Kuna mbolea nzuri ya asili inayoleta wadudu wazuri wa ardhi kama wale wa maharagwe. initwa mycorrizahl fungi fanya utafiti. Udongo utabaki salama na mazao yatashamiri hata asilimia 15 hadi 30 zaidi kimatunda
Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Maliasili unagawa miche bure katika vijiji 18 vya Nkasi nas Sumbawanga ambavyo ni: Nkomolo II, Kisula, Malongwe, Swaila, Tambaruka, Lyele, Itindi, Mnazi Mmoja, Mbwilo, Kalumbaleza A na B, Nkwilo, Mpete, Mtapenda, Katoo, Mnazi asilia. Lakini unaweza kununua katika Taasisi ya Vijana FECEE pale Sumbawanga mjini jirani na Uwanja wa Mpira wa Mandela
Parachich ni bidhaa inayohitajika sana Duniani hivyo Soko la Parachichi ni kubwa kwa sasa, Baadhi ya mikoa kama Njombe wanasafirisha matunda hayo nje ya nchi. Labda unaweza kutushirikisha changamoto unayokutana nayo kwa upande wako.
Mwalimu super
Asante sana kwa somo 🙏
Safi Sana mtaalamu umeelezea kwa mapana zaidi 👏👏👏👏👏
Asante sana mwalim
Somo ni zuri sana karibuni Zanzibar wataalam wetu wa kilimo
Tunashukuru. Tutafurahi kufika Zanzibar tupatapo fursa hiyo.
Mwalimu unakitu cha ziada hongera sana
Hongera
Father umefunfisha vizuri sanaa
Well explained
Well explained 👏
Kwel we mtaalam sana
Naomb namba zenu bas
Mwalim naomba namba yako ya sim
Naomba namba ya mzee nahitaji miche
Nimemuelewq sana huyu mtalamu
Naomba namba ya mtaalam
👍👍🙏🙏
Mwalimu upo makin
Naomba namba ya mtaalam nahitaji miche
Je nitawezaje kupata miche,nipo Zaznzibar
Kuna mbolea nzuri ya asili inayoleta wadudu wazuri wa ardhi kama wale wa maharagwe. initwa mycorrizahl fungi fanya utafiti. Udongo utabaki salama na mazao yatashamiri hata asilimia 15 hadi 30 zaidi kimatunda
Tunaomba namba jaman
Naitaji iyo miche nitaipataje?
Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Maliasili unagawa miche bure katika vijiji 18 vya Nkasi nas Sumbawanga ambavyo ni: Nkomolo II, Kisula, Malongwe, Swaila, Tambaruka, Lyele, Itindi, Mnazi Mmoja, Mbwilo, Kalumbaleza A na B, Nkwilo, Mpete, Mtapenda, Katoo, Mnazi asilia. Lakini unaweza kununua katika Taasisi ya Vijana FECEE pale Sumbawanga mjini jirani na Uwanja wa Mpira wa Mandela
Kwa upande wa Sumbawanga miche inapatikana kwenye kitalu cha miti kilichopo Taasisi ya Vijana FECEE, Sumbawanga.
Namba nataka michee
Ukipanda iyomiti soko hakuna manayake nn