UKIZINGATIA MAMBO HAYA KILA MBEGU UTAKAYOPANDA KWENYE TREY LAZIMA ITAOTA .

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @jacksonkendavis8689
    @jacksonkendavis8689 2 ปีที่แล้ว

    Haya ni madini adimu sana..shukran sana kwa darasa ndugu mkufunzi, F. Mustapher

  • @titusosano3946
    @titusosano3946 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana mtaalamu

  • @HelbethMlelwa
    @HelbethMlelwa 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mkuu. Nahitaji kujua mambo kadhaa....
    1. Mbegu za papai nawezaje kuziotesha kama unaweza kunielekeza hatua za kuotesha.
    2. Mbegu za papai naweza kuotesha kwenye tray.
    3. Nahitaji kujua huo udongo wa kupandia kwenye tray, unauzwaje.

    • @kilimosmartprojectsksp
      @kilimosmartprojectsksp  2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio boss naweza kukuelekeza next video ntaonesha namna ya kuotesha mbegu za papai kwenye kitalu au viriba

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 2 ปีที่แล้ว

    Naza mpunga je ? Zinanitesa sana kuota

  • @PAULOBURTON
    @PAULOBURTON 8 หลายเดือนก่อน

    Weka namba yako hapo mwezeshaji Frank tukutafute

  • @greenpoint5887
    @greenpoint5887 10 หลายเดือนก่อน

    ANAJUA SANA KUONGEA, ANAFUNDISHA KAMA TUPO DARASANI. HONGERA SANA, NAKUPATA TOKA TANGA MJINI HAPA