TATESA EP01 - UOTESHAJI WA MICHE KWENYE KITALU NYUMBA KWA KUTUMIA TRAY
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024
- Mafunzo kwa vitendo, namna ya kuotesha miche kwenye kitalu nyumba kwa kutumia tray. Ufanisi bora wa mazao na mavuno unategemea na ubora wa miche iliyotumika katika uzalishaji hivyo basi ni muhimu kuzingatia kanuni bora za kilimo katika usiaji wa mbegu na uoteshaji wa miche maana maandalizi bora ya miche katika kitalu ndio uhakika wa mavuno bora zaidi.
Kwa mawasiliano zaidi
Email: tasiinfo6@gmail.com
/ agriculture_technical_...
www.twitter.co...
Safi sana mabwanashamba wenzangu
Great job Champs
Gud gud Mwamba Ben
Asante kaka
Maswali
01)Unamwagilia kila baada ya muda gani..?
02)Zitakaa kwa muda gani kwenye trey...?
03)Naweza tumia pumba za mpunga zilizochomwa badala ya udongo..?
Hizo trei na weza pata wapi na shs ngapi
Kilimo chako kina gharama kibao, mara ununue udongo dukani wakati kuna samadi kibao.
Habar ,naomba kufaham trays ngap naweza kupandia 50gram za nyanya? @tasi
piga 0754431449
Tray 75
Hizo trey tutazipata wapi mimi nahitaji
Wasiliana Nasi
TATESA, nahitaji mbegu za OREGANO tafadhali. Naishi Dar Es Salaam.
Karibu Betty, Wasiliana Nasi 0715 866 027
@@tatesa , nakushukuru sana kwa kunijibu, nitakupa mrejesho baada ya kuwasiliana na mwenye namba uliyonipa tafadhali.
Nimefurahia huduma yenu kwa kuwa mnatujali wateja na wasomaji wenu, tena ndani ya muda usio mrefu sanaaa.
Asante sana Mwanza offisi zetu ziko wapi...?
sisi tupo morogoro ila hata mwanza tunafika karibu tukuhudumumie 0754431449