @joshuasabasi3118 2 ปีที่แล้ว

      Download application ya radio jambo unasikia vizuri tu

    • @mariamjohn1700
      @mariamjohn1700 2 ปีที่แล้ว

      @@joshuasabasi3118 🙏

  • @reginaamoo6530
    @reginaamoo6530 2 ปีที่แล้ว +3

    Aki Gidi leo kweli was was present in this situation

  • @faithimali61
    @faithimali61 2 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda kama njugu karanga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @everlynekimaiga922
    @everlynekimaiga922 2 ปีที่แล้ว +5

    Wanaume ni sumu ya mapenzi 😭😭😭😭

  • @statetv7489
    @statetv7489 2 ปีที่แล้ว +1

    Siraaap..konkiii

  • @viulancemkanyika3466
    @viulancemkanyika3466 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda Sana watu wangu.

  • @junioroloo5752
    @junioroloo5752 2 ปีที่แล้ว +3

    ON Trending 25🔥🔥💪

  • @happygolucki6884
    @happygolucki6884 2 ปีที่แล้ว +3

    Gidi na Ghost💙❤💚💛🧡

  • @shiigeorge8107
    @shiigeorge8107 2 ปีที่แล้ว +1

    Good job,,endeleeni tu hivo

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 2 ปีที่แล้ว +1

    Nauliza kwani huku anatengeneza stima ni far ajy hawezi lala kwake but anyway happy New year

    • @daviddaking6761
      @daviddaking6761 2 ปีที่แล้ว

      Hujaskia alikuja kuchukuliwa na Prado it shows n place iko far

  • @ireneatuke1581
    @ireneatuke1581 2 ปีที่แล้ว +4

    Kijana yuko right laxima atafute pesa ya farmily

  • @petersonwanaswa4996
    @petersonwanaswa4996 2 ปีที่แล้ว +7

    The lady ain't exposed. I also do contracts and specific people will consider you because of your performance. I sometimes go as far as Moyale from Nairobi.

  • @eunicenyandega5912
    @eunicenyandega5912 2 ปีที่แล้ว +5

    Mary wacha mchezo.. Rudi msungumshe mjenge familia

    • @annmwariri8119
      @annmwariri8119 2 ปีที่แล้ว

      Ni kuzungumza sio kusungumsha my dear na sio kwa ubaya lkn

    • @miriammichael6759
      @miriammichael6759 2 ปีที่แล้ว +1

      @@annmwariri8119 🤣🤣🤣

    • @annmwariri8119
      @annmwariri8119 2 ปีที่แล้ว

      @@miriammichael6759 🙊

  • @faithe4063
    @faithe4063 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke uwesi karibisha mume na maneno mabaya,slap mbaka upate

  • @valveee5858
    @valveee5858 2 ปีที่แล้ว +3

    But communication is important He could have called the wife. Simple things we ignore can cause chaos.

  • @kevokevo8290
    @kevokevo8290 2 ปีที่แล้ว

    Very big Fun of patanisho

  • @handsonnyambariga3902
    @handsonnyambariga3902 2 หลายเดือนก่อน

    This guy is honest

  • @heatherwanjuguna4629
    @heatherwanjuguna4629 2 ปีที่แล้ว +28

    This man is an electrician and his job is out of station and contract based. This woman needs to understand that because they also need the income. They are called repeat jobs. As long as the lady continues to construct, the guy will always be called for jobs.

  • @sumyahkalama
    @sumyahkalama 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda kama njugu karanga

  • @komakech1019
    @komakech1019 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyo jaama ni innocent,

  • @Waziri77
    @Waziri77 ปีที่แล้ว

    WANAWAKE WANATAFUTA WANAUME KAMA HAWA

  • @anwardiba1154
    @anwardiba1154 2 ปีที่แล้ว +2

    Ati stima ya voltage ngapi😂😂😂😂😂

  • @lemmyk8747
    @lemmyk8747 2 ปีที่แล้ว +6

    Hahaha nakupenda kama njugu karanga

  • @atongsimonnyang9459
    @atongsimonnyang9459 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni stima ya voltage ⚡ ngapi🤣🤣🤣

  • @lawrencewambuakithaitho3296
    @lawrencewambuakithaitho3296 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sanaa

  • @johnmugo7126
    @johnmugo7126 2 ปีที่แล้ว +4

    Ako na Prado🤣🤣🤣🤣

  • @mwajumachao9151
    @mwajumachao9151 2 ปีที่แล้ว +2

    Merii..:: mm nakupenda kama njugu karanga 🤔🤔
    Gost. Tihihihihiiiiiiiiiii
    Mm::🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 2 ปีที่แล้ว +4

    Man sound genuine....i find the lady abit immature

  • @kelvinkarani1904
    @kelvinkarani1904 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo kicheko ya Ghost Mule joh! heheheheheheheheeeeeee

  • @MLM2447
    @MLM2447 2 ปีที่แล้ว +4

    Aki Ghost hiyo kichekoooo ????

  • @carolinakianira3013
    @carolinakianira3013 2 ปีที่แล้ว

    Waaaah amupe Bibi mapezi kitadani alaaaah

  • @evansmuthui7278
    @evansmuthui7278 2 ปีที่แล้ว +1

    That guy wow

  • @jamesmutisya8383
    @jamesmutisya8383 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke anaacha watoto anaenda kwao..bure kabisa

  • @degrahomambia1599
    @degrahomambia1599 2 ปีที่แล้ว +3

    Gidi na Ghost huyo jamaa ako straight forward na anatafutia familia yake huyo mama wacha arudi kwa boma alee watoi

  • @Boaz22
    @Boaz22 ปีที่แล้ว

    Kenya power😂😂😂😂😂

  • @peternzoka-kivingonioriginal
    @peternzoka-kivingonioriginal 2 ปีที่แล้ว

    .....15 on trending

  • @noelamadadi5731
    @noelamadadi5731 2 ปีที่แล้ว +7

    Mary acha bwana atafute hela

  • @africanreactions
    @africanreactions 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuchapa mwanamke haifai

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa nyumba ya ghorofa ni kazi ngumu kwa mtu mmoja kusuka hizo waya za umeme. Alikuwa peke yake kwa hiyo siku tatu bado sio nyingi kwa nyumba kubwa kama hiyo. Fanya kazi kaka achana na upuuzi wa wivu wa huyu bibi Ukikosa kazi atakukimbia.

  • @mutulehephsiba5961
    @mutulehephsiba5961 2 ปีที่แล้ว +2

    Some madness..Sasa huyu bwana anaeza loose job simply bkoz ya his wife's insecurities....
    Am imagining huyu mama akasikie kesi inafanywa koz of her sidhani anaeza ita huyu jamaa tena job...rudi kwako mwangaliane mkule mapenzi

  • @alzubarapark3736
    @alzubarapark3736 2 ปีที่แล้ว +2

    Stima niza Aina nyingi

  • @matete900
    @matete900 2 ปีที่แล้ว +1

    Haaa nyinyi mumesikia kweli ama ni Mimi Tu eti mama alikucha kunijukua na gari 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Waziri77
    @Waziri77 ปีที่แล้ว

    Moi'sbridge ndo home kwetu,huyo mama sijawahi muona

  • @bettyofficial633
    @bettyofficial633 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂si akuje anitengenezee stima 😂😂😂😂

  • @edu-bmsafi254
    @edu-bmsafi254 2 ปีที่แล้ว

    Sirapu mbaya sana

  • @mwalimumaths864
    @mwalimumaths864 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani nimewekwa patanisho?

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣lakini inakuwanga funny boma inatambulikangatu kama ya mama🤣kwani wazee hawatambulikangi au vipi